Maasha allah shekh bachu Allah akulipe kutokana na kusudio lako. ILA SHEKH KOSA MOJA NA WWE UMEKOSEA. Unge muuliza shekh anakusudia malaika wapi hao anao waagiza kabla huja hukumu. ikiwa ni malaika hao viumbe vitukufu bas mhukumu kuingilia mamlaka ya Allah na ikiwa si hao bas ni maneno yasio na msingi ni ya kucheka tu na kutupa kando kama walivyo cheka mashekh hapo.
Shukran Muhammad kwa elimu mm nakuelewa vizuri sana Allah akulinde na kila shari pamoja na mashekh wengine anapo Kosea mtu muweke sawa haijalishi yy nani hii ni dini
Wallah hatotokea sheikh mwengine kw kipind hichi ambae ataweza kuongea ukwel km unavyoongea ww juu ya ukwel ktk dini haijalishi ni serekal au ni mufti, na hao w2 wa twarika sio km hawayaon haya ila wamekaa kimya na hawataongea llte hata km wanayakini kua muongeaj amekosea na anaxhoongea ni shirki yaan hii dini imekua mtihan wallah mtu anaujua ukwel ila anaufich eti tu kua aloongea ni miongon mwa w2 wa manhaji yao yaan allah atawalipa ambacho wanastahiki InshaAllah...
Sheikh Muhammad nassor bachu wallahi wa billahi mimi nakupenda kwa jili ya Allah. Masha Allah from Moçambique 🇲🇿🇲🇿 Allah ukupe umri mrefu wenye baraka na manufa sheikh Muhammad nassor bachu uhibuka fi Allahi.
Alhamdulillah Ujumbe Umefika . Allah akuhifadhi wewe na sisi biidhinillah. Hawa masheikh ni mitihana sana wallahi lakini Hakki itasimama biidhnillah. Shukran al akh sheikh Muhammad.
Sheikh muhammad bachu ALLAH azidi kukupa elimu yanye manufaa kubwa zaidi ALLAH akueushe na husda na kijicho na ALLAH akupe dunia na akhera na akuepushe na moto 👏
Allah akuhifadhi shk mohamad bachu kutubainishia haq Bila ya kupepesa jicho hiyo ni hatari sana Allah akuhifadhi watu na baadhi ya mashekh wanafanya Istihidhai ktk dini ya Allah Allah awaongoze na sisi pia
@@MbongoinToronto hahahahaha Mimi so yatima au useme kilema ndo unipe pesa zako alhamdulillah nguvu alizo nipa Allah na akili vinanitosha hela zako kula mwenyewe.
@@OmaryHunte-o5c Hii dini ni ya Allah sio kitu cha kuchezea ndugu na Kama wewe hauoni tatizo hawa masheikh wanapokosea basi jitafakari na wewe akhii. Usilete ushabiki wako wa kutetea batil
@@MbongoinToronto dini Haina kitu kinaitwa ushabiki ushabiki upo kwenye mipira michezo mwingine ya kidunia .usichanganye mipira na michezo mwingine ya kidunia na dini
Allah Akuhifadhi Sheikh Muhammad Bachu. Nilishawahi kusema huko nyuma, chunguzeni sana vikao vya wazee wetu hawa Masheikh wa DSM, kwenye kila kikao huwa kuna mashindano ya kuwa ni nani atakayetoa jambo jipya imma la kuwachekesha watu au la kuwashangaza watu almuradi aonekane yeye ndio mtu wa hikma nyingi alafu watu wanafurahi na hata mara nyingine kumtuza kwa pesa- chunguzeni sana hili jambo. Huku kutaka kuonekana kwa style hii ndiko kunakopelekea matamshi ya ajabu kwenye mijumuiko ya dini. Allah Atuongoze sisi pamoja na wazee wetu, maana ndio washakuwa wazee wetu tena!
Sheikh Mohammed bacho nakupenda sana kwa ajili ya allaah namuomba allaah akuhifadhi azid kukupa umri urefu wenye manufaa na akulinde kutka na mahasidi na vijicho AMIIIN 🙏 🙏🙏🙏🙏🙏
Achukie mwenye kuchukia lakini darsa ya sheikh muhammad bachu ni ilimu tupu ..acha ushabiki kando... muhammad bachu anatusomesha mambo mingi kupitia rudud ..Allah akulipe mema kwa juhudi hizi
M/MUNGU Akufanyie wepesi bachu na huo ndio uislam unavyotaka ttuwe wa kweli na tukumbushane kwaiyo sio vibaya kuwakumbusha haijalishi umri Hauna kosa na kosa sio lako
Asalaam aleykum warahmatullah wabarakatuh Sheikh Mohammad bachu samahani sana tunaomba usifunge download kwa sababu sisi wengine tunasoma kupitia hizi darsa zako jazakallah kheyr
Halafu kunamjinga mmoja anakuja anamlaumu Muhammad bachu kwa ruddud kilasiku raddi tu raddi tu ujinga ndo kama huu vipi mwenye elimu anyamaze wallah Muhammad bachu Allah atakulipa mema yako kwahili na jengine insha Allah
Anchokiongea shekhe wetu apa, hauhitaji akili kubwa sana kumuelewa, yaani amenyoosha maelezo kabisa ila wale wenzetu njaa inawasumbua na uoga wa kuambiana ukweli😢😢
Sheikh umenyooka huna baya mwenyezi mungu akulinde na akupe mwisho mwema njaa zinasababisha watu wamuone rais kama mungu naye rais badala ya kuwaonya anafrahi TU mtihani huo
Lawama hatutomuelekezea rais kwa kiwango kikubwa. Man twajua hana kiwango cha kutengemewa kwa kiasi kikubwa ktk Taaaluma ya Dini. Yawezekana akawa hajui asa! Ila masheikh ndo tuwaelekee ktk hili. Hongera akhiy ❤.
