Mashaallah Shekhe Muhammad iddy umeongea Vzuri sanaa,Allah akubarik Sana uendelee Kutoa Elim Alla atakulipa... Nlitaka Mashekhe wote wanaokataa utofaut wa Muandamo wangekuja na Hoja Thabit za Kujibu kuhusu Mashekhe hao
Shukrani shekh uko sahihi haswa mwenye kuelewa na kaelewa asielewa basi ache afate tv sababu mwezi ni mmoja ila muandamo unatofautiana kwa masaa na mdio tunafuata muandamo wa mwezi nchi tulipo sio kufata ushabiki wa watu furani Shekh Allah akuhifadhi duniani na Akhera
Shaikh Muhammad Eid najua utapitia comment zetu. mimi nina maoni yangu kwako kwa maslahi mapana ya dini yetu..... kosa halirekebishwi kwa kosa, wale unaowaona katika mashaikh tunaowahishimu kuwa wamekosea andaeni meza moja ya sulhu haya mambo muyaoongee indoor n sio humu mitandaoni, italeta fitna kubwa. pili nakushauri tena mwalimu wangu, mkubwa hakosei,kama unakiri kuwa shaikh ni kaka yako basi yeye ni mkubwa kwako jishushe msishindane, nachelea zaidi fitna ambayo itaondosha mapenzi baina yenu. Tatu waliokujibu sio hao tu, nimesikia clip z mombasa kutoka kwa salafiy na nyingine ya qasim mafuta markaz pongwe, nae ametoa hoja nzito tu kama ukipata muda zisikilize na kama unaona kuna majibu dhidi ya hoja zake kwa maslahi ya umma basi unaweza kutoa darsa za kuzijibu ili watu wajue mbivu na mbichi. mwisho kabisa mnaweza mkaratibu mdaharo baina yenu na jopo la mashaikh wa msimamo huu na jopo la mashaikh wa msimamo ule na mufti akiwepo na ikiwezekana mwalikeni na mufti wa suudia aje aamue mtafaruku wetu ili tujenge umoja wetu na si kubomoa. Naomba kuwasilisha na Tawfiq inatoka kwa Allah.
Hawa masheikh wanatumia hii mitandao kwa maslahi binafsi, wanasubiri likes na subscribers wachukue mshiko TH-cam, wangekuwa na busara wangeitana na kumalizana wenyewe halafu wangetujuza nini sisi tufanye
It is not easy to keep somebody in the right track who willingly ignore the truth because of personal interest OR illiteracy.....IN FACTS MUHAMMAD IDDI IS LOGICALLY CORRECT FOR ANYONE WHO UNDERSTANDING LOGICAL STATEMENTS............OOOH ! ALLAH GUIDE US......... OOH ! ALLAH BLESS MUHAMMAD IDDI.......... .......JAZAKA ALLAH KHAIRA YA SHEIKH MUHAMMADI IDDI ; WAKO ONLINE STUDENTS HAMIDU MTANDIKA
Sheik mi binafsi nakupenda maana unajua kufafanua na unatumia vitabu lkn wengine hawatuoneshi wanatumia vitabu gani endelea ivo ivo waislamu tunakufahamu vizur sana
Mohamed iddy wewe ni mbishi , hauna elimu ya ikhtilafu .adabu ya ikhtilafu , unajifanya wewe jambo hilo unalijua zaidi kuliko maulamaa , kwa sababu hilo ni katika masaili mukhtalafu fihha ., usijifanye wewe ni msomi sana. Wakati ni ikhitlafu ya wanazuoni .
Hebu jifikirieni sana mufti waoma kazaliwa Zanzibar na akaja kuwa mfuti waoman hiyo nidalili yaelimuyake kubwa mimi naona allah kampakipaji kikubwa sana chakufahamu mambo allah amuhifadhi amin.
IMAMU AHMAD ALLAH AMRAHAM HAKULAUMIWA KWENDA KINYUME NA KAULI ZA IMAMU SHAFII ALLAH AMRAHAM IWAJE WEWE UWALAZIMISHE MASHEIKH WALAZIMIANE NA KAULI YA SHEIKH WAO.!! KAMA SIO KUKOSA MISINGI YA ELIMU SAHIHI..!! RUDI UKASOME BWANA
Alafu hoja nyengine Sheikh Muhammad iddi kuhusu awo wanaopinga mwezi mwandamo mm nawauliza jee, dini haikukamilika adi ilipokuja utandawazi maana hapo Zamani watu walikuwa wakihitalifiana kwasababu kulikuwa hakuna mawasiliano ya kujua kama Maka wamesimama arafa?, 2.) Hoja ya pili wao wakisema kama tufunge mwandamo wa kimataifa Sasa Ramadhani inaingia siku Moja na wakati mmoja jee, swali ikiwa unataka kufungua si unaangalia wakati ikiwa jua limepinduka yaani limezana basi kwa kurudia kuangalia wakati Sasa ikiwa adhuhuri imeingia Tanzania, 🇹🇿, Oman, Kenya, Sasa huyu marekani, ambae yupo nyuma kwa masaa 13, na Canada wapi nyuma kwa masaa 8 na china wapo mbele kwa masaa 7 jee wataswali vp adhuhuri mbna ktk swala tunahitilafiana Sasa wao wanashangaa kuhitilafiana kwenye mwandamo wa mwezi
Hoja siyo kumpinga au kumjenga MTU au kudhalilishana. Toeni hoja za kielimu zisizoonyesha kasoro za elimu ya Jiografia. Hoja za kbezana na za uchonganishi hazitusaidii sisi waumini wenu. Ilindeni Dino msilinde maslahi yenu au kutafuta umaarufu.Allah tulinde na elimu iliyofunikwa na hawaa za nafsi.
Yan ungejua nikikutana na mtu amenyoa ndevu ameweka sharubu naona kama nimekutana na mmajusi na nikumuona mtu ameacha ndevu ameondoa sharubu naona kama nimekutana na swahaba wa mtume .
Yaani we Mohammed Iddy utaendelea kuwa mjinga kabisa pamoja na wingi wa vitabu vya madhehebi ya kishaafia kutoa maelezo kuwa wazi lakini bado wazidi kubisha na kupotosha watanzania na kua mkaidi tu.
Uwesu Sinde kw upande wangu mm cjaona upotoshaj wake hapo! Just kasimamia mcmamo wake kw kujenga hoja na cio vyengnevyo! Ktk masheikh wote nliockilza hoja zao wamekubal kua haya mambo yana khilafu tangu zaman lkn jambo nililoligundua na la kushangaza ni kua upande 1 unajiona bora na upo sahihi kulko upande mwengne!
