MWL//ISAYA BENSON JE WAFILISTI NDIYO WAISLAM?

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024
  • 04/02/2024 By His Excellent Hon. Dr. GeorDavie
    SEHEMU YA PILI.
    DIRA YA MWELEKEO TUNAOENDA NAO KUANZIA SASA MWAKA 2024.
    TAA NA MWANGAZA WA DIRA MPYA. 【HII NI BAADA YA MIAKA MIWILI YA UAMSHO WA INJILI YA KINABII】

ความคิดเห็น • 40

  • @RoseMwanga
    @RoseMwanga 6 หลายเดือนก่อน +1

    Very Smart Akili na Muonekano wa uvaaji wa mavazi pia :Historia hii ya Israel tungeipata wapi?Maua yako Maalumu Isaya Benson

  • @LosotwaMichael
    @LosotwaMichael วันที่ผ่านมา

    Wafilisti na miungu Dagon ni sawa Lakini waisilamu wanaabudu allah . Rekebisha hapo

  • @user-os3tg5bo6v
    @user-os3tg5bo6v 5 หลายเดือนก่อน

    Wewe ni mwongo ktk manabii wote ,Kwa nini ;ukristo waweza badilika lakini siyo Kristo Wala siyo Wa Kristo ,wewe huna uthibitisho wowote Kinabii,kihistoria Wala kihalisa ktk Neno,ni kuchanganya Kwa maelezo yasiyotoka ktk Roho Mtakatifu. 2Pet 1:18-21wanadamu waliandika wakiongozwa na Roho,wewe huna Roho.1kor 12:1---- na kazi ni Roho

  • @MikaMika-ve1ip
    @MikaMika-ve1ip 3 หลายเดือนก่อน

    Ndugu Faida Jishiku.kanisa hua lina mipango yake.ili mladi hali halikufuru.

  • @massejobbs4284
    @massejobbs4284 6 หลายเดือนก่อน

    Règles 3 fois, la circoncision 1 fois dans la vie 👋🏽

  • @omamomanhelena9433
    @omamomanhelena9433 6 หลายเดือนก่อน

  • @MACHOYATAI-jk6fu
    @MACHOYATAI-jk6fu 6 หลายเดือนก่อน +1

    😢naona unajipendekeza sana kwa waisilamu waabudu shetani hawanaga shukurani hao

    • @mwawekomiuda9779
      @mwawekomiuda9779 6 หลายเดือนก่อน

      Koma ahika adabu yako. Muabusu shetani ni wewe usie na Dini, Mungu, wala kitabu. Anatuzidishia nini ktk uislamu. Acha kuropoka kama umekunywa maji ya chooni.

    • @hamidaalhabsi8568
      @hamidaalhabsi8568 6 หลายเดือนก่อน

      Mungu atusitiri waisilamu wote duniani na wanao amini. Nakuona huna adabu hata ya KUVALIA chupi yako wewe. Ungekuwa unataka kujuwa nini maana ya dini usinge mtukana. Asante sana mwalimu kwa kutuelimisha

    • @hamidaalhabsi8568
      @hamidaalhabsi8568 6 หลายเดือนก่อน

      Wewe umeumia sana. Pole sana usije ukashikwa na maradhi ya moyo 😅😅😅😅Amakweli mnawachukia sana waarabu. Alhamdulilah rabillamin mnawachukia sababu ya mali zetu. Wake Up bro fanya kazi Vizuri bila roho mbaya na ufisadi pamoja na kuchukia mtu yoyote yule alieubwa na mwenyezimungu utafanikiwa kama hao Waarabu. Waarabu hawachukii binadamu yoyote yule ndio maana tumebarikiwa na mwenyezi mungu

    • @hamidaalhabsi8568
      @hamidaalhabsi8568 6 หลายเดือนก่อน

      Wewe umeumia sana. Pole sana usije ukashikwa na maradhi ya moyo 😅😅😅😅Amakweli mnawachukia sana waarabu. Alhamdulilah rabillamin mnawachukia sababu ya mali zetu. Wake Up bro fanya kazi Vizuri bila roho mbaya na ufisadi pamoja na kuchukia mtu yoyote yule alieubwa na mwenyezimungu utafanikiwa kama hao Waarabu. Waarabu hawachukii binadamu yoyote yule ndio maana tumebarikiwa na mwenyezi mungu

    • @hamidaalhabsi8568
      @hamidaalhabsi8568 6 หลายเดือนก่อน

      Wewe umeumia sana. Pole sana usije ukashikwa na maradhi ya moyo 😅😅😅😅Amakweli mnawachukia sana waarabu. Alhamdulilah rabillamin mnawachukia sababu ya mali zetu. Wake Up bro fanya kazi Vizuri bila roho mbaya na ufisadi pamoja na kuchukia mtu yoyote yule alieubwa na mwenyezimungu utafanikiwa kama hao Waarabu. Waarabu hawachukii binadamu yoyote yule ndio maana tumebarikiwa na mwenyezi mungu na mwenyezi mungu atuzidishie kila lenye kheri na dini yetu ameen yaarabi lalamini 🙏🙏🙏🙏

  • @SmilingAnacondaSnake-sp8ct
    @SmilingAnacondaSnake-sp8ct 6 หลายเดือนก่อน

    Waalabu Walikuwa wanaabudu miungu kwa matabaka yao miungu 610

  • @SmilingAnacondaSnake-sp8ct
    @SmilingAnacondaSnake-sp8ct 6 หลายเดือนก่อน

    Na wakati huo uislamu haukuwepo muhamadi ndio aliekuja kuwapotosha kupitia wale malaika waovu waasi

  • @samsonmwaipaja4839
    @samsonmwaipaja4839 6 หลายเดือนก่อน

    zion means fortress au Ngome au sayuni.
    wazion maana yake waliotoka Sayuni mji wa Daudi.
    by Samson

  • @nelsonbaregu8942
    @nelsonbaregu8942 6 หลายเดือนก่อน

    Mwalimu naomba utusaidia kutufafanulia uislam ni nini.Je wanamwabudu Mungu anaye abudiwa na wakristo

  • @FaidaJishiku
    @FaidaJishiku 6 หลายเดือนก่อน

    Mwl bwana yesu sifiwe mimi niko simiyu swali langu yesu alikufa msalabani ilipo kalibia sabato wakamtoa wakamzika hajapelekwa kanisani swali kwanini Leo mtu akifa anapekwa kanisani?.

