UJUMBE KWA WANAWAKE WAKRISTO / Nabii Keren

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 83

  • @zenahrotich5047
    @zenahrotich5047 2 หลายเดือนก่อน +2

    Amenamen nimebarikiwa sana

  • @MwajumaSeddi
    @MwajumaSeddi 3 หลายเดือนก่อน +1

    Amen unanifurahisha sana ukise ni vitu vyauruma

  • @ShukuruDaudi-ue6in
    @ShukuruDaudi-ue6in 3 หลายเดือนก่อน +1

    Amina 🙏🏼 🙏🏼 Asante MUNGU akubariki sana

  • @hellenmnyazi220
    @hellenmnyazi220 4 หลายเดือนก่อน +1

    Amen barikiwa sana mjakazi wa Bwana

  • @MwajumaSeddi
    @MwajumaSeddi 3 หลายเดือนก่อน +1

    Amen

  • @doricemrema2177
    @doricemrema2177 4 หลายเดือนก่อน +4

    Amen Amen,, ubarikiwe sana Mjakazi wa BWANA

  • @tundalawokovu
    @tundalawokovu 4 หลายเดือนก่อน +3

    Amana kabisa. ❤❤❤

  • @matendo238
    @matendo238 4 หลายเดือนก่อน +2

    nashukuru MUNGU kwa kuleta ujumbe huu, imeni kosoa na tena kunifundisha sana. BWANA YESU KRISTU asifiwe.

    • @NYIMBOZAROHOMTAKATIFU
      @NYIMBOZAROHOMTAKATIFU  4 หลายเดือนก่อน

      Amen amen . Sifa zimrudilie Bwana wetu Yesu Kristo

  • @VeronicaMziray
    @VeronicaMziray 4 หลายเดือนก่อน +1

    Wanawake amekuwa ndiyo vinara kwa kutokutii hata ukiwaambia ni Vichwa vigumu sana, ila Nina Amini Mungu atawabadilisha watakapokutana na. Neno la Mungu sahihi kama hapa, Ubarikiwe sana mjakazi wa Bwana Yesu Kristo.

    • @NYIMBOZAROHOMTAKATIFU
      @NYIMBOZAROHOMTAKATIFU  4 หลายเดือนก่อน

      Ni huruma saaana tabia zote mbaya wanawake wamekuwa wa kwanza kuwa na nazo funjo kanisani ni sisi uzinzi ni sisi BWANA kweli atubadirishe

  • @LucyMerchiorly
    @LucyMerchiorly 4 หลายเดือนก่อน +2

    dada nina mengi sana nataka kujifunza

  • @dorothyronald2445
    @dorothyronald2445 4 หลายเดือนก่อน +1

    Asante Roho Mtakatifu kwa somo hili,maana ni wewe mwenyewe umetumia kinywa cha mjakazi wako kuleta somo hili lenye mafundisho.Asante sana mjakazi wa Bwana.

  • @LidyaPeter-nl9bt
    @LidyaPeter-nl9bt 4 หลายเดือนก่อน +2

    Hapa kweli ROHO WA MUNGU kafundishaa,nimeelewa sanaa na kupata majibu ya maswali yangu

  • @LucyMerchiorly
    @LucyMerchiorly 4 หลายเดือนก่อน +1

    mungu akubariki sana dada

  • @faithwangara1642
    @faithwangara1642 4 หลายเดือนก่อน +1

    Amen amen amen, hivi ndio sauti ilikuwa inaniambia na Bwana aliweza kusema ivo be blessed so much mjakazi wa Mungu

    • @NYIMBOZAROHOMTAKATIFU
      @NYIMBOZAROHOMTAKATIFU  4 หลายเดือนก่อน

      AMEN AMEN sifa kwa Bwana wetu Yesu Kristo tubarikiwe sote na Bwana haleluya

  • @rowenalilie993
    @rowenalilie993 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ameeeen

  • @rowenalilie993
    @rowenalilie993 4 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sana kwa somo hili.barikiwa sana mjakazi wa Bwana Yesu

  • @LidyaPeter-nl9bt
    @LidyaPeter-nl9bt 4 หลายเดือนก่อน +2

    amen

  • @MelesianaFaida
    @MelesianaFaida 4 หลายเดือนก่อน +2

    Amen

  • @sifakarulange
    @sifakarulange 4 หลายเดือนก่อน +1

    Amen Amen

  • @UngwaJuma
    @UngwaJuma 4 หลายเดือนก่อน +2

    akuna mwanamke ktk bible mwenye aliubiri walikuwa manabii tu Amen

  • @rowenalilie993
    @rowenalilie993 4 หลายเดือนก่อน +1

    Amina amina. Bwana akubariki sana kwa somo hili. Asante sanaa mjakazi

  • @furahahappy1819
    @furahahappy1819 4 หลายเดือนก่อน +1

    Amen Amen ubarikiwe sana mujakazi wa Bwana Yesu kristo Aliye Hai

  • @LucyMerchiorly
    @LucyMerchiorly 4 หลายเดือนก่อน +1

    mtumishi naomba unielekeze hapa kunena huko ni kunena kwa lugha au ni kuhubiri maana some times mtu unapangwa kuhubiri Dada nataka unifindishe zaidi

  • @EmmanuelMwesa
    @EmmanuelMwesa 4 หลายเดือนก่อน +1

    Amina Mtumishi

  • @junicymtweve8361
    @junicymtweve8361 4 หลายเดือนก่อน +1

    Amen ubarikiwe na Bwana Yesu Kristo

  • @marymusa8136
    @marymusa8136 4 หลายเดือนก่อน +2

    Amina. Naulizia singing session only utaanza lini tena? Maana nabarikiwa sana.