Asalaam alaykum warahmatullah wabarakatuh... Alhamdulillah nimefuatilia hii mada toka kwa masheikh zangu. Kama sote yaani makundi yote mawili wanaofuata Arafa kwa kufuata Saudia na wale ambao wanaona funga kwa kufuata tarehe za muandamo toka nchini mwao. Kama sote tunalikuabali hili na tunakiri kuwa kuna ikhitilafu za wanazuoni kwa nini basi masheikh zetu , wanazuoni wetu tunaowategemea kwa nini ninyi kwanza kwa elim mlizojaaliwa msilikubali hilo kwa vitendo? Kwa nini msiwaige wanazuoni wwliotangulia pindi walipokhitilafiana walishikamana vip ili kutokuuvunja ummah huu? Pia Sheikh Muhammed suala la kumpinga sheikh wako si dhambi mradi tu waamini kuwa hii njia ndo sahihi kwa sababu hata maimam wetu wakubwa , imam Shafii na imam Hambari walikhitilifiana , ila hawakuchafuana na kuona huyu yuko sawa ila hata nawe sheikh wangu unaposema hawa masheikh hawa niwapotoshaji mithali unakiri kuwa ni jambo lenye ikhitilafu bado nawe unakosema kwa sababu nao wanadalili wanazoziamini toka kwa wanazuoni wakubwa. Binafsi ninatamani kama masheikh wetu muwe na kauri zenye umoja kauri ambazo ktk jambo lenye ikhitilafu hazitofanya kujiona mimi ndo niko sawa na flani hayuko sawa kwani nyote ni wasomi , msirushiane maneno. Hakika mnadhima mbele ya mwenyez mungu kuhakikisha hamuugawi ummah allah atuongoze ummat Muhammad ikhitilafu hizi kama wanazuoni kama masheikh zetu msirushiane maneno kwenye vyombo vya habari kaeni shura mjadili kisha rudini kwa waumini mkiwa na jibu moja.
wallahi mm namkubali huyu sheikhi coz huku saudia hata iDD inaswaliwa sakumi na mbili na kwetu africa hua ni sambili mda haupo sawa kwahio sheikh apo sawa
@@mariamfaki1166 kuna shida kubwa sana juu ya hawa masheikh, yaan watu wanaona sifa kutofautiana na wala hawaoni haja ya kuwa wamoja. Dini moja, ardhi moja, kitabu kimoja lkn watu wanatofautiana na kulazimisha kwamba hiyo ndo sawa.
Asalan alaykum, Sasa mbona maneno yako unajikanyaga. kama tunaangalia tareh mbona Arafa ilikua tar 9 hio hio halafu idi ikaswaliwa tar 11 wakat sio sawa?? Ina maana hii din inawekewa sheria na Mufti??
Mm hoja yangu kwa shekh eid naona uislamu ni dini pana sana sasa tunatakiwa tumfuate Allah na mtume. Mashekh wanaweza kukosea na mwamedi Ayoub ni binadamu pia anaweza kukosea. Mkishindana kwajambo lolote rudini kwa Allah na Mtume.
Hehee me naunga mkono maneno yako kaka. Lakini hii dini twasomeshwa na kupata ufahamu wa dini kutoka kwa mashekhe hakuna malaika aliyetumwa kwako au mtume kukufundisha. Mashekhe wanachukua nafasi katika dini kaka
Upo sawa lkn dini yetu tukufu, mafundisho yake yapo kwa lugha ya kiarabu na watu wengi, tunamatatizo ya kuijua lugha hii ya kiarabu kwa ufasaha wake na upana wake bali tunachukua tu tafsiri za juu juu na ndo maana hua tunakua wabishi na hatunufaiki kabisa na elimu yetu tukufu
Na hatuwezi kumfuata Allaah na Mtume bila kupitia kwa Mashaykh walosoma vizuri nafasi yao ni kubwa sana ktk hii dini na tukifuata tu kama tutakavyo, ndo utaona tunavyo pingana kwakuto elewa kama sasa
Asalaam aleykum,kuna mtu aliniambia kuna ibada za wakati na mahali mfano kuhiji ni ibada ya sehemu je Arafa ni ibada ya kuangalia mwezi kama ramadhani au ibada ya sehemu?kwa anajejua plz naomba msaada.wabillah taufiq
Wanachuon wanamuheshimu sheikh swaleh al utheimin lakin, amekosea katika hilo Na zipo qauli sambaba na sheikh Alban na ibn baaz wakielezea juu ya kufunga siku ambayo mahujaji wanasimama siku ya 'arafa.
@@MohamedAli-ip4iqfungua vitabu vyote vya fiqhi utaona vinasema siku ya arafa ni mwezi tisa wa dhulhijja wala hakuna kitabu chochote Cha fiqhi kinacho sema siku ya arafa ni siku ambayo mahujaji wamesimama kwenye viwanja vya arafa
Tatizo ni kwamba weengi tunaocpment hapa hatuna elimu ya dini/sheria bali tunaubishani. Lakini huyu Sheikh yuko sahihi Wallahi kwa haya anayoyazungumza. Mimi binafsi nimemuelewa sana na namkubali sanaa.
MAASHALLAH MAASHALLAH SHEIKH WAWEKE SAWA !!!!!!!! WATAKUELEWA TU ONE DAY!!! Yaani kwa ubishi wao wanataka ulimwengu mzima wafunge pindi watu wako arafa 😇😇 Wanawaambieje wale amabao kwao inakua ni usiku pindi watu wako arafa???? Ni masuala ambayo wanabaki kutumbua macho 😬😬😬😂😂 Iko siku watarudi tu kwenye haki..
La kunyoa ndevu na kufuga sharubu mbona lenyewe liko wazi zaidi, inakuwa vipi hujalielewa? Unaweza kutunukulia fatwaa ya Ibn Uthaymin kuhusu kunyoa ndevu pia, au unahitaji fatwaa yake unapotaka kufitinisha?
