MADHARA YA KUMKAIDI ROHO MTAKATIFU NA KUZIFUATA MITINDO YA KIDUNIA MCH AMIEL KATEKELA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 54

  • @NeemaMollel-d6l
    @NeemaMollel-d6l 15 วันที่ผ่านมา +1

    Amen

  • @Esthermordecai
    @Esthermordecai 6 หลายเดือนก่อน +19

    Wakati ametuumba Mungu wetu,Kila kitu amekiweka sawa,wakati unajipandikiza hizi vitu vya Dunia hii,ni dhambi na hautaingia mbinguni na uchafu wa Dunia hii, nywele zinatoka kuzimu,make up na vyote,tuepukane na hizi vitu ili tuweze kuingia mbinguni.😢❤

    • @EZRA-b1c
      @EZRA-b1c 6 หลายเดือนก่อน +2

      KWELI KABISA AMEN

  • @elishaluhwago6940
    @elishaluhwago6940 6 หลายเดือนก่อน +6

    Ni kweli Kabisa Baba... Ni kumtii Roho Mtakatifu tu

  • @obadiambilinyi27
    @obadiambilinyi27 6 หลายเดือนก่อน +7

    Umetumia hekima sana kujibu swali la nywele, umeeleza vzr, utajuaje kama vimetoka kuzimu? Mungu akubariki sana

  • @JanuaryPetro-w2s
    @JanuaryPetro-w2s 3 หลายเดือนก่อน +1

    Natamani ufike kwetu ukahubiri injili ❤❤❤❤

  • @JestaLuhanya1
    @JestaLuhanya1 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu, ahsante Yesu, Ahsante roho Mtakatifu kwakuwa bado unatufundisha, lengo lako ni kila mtu akaupokee.ule uzima wa Milele.

  • @BihingwaKashindiespoir
    @BihingwaKashindiespoir 6 หลายเดือนก่อน +1

    Asate Sana Mutumishi waMungu Mungu akubariki Sana mimi niko Kenya mahali wanaita kakuma katika camp refugee but nafataka mafundisho yako kila siku kuazia mwanzo waushunda wako Niko nawewe

  • @PascalinaLaurent
    @PascalinaLaurent 3 หลายเดือนก่อน +1

    Amina mtumishi wa MUNGU

  • @christinekayungu2169
    @christinekayungu2169 6 หลายเดือนก่อน +1

    Amen. Barikiwa mtumishi wa Mungu. We are praising the Lord for how he is using you to save the nations.

  • @esthermliga4875
    @esthermliga4875 6 หลายเดือนก่อน +1

    Amen amen !! Nakupata vzuri mno mtumishi wa Mungu, asnte sana Kwa mafundisho mazuri! Hakika ukimsikiliza Roho mtakatifu atakuongoza na kukuelekeza, Umenena vyema mtumishi wa MUNGU,

  • @annkim2690
    @annkim2690 6 หลายเดือนก่อน +2

    Kumbukeni imeandikwa ukivunja sheria moja umevunja zote sasa watakatifu wa Bwana tutie bidii tuwe watakatifu katika mwili nafsi na roho

  • @JaneKuyokwa-ng2qf
    @JaneKuyokwa-ng2qf 6 หลายเดือนก่อน +3

    Asante mungu akubaliki mtumishi

  • @sophiajonas2090
    @sophiajonas2090 6 หลายเดือนก่อน +5

    Ukiwa rohoni zaidi hayo madudedude ya mabandia hutapenda kuyatumia

  • @SabinaEzekiel-vb5nh
    @SabinaEzekiel-vb5nh 6 หลายเดือนก่อน +1

    Ubarikiwe sana mtumishi.

  • @chanilasumbuko
    @chanilasumbuko 6 หลายเดือนก่อน +1

    Ubarikiwe sana Mch Katekela

  • @innocentinnocent-cu4mv
    @innocentinnocent-cu4mv 6 หลายเดือนก่อน +1

    Godbless You pastor 🙏 kwa Mafundisho mazuri

  • @FortressGasper
    @FortressGasper 6 หลายเดือนก่อน +1

    Karibu sana Mbeya, Mchungaji Amiel Katekela.

  • @RahelSalumu-pm9qx
    @RahelSalumu-pm9qx 6 หลายเดือนก่อน +2

    1 timotheo 2:9
    1petro 3:3
    Wengine husema hata kusuka nywele Yako ni dhambi,

  • @annissdaprincess3846
    @annissdaprincess3846 6 หลายเดือนก่อน

    Amina ubarikiwe zaidi nazaidi Mtumishi wa MUNGU

  • @ElisonguoShayo-hb2gs
    @ElisonguoShayo-hb2gs 6 หลายเดือนก่อน

    Asante mtumishi kwa kutoa mwarobaini wa kuepuka devil devices. That is; active fellowship of the Holy Spirit. Asante maana desire to have fellowship with Holy Spirit imeendelea to burn in me

  • @phaniceariviza4399
    @phaniceariviza4399 6 หลายเดือนก่อน

    Amen nimependa ulivyomshudia Mungu na ukweli wake

  • @annkim2690
    @annkim2690 6 หลายเดือนก่อน +2

    Ushuhuda wa Astn Mbaya pia kuna mama kutoka kenya hapa promover TV alikatazwa kupaka mvi rangi nyeusi mimi hapa hamunitoi natokea niliachana nahizo mazagazaga nikaanza kupata kibali

