Sub'haana Allaah! Wallaahi maneno mazima sana tena mazito, yanasisimua nyoyo kwakweli. Allaah tuepushe na kughaflika na kuharibu mafunzo ya Mtume wako Muhammad Alayhisswalaatu Wassalaam
Allah akuhifadhi na kila aina ya uadui, mm binafsi nakupenda sana kwa ajili ya Allah na namchukia kila sheikh anaepingana na wewe bila ya hoja akiwemo Kassim mafuta na ndugu yake wanajitia elimu wagombanishaji na wanaleta fitina katika jamii za kiislam
Allah akuongoze hizbi, uachane na uhizbi uje katika man hajji salafi,maana unajiita salafi lakini usalafi upo mbali na wew kabisa, upo katika man hajji ya ikhwan, kutubiyun, sururiya, umepotea sana kijana
@@makhanguwakhutu2408 Kwanza anaamiliana na wakina nani,kuwasema vibaya ulamaa wa sunna,mkali kwa watu wa sunna na mpole kwa watu wa bida'a.Sifa zote huyu kijana anazo watu anaoshirikiananao wamepinda,kawasema vibaya ulamaa wa sunna kama wakina sheikh Rabii ingawa saivi anaonekana kuacha kutaja neno jadida lakini hajataraajaa.
Sheikh Muhammad, tumeshachoshwa na hawa maswa’afika huku tanga, njoo utupe elimu. Hawa masalafi uchwara wameshatuchosha na mawaidha yao ya kufitinisha waislamu
Assalam Alaykum sheikh Mohammad. Me ni mwanafunzi na nataman kusoma kwako na sipo Zanzibar😢 nifanyaje? Lakini pia lapili je unaonaje ukiwa na website Yako ambayo labda mtu yeyote atakua anaweza kukuuliza maswali ya dini na kupata faida?
@IbrahimSuleyman-xs7wi nimekwambia pongwe kwa sababu ya ukaribu kwa upande, ila pia waweza kwenda markaz Umar ibn khatwaab hapo dar, au ibn uthaimin Dodoma, au ibn Qayyim kigoma nk
Asalaam alaykum Sheikh nina kijani wangu ana miaka 15 naomba aje kusoma kwako ni kutoka Burundi ntagaramia kila kitu marazi na chakula nama hitajiyote?🙏🏽
Sasa bachu anasema ni wenye kuzusha imam malik anasema ni wale wanao ongelea sifa za mungu ndio watu wa bidaa na wanao ongelea kuhusu sifa za mungu twawajuwa ni kina nani mara mungu ana mkono mara mungu amekaa kwenye arshi mara mungu yuko juu ni kina nani wenye tabia hizo tukiwa wakweli katika hilo tutawajuwa watu wa bidaa ni kina nani
Akhy Hamisi naona bado haujafanya utafiti,,,, Emu fanya tena utafiti kisha utajua nani hizbi wa ukweli kati ya Muhammad Bachu na wengine? Akhy hivi ni vipengele vipi vimekujuza kuwa Muhammad bachu ni hizbi?
@@KhalfanMassoud Wallah naumia sana nikimuona akhy Muhammad Bachu akiendelea kushindana na haqq.Ukitaka kujua akhy Muhammad Bachu hayuko katika mstari angalia vitu vifuatavyo katika da'awa yake.Anashirikiana na wakina nani,Ulamaa wa Salafy anawazungumziaje kama sheikh Rabii na wengineo!!,wakina nani anawatetea na wakina nani anawajeruhi! Hivi akhy muogope Allah yule Kishki na kaka yake wale kweli ni Salafy?? Hebu waangalie wanavyokuwa na ukaribu na watu wa bida'a msikilize yule kka ake kwenye fatwa zake,Mwisho kabisa nakupa hii akhy Muhammad Bachu kalinganiwa na wale wakina Abuu Zaghar wa zanzibar na akasema ataachana na mahizbi wakina Barahiyani na kuna kitu kaacha kuita neno jadida lakini anatakiwa kitaraajaa kwa Allah na kwa umma juu ya kuwasema vibaya wanachuoni hapohapo alipokir kuachana na mahizbi bado aonekana yu pa1 na al hajar tv ambao ndio wakina Kishki na Abuu Hamza halafu hebu fikiria yaani wakina Qassim Mafuta awaita jadida wakina Kishki ndio Salafy wa sawasawa mmh hapana kuna vitu vingi Bachu yuko wrong akhy endelea kufuatilia huenda ukaona haya ninayokueleza
Chek namba zake. Nenda kwa video za zamani utaona alikuwa anaweka namba zake. Then wasiliana nae, nasikia huwa anajibu mapema text hata calls huwa anapatikana
Huwa cpend kucoment ila kwann hizb twajua maana ya hizbi au tuna pandikizwa kisha twasema t hizb hizb tu kwakusikia hatwend madarasan tukasoma kujuwa maama na kwa tunavyo ichukulia hatobakia hata mmoja asiwe hizb
@@mohagurey2214 Yupo kwenye Hizbu ya kiSururi (Suruuriyyah). Fuatilia muhadhara wa Sheikh Muqbil uitwao السرورية هي الفتنة فاعرفوها Sheikh Sulayman Ruhayli, Abdul Aziz Rayyis n.k wamewabainisha vizuri sana hawa maSururi. Dhahiri yao maSururi hujidhihirisha kama ni Masalafi lkn uhalisia wao ni majanga ya wanaharakati waharibifu. Hao ndio Mahizbu wa kiSururi, na adui yao mkubwa kwao ni Masalafi na wanachuoni wao والله المستعان.