Inasikitisha sana kuona leo masheikh wetu wanasimamia misingi ya kutokupingana lakini wanazidi kudidimiza na kuleta taharuki na sitofahamu kwenye dini ya allah
Sheikh Muhammed Iddi ni mwalimu 'ulamaa mzuri tuu ila ananishangaza ninapomuona anapuuza sunna ya kufuga ndevu na kuacha sharubu pekee...kuna siku moja nikaribia kugombana na rafiki yangu aliponitania kwa kuniambia "wewe unamkubali sana sheikh wako Muhamed Iddi ila nadhani hujui kuwa is a man of system kwa kivuli cha dini" yani nilikuwa mkali na tulikaribia wiki hatusemeshani kwa kumsema vibaya sheikh wangu huyu.
Miongoni mwa masheikh wa hovyo tena mwenye chuki na answar ni huyu anaona bora mashia kwasababu jalala shia wa kigogo wamesoma kwa sheikh mmoja bin Ayub rh
Allah ni mmoja dini ni moja mtume mmoja jua ni moja mwezi mmoja mwezi ulionekanwa saudia ndo mwezi huoo huoo tuliouona huku tofaut yake ni ukubwa tu..... Na siku ya kuona je kma hatujaon kwetu kutokana na mawingi inabd tusifunge
Wapo watu wa astronomy Tanzania lazma utaonekana kwa vyombo hatakue na mawingu vp, tatizo ni tarehe za muandamo wa mwez kila eneo ndio tofaut ya arafa inaanza apo.
Muhammad idi hadithi ulizo tajiwa na qauli za ulamaa bado hajaelewa tu rudia hadhi hizo na uzitafakari uzuri alivyo taja mtume saumu ya arafa hakusema saumu ya tisa angalia mudhwafu na mudwafu ilayhi angalia haqi na uifuate
Unaelumu ya fiqi lakini hunaelimu ya jiografia. Watumieni wataalam wa jiografia. Unawapotoaha waislamu na kuwafanya wafunge siku ya Idi. Mtabeba dhambi zao. Hakuna tarekhe 2 dunia nzima ni tarwkhe moja ila saa tofauti
Hivi nyinyi amuoni munatuharibia funga zetu hadi tunashindwa kufunga kwasababu ya elimu zenu? USHAURI 1.ufanyike utafiti wa kisayansi dhidi ya mwezi na maeneo yote duniani kisha litolewe jibu sahihi. Kwa sababu tukisema tuwasome na kuwafuata mashekhe kila shekh anaupande wake alioutolea fatuha, hii haitoi jibu sahihi zaidi ya maneno ya vitisho. 2.Turudi ktk Quran na hadithi wakati wa kufanya utafiti huo. 3.Tumwogope Allah tuache kuiharibu dini yake. Inshaallah.
Abilahi Haule saf sana, umetoa hoja nzuri coz wakituambia tukasome bac hili jambo halitokaa saw mpka wao masheikh waunde jopo LA wasomi wa pande zote 2 walitafutie ufumbuzi hili jambo. Lkn maswali ya kujiuliza ni!! 1) Mbna Oman hawafuat Saudia tangu zaman!? Na hujawahi kuwaskia Oman wakilumbana na saudia kuhsu hayo mambo ilihali wao ndio wana elimu kubwa za dini kulko cc Tanzanian 2) Mbona masheikh wa Makka wanaokuja Tanzania wakiulzwa kuhsu haya masuala ya khitilafu hawasemi kua Tanzania lazma mufuate saudia!?? Na badala yake hua wanasema watu wamfate mufti wao ktk eneo husika!
@@hafidhsaleh7878 Amani ya Allah na rahama zake ziwe juu yako. Hata hayo maswali yako yanaonesha kuwa utafiti wa kisayansi unaitajika ili kuliondoa hili.
Ila kwa ss Tanzania na Saudi Arabia tarehe yetu Moja kigeographia kuhusu utafauti ni kwamba hata neema mungu hajatupa sawa kunawengine watapata wengine watakosa acha kwenda nchi nyingine je tz na Saudi Arabia tumetofautiana masaa ?hata tusiwafate mahujaji?
Haki ndo hio lakin Njaa na tumbo linadai Enakuwaje umesomweshwa ukiwa Mtoto Hadi umekuwa..mtu mzima..lakin unakubali vipi na kutojiamini Kujidharau na kumfharau Mwalimu wako wa zamani... Kumkubali haya ya kugeuzwa kwa maslahi Basi pia kubali mlioyaabudu mda huyo pia hayakuwa sawa...anzeni kufanya hoja mlipe mlichokikosea siku zile..
Mimi ninachoshangaa wanaposema masaa yanpishina wanataka America kwani nyie tz mmepishana masaa mangapi na saudia?huko American na ulaya yote siku ya arafa ni moja waote wanafata saudia ni nyie huko Africa ndio wenye mashindano kila shekhe yupo juu subhanallah
Mwanzo we mwenyewe umekhalifu hadithi ya mtumeﷺ aliposema khaliful yahuda wa nasara.sasa we we umenyoa ndevu ukaacha masharubu itakuaje sasa.nani mpotoshaji
huu ni upumbavu shekh abuu idd ana tuletea ikiwa tunaambiwa intanazaatum furuduh ila lwah warasuh ww unatuambia turejee kwa shekh mohamed ayyub yeye ninani katika dini yetu alikua nimwazuon mkubwa allah atamlipa ujira wake ww badary yakutuambia tumfuat allah na mtume wake ww unasema tufuat shekh ayyub way
Zakhra, nadhan hujaelewa vzr mada coz ucpoelewa ndio utaelekea huko ulikoenda ww mana umechukua nusu neno halafu umelitolea tafri yako pasi na uhalisia wa mada ilivyokusudiwa
Juma Hussein wamjibu Sheikh kwa hoja sisi wasikilizaji tutachambua ila kama wako kimya wanabakia kwenye hoja ya Arafa ni moja dunia nzima bila kujibu hoja tayar sisi tunakua na maswali juu yao
Hebu sachini kwenye You tube clips yenye jina (JAWABU LENYE KUTOSHELEZA KWA MUHAMMAD IDDY) Msikilize elimu enye waislamu wa afrika mashariki acheni kuzubaishwa na kutiwa ujinga na hizo talanta za huyu jamaa mwenye uchache wa elimu asiejua hata kauli za wana wa chuoni zinasemaje ktk masaala haya.
Uwesu Sinde "mm nishaisilkza alhamllah sheikh kajitahid sana kufafanua lkn still kw upande wangu bado nashikilia hoja nliyofundishwa ambayo inaenda sawa na abuu iddi mana kw uwezo wangu wa akil bac naamin hiz hoja zao(mtoa mada) zna mashiko ukilinganisha na hoja za upande mwengne. But hayo ni mawazo yangu tu baada ya kuskilza hoja za pande zote 2
Mashaallah Shekhe Muhammad iddy umeongea Vzuri sanaa,Allah akubarik Sana uendelee Kutoa Elim Alla atakulipa...