  • @susansusan4813
    @susansusan4813 6 หลายเดือนก่อน +3

    Yani nampenda huyu mhubiri

  • @EstherWayua-ke7kg
    @EstherWayua-ke7kg 6 หลายเดือนก่อน +1

    AMEN

  • @Kingsalumoni
    @Kingsalumoni 6 หลายเดือนก่อน

    Ameni

  • @vailetlemenya6576
    @vailetlemenya6576 6 หลายเดือนก่อน +1

    🙏🙏👏👏👍

  • @florencekasambula6497
    @florencekasambula6497 4 หลายเดือนก่อน +2

    aki tuachane na hayo manyangarakata😂

    • @annahmutune4866
      @annahmutune4866 3 หลายเดือนก่อน

      Ati ma what😅😅😅😅😂😂

  • @EngineMudi
    @EngineMudi หลายเดือนก่อน

    Plz naomba namba ya uyo mchungaji

  • @esterpeter8556
    @esterpeter8556 6 หลายเดือนก่อน +1

    100%

  • @frolafelix
    @frolafelix 6 หลายเดือนก่อน

    Napenda kujua kuhusu dred

  • @obadiambilinyi27
    @obadiambilinyi27 6 หลายเดือนก่อน +5

    Na mwingine akitaka kupendeza ajifunge kitambaa kizuri

  • @RhodaWikunge
    @RhodaWikunge 6 หลายเดือนก่อน +1

    Ukweli ni mgumu lakini Roho mtakatifu anatukamilisha kwa kufundisha na kutuwezesha

  • @TinaKitiku
    @TinaKitiku 6 หลายเดือนก่อน

    MUNGU akubariki mchungaji wewe na familia Yako

  • @gladysmueni8143
    @gladysmueni8143 6 หลายเดือนก่อน

    Naomba namba ya Mtumishi katekela

  • @LucyKapinga-fg4dk
    @LucyKapinga-fg4dk 6 หลายเดือนก่อน

    139-14

  • @DeusdeditMichael
    @DeusdeditMichael 6 หลายเดือนก่อน

    Baada ya YEREMIA 23;14 nenda MATHAYO 5:13-16 (Nukuu) huku ukifafanua kila mstari.
    MATHAYO: 10:37(Nukuu) fafanua
    Kwamba; usichujukiane na baba au mama yako ktk yamchujizayo MUNGU, wala mwana wako au binti eti unasema "asije mtito akanichukia, au akanywa sumu.
    1.Hata kama ni baba anataka akukabidhi uchawi, nawe umeokoka kataa, usichukuliane naye,
    2.Kuchanjia chale za ukoo kwa ajili ya wafu, eti ni ukoo mzima wanachanja
    3.Kula vyakula vikivuotolewa sadaka kwa miungu ya kwenu.
    4.Kukaa ktk mabaraza ya wenye mizaha ZABURI 1;1
    5.KUTOKA 23:2

  • @leilasaimjomba4246
    @leilasaimjomba4246 6 หลายเดือนก่อน +1

    Apa ni kuachana na manywele bandia

  • @TheodosiaSangka
    @TheodosiaSangka 6 หลายเดือนก่อน

    Sasa hizo nywele za kuzimu zinafikaje duniani wakati zinatengenezwa kuzimu?

  • @annkim2690
    @annkim2690 6 หลายเดือนก่อน +1

    Navile hii TV inashuhuda nyingi za mbinguni na jehanam lakini hataki kuamini anashida akiulizia kwa Amiel haya suka rasta zako basi coz kama hizi shuhuda zote bado hujabadilika hujui

  • @nitikekallenge2266
    @nitikekallenge2266 6 หลายเดือนก่อน

    Bila kupepesa macho.Kusuka nywele ni DHAMBi nina vifungu vya kutosha kwenye biblia

  • @elizabethawuor5402
    @elizabethawuor5402 6 หลายเดือนก่อน +2

    Nisaidie maombi ili NAMI nisibaki duniani nataka kwenda mbinguni nabarikiwasana na mahubiri yako

  • @felesianyangasi
    @felesianyangasi 6 หลายเดือนก่อน +3

    Vipi mtumishi, neno la Yesu lasema, kujipamba kwenu kama wanawake kusiwe kwa nje yaani kwa kusuka nywele baali kwa ndani. Mbona washauri wanawake kusuka nywele zao hatakama ni original? Wala sijaelewa

    • @JESUSISLO891
      @JESUSISLO891 6 หลายเดือนก่อน

      Soma 1 Corri 11:15

    • @annkim2690
      @annkim2690 6 หลายเดือนก่อน +2

      Nilisikia ushuhuda mwingine ukisema ATI katika kusuka nywele yapo maringo na majivuno Kwa kusuka nywele

    • @ambokilegwakisa3526
      @ambokilegwakisa3526 6 หลายเดือนก่อน +4

      Huyo ni binadamu Cha muhimu ni kulifuata Neno la Mungu pekee

    • @RubenMtuwaMungu-bz8ee
      @RubenMtuwaMungu-bz8ee 6 หลายเดือนก่อน +1

      Historia ya upentekoste ulipoanza ilikuwa marufuku kuvaa Vito nywele bandia haya mambo yameanza miaka ya 80 baada ya makanisa kugawanyika.

    • @gosbertmuta5421
      @gosbertmuta5421 6 หลายเดือนก่อน

      Kusiwe kufanyaje

  • @DeusdeditMichael
    @DeusdeditMichael 6 หลายเดือนก่อน

    SAMAHANI UJUMBE HUO UMETUMWA HAPA KWA MAKOSA