Halafu Hawahawa ndio wakikosolewa hata kwa mambo yasiyo na ikhtilafi, hawatakagi kukubali kuwa wamekosea hata siku Moja. #Inasikitisha Sana Kuona Wanaoupaka Sifa Mbaya Uislamu ndiyo Waislamu Wenyewe. Bakwata Badilikeni.
Jmn mengine tuwen makin tusijaongee tu wallah imekua too much tena w2 tumekua hatuong llte ila kw mungu ni kuzito, wallah angalien me naamin ostdh haji upepo,ostdh mziwanda, mufti, ostdh diwan, osdtdh said wa kenya, kina masheikh shahran, ostdh msellem bin ali sheikh farid na masalafii majadida wote hili hamulion au mwahis sio kosa kias ambacho kwenu halina umuhim musisahau kua na nyny yote mutaulizw na mutahukumiwa pia wallah kweny ukwel shikamaneni muutete ukwel na muondoe batwili, hlf endeleen na raddi kw lengo la kufundisha ila sio kubomoa na kuharibiana ktk dini fahamun ipo sk mutaulizw na mutahukumiw dunian tunapita tu...🙏😢😭
Viras kama hawa ndio hupandikizwa kwenye vichwa vya watu, sasa nilini wataelewa Dini safi na Dini ambayo ni Muzayyaf? Mashekhe wakubwa ujinga wao kwenye mambo muhimu ya ki iimaan ndio kama huu ,hao wachini unadhani watakuaje? Wallaahi namuombea Dua sana Shekhe wangu Shekh Nassor Abdalla Bachu, Allaah amsamehe makosa yake, na amtengenezee kizazi alicho kiacha, na amuingize Janna ya Firdaus........... Kwani yeye ndio sbb yamimi kuacha upumbavu, ujinga, uzuka, na uzushi wa kisufi. Alhamdu lillaah kwa kunitoa kwenye wazushi na kuniweka kwenye mwangaza wa Elimu sahihi na Sunnah.
@mohagurey2214 mikhurafii tu hawa mashekh njaa tupu.anatoa amri kwa malaika kama.nani yeye hata kama wanataka poshooo wapime maneno yao,kisha uje umskie mtu kama.mziwanda au haji manara akiwasifia tumelelewana na hawa wazeee brother nisiwe mnafiki nawachukuia watu wanaovuka mipaka ya Allah.
hilo jongooo lisha zoe kukufuru sio mara yakwanza tena kukiwa na mikusanyiko ya viongozi wa kubwa. hao ni walinganiaj wanao walingania watu kuelekea katika milango ya moto nawatao wafuata wataingia nao. Allah atuifadhi.
Wale mabwana wanajulikana kama wasaka tonge wote wale waongo wale md wa kupiga pesa sass hv utasikia dua utakuja kusikia Halal badri isomwe mwisho watakwanga hadharani
Na wallah watatokea w2 watatetea hichi k2 kisa kimeongelea na masheikh zao wkt hii ni shirki ya wazi jmn hii dini sio katiba tufahamu ipo sk tutahukumiwa tusiangalie kula ya sk chaxhe tu, binaadam hamuna k2 leo yupo hai kesho marehemu
Mzee unafkiri mama hajasoma, WW mzee unaona Dili bahasha inafwata, umri Huo, Na Hio group inacheka bila waswas, upungufu wa elimu bachu somesha shamba geng
Laa hawla walaa quwwata illaa billaah!!! Mara nyingi husema, masufi ndio waharibifu wa Dini hii, wengine huona haiwezekani, kuna mawalii, mashekhe wakubwaaaaa😂😂😂😂😂 Ukiwa sufi lazima uwe mwepesi kwenye Dini yako, au uwe mnafiki, mpumbavu, chizi.............. Hapo ndio utaungwa mkono na masufi wenzio. Na haiwezekani uwe sufi, khalafu hapohapo uwe mtetezi wa haqqi, abadan. Khalafu masufi hawana khofu ya Allaah hata kidogo, yani jambo kubwa kama hili eti wanacheka na kukwekweteka mbavu, wasanii wakubwa hawa. Khalafu musitarajie vile vinafiki vidogovidogo kina upepo vitasema lolote, labda kutetea, hilo wanaweza, na diwani wao😢😢😢! Masufi kubwa ni kuhakikisha tonge inakwenda kinywani, hapo hawana Dini, hawana aibu, hawana utu, wakati tonge inakwenda kinywani, chochote watakifanya, na watakitetea, ndiomana nasema; Zama hizi kuna Mashekhe ni muhimu sana kuwepo hai, ndio kama huyu Shekh Muhammad Bachu, Allaah amhifadhi, na amlinde na kila shari, na amzidishie maarifa na ujasiri wa kuyafikisha maarifa hayo sehemu husika.