Nlitaka Mashekhe wote wanaokataa utofaut wa Muandamo wangekuja na Hoja Thabit za Kujibu kuhusu Mashekhe hao
Sikujua kuwa Shekh Muhammad Ayoub alikuwa hakosei
Asante shekh hatamimi nimeliona hilo Leo nilipomskiliza shekh kilemile nanikatoa maoni yangu nikawaabia wakae watupe jibu moja kwamana wanakhitilifiana
Swadakta parasu minazi jazakallahu khairan
Wallhay mwenyezi mungu akusamehee na a kuingize peponi shekh ni mkweli sana amini
Shukrani shekh uko sahihi haswa mwenye kuelewa na kaelewa asielewa basi ache afate tv sababu mwezi ni mmoja ila muandamo unatofautiana kwa masaa na mdio tunafuata muandamo wa mwezi nchi tulipo sio kufata ushabiki wa watu furani Shekh Allah akuhifadhi duniani na Akhera
Ivi shekhe nikulize ujasiri wakushambulina mitandaoni mmepatawapi ndivo Shekh wenu muham madi ayubu ndivo alivo wafundisha
Hongera Sana Shekhe, Allah akuhifadhi. Tunapitia fitna kubwa katika Uislamu.
Tunajua kuna baadhi ya mambo yanamapishano ila yasiweke tofauti baina ya sisi waisilam.Alhamdulilah tupo kwenye haki kwajili ya shahada zetu.
Mtume Muhammad s.a.w. anasema nyoweni mustachi na fugeni ndevu mtofautiane na mayahud
Hayo mambo ya ndevu na masharubu yaingia wapi hapa hali mjadala ni kuhusu saum ya arafa Wacha fitina zako hizo zako ni chuki kama una hojja jibu
Shaikh Muhammad Eid najua utapitia comment zetu. mimi nina maoni yangu kwako kwa maslahi mapana ya dini yetu..... kosa halirekebishwi kwa kosa, wale unaowaona katika mashaikh tunaowahishimu kuwa wamekosea andaeni meza moja ya sulhu haya mambo muyaoongee indoor n sio humu mitandaoni, italeta fitna kubwa.
pili nakushauri tena mwalimu wangu, mkubwa hakosei,kama unakiri kuwa shaikh ni kaka yako basi yeye ni mkubwa kwako jishushe msishindane, nachelea zaidi fitna ambayo itaondosha mapenzi baina yenu. Tatu waliokujibu sio hao tu, nimesikia clip z mombasa kutoka kwa salafiy na nyingine ya qasim mafuta markaz pongwe, nae ametoa hoja nzito tu kama ukipata muda zisikilize na kama unaona kuna majibu dhidi ya hoja zake kwa maslahi ya umma basi unaweza kutoa darsa za kuzijibu ili watu wajue mbivu na mbichi. mwisho kabisa mnaweza mkaratibu mdaharo baina yenu na jopo la mashaikh wa msimamo huu na jopo la mashaikh wa msimamo ule na mufti akiwepo na ikiwezekana mwalikeni na mufti wa suudia aje aamue mtafaruku wetu ili tujenge umoja wetu na si kubomoa.
Naomba kuwasilisha na Tawfiq inatoka kwa Allah.
Jazakallahu lheir umezungumza kwa busara na hekima,tatizo elimu ndogo,mdahalo utaleta muongozo,lakini kuna wengine wanatengeneza umaarufu.
Hawa masheikh wanatumia hii mitandao kwa maslahi binafsi, wanasubiri likes na subscribers wachukue mshiko TH-cam, wangekuwa na busara wangeitana na kumalizana wenyewe halafu wangetujuza nini sisi tufanye
Ahsante Yaa Sheykh. naamini wako wanaobadilisha misimamo yao kupitia daawa zako. usichoke mzee wangu. Alla akuhifadhi
It is not easy to keep somebody in the right track who willingly ignore the truth because of personal interest OR illiteracy.....IN FACTS MUHAMMAD IDDI IS LOGICALLY CORRECT FOR ANYONE WHO UNDERSTANDING LOGICAL STATEMENTS............OOOH ! ALLAH GUIDE US.........
OOH ! ALLAH BLESS MUHAMMAD IDDI.......... .......JAZAKA ALLAH KHAIRA YA SHEIKH MUHAMMADI IDDI ;
WAKO ONLINE STUDENTS HAMIDU MTANDIKA
Assalam alykum. Sheikh kutoweka ndevu ndo upotovu.weka ndevu kama alivyotuusia mtume
Umekosea hojja sasa waingilia masala ya ndevu ukweli unaumma toa dalili zako wa ngonjera
Sheik mi binafsi nakupenda maana unajua kufafanua na unatumia vitabu lkn wengine hawatuoneshi wanatumia vitabu gani endelea ivo ivo waislamu tunakufahamu vizur sana
Ali Ali nikweli
Hao akina Kilemile ni masheikh wa kimagharib /wakizungu.
Mohamed iddy wewe ni mbishi , hauna elimu ya ikhtilafu .adabu ya ikhtilafu , unajifanya wewe jambo hilo unalijua zaidi kuliko maulamaa , kwa sababu hilo ni katika masaili mukhtalafu fihha ., usijifanye wewe ni msomi sana. Wakati ni ikhitlafu ya wanazuoni .
Hebu jifikirieni sana mufti waoma kazaliwa Zanzibar na akaja kuwa mfuti waoman hiyo nidalili yaelimuyake kubwa mimi naona allah kampakipaji kikubwa sana chakufahamu mambo allah amuhifadhi amin.