  • @marymwombe-pwonde1442
    @marymwombe-pwonde1442 4 หลายเดือนก่อน +2

    Nashkuru sana kwa mafundisho

  • @marympochela7903
    @marympochela7903 4 หลายเดือนก่อน +1

    Amina sana

  • @FIDEALUENA
    @FIDEALUENA 4 หลายเดือนก่อน +1

    Amen dada Mungu akubariki sana na azidi kukutumia

  • @InjiliyaUfalmetv
    @InjiliyaUfalmetv 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ameen

  • @mmm4199
    @mmm4199 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mariam musa Amen Amen Amen barikiwa sana dd

  • @SwedyTosha
    @SwedyTosha 4 หลายเดือนก่อน +1

    Amen kubwa dada

  • @LucyMerchiorly
    @LucyMerchiorly 4 หลายเดือนก่อน +1

    pia naomba namba yako dada kuna nataka nikushilikishe

  • @AzAz-sy6zp
    @AzAz-sy6zp 4 หลายเดือนก่อน +1

    Amen ubarikiwe

  • @RehemaMtono
    @RehemaMtono 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ameeena amen

  • @Laban77Gloriese
    @Laban77Gloriese 4 หลายเดือนก่อน +1

    kabisa waambiye ukweli njomana wanawake wengi wanaenda motoni Rehema za Bwana zitutawala kabisa sisi wa wanawake🙏

    • @NYIMBOZAROHOMTAKATIFU
      @NYIMBOZAROHOMTAKATIFU  4 หลายเดือนก่อน

      Amen amen. Bwana Yesu Kristo atusaidie sana kweli kuelewa na fasi zetu

  • @ChristineDama-wf3sd
    @ChristineDama-wf3sd 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mm nko na swali kusuka nywele zangu bila kuongeza badia bia na chukizo kwa Bwana

    • @NYIMBOZAROHOMTAKATIFU
      @NYIMBOZAROHOMTAKATIFU  3 หลายเดือนก่อน

      @@ChristineDama-wf3sd shalom dada ndio ni chukizo , Mungu apendi

    • @ChristineDama-wf3sd
      @ChristineDama-wf3sd 3 หลายเดือนก่อน

      Sawa nashkuru kwa kuniambia inamaana mtu ukieka dawa pia n makosa

  • @lukuyanalaheri4372
    @lukuyanalaheri4372 2 หลายเดือนก่อน

    Nina pataje number yako dada?. Nina ushuhuda kupitiya mafundisho yako, Mungu amesema nami.

  • @nancykimaru8
    @nancykimaru8 4 หลายเดือนก่อน +1

    Shalom Shalom, can a woman pray for a sick man for healing

  • @LucyMerchiorly
    @LucyMerchiorly 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kwenye kitabu cha 1 wakorintho 14:34…35 inasema wanawake na wanyamaze katika kanisa, maana hawana ruhusa ya kunena Bali watii kama vile inenavyo torati nayo.nao wakitaka kujifunza wawaulize neno lolote,na wawaulize waume zao wenyewe nyumbani mwao;maana ni aibu wanawake kunena katika kanisa

  • @marymwombe-pwonde1442
    @marymwombe-pwonde1442 4 หลายเดือนก่อน +1

    Network yangu ilkataa jameni nimetafuta channel ikakosa

  • @InjiliyaUfalmetv
    @InjiliyaUfalmetv 4 หลายเดือนก่อน +1

    Naomba namba yako Mtumishi wa Bwana

    • @NYIMBOZAROHOMTAKATIFU
      @NYIMBOZAROHOMTAKATIFU  4 หลายเดือนก่อน

      Shalom mtumishi well sikiliza ushuhuda wangu part 3 ndo utapata whatsApp number

  • @marymwombe-pwonde1442
    @marymwombe-pwonde1442 4 หลายเดือนก่อน +1

    What about kukaa madhabauni Kila mtu aneza kaa tu .... kanisa mwetu naona watumishi hulazimisha kwamba wewe ni kiongozi lazima uwe madhabauni

    • @NYIMBOZAROHOMTAKATIFU
      @NYIMBOZAROHOMTAKATIFU  4 หลายเดือนก่อน

      Viongozi ndo uwa nakaa madhabauni na si kila mtu hapana

  • @RizikiWisongata
    @RizikiWisongata 2 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @ChristineDama-wf3sd
    @ChristineDama-wf3sd 3 หลายเดือนก่อน +1

    Amen ubarikiwe sana

  • @zipporahmibei9007
    @zipporahmibei9007 4 หลายเดือนก่อน +1

    Amen Amen

  • @EsterDaud-pt3ln
    @EsterDaud-pt3ln 4 หลายเดือนก่อน +1

    Amen

  • @SwedyTosha
    @SwedyTosha 3 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @asminmakoha6889
    @asminmakoha6889 4 หลายเดือนก่อน +1

    Amen

  • @TheofridahChigumbi
    @TheofridahChigumbi 4 หลายเดือนก่อน +1

    Amen

  • @fatumaminyeko1875
    @fatumaminyeko1875 4 หลายเดือนก่อน +1

    Amen Amen

  • @dayemukalai3427
    @dayemukalai3427 4 หลายเดือนก่อน +1

    Amen amen

  • @sophiaombasa6029
    @sophiaombasa6029 4 หลายเดือนก่อน +1

    Amen Amen