TATIZO LA HAWAWATU WAKISHAPEWA VIELAKIDOTU WANASAHAU HATA MIPAKA YA ALLAH, HUYOMTUMWENYEWE MNAE MUOMBEA NI DHAALIM KUPITILIZA NA HIO SEREKARIYAKEPIA PIA ALLAH HAYUPO RADHI NAYO,LEO MALAIKA WAMUOMBEE MMH KWAKIP, EHU NYIEMASHEKHE IZONJAAZENU ZISEMEENI.MUOGOPENI ALLAH
Hawa wanao Hara nimfano wao maana watu wanazungumzia ryknul iiman mwengine anasema sijui kasm mafuta, oh ufahamua wajo mmbivu Masufi wote akili zao zina fanana kama walivyo sema wanazuoni
Upuuzi au wapi hapo na anayetoa maagizo kwa malaika au anaye kosoa juu ya aliyekosea ili watu wengine wajue kuwa kitendo cha mwanadamu kukusudia kutoa maagizo kwa malaika sio jambo sahihi yaani ni makosa makubwa .
Uko vizur, Ila utakua vizur zaidi pale utakapo muogopa ALLAH zaidi kuliko usalama wa taifa katika daawa zako, Usiwaogope hao hawawezi kukufanya lolote ila ALLAH aridhie. Nakama utabaki kuwaogopa basi daawa yako haitokua ya Moja kwa Moja kwakua kunamambo hautoyabainisha kwa umma kisa kuwaogopa usalama wa taifa, (Daawa ni chungu sana Nakwakua ww umeamua kua mtu wa daawa basi usimuogope mtuu,) Fikisha kama ilivyo pokewa. ,{kimsingi upo vizuri sana na ALLAH AKUHIFADHI}
@SheheMachili Huoni kama ni busara na muft + walid nao wametumia busara kutomkosoa mzee jongo hapo hapo, Nani katika sisi ajuae kua baada ya hapo walimkosoa au laa, Pengine nao walitumia hekima kwa mzee jongo , Je nawao wasilaumiwee? Jamaa uislamu ni Quran na Sunnah nje na hapo hio sio dini. Ninachomaanisha hapo mm nikwamba hata daawa ifikishwe kama ilivyo kuja bila kujali cheo wala wadhifa wa mtu, Mtume s.w andetizama wadhifa kwa wale mabwana wakubwa wa makka basi hii dini isingesimama, Aliki alifikisha kama alivyopokea ndio maana akapigwa vikali na usalama wa taifa wa kipindi Kila ila hakusita kuifikisha daawa. Usitie hekima katika kulinda MAOVU.
Busara kwenye kusema kweli ni kusema lililo la haki Mfano. Mwanamke haifai kuwa kiongozi hekma ni kusema haifai mwanamke kuwa kiongozi . Na hapo Allah hawezi kumrizia huyu Maana amekanusha .
@abuuaidh6500 Sure, Sema sasa masheikh hawawezi kusema hivyo kwakua wanawaogopa usalama wa taifa, Nawatu wasio julikana, Badala yake wanaanza kumsifia nakusema kua apewe MITANO mingine. Khatar tupu kwa masheikh wetu
Hili jambo alilolisema hapa ni jambo kubwa mno wale wanaoogopa usalama wa taifa hawawez kuinua midomo hapa mana kukosoa hapo ni kama umemkosoa raisi kwani hao wote hapo ni watu wake na hapo walipo wanatetea posho zao
Maasha allah shekh bachu Allah akulipe kutokana na kusudio lako.
ILA SHEKH KOSA MOJA NA WWE UMEKOSEA.
Unge muuliza shekh anakusudia malaika wapi hao anao waagiza kabla huja hukumu.
ikiwa ni malaika hao viumbe vitukufu bas mhukumu kuingilia mamlaka ya Allah na ikiwa si hao bas ni maneno yasio na msingi ni ya kucheka tu na kutupa kando kama walivyo cheka mashekh hapo.