ABUU MUHAMMAD IDD WEWE NI SUFI UMEPINDA! ALLAH AKUONGOZE KTK SUNNAH .... Wewe ndiye mpotoshaji huna hoja kwa Abul fadhil
Huo usufi waingiaje hapo kama una dalili Lete wewe ndio mpotoshaji na mungu akuongoze
IMAMU AHMAD ALLAH AMRAHAM HAKULAUMIWA KWENDA KINYUME NA KAULI ZA IMAMU SHAFII ALLAH AMRAHAM IWAJE WEWE UWALAZIMISHE MASHEIKH WALAZIMIANE NA KAULI YA SHEIKH WAO.!! KAMA SIO KUKOSA MISINGI YA ELIMU SAHIHI..!! RUDI UKASOME BWANA
Shekhe Muhammad ayub Allah amlipe khery
Wew umekubaliwa na Shekh tangu hujazaliwa mashaa Allah mung azidi kukupa elimu
Alafu hoja nyengine Sheikh Muhammad iddi kuhusu awo wanaopinga mwezi mwandamo mm nawauliza jee, dini haikukamilika adi ilipokuja utandawazi maana hapo Zamani watu walikuwa wakihitalifiana kwasababu kulikuwa hakuna mawasiliano ya kujua kama Maka wamesimama arafa?,
2.) Hoja ya pili wao wakisema kama tufunge mwandamo wa kimataifa Sasa Ramadhani inaingia siku Moja na wakati mmoja jee, swali ikiwa unataka kufungua si unaangalia wakati ikiwa jua limepinduka yaani limezana basi kwa kurudia kuangalia wakati Sasa ikiwa adhuhuri imeingia Tanzania, 🇹🇿, Oman, Kenya, Sasa huyu marekani, ambae yupo nyuma kwa masaa 13, na Canada wapi nyuma kwa masaa 8 na china wapo mbele kwa masaa 7 jee wataswali vp adhuhuri mbna ktk swala tunahitilafiana Sasa wao wanashangaa kuhitilafiana kwenye mwandamo wa mwezi
Huyu sheikh yupo kimakundi zaidi na sio kutoa elimu, Allah akuongoze uache usufi
Hoja siyo kumpinga au kumjenga MTU au kudhalilishana. Toeni hoja za kielimu zisizoonyesha kasoro za elimu ya Jiografia. Hoja za kbezana na za uchonganishi hazitusaidii sisi waumini wenu. Ilindeni Dino msilinde maslahi yenu au kutafuta umaarufu.Allah tulinde na elimu iliyofunikwa na hawaa za nafsi.
Sheikh gani wewe una sharubu kama wapishi wajikoni.sheihk ajiweke kama makufar wewe hatukutambuwi kasome mwanzo ujuwe dini yako vizuri alafu uje utupe elmu
Wewe unamtukana shehe kisa ndevu tubia uchungu sio midevu
Hana maneno
Hata mi namshangaa kujifananisha na makafiri kufuga masharubu haliyakuwa tumeambiwa kuzipunguza.May Almighty Allah guide him to the right path.
@Mustafa Jumah Sasa hayo ni meneno au au povu?
@Mustafa Jumah mazuzu muko wingi sana.hata wewe zuzu mwengine
Mashallah sheikh uko juu kuwaliko wapinzani wko,,,wafunze waelewe
Allah akuhifadhi inshaallah. Unaeleweka vizur tu
Yan ungejua nikikutana na mtu amenyoa ndevu ameweka sharubu naona kama nimekutana na mmajusi na nikumuona mtu ameacha ndevu ameondoa sharubu naona kama nimekutana na swahaba wa mtume .
Sheikh Muhammad upo sawa hao mashekhe wanatafuta umaarufu hawana Hekma
Yaani we Mohammed Iddy utaendelea kuwa mjinga kabisa pamoja na wingi wa vitabu vya madhehebi ya kishaafia kutoa maelezo kuwa wazi lakini bado wazidi kubisha na kupotosha watanzania na kua mkaidi tu.
Uwesu Sinde kw upande wangu mm cjaona upotoshaj wake hapo!
Just kasimamia mcmamo wake kw kujenga hoja na cio vyengnevyo!
Ktk masheikh wote nliockilza hoja zao wamekubal kua haya mambo yana khilafu tangu zaman lkn jambo nililoligundua na la kushangaza ni kua upande 1 unajiona bora na upo sahihi kulko upande mwengne!
@@hafidhsaleh7878 c kazi yetu kumfanye mtu aongoke ni kazi ya Allah hiyo sisi kazi yetu ni kuwabainishia watu haki.
Sheikh nimekuelewa sana na asiekuelewa hatukuelewa mpka roho yake inatoka
th-cam.com/video/WwcJ64uEHzk/w-d-xo.html
Al allama sheikh Muhamad Idd uko sahihi kabisa na Allh amekujaalia ilmu na istiqama, Usichoke kuwarudisha ktk mstari wasemaji semaji, Allah baarik.
Upo vzr sn Allah akupe umri mrefu mashaa Allah
Asalaam alaykum warahmatullah wabarakatuh... Alhamdulillah nimefuatilia hii mada toka kwa masheikh zangu.
Kama sote yaani makundi yote mawili wanaofuata Arafa kwa kufuata Saudia na wale ambao wanaona funga kwa kufuata tarehe za muandamo toka nchini mwao.
Kama sote tunalikuabali hili na tunakiri kuwa kuna ikhitilafu za wanazuoni kwa nini basi masheikh zetu , wanazuoni wetu tunaowategemea kwa nini ninyi kwanza kwa elim mlizojaaliwa msilikubali hilo kwa vitendo?
Kwa nini msiwaige wanazuoni wwliotangulia pindi walipokhitilafiana walishikamana vip ili kutokuuvunja ummah huu?
Pia Sheikh Muhammed suala la kumpinga sheikh wako si dhambi mradi tu waamini kuwa hii njia ndo sahihi kwa sababu hata maimam wetu wakubwa , imam Shafii na imam Hambari walikhitilifiana , ila hawakuchafuana na kuona huyu yuko sawa ila hata nawe sheikh wangu unaposema hawa masheikh hawa niwapotoshaji mithali unakiri kuwa ni jambo lenye ikhitilafu bado nawe unakosema kwa sababu nao wanadalili wanazoziamini toka kwa wanazuoni wakubwa.
Binafsi ninatamani kama masheikh wetu muwe na kauri zenye umoja kauri ambazo ktk jambo lenye ikhitilafu hazitofanya kujiona mimi ndo niko sawa na flani hayuko sawa kwani nyote ni wasomi , msirushiane maneno.
Hakika mnadhima mbele ya mwenyez mungu kuhakikisha hamuugawi ummah allah atuongoze ummat Muhammad ikhitilafu hizi kama wanazuoni kama masheikh zetu msirushiane maneno kwenye vyombo vya habari kaeni shura mjadili kisha rudini kwa waumini mkiwa na jibu moja.
Yani hii ndio kauli iliyoenda shule kabisa. Upo sawa
Allah akulipe kila la Kheri kwa kazi kubwa,unayo ifanya.