Subhaanah-Allaah kumbe wenzetu MASALAFI watu WA peponi...n hamsemiiiii....😊😊😊 Kama kuna Pepo MUISLAM MWENZIO ankufa unafurahiiii hiii KWELI Pepo ya BACHU ,MAFUTA NA DELELE
Huyushekh amekosa hekma na busara na kuwahifadh mashekh wenziwe shekh iyo sionjia ya mafundisho ukitaka kuwaelimisha tumia nijia ya private nasio kujionyesha kwenye mitandao unawazalilisha mashekh naiyosio sunna na faraz ,chungasan iposk utaulizwa usiyoyajua, inakibr kwenye elimuyako mashekh wote wa tanzania na nnje ya tanzania wanakuonaww2 umaarufu hautafutwi ivo usiwemjinga,ukiamua kuaelimisha watafite kwanjia ya private uwspe elimu nasio kuwakashif pumbavuzako .
Sub'haana Allaah!
Wallaahi maneno mazima sana tena mazito, yanasisimua nyoyo kwakweli.
Allaah tuepushe na kughaflika na kuharibu mafunzo ya Mtume wako Muhammad Alayhisswalaatu Wassalaam
Shekh Muhammad bachu twakuomba uje Tanga kila wakati twakupenda wallahi.
Ohoooooh! utamu huu hapa wa elimu Allah akupe maisha mref sheikh wangu tunafaidika sana wallah kupitia ww
Amiin
Aamiyn @@suleyazidu4991
Aaamiinn
Amini
Amini kwa sote
Maa shaa Allah hii ilikua ni uso kwa uso na shekh Muhammad nasoro bachu Allah amuhifadh
Jazaqallahu khaira sheikh wangu Aaah natamani Allah angewezesha ukatutembelea nasisi Bara huku tupate Hutuba hizi Maa Sha Allah.
Allah akuhifadhi na kila aina ya uadui, mm binafsi nakupenda sana kwa ajili ya Allah na namchukia kila sheikh anaepingana na wewe bila ya hoja akiwemo Kassim mafuta na ndugu yake wanajitia elimu wagombanishaji na wanaleta fitina katika jamii za kiislam
Isiwachukie pia wote waislamu waombee duaa
Hupaswi kuwachukia waombee kheri hiyo ndio dini. Kama unaona wapo kwenye upotevu duaa muhimu
Kama hujaolewa tumwambie sheikh akuoe.... bado nafasi moja😂😂
Alhamdulillah tunashukuru sana Allah akupe afya.
Tumepata subuni ya roho safiiiii. Mashaallah.
Lakini NAMBARI YAKO YA SIMU UNATUNYIMA SHEIKH.
Allaah akubariki Shekh Muhammad, una ukumbusha ummah kwa mawaidha yako mazuri Maashaa Allaah
Mashallah professor Wangu tupe ufahamu wakweli habby
Mashallah allah akuzidishie ndug yetu
Shekhe bachu Mwenyezi Mungu akupe afya nyema
Barabara ya 19 Tanga, mashallah tulipata chakula cha roho🙏
Hii ni tanga au
Jazaakallahu khaira,,,,
Allah akuepushe na ria atupe na ss ilmu yenye manufàaa
Hilo hapo umemuombea kwelikweli.
Jazzakalwahu kheiran maalim Allah akuhifadhi
Waah hii khutbah ni 🔥 lazima iupasue moyo 😢
Allah akuhifadhi ndugu yetu ktk imani
حفظ الله لأب المحدث.
Tumuombe Allah atupe mwisho wa kuridhiwa
Allah akuongoze hizbi, uachane na uhizbi uje katika man hajji salafi,maana unajiita salafi lakini usalafi upo mbali na wew kabisa, upo katika man hajji ya ikhwan, kutubiyun, sururiya, umepotea sana kijana
جزاكم الله خير وجعله في ميزان حسناتكم
Masha allha baaraka llhu fika
Allah akuongoze na wewe usife katika uhizbi Bali ufe ikiwa Salafy .