Nipo GOMA DRC nakufata sana sheikh mashallah Tabarakalla
Shukran Muhammad kwa elimu mm nakuelewa vizuri sana Allah akulinde na kila shari pamoja na mashekh wengine anapo Kosea mtu muweke sawa haijalishi yy nani hii ni dini
Wallah hatotokea sheikh mwengine kw kipind hichi ambae ataweza kuongea ukwel km unavyoongea ww juu ya ukwel ktk dini haijalishi ni serekal au ni mufti, na hao w2 wa twarika sio km hawayaon haya ila wamekaa kimya na hawataongea llte hata km wanayakini kua muongeaj amekosea na anaxhoongea ni shirki yaan hii dini imekua mtihan wallah mtu anaujua ukwel ila anaufich eti tu kua aloongea ni miongon mwa w2 wa manhaji yao yaan allah atawalipa ambacho wanastahiki InshaAllah...
SIO KILA MZEE ANAUFAHAMU WA DINI
alaika wote Yafughaluuna ma yughmaluuna na Allah
Usiseme hivyo anaeleta ni Allah unaapa vp hatotokea kwani umepata ujumbe kwamba Allah hatoleta mwengine?
Sheikh Muhammad nassor bachu wallahi wa billahi mimi nakupenda kwa jili ya Allah. Masha Allah from Moçambique 🇲🇿🇲🇿 Allah ukupe umri mrefu wenye baraka na manufa sheikh Muhammad nassor bachu uhibuka fi Allahi.
Uko umkowa gani
MaashaAllah wewe ndiye sheikh msema kweli katika zama zetu Allah akupe umri mrefu wenye kheri na wewe Amin.
@@OmarAli-pd5xw
Ameen JazakaAllaahu'khayran Sheikh
Alhamdulillah Ujumbe Umefika .
Allah akuhifadhi wewe na sisi biidhinillah.
Hawa masheikh ni mitihana sana wallahi lakini Hakki itasimama biidhnillah.
Shukran al akh sheikh Muhammad.
@@salimmohamed4919
Ameen JazakaAllaahu'khayran Sheikh
UJUMBE umefika Sheikh wangu WAMESIKIA WENYE KUNUNA WANUNE ILA Allah kasikia pia.Hauna dhima Tena kwahilo. Jazaqahau khaira ..Allah akuhifadhi.
Sheikh Muhammad Bachu Namuomba Allah Akupe Umri Mrefu Wenye Manufaa Mawe Pia Azidi Kukutumia Katika Dini
Sheikh muhammad bachu ALLAH azidi kukupa elimu yanye manufaa kubwa zaidi ALLAH akueushe na husda na kijicho na ALLAH akupe dunia na akhera na akuepushe na moto 👏
Ameen JazakaAllaahu'khayran Sheikh
Amin
Subhaanallaah wallahi hawawatu wanashida sana asee yani kilasiku vituko ,wakisemwa wakiwekwasawa wanaleta kibri wanahisi wanajua sanaaaa
ALLAH awateuwe wengui mfano wako. Malipo ya sio na kifani yawe Ju yako sheikh.
Allah akuhifadhi shk mohamad bachu kutubainishia haq
Bila ya kupepesa jicho hiyo ni hatari sana
Allah akuhifadhi watu na baadhi ya mashekh wanafanya Istihidhai ktk dini ya Allah
Allah awaongoze na sisi pia
@@AbuuAhmed-d4n
Ameen JazakaAllaahu'khayran Sheikh
Shukraan sheikh Muhammad hakika ww ni nguzo tegemez sana
@@muhamadkhalid4976
JazakaAllaahu'khayran
Maashallah Jazaakallahu khaira sheikh Muhammad Bachu,,,,
Nan huyo ?
Ameen JazakaAllaahu'khayran Sheikh
Sheikh Muhammad Nassor Bachu Allaah Akuhifadhi kutokana na Hasadi na Jicho Baya na Chuki za watu.
Alhamdulillah.
@@KhalfanMassoud
Alhamdulillah
Sheikh Bachu Allah akuhifadhi wewe pamoja na sisi Allahumma aamin, Tunapata fawaida kubwa saaana, Alhamdulillah.
@@husseynomar9523
Ameen JazakaAllaahu'khayran Sheikh
Maa shaa Allah sheikh wetu Allah akuhifadhi nasi kwa pamoja in shaa Allah.
@@abdullahimohamudosman3695
Ameen JazakaAllaahu'khayran Sheikh
Chawa wa ccm hao, njaa zinawafanya wamkufuru Allah ili kumfurahisha binadamu. Allah akuweke na akusimamie kwenye kuisimamisha dini yake sheikh Bachu
Kabisa
ACHA ujinga hakuna shekhe maskini mwenye njaa wewe ndo una njaa kwani mashekhe walikuomba hela au chakula chako
@@MbongoinToronto hahahahaha Mimi so yatima au useme kilema ndo unipe pesa zako alhamdulillah nguvu alizo nipa Allah na akili vinanitosha hela zako kula mwenyewe.