Abuu idi shekhe uliopoteza manhaji ndevu zako umezizika wapi ?
wallahi mm namkubali huyu sheikhi coz huku saudia hata iDD inaswaliwa sakumi na mbili na kwetu africa hua ni sambili mda haupo sawa kwahio sheikh apo sawa
Unaacha mustachi Duh huyu kwelii mjinga wa ilmu ya Dini
Ww ndomjinga
Ww ndomjinga
Jaman Saudia na Tanzania wanatarehe tofauti?!
Nop. Mimi niko Saudia saahii ni saa nne na 23
Yaani jamani hata hao wanaopishina masaa pia wanafata saudia siku ya arafa ni moja tunapishana wakati wa kula tu lakini siku ni hiyo hiyo siku haipiti
@@mariamfaki1166 kuna shida kubwa sana juu ya hawa masheikh, yaan watu wanaona sifa kutofautiana na wala hawaoni haja ya kuwa wamoja. Dini moja, ardhi moja, kitabu kimoja lkn watu wanatofautiana na kulazimisha kwamba hiyo ndo sawa.
Uwelewa wako ni kuelewa mambo kinyume nyume umeondoa ndevu umeacha sharubu. mtume kasema ondoeni sharubu acheni ndevu
Hatutofautiani muda.
Asalan alaykum, Sasa mbona maneno yako unajikanyaga. kama tunaangalia tareh mbona Arafa ilikua tar 9 hio hio halafu idi ikaswaliwa tar 11 wakat sio sawa?? Ina maana hii din inawekewa sheria na Mufti??
Kumbe inawezekana kuswali.. Siku moja.. Mwaka huu.. 2020..tumeswali pamoja duuuh..sikusikia Kama siku ya pili paliswaliwa na waislam wengine..
Tatizo lao huwa wanakusikiliza kwaajili ya kukujibu, badala ya kusikiliza kwaajili ya kuelewa. Shukran sana Sheikh, Allah akulipe.
Usisahau kuhitimisha hoja zako kwa kutathimin kuwa wafuasi wako wanazidi au wanapungua
Athuman Mohammad hoja cio kuzid au kupungua kw watu, hoja ni kufuata haki tu
Mi niliongezeka inshaallah
Ukweli ni kuwa wafuasi wake wanapungua!!!!
No entnder idioma
Usiifiche haki ukaidhikhirisha baatil ila jitambue hiii dunia tu usione unapta nofu ukaonaa ohook kuna mauti
Huna sifa ya kusikilizwa yan ndevu zako umeweka wapi unaboa wewe yan hakuelewi ila mtu bariidu katika watu
aslmu alyk d shekh ilikuwa ukisema arafaa hauposahihii jirekevishe usipotoshe umaa
HUNA MISINGI YA ELIMU SAHIHI..!! MBABAISHAJI TU
Ndevu Abu idi ebu achana na misimamo ya kihizbi jifunze upya dini umepoteza njia shekhe wangu Abuu idi ttz njia ushaikosa
Kweli yako Sheikh Mwenyezi mungu ashasema katika surah arrahmaan (mola mashariki mbili na mola magharibi mbili)
Mm hoja yangu kwa shekh eid naona uislamu ni dini pana sana sasa tunatakiwa tumfuate Allah na mtume. Mashekh wanaweza kukosea na mwamedi Ayoub ni binadamu pia anaweza kukosea. Mkishindana kwajambo lolote rudini kwa Allah na Mtume.
Hehee me naunga mkono maneno yako kaka. Lakini hii dini twasomeshwa na kupata ufahamu wa dini kutoka kwa mashekhe hakuna malaika aliyetumwa kwako au mtume kukufundisha. Mashekhe wanachukua nafasi katika dini kaka
@@hamidharunsaid1666 Shukrani kwa Mwongozo wako unaolinda heshima ya Masheikh.
Upo sawa lkn dini yetu tukufu, mafundisho yake yapo kwa lugha ya kiarabu na watu wengi, tunamatatizo ya kuijua lugha hii ya kiarabu kwa ufasaha wake na upana wake bali tunachukua tu tafsiri za juu juu na ndo maana hua tunakua wabishi na hatunufaiki kabisa na elimu yetu tukufu
Na hatuwezi kumfuata Allaah na Mtume bila kupitia kwa Mashaykh walosoma vizuri nafasi yao ni kubwa sana ktk hii dini na tukifuata tu kama tutakavyo, ndo utaona tunavyo pingana kwakuto elewa kama sasa
Asalaam aleykum,kuna mtu aliniambia kuna ibada za wakati na mahali mfano kuhiji ni ibada ya sehemu je Arafa ni ibada ya kuangalia mwezi kama ramadhani au ibada ya sehemu?kwa anajejua plz naomba msaada.wabillah taufiq
Ni ibada ya kuangalia mwezi na Sikuangalia mahali
Wanalazimisha kufata Saudia kwa maslahi yao tu
Sheikh Abu ldd usijupaue moyo kuna watu ni summun bukmun ummyun na wengi wengine siwasomi wao wamjibu Sh. Swaleh Al Utheimin.
Wanachuon wanamuheshimu sheikh swaleh al utheimin lakin, amekosea katika hilo Na zipo qauli sambaba na sheikh Alban na ibn baaz wakielezea juu ya kufunga siku ambayo mahujaji wanasimama siku ya 'arafa.
firqatunnajia.com
Abu idi kwanza ndevu zako umeweka wapi msizame kwenye arafa kua kidevu kama .....alafu sharubu umeacha ni mafunzo ya nani ?
MWENYEZI MUNGU AKUHIFADHI
WANAKUELEWA SANA BALI KUKUBALI HAWATO KUBALI KWA KUTETEA HADHI
Acha upotofu lete dalili ya kuh arafa ni mwez 9
@@MohamedAli-ip4iq
LETA KWANZA DALILI YA KUWA SIKU YA ARAFA NI SIKU WANAYO SIMAMA MAHUJAJI KWA MUJIBU WA HADITHI ZA MTUME
الزغوي الزغوي namu malimu
Umesema kweli kabisa
@@MohamedAli-ip4iqfungua vitabu vyote vya fiqhi utaona vinasema siku ya arafa ni mwezi tisa wa dhulhijja wala hakuna kitabu chochote Cha fiqhi kinacho sema siku ya arafa ni siku ambayo mahujaji wamesimama kwenye viwanja vya arafa
jitahidini masheikh mkae pamoja muwelewane
hassan mahmud mohamed hapo ndugu yangu ninakuunga mkono
Shekhe. Sindano imewakaa mashekh wapotoshaji wana tapatapatu hawana lakukujibu Allah akuweke miaka mingi uzidi kuwakata Vimeo wapotoshaji
Tatizo ni kwamba weengi tunaocpment hapa hatuna elimu ya dini/sheria bali tunaubishani. Lakini huyu Sheikh yuko sahihi Wallahi kwa haya anayoyazungumza. Mimi binafsi nimemuelewa sana na namkubali sanaa.