Tuelezee, tofauti ya hizb na salfy
Si tunakuombea ufe katika uislamu maana Allah kwenye kitabu chake kitukufu ametutaka tufe hali sisi ni waislamu,,
@@makhanguwakhutu2408 Kwanza anaamiliana na wakina nani,kuwasema vibaya ulamaa wa sunna,mkali kwa watu wa sunna na mpole kwa watu wa bida'a.Sifa zote huyu kijana anazo watu anaoshirikiananao wamepinda,kawasema vibaya ulamaa wa sunna kama wakina sheikh Rabii ingawa saivi anaonekana kuacha kutaja neno jadida lakini hajataraajaa.
Kwa masalaf wa Tz hapana Salaf
Ako katiki hizbi gani?
Tanzania kuna chama tu cha masalafi, lakin usalafi kwao upo mbali sana
Ma Sha Allah
Sheikh Muhammad, tumeshachoshwa na hawa maswa’afika huku tanga, njoo utupe elimu. Hawa masalafi uchwara wameshatuchosha na mawaidha yao ya kufitinisha waislamu
Siuhame uaamie anakokaa bacho kuliko uwo unafki unaotakakuuleta
@@HanifaOman-oo4pl Akapate na anasheed kidogo
Mashaa Allah
akulinde Allah na hasadi na chuki
Masha Allah
Assalam Alaykum sheikh Mohammad.
Me ni mwanafunzi na nataman kusoma kwako na sipo Zanzibar😢 nifanyaje?
Lakini pia lapili je unaonaje ukiwa na website Yako ambayo labda mtu yeyote atakua anaweza kukuuliza maswali ya dini na kupata faida?
Check namba zake huwa anaweka
Angalia video za zamani kidogo utaona
Nenda pongwe hapo kwa bachu hakuna elim labda Kama unataka uhizbi
@@azizisulay6005acha chuki ndugu tanzania hakuna salaf kuna jina tu la salaf lkn hakuna mwenye kufanya matendo ya salaf
@@azizisulay6005 kwan elimu Tanzania nzima ipo pongwe akhy?
@IbrahimSuleyman-xs7wi nimekwambia pongwe kwa sababu ya ukaribu kwa upande, ila pia waweza kwenda markaz Umar ibn khatwaab hapo dar, au ibn uthaimin Dodoma, au ibn Qayyim kigoma nk
Mashaallah
Hata alipokufa MTUME MUHAMMAD, MAKAFIRI walisema uislaam umefika mwisho
Asalaam alaykum Sheikh nina kijani wangu ana miaka 15 naomba aje kusoma kwako ni kutoka Burundi ntagaramia kila kitu marazi na chakula nama hitajiyote?🙏🏽
Sasa bachu anasema ni wenye kuzusha imam malik anasema ni wale wanao ongelea sifa za mungu ndio watu wa bidaa na wanao ongelea kuhusu sifa za mungu twawajuwa ni kina nani mara mungu ana mkono mara mungu amekaa kwenye arshi mara mungu yuko juu ni kina nani wenye tabia hizo tukiwa wakweli katika hilo tutawajuwa watu wa bidaa ni kina nani
Assalam alykum je kwa sisi tunaoanza kijufunz katk njia hii sahih tupo mbali tunawezje kumuliz sheikh maswali sis ni wanafunz wa university tupo mbali
Tafuta namba zake
Nzuri sana
Sheikh naomba ufatilie chanzo cha Mali anayomiliki qassim Mafuta utufahamishe
Anaemjua aliongoka ni Allah peke yake,nashangaa watu kujifanya wao ndio waliongoka.Ni shirki kufanya kazi ambayo mwenyewe ni Mwenyezi Mungu peke yake.
Bachu mawaidha mazuri lakini kila nikikusikiliza naona yanakuhusuwewe mwenyewe zaidi
Sawa tu kwani shida ipo wapi ?? Mawaidha yanahusu watu naye ni mtu chukua ujumbe unaokyhusu katekeleze fullstop
Ndo maana huanza kwa kusema nazihusia nafsi zenu kama ninavyoihusia nafsi yangu
😜😜😜😜😜
Alipo ulizwa al imam malik rahimahullahu من هم اهل البدعة فأجاب قائلا هم الذين يتكلمون في صفات الله
mm nakaa ikwrir pwani nataka kusoma kwako ikoje apo
Nikupee namba yake kwa cmu au
Bachu kwa mujibu wa mawahabi je baba ako kafa kwenye upotevu
Isbali
@@allymbarouk5362ulimuona akivaa?
Nawe Allah akuongoze maana ulianza kuwa salafy ukauacha saivi umekua hizbi,Allah atufishe sisi na wewe tukiwa katika manhaji ya sawasawa.