@@OmaryHunte-o5c Hii dini ni ya Allah sio kitu cha kuchezea ndugu na Kama wewe hauoni tatizo hawa masheikh wanapokosea basi jitafakari na wewe akhii. Usilete ushabiki wako wa kutetea batil
@@MbongoinToronto dini Haina kitu kinaitwa ushabiki ushabiki upo kwenye mipira michezo mwingine ya kidunia .usichanganye mipira na michezo mwingine ya kidunia na dini
Maashallah sheikh nimekuelewa vizuri sana Alhamdulillah
Alhamdulillah
MASHAALLAH SHEIKH BACHU.. ALLAH AKUPE NGUVU NA AKUSIMAMIE
Aamin
@@mohammedi8850
Ameen JazakaAllaahu'khayran
Alhamdulillah. Shikh ujumbe ushafikisha. Jukum lak ushaliondoa kwa Allah kukosoa watu wakikosea
Allah Akuhifadhi Sheikh Muhammad Bachu. Nilishawahi kusema huko nyuma, chunguzeni sana vikao vya wazee wetu hawa Masheikh wa DSM, kwenye kila kikao huwa kuna mashindano ya kuwa ni nani atakayetoa jambo jipya imma la kuwachekesha watu au la kuwashangaza watu almuradi aonekane yeye ndio mtu wa hikma nyingi alafu watu wanafurahi na hata mara nyingine kumtuza kwa pesa- chunguzeni sana hili jambo. Huku kutaka kuonekana kwa style hii ndiko kunakopelekea matamshi ya ajabu kwenye mijumuiko ya dini. Allah Atuongoze sisi pamoja na wazee wetu, maana ndio washakuwa wazee wetu tena!
Innalillahi wainna ilayhi raajiuun anatoa Amri kwa Malaika yeye kiumbe dhaifu "kuishi kwingi kuona mengi"
Sheikh Mohammed bacho nakupenda sana kwa ajili ya allaah namuomba allaah akuhifadhi azid kukupa umri urefu wenye manufaa na akulinde kutka na mahasidi na vijicho AMIIIN 🙏 🙏🙏🙏🙏🙏
Kweli wazee wetu sasa wanapoelekea daaaaaah!!!!! Bachu Allah Akulipe
@@MagariUsed
Ameen JazakaAllaahu'khayran
Maashallah umepiga mshono wa masufi shekh...
sio masufi hii ni kufru kotekote haijalishi bali wale mashekhe wapo wanaangalia matumbo yao
Achukie mwenye kuchukia lakini darsa ya sheikh muhammad bachu ni ilimu tupu ..acha ushabiki kando... muhammad bachu anatusomesha mambo mingi kupitia rudud ..Allah akulipe mema kwa juhudi hizi
M/MUNGU Akufanyie wepesi bachu na huo ndio uislam unavyotaka ttuwe wa kweli na tukumbushane kwaiyo sio vibaya kuwakumbusha haijalishi umri
Hauna kosa na kosa sio lako
Allah akulipe sheikh Muhammad na akupe mwisho uliokua mwema
Ameen JazakaAllaahu'khayran Sheikh
AMEEN
Mashallah sheikh alla akuoe afya njema,,,,,napenda vile ukirekebisha makosa unatumia vitabu tu na wala sio akili yako
❤❤❤ sheikh wng muhammad bachu Allah azidi kukuhifadhi Ahsante kwa faida ❤❤❤
Allah akuhfadh sheikh Muhammad bachu
Amin
Allah akuhifadhi kila aina ya shari
@@abdallahmudi9263
Ameen JazakaAllaahu'khayran Sheikh
MAASHAA ALLAH tabarakalla sheikh, shukran ,,,,,
Allah akuhifadhi sheikh Muhammad
@@RanadhanHamad
Ameen JazakaAllaahu'khayran
Nashangaa sana kitu kimoja mbona hakuna. Shekhe ata mmoja katika hao unawaowazungumzia anayeyajadili maisha yako . na imani yako
wewe nawe kwenda zako fala wewe huna unalo juwa
@Hemedi-m9m ورد الله الذين كفروا بغيظهم لم ينالوا خيرا وكفى الله المؤمنين القتال وكان الله قويا عزيزا
وفقكم الله شيخنا إلى مايحبه ويرضاه اللهم أمين
Allaah akubaariki
Asalaam aleykum warahmatullah wabarakatuh Sheikh Mohammad bachu samahani sana tunaomba usifunge download kwa sababu sisi wengine tunasoma kupitia hizi darsa zako jazakallah kheyr
Tunaweza sasa kudownload AKHY,mambo yamerudi KAMA kawa
@mirajimsigiti7317 shukran sana
Alhamdulillah
Halafu kunamjinga mmoja anakuja anamlaumu Muhammad bachu kwa ruddud kilasiku raddi tu raddi tu ujinga ndo kama huu vipi mwenye elimu anyamaze wallah Muhammad bachu Allah atakulipa mema yako kwahili na jengine insha Allah
Ameen JazakaAllaahu'khayran
Simba wa Afrika Mashariki na kati (Sh Muhammad Nassor Bachu)
Allaah akubaarik
Aaamiin
Watu wa twarika wamepotea Allah awaongoze...