Shekhe msengenyaji
Kusengenya ni kusema akiwa mwenyewe hajui. Hem kasome clazma useme
MAASHALLAH MAASHALLAH
SHEIKH WAWEKE SAWA !!!!!!!!
WATAKUELEWA TU ONE DAY!!!
Yaani kwa ubishi wao wanataka ulimwengu mzima wafunge pindi watu wako arafa 😇😇
Wanawaambieje wale amabao kwao inakua ni usiku pindi watu wako arafa????
Ni masuala ambayo wanabaki kutumbua macho 😬😬😬😂😂
Iko siku watarudi tu kwenye haki..
Allah akubarik. wewe na Shekh wako
Je yote sawa?yani
(a)kuangali waliokua arafa?
(b)kuangali mwezi wa kwako?
👍
Mi binafsi nimekuelewa sana tena sana na zaidi ya saaaaaaaaaaana.
Nieleweshe na mie Maalim mimi sijaelewa badoo la3laa wewe umemuelewa kuliko wengine
Mimi nasema Abu idi kabla hujausemea uislaam chochote kaondoe sharubu zako katafute ndevu ulizonyoa una hata haya
@@jumamnyage5395 Nini aliekufundisha sheria ndevu ni fardhi ni sunna ilio kokotezwa. Kwahivyo mashia na mabohora wako sawa.
@@jumamnyage5395Ahahahahaahahahaha Linajifananisha na majusii....من الذي أمرك بهذا يا أبى عيد!!!!!!
La kunyoa ndevu na kufuga sharubu mbona lenyewe liko wazi zaidi, inakuwa vipi hujalielewa? Unaweza kutunukulia fatwaa ya Ibn Uthaymin kuhusu kunyoa ndevu pia, au unahitaji fatwaa yake unapotaka kufitinisha?
Abū Hanīf Utheymin is one the moat notorious sheikh our time calling Muslims to the gates of hellfire
Yes umemjibu
Kwanza nyoa sharubu zako
Inasikitisha sana kuona leo masheikh wetu wanasimamia misingi ya kutokupingana lakini wanazidi kudidimiza na kuleta taharuki na sitofahamu kwenye dini ya allah
Sheikh Muhammed Iddi ni mwalimu 'ulamaa mzuri tuu ila ananishangaza ninapomuona anapuuza sunna ya kufuga ndevu na kuacha sharubu pekee...kuna siku moja nikaribia kugombana na rafiki yangu aliponitania kwa kuniambia "wewe unamkubali sana sheikh wako Muhamed Iddi ila nadhani hujui kuwa is a man of system kwa kivuli cha dini" yani nilikuwa mkali na tulikaribia wiki hatusemeshani kwa kumsema vibaya sheikh wangu huyu.
Umeshasema sunna
Mshaallah kwa majibu mazuri Sheikh Muhammad iddi
ALHAMDULILLAH ALLAH akujaalie kila lenye kher na wewe tumekuelewa na wanakuelewa na watakuelewa! Wasione haya kurudi kundini
Sawa we Sufi unaongeaje HIV , umemwagiwa. Maji ya moto au , lipotoshaji likubwa hilo
Miongoni mwa masheikh wa hovyo tena mwenye chuki na answar ni huyu anaona bora mashia kwasababu jalala shia wa kigogo wamesoma kwa sheikh mmoja bin Ayub rh
Ansar ya upotoshaji
Nonsence projo tupu hakuna kitu umeongea hapo😢
ALLAH AKUZIDISHIE SHEIKH... USIKATE TAMAA SISI WAISLAAM TUNAKUELEWA SANA
jirekebishe
Allah ni mmoja dini ni moja mtume mmoja jua ni moja mwezi mmoja mwezi ulionekanwa saudia ndo mwezi huoo huoo tuliouona huku tofaut yake ni ukubwa tu..... Na siku ya kuona je kma hatujaon kwetu kutokana na mawingi inabd tusifunge
Wapo watu wa astronomy Tanzania lazma utaonekana kwa vyombo hatakue na mawingu vp, tatizo ni tarehe za muandamo wa mwez kila eneo ndio tofaut ya arafa inaanza apo.
Mimi nitasema mashaalah
Asalaam Aleykum warahmatulahu wabarakaki shekh kwanza hakuna takhala katika Asalaam
Muhammad idi hadithi ulizo tajiwa na qauli za ulamaa bado hajaelewa tu rudia hadhi hizo na uzitafakari uzuri alivyo taja mtume saumu ya arafa hakusema saumu ya tisa angalia mudhwafu na mudwafu ilayhi angalia haqi na uifuate
Dunia inaweza kuwa ndan ya siku Moja Ila tutakua katika vipande tofauti vya siku wengine watakua usiku wengine watakua mchana
Ahsant ya Sheikh Saddaqta.Hao si makosa yao illa ni Uchache wa Elimu...Na waki Elimishwa hawataki Hao watu Hatari Sana.
Masha Allah sheikh Mohd unajitaahid na huo ndio uadilifu unatoa hoja na dalili na umesimama kwa ushahidi wa masheikh na wanazuoni wakubwa
Izondevu zako tuzinaonesha namna unavyo fata Mila zakiyaudi kwaiyo wasio nafikira ndio utaendelea kuwapoteza
Ndgu yetu we apo umewekwa kwaaajili yawatu sio dini
Shekh kwani hitilafu zimeanza leo?
Mbona unajibu kiubishi ubishi na maneno ya ovyo ivyo?
Kwani nikuulize kuna nchi tumeachana (tofauti) masaa 24?
hivyo kwann saumu ya alafa imewekwa??
Unaelumu ya fiqi lakini hunaelimu ya jiografia. Watumieni wataalam wa jiografia. Unawapotoaha waislamu na kuwafanya wafunge siku ya Idi. Mtabeba dhambi zao.
Hakuna tarekhe 2 dunia nzima ni tarwkhe moja ila saa tofauti
Hivi nyinyi amuoni munatuharibia funga zetu hadi tunashindwa kufunga kwasababu ya elimu zenu?