Ako katika hizbi gani?
Akhy Hamisi naona bado haujafanya utafiti,,,,
Emu fanya tena utafiti kisha utajua nani hizbi wa ukweli kati ya Muhammad Bachu na wengine?
Akhy hivi ni vipengele vipi vimekujuza kuwa Muhammad bachu ni hizbi?
Nyinyi masalafi mmeambiwa msimsikilize bachoo vipi mnawapinga walimu wenu
@@KhalfanMassoud Wallah naumia sana nikimuona akhy Muhammad Bachu akiendelea kushindana na haqq.Ukitaka kujua akhy Muhammad Bachu hayuko katika mstari angalia vitu vifuatavyo katika da'awa yake.Anashirikiana na wakina nani,Ulamaa wa Salafy anawazungumziaje kama sheikh Rabii na wengineo!!,wakina nani anawatetea na wakina nani anawajeruhi! Hivi akhy muogope Allah yule Kishki na kaka yake wale kweli ni Salafy?? Hebu waangalie wanavyokuwa na ukaribu na watu wa bida'a msikilize yule kka ake kwenye fatwa zake,Mwisho kabisa nakupa hii akhy Muhammad Bachu kalinganiwa na wale wakina Abuu Zaghar wa zanzibar na akasema ataachana na mahizbi wakina Barahiyani na kuna kitu kaacha kuita neno jadida lakini anatakiwa kitaraajaa kwa Allah na kwa umma juu ya kuwasema vibaya wanachuoni hapohapo alipokir kuachana na mahizbi bado aonekana yu pa1 na al hajar tv ambao ndio wakina Kishki na Abuu Hamza halafu hebu fikiria yaani wakina Qassim Mafuta awaita jadida wakina Kishki ndio Salafy wa sawasawa mmh hapana kuna vitu vingi Bachu yuko wrong akhy endelea kufuatilia huenda ukaona haya ninayokueleza
@@JumaOmar-ku6crwasalafi ni wakina nani? Ila usiniambie niwale waumini wa Maulidi?😂😅
Chek namba zake.
Nenda kwa video za zamani utaona alikuwa anaweka namba zake.
Then wasiliana nae, nasikia huwa anajibu mapema text hata calls huwa anapatikana
Huwa cpend kucoment ila kwann hizb twajua maana ya hizbi au tuna pandikizwa kisha twasema t hizb hizb tu kwakusikia hatwend madarasan tukasoma kujuwa maama na kwa tunavyo ichukulia hatobakia hata mmoja asiwe hizb
Hizbi kasema ukweli
Ako hizbi gani na uko na dalili gani
حزبي هو شيخك
@@mohagurey2214
Yupo kwenye Hizbu ya kiSururi (Suruuriyyah).
Fuatilia muhadhara wa Sheikh Muqbil uitwao
السرورية هي الفتنة فاعرفوها
Sheikh Sulayman Ruhayli, Abdul Aziz Rayyis n.k wamewabainisha vizuri sana hawa maSururi.
Dhahiri yao maSururi hujidhihirisha kama ni Masalafi lkn uhalisia wao ni majanga ya wanaharakati waharibifu. Hao ndio Mahizbu wa kiSururi, na adui yao mkubwa kwao ni Masalafi na wanachuoni wao والله المستعان.
Msiwatukane maswahaba, watamtukana Allah kwa uaduith-cam.com/video/0GMKpXADZes/w-d-xo.htmlsi=8aGYhOAAFTP2Y7tV
Subhaanah-Allaah kumbe wenzetu MASALAFI watu WA peponi...n hamsemiiiii....😊😊😊 Kama kuna Pepo MUISLAM MWENZIO ankufa unafurahiiii hiii KWELI Pepo ya BACHU ,MAFUTA NA DELELE
Chuki na hasad imekuenea Mungu akusamehe
Huyushekh amekosa hekma na busara na kuwahifadh mashekh wenziwe shekh iyo sionjia ya mafundisho ukitaka kuwaelimisha tumia nijia ya private nasio kujionyesha kwenye mitandao unawazalilisha mashekh naiyosio sunna na faraz ,chungasan iposk utaulizwa usiyoyajua, inakibr kwenye elimuyako mashekh wote wa tanzania na nnje ya tanzania wanakuonaww2 umaarufu hautafutwi ivo usiwemjinga,ukiamua kuaelimisha watafite kwanjia ya private uwspe elimu nasio kuwakashif pumbavuzako .
Bachu ili ujue ujinga wako ni kwamba.Maneno matamu uliyo zungumza kayasema Sheikh wa Kisufi halafu una mtukana
Msimamo wake ni kuchukua zuri kwa yoyote
Masha Allah