MASHAALLAH ILA HII MADA ANGEZUNGUMZA SHEKH ABDU ROGO AU ABUU ISMAIL PANGECHIMBIKA KWA HAO MUNAFIKINA
Jazajakallahu khair Sheikh.
Allah akuhifadh
❤❤❤❤sheikh wangu muhammad Bachu ❤
Hawa masheikh wa bakwata ni shida
جزاك الله خيرا و أحسن الله إليك.
Anchokiongea shekhe wetu apa, hauhitaji akili kubwa sana kumuelewa, yaani amenyoosha maelezo kabisa ila wale wenzetu njaa inawasumbua na uoga wa kuambiana ukweli😢😢
Ahsante kwenye upande wa kuombewa dua na malaika umetupa faida kubwa Allah akulipe kheri
Jazaakallah khayra
Yaani dah tunaelekea wapi ss jmn ,subhanallah yaani mtu anathubutu kuongea hivo
Sheikh umenyooka huna baya mwenyezi mungu akulinde na akupe mwisho mwema njaa zinasababisha watu wamuone rais kama mungu naye rais badala ya kuwaonya anafrahi TU mtihani huo
Lawama hatutomuelekezea rais kwa kiwango kikubwa. Man twajua hana kiwango cha kutengemewa kwa kiasi kikubwa ktk Taaaluma ya Dini. Yawezekana akawa hajui asa!
Ila masheikh ndo tuwaelekee ktk hili.
Hongera akhiy ❤.
UCHAWA HADI WANAVUKA MIPAKA YA ALLAH, ALAFU MASHEIKH MBACHEEEEEEKA
Halafu Hawahawa ndio wakikosolewa hata kwa mambo yasiyo na ikhtilafi, hawatakagi kukubali kuwa wamekosea hata siku Moja.
#Inasikitisha Sana Kuona Wanaoupaka Sifa Mbaya Uislamu ndiyo Waislamu Wenyewe.
Bakwata Badilikeni.
Waalaykum salam warahmatullah
wabarakatuh
Muhamadi bacho Allah akuifazi
Tumuombe allah amchukue huyu mzee
Ili aende akaone ni nani mwenye mamlaka ya kiwaagiza malaika wa allah
Hapana huyu ni wakumuombea tu Allah amuongoze sazingine huwa nikujisahau tu
Alhamdulilah
Allah atuongoze kwahuruma wake
Jmn mengine tuwen makin tusijaongee tu wallah imekua too much tena w2 tumekua hatuong llte ila kw mungu ni kuzito, wallah angalien me naamin ostdh haji upepo,ostdh mziwanda, mufti, ostdh diwan, osdtdh said wa kenya, kina masheikh shahran, ostdh msellem bin ali sheikh farid na masalafii majadida wote hili hamulion au mwahis sio kosa kias ambacho kwenu halina umuhim musisahau kua na nyny yote mutaulizw na mutahukumiwa pia wallah kweny ukwel shikamaneni muutete ukwel na muondoe batwili, hlf endeleen na raddi kw lengo la kufundisha ila sio kubomoa na kuharibiana ktk dini fahamun ipo sk mutaulizw na mutahukumiw dunian tunapita tu...🙏😢😭
Tukinyamaza mjinga atajuaje kusema hivyo ni kosa
Masha Allah
Tulisha ambiwa katika kitabu namungu ...hao wanataka duniaa
Shekh bachu mm ukiwa unasafisha mazingira usiwe una tabasam uwe mkal kwel kweli kama marehm bachu
Shukrani sheikh
kulikalia kimya jambo la makosa pia ji makosa,,,,ila mtu akirekebisha huonekana ndio mkosa zaidi
Sw lakini asitumie njiahii ya uzalilishaji shekh lzm atumie hekma anawazalilisha wadini,akiamua kuelimisha awatafute kwanjia ya priva nasio kujionyesha kwenye mtanda hakuna mtume wala swahalo alowahi kuwaelimishawatu kwanjiahii, huyu amekosa hekma na busara, wapo wamesoma kulikoyeye lkn hawana ujingakamahuu. tumia hekma katika kuelimisha shekh,maanaww huelimishi wewe unawakosoa.
Mashaallah
Viras kama hawa ndio hupandikizwa kwenye vichwa vya watu, sasa nilini wataelewa Dini safi na Dini ambayo ni Muzayyaf?
