JE KUCHEZA KAMARI/BETTING NI DHAMBI?

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024
  • #specialthanks to my spritual father H.E HON. DR. GEORDAVIE PEACE AMBASSADOR.
    Je una swali lolote gumu kutoka ndani ya biblia linakusumbua na umekosa majibu kabisa? basi usisite kuuliza Mwalimu Isaya Benson yupo kwa ajili ya kujibu maswali yako yote yanayokusumbua. Andika swali lako kwenye comment nalo litajibiwa bila shaka yoyote.

ความคิดเห็น • 31

  • @user-lj4du3ck5n
    @user-lj4du3ck5n 4 หลายเดือนก่อน

    True please don't stop continue from Zambia

  • @user-lj4du3ck5n
    @user-lj4du3ck5n 4 หลายเดือนก่อน

    True please don't stop continue

  • @lulanjamd3886
    @lulanjamd3886 9 หลายเดือนก่อน +2

    Hii Ndiyo kazi aliyokuitia Mungu achana na mambo ya uchambizi wa migogoro baina ya nchi na nchi Mimi nimefulahi sana kupata ufafanuzi wa utofauti wa Isa na Yesu Kristo maana waislam wanataka kumlazimisha Isa wao kuwa Yesu Kristo ambapo Isa hajafa msalabani na Wala hakuutoa uhai wake Kwa ajili ya ondoleo la dhambi za wanadamu wote.

    • @designdesign4426
      @designdesign4426 6 หลายเดือนก่อน

      Tufafanulie yesu kristo ambae ni mzungu

  • @farusaimon3490
    @farusaimon3490 9 หลายเดือนก่อน +2

    Asante sana Mwl. IBM! Baadhi ya nchi kama Ukrain wanakusanya kodi kutokana na biashara ya ngono. Je, hii si dhambi? Huyu Kaisari jamani!!!!!

  • @user-ce2qe4xd5g
    @user-ce2qe4xd5g 9 หลายเดือนก่อน

    Nakukubali sana Mwalimu

  • @user-ey9ic9kk8h
    @user-ey9ic9kk8h 9 หลายเดือนก่อน

    asante sina mengi nimekuelewa mwalimu

  • @sifakamwela8301
    @sifakamwela8301 5 หลายเดือนก่อน

    Ndigu, sinajua iwapo unahitaji sana msaada wa Roho mtakatifu, kunibu maswali , naona unategemea sana akili sanaaa,,

  • @kenanimwakanemela483
    @kenanimwakanemela483 9 หลายเดือนก่อน

    You nailed it brother

  • @sifakamwela8301
    @sifakamwela8301 5 หลายเดือนก่อน

    Mambo ya Mungu hatuendi na takwimu ili tuone. La kufuata

  • @PatrickMathias-cs9qc
    @PatrickMathias-cs9qc 5 หลายเดือนก่อน

    Huwezi kuwapenda Mungu na Mali

  • @pidiusDominick-qi7nl
    @pidiusDominick-qi7nl 9 หลายเดือนก่อน

    Isaya Benson nakukubali sana

  • @ezron_official
    @ezron_official 9 หลายเดือนก่อน +1

    Unajua sana namimi nataka kuuliza nafanyaje?

  • @sifakamwela8301
    @sifakamwela8301 5 หลายเดือนก่อน

    Mambo ya kubashiri. Ni chukizoo,

  • @SamsonEzekiel-or9xc
    @SamsonEzekiel-or9xc 9 หลายเดือนก่อน

    Ukweli unauma

  • @jonathanmbilinyi9556
    @jonathanmbilinyi9556 9 หลายเดือนก่อน

    Lakini mwalimu isaya ukisoma kumbukumbu 18:10 anapo sema asionekane kwenu anae bashiri Wala kutazama bao anamaanisha nini?

  • @festinamwakipale3919
    @festinamwakipale3919 9 หลายเดือนก่อน

    Hivo ni vitu vya dunia.na nchi.kuna.vitu wakuu wa nchi hawavijui.ko.si kila kitu ambacho serikali ikiamua.kanisa.laweza kufanya.hapana.mfano kukopa.na.kukopesha.kwa liba serikali haioni.shida.lakini.biblia.imekataa kabisa kamali.mtu akiwa na nguvu.ya.Mungu hawezi kucheza HatA.kubeti.mtu.akiwa.na.nguvu ya Mungu.hawezi.kubeti.kwan.Mungu.hana.hela.

  • @charleskuyeko4400
    @charleskuyeko4400 9 หลายเดือนก่อน

    Mtumishi wa Mungu ebu tuambie kibiblia;
    Je Mkristo ni halali kushabikia mpira wa miguu na boxing? Kunywa pombe je?

    • @festinamwakipale3919
      @festinamwakipale3919 9 หลายเดือนก่อน

      Imeandikwa kila ubaya us
      Itajwe kwenu ninyi.wewe unauona.mpira.una maneno mazuri watu wanabondi.mpaka.wake zao kama unampenda.Mungu mipira.huwezi.kushabikia

  • @festinamwakipale3919
    @festinamwakipale3919 9 หลายเดือนก่อน

    Mzungu na mwaafrika.wote ni sawa Mungu anafanya chochote anachotaka ndio maana mweusi.anazaa.albino

  • @user-ml7jz5rf3n
    @user-ml7jz5rf3n 9 หลายเดือนก่อน

    Huyu ni nabii wa.uongo

  • @DennisKinyua-md7nu
    @DennisKinyua-md7nu 9 หลายเดือนก่อน

    Acha uongo bro kasome vyema

    • @ConstantineBudaga-qp3ke
      @ConstantineBudaga-qp3ke 9 หลายเดือนก่อน

      Sema ukweli wako wew uliyesoma vizuri.

    • @barakaayubu6126
      @barakaayubu6126 5 หลายเดือนก่อน

      Ndugu yangu uongo wake ni upi tusaidie tujue.

  • @RobertGwelela
    @RobertGwelela 9 หลายเดือนก่อน

    Nami nauliza je,mkristo kushabikia mpira? Yaani iwe ni football au netball.

    • @RobertGwelela
      @RobertGwelela 9 หลายเดือนก่อน

      Ni dhambi?

    • @PatrickMathias-cs9qc
      @PatrickMathias-cs9qc 5 หลายเดือนก่อน

      Mpira ni dhambi ndugu kaa ukijua hilo mpira ni Ibada ya sanamu

  • @user-fl3yl4or3e
    @user-fl3yl4or3e 9 หลายเดือนก่อน

    Kubwa kabisa