  • @ericklazaro9103
    @ericklazaro9103 9 วันที่ผ่านมา

    Wanao uliza maswali wote wako Arusha

  • @audaxmaganga7105
    @audaxmaganga7105 2 หลายเดือนก่อน

    Ilikuaje wafilisti wawe mtu kama Goliathi ambaye anaonekana kama mabaki ya wanefili?by Maganga nipo Tunduma

  • @EsterbernardoVumo-kn2xv
    @EsterbernardoVumo-kn2xv 6 หลายเดือนก่อน

    Mtumishi Ni Kweli Mwalimu Usijipendekeze Kwa Waisilam

  • @user-yp1cp5fl1c
    @user-yp1cp5fl1c 6 หลายเดือนก่อน

    Mwalimu,nauliza ile nyota yenye pembe sita inayoonekana Israeli,maana yake nini?

  • @christophersway
    @christophersway 6 หลายเดือนก่อน

    Yaan hapo ndo sikuelewag, unasema wanamwamin muumba wa mbingu halaf unawaambia isa sio yesu, sasa muumba wa mbingu hapo ni yule aliyemtuma isa au Ni aliyemtuma yesu? Kuwa makin na mafundisho yako, roho ya mpinga kristo inakuendesha, halaf bdo hujajibu swali uliloulizwa

  • @user-hi7ry5bc9t
    @user-hi7ry5bc9t 6 หลายเดือนก่อน

    Ongea ukristo unaojidai unaujua. Usidanganye watu kuhusu uislam. Ukijiita mwalimu jifunze kusema kweli.

    • @samuelondieki9164
      @samuelondieki9164 6 หลายเดือนก่อน

      Swali lako lipi hapa sikuelewi

  • @SilwimbaLast-kt2ho
    @SilwimbaLast-kt2ho 6 หลายเดือนก่อน

    Tulieni

  • @user-dc3bj8mv8s
    @user-dc3bj8mv8s 6 หลายเดือนก่อน

    Kidogo umeanza kujitambua, kujipendekeza kwako kwa waisramu hakufichi ukweli kwamba waisrael si wavamizi ila wameludi kwao

  • @user-ve1st6lc2z
    @user-ve1st6lc2z 6 หลายเดือนก่อน

    Shalom mwalimu, tunashukuru kwa mafundisho ubarikiwe sana, lakini kuna jambo linanichanganya naomba kupata ufafanuzi wako, Je kizazi kinacho tajwa kwenye mwanzo 1 ndiyo kinacho tajwa kwenye mwanzo 2? Na vipi kuhusu Lilith ndiye anayetajwa kwenye mwanzo 1? Hili jambo linanitatiza sana naomba sana mtumishi utuondolee huu utata, 🙏🙏🙏

  • @user-fm5md9xn5g
    @user-fm5md9xn5g 6 หลายเดือนก่อน

    Ama kweli waraabu ni mapweza yaani watu million 6 inawachanganya waraabu maelfu na maelfu

    • @hamidaalhabsi8568
      @hamidaalhabsi8568 6 หลายเดือนก่อน

      Mapwenza ni familia yako bro kabla hujatukana waarabu wewe angalia familia yako. Iko vipi upo nyanya

    • @antoniopius4009
      @antoniopius4009 4 หลายเดือนก่อน

      Sasa wewe ni muarabuni??

  • @abeidkhamis6130
    @abeidkhamis6130 6 หลายเดือนก่อน

    Kwanini wewe isaya unajichanganyaga

  • @S1rb0ny
    @S1rb0ny 5 หลายเดือนก่อน

    Tatizo lako huna msimamo wa kile unachoamini wewe kwaujumla upo kuokota viewers wa pande zote ndicho nilichokiona kwako ,, Lakini pia unayo history but huna ukweli halisi bado.

  • @user-fm5md9xn5g
    @user-fm5md9xn5g 6 หลายเดือนก่อน

    Waislam ni waabudu majini that's the truth

    • @mwawekomiuda9779
      @mwawekomiuda9779 6 หลายเดือนก่อน

      Ni sawasaw🎉a na wewe unaechonga kinyago kwa mikono yako hlf wakiabudu na kukiita Mungu.

    • @hamidaalhabsi8568
      @hamidaalhabsi8568 6 หลายเดือนก่อน

      Kama waisilamu ni maadui na nimashetani. Tueleze muislam aliuwa Baba yako aliuwa Mama yako. Kwenye shetani mwisilam gani amekulea mashetani kwenye familia yako kama sio pumbavu wewe

    • @hamidaalhabsi8568
      @hamidaalhabsi8568 6 หลายเดือนก่อน

      Mwabudu mashetani ni familia yako isio kufundisha dini yako ya kweli paka mweusi

    • @deathrow8004
      @deathrow8004 6 หลายเดือนก่อน

      Acha chuki