Mashekhe wakubwa ujinga wao kwenye mambo muhimu ya ki iimaan ndio kama huu ,hao wachini unadhani watakuaje?
Wallaahi namuombea Dua sana Shekhe wangu Shekh Nassor Abdalla Bachu, Allaah amsamehe makosa yake, na amtengenezee kizazi alicho kiacha, na amuingize Janna ya Firdaus...........
Kwani yeye ndio sbb yamimi kuacha upumbavu, ujinga, uzuka, na uzushi wa kisufi.
Alhamdu lillaah kwa kunitoa kwenye wazushi na kuniweka kwenye mwangaza wa Elimu sahihi na Sunnah.
Mashallah
Shekhe wakumbushe mashekhe wa dunia na ss wanafunzi tusomeshe
أسأل الله أن يرفع درجتك
Allahumma aamiin
yaani kaziyenu kukashifianatu ibada zinawashinda ujingatu mlokuwanao upuuzimtupu
Njaa mbaya shekh wangu hawa watu wanaagalia matumbo yao,kisha mkirekebishwa mwasema mawahabi hawana adabu kwa mashekh wakubwa. Mnajichekea chekea.mtadhalilika mpaka kuingia kaburini kwenu makhurafi mijisufuuu.
Ila lazima tufaahamu
Msikosoe mashehe wetu
@mohagurey2214 hapo amesema maneno ya sawa
@@Captainome kabisa
@mohagurey2214 mikhurafii tu hawa mashekh njaa tupu.anatoa amri kwa malaika kama.nani yeye hata kama wanataka poshooo wapime maneno yao,kisha uje umskie mtu kama.mziwanda au haji manara akiwasifia tumelelewana na hawa wazeee brother nisiwe mnafiki nawachukuia watu wanaovuka mipaka ya Allah.
Bachu ni mwanachuoni aliezama kwenye elimu sijawahi kumuona kuongea isipokuwa kwa kitabu
Swadaqta
Alhamdulillah
Hapo pembeni kushoto yopo ,aliye ona tatizo- anatikisa kichwa namna ya kukataa.
hilo jongooo lisha zoe kukufuru sio mara yakwanza tena kukiwa na mikusanyiko ya viongozi wa kubwa. hao ni walinganiaj wanao walingania watu kuelekea katika milango ya moto nawatao wafuata wataingia nao. Allah atuifadhi.
Allah akbar
Wale mabwana wanajulikana kama wasaka tonge wote wale waongo wale md wa kupiga pesa sass hv utasikia dua utakuja kusikia Halal badri isomwe mwisho watakwanga hadharani
Na wallah watatokea w2 watatetea hichi k2 kisa kimeongelea na masheikh zao wkt hii ni shirki ya wazi jmn hii dini sio katiba tufahamu ipo sk tutahukumiwa tusiangalie kula ya sk chaxhe tu, binaadam hamuna k2 leo yupo hai kesho marehemu
Issue yeye ni nani mpk aamrurishe malaika yaan kusomeshwa nje ya nchi na nyerere ndo iwe sabab kuwaamrisha malaika
Misufi ni watu wa kejeli na dhihaka kwa dini ya Allah.
Mzee unafkiri mama hajasoma, WW mzee unaona Dili bahasha inafwata, umri Huo, Na Hio group inacheka bila waswas, upungufu wa elimu bachu somesha shamba geng
Kubali hakki hata ikija kwa adui wako
Shukran ❤
Laa hawla walaa quwwata illaa billaah!!!
Mara nyingi husema, masufi ndio waharibifu wa Dini hii, wengine huona haiwezekani, kuna mawalii, mashekhe wakubwaaaaa😂😂😂😂😂
Ukiwa sufi lazima uwe mwepesi kwenye Dini yako, au uwe mnafiki, mpumbavu, chizi..............
Hapo ndio utaungwa mkono na masufi wenzio.
Na haiwezekani uwe sufi, khalafu hapohapo uwe mtetezi wa haqqi, abadan.
Khalafu masufi hawana khofu ya Allaah hata kidogo, yani jambo kubwa kama hili eti wanacheka na kukwekweteka mbavu, wasanii wakubwa hawa.
Khalafu musitarajie vile vinafiki vidogovidogo kina upepo vitasema lolote, labda kutetea, hilo wanaweza, na diwani wao😢😢😢!
Masufi kubwa ni kuhakikisha tonge inakwenda kinywani, hapo hawana Dini, hawana aibu, hawana utu, wakati tonge inakwenda kinywani, chochote watakifanya, na watakitetea, ndiomana nasema;
Zama hizi kuna Mashekhe ni muhimu sana kuwepo hai, ndio kama huyu Shekh Muhammad Bachu, Allaah amhifadhi, na amlinde na kila shari, na amzidishie maarifa na ujasiri wa kuyafikisha maarifa hayo sehemu husika.
Mm nilivyoiona tu juzi nilijua jongo kaaribu mambo na hapo mustawa wng ni ibdaiya😂😂😂
TATIZO LA HAWAWATU WAKISHAPEWA VIELAKIDOTU WANASAHAU HATA MIPAKA YA ALLAH, HUYOMTUMWENYEWE MNAE MUOMBEA NI DHAALIM KUPITILIZA NA HIO SEREKARIYAKEPIA PIA ALLAH HAYUPO RADHI NAYO,LEO MALAIKA WAMUOMBEE MMH KWAKIP, EHU NYIEMASHEKHE IZONJAAZENU ZISEMEENI.MUOGOPENI ALLAH
Utakua unaupungufu kichani kwako ww
Nidhalim Maana anaidhulum Hadi nafsi yake . N a hao Masheikh njaa wanazidi kumpalilia dhulma.
Usufi ni ujinga , utaahila na unafiki ktk dini fatilieni mtajua tu
Una amrisha mema na kukataza mabaya, kumbuka maagizo ya Luquman kwa mwanawe
Hawa wanao Hara nimfano wao maana watu wanazungumzia ryknul iiman mwengine anasema sijui kasm mafuta, oh ufahamua wajo mmbivu
Masufi wote akili zao zina fanana kama walivyo sema wanazuoni
Kitaeleweka
Huo....ni upuzi shekhe wangu
Upuuzi au wapi hapo na anayetoa maagizo kwa malaika au anaye kosoa juu ya aliyekosea ili watu wengine wajue kuwa kitendo cha mwanadamu kukusudia kutoa maagizo kwa malaika sio jambo sahihi yaani ni makosa makubwa .
Misufi ni mapunda wa mashia( imam shafiii)
Al khamdulilah kuwa ninashika manhaji salafi kweli masufi hawana akili
Hawa mashekh hamna kitu alipo mama si uwislamu ni democracy maskini duwa hiyo hata juu ya vichwa vyao havifiki.
😂
Mashufi niwenda wazimu kama alivyo sema imam maalik masufi hawana akili
Hapo hakuna majahazi Wala mitumbwi😂
Ni imam Shafy
Uko vizur,
Ila utakua vizur zaidi pale utakapo muogopa ALLAH zaidi kuliko usalama wa taifa katika daawa zako,
Usiwaogope hao hawawezi kukufanya lolote ila ALLAH aridhie.
Nakama utabaki kuwaogopa basi daawa yako haitokua ya Moja kwa Moja kwakua kunamambo hautoyabainisha kwa umma kisa kuwaogopa usalama wa taifa,
(Daawa ni chungu sana
Nakwakua ww umeamua kua mtu wa daawa basi usimuogope mtuu,)
Fikisha kama ilivyo pokewa.
,{kimsingi upo vizuri sana na ALLAH AKUHIFADHI}
Busara inaitajik shekh Musa anatumw Kwa firaun na Allah kamwambia lakin kamwambie Kwa hekm umpe maneno mazur
@SheheMachili
Huoni kama ni busara na muft + walid nao wametumia busara kutomkosoa mzee jongo hapo hapo,
Nani katika sisi ajuae kua baada ya hapo walimkosoa au laa,
Pengine nao walitumia hekima kwa mzee jongo ,
Je nawao wasilaumiwee?
Jamaa uislamu ni Quran na Sunnah nje na hapo hio sio dini.
Ninachomaanisha hapo mm nikwamba hata daawa ifikishwe kama ilivyo kuja bila kujali cheo wala wadhifa wa mtu,
Mtume s.w andetizama wadhifa kwa wale mabwana wakubwa wa makka basi hii dini isingesimama,
Aliki alifikisha kama alivyopokea ndio maana akapigwa vikali na usalama wa taifa wa kipindi Kila ila hakusita kuifikisha daawa.
Usitie hekima katika kulinda MAOVU.
Busara kwenye kusema kweli ni kusema lililo la haki Mfano. Mwanamke haifai kuwa kiongozi hekma ni kusema haifai mwanamke kuwa kiongozi . Na hapo Allah hawezi kumrizia huyu Maana amekanusha .
@abuuaidh6500
Sure,
Sema sasa masheikh hawawezi kusema hivyo kwakua wanawaogopa usalama wa taifa,
Nawatu wasio julikana,
Badala yake wanaanza kumsifia nakusema kua apewe MITANO mingine.
Khatar tupu kwa masheikh wetu
Hili jambo alilolisema hapa ni jambo kubwa mno wale wanaoogopa usalama wa taifa hawawez kuinua midomo hapa mana kukosoa hapo ni kama umemkosoa raisi kwani hao wote hapo ni watu wake na hapo walipo wanatetea posho zao
Masufi ndio wakona uwezo ya kuamrisha malaika na majini ndugu
Aseme zile b2 zimeenda wapi
Maskini hawa ni watu wa njaa na ilimu ndogo mwenyezimgu awaongoze wawe watu wa tawheed.