USHAURI
1.ufanyike utafiti wa kisayansi dhidi ya mwezi na maeneo yote duniani kisha litolewe jibu sahihi. Kwa sababu tukisema tuwasome na kuwafuata mashekhe kila shekh anaupande wake alioutolea fatuha, hii haitoi jibu sahihi zaidi ya maneno ya vitisho.
2.Turudi ktk Quran na hadithi wakati wa kufanya utafiti huo.
3.Tumwogope Allah tuache kuiharibu dini yake.
Inshaallah.
Abilahi Haule saf sana, umetoa hoja nzuri coz wakituambia tukasome bac hili jambo halitokaa saw mpka wao masheikh waunde jopo LA wasomi wa pande zote 2 walitafutie ufumbuzi hili jambo.
Lkn maswali ya kujiuliza ni!!
1) Mbna Oman hawafuat Saudia tangu zaman!? Na hujawahi kuwaskia Oman wakilumbana na saudia kuhsu hayo mambo ilihali
wao ndio wana elimu kubwa za dini kulko cc Tanzanian
2) Mbona masheikh wa Makka wanaokuja Tanzania wakiulzwa kuhsu haya masuala ya khitilafu hawasemi kua Tanzania lazma mufuate saudia!?? Na badala yake hua wanasema watu wamfate mufti wao ktk eneo husika!
@@hafidhsaleh7878
Amani ya Allah na rahama zake ziwe juu yako. Hata hayo maswali yako yanaonesha kuwa utafiti wa kisayansi unaitajika ili kuliondoa hili.
sheikh wangu abuidd uko vizur sana nimefurai ukwausaili wavitabu nimependa.sana
Shekhe ndevu mtoto wa kiume wewe umezinyoa umeweka wapi unalinga apo kidevuni umenyoa ndio pambo gani ilo uwoni haya shekhe wangu ?
HAKUNA SABABU WEWE SHEKH MOHAMED KUMUOMBA RADHI KILEMILE NI MPOTOSHAJI TU NA NI MKOSA RADHI WA SHEKH WAKE MOH AYUUB SALAMA YAKE AJIREKEBISHE
Kwa hiyo sheikh hakosei!?amekuwa malaika!!?
Al marhumu sheikh kilemile alikuwa mwanachuoni mkubwa, huwezi mfananisha na huyu mhuni abuu idd
Hana chochote cha kujibu zaidi ya yeye kupotosha umma, ye analinda tu tumbo lake.
Kumbe mnadini yenu ya shekh Mohamed ayubu
Athumani Karoyo nyinyi nyinyi mnavineno Sana
Tuludi katika quran na sunna shekh allah atatuongoza
Unganisha waislamu tuwepamoja usitutenganishe na tumche mola duniani tunapita .
Video ya Ward Imam wa Magomeni kichangani kweli ilikatwakatwa, na nia ilikua kupotosha mimi ni Editor na nakubaliana na Ward....
Haji Mgwami ndugu yangu hawa jamaa lazma wakate kwakua wanahitaji kiki
Mmeshindwa kuunganisha waislam na kusimamisha hukmullah mnachapana mwenyewe. Masheikh pesa bhana
Ila kwa ss Tanzania na Saudi Arabia tarehe yetu Moja kigeographia kuhusu utafauti ni kwamba hata neema mungu hajatupa sawa kunawengine watapata wengine watakosa acha kwenda nchi nyingine je tz na Saudi Arabia tumetofautiana masaa ?hata tusiwafate mahujaji?
Shekh jikite kuwalingania watu waingie ktk Dini na waislam waache madhambi kuliko kuleta ushindani ktk Dini. Unazingua sana
Haki ndo hio lakin
Njaa na tumbo linadai
Enakuwaje umesomweshwa ukiwa Mtoto Hadi umekuwa..mtu mzima..lakin unakubali vipi na kutojiamini
Kujidharau na kumfharau Mwalimu wako wa zamani...
Kumkubali haya ya kugeuzwa kwa maslahi Basi pia kubali mlioyaabudu mda huyo pia hayakuwa sawa...anzeni kufanya hoja mlipe mlichokikosea siku zile..
ALLAH akusamehe
Waisilamu tuweni mankini kwadini yetu yale yasawa tuyafate ili tufaulu mbele ya Allah tusieke ushabiki katka dini
Sheikh uko sawa
Sheikh uko sahihi maelezo yako yapo wazi wanayaelewa ila hawataki tu kuyakubali hao.allah atawaongoza
Mimi ninachoshangaa wanaposema masaa yanpishina wanataka America kwani nyie tz mmepishana masaa mangapi na saudia?huko American na ulaya yote siku ya arafa ni moja waote wanafata saudia ni nyie huko Africa ndio wenye mashindano kila shekhe yupo juu subhanallah
Usilazimishe kwamba video ajaeditiwa utakosea angalia msimamo wake upo wapi
Wallahi fitna mbaya maustadhi peki
Tarehe yetu na makka ni moja shekh
Mwanzo we mwenyewe umekhalifu hadithi ya mtumeﷺ aliposema khaliful yahuda wa nasara.sasa we we umenyoa ndevu ukaacha masharubu itakuaje sasa.nani mpotoshaji
Wewe ndo mpotoshaji
Umoja wa waislam Tz ulikufa baada ya kuanzishwa bakwata sheikh sema ukweli na muogope mungu wako.
huu ni upumbavu shekh abuu idd ana tuletea ikiwa tunaambiwa intanazaatum furuduh ila lwah warasuh ww unatuambia turejee kwa shekh mohamed ayyub yeye ninani katika dini yetu alikua nimwazuon mkubwa allah atamlipa ujira wake ww badary yakutuambia tumfuat allah na mtume wake ww unasema tufuat shekh ayyub way
dada fanya marekebisho ya maneno yako
Zakhra, nadhan hujaelewa vzr mada coz ucpoelewa ndio utaelekea huko ulikoenda ww mana umechukua nusu neno halafu umelitolea tafri yako pasi na uhalisia wa mada ilivyokusudiwa
Wewe Ndio mpotoshaji
amepotosha nini?
@@Suleimansalum kasome!!
@@jumakapilima5674 ivi hadi hii leo mnaenda kufukua hizi video kwa lengo gani, ivi nimimi au weee nani ambae anayetakiwa akasome hapa?
Kama umeshindwa kuelewa hata tofauti ya ndevu na masharubu huko ndio utaweza?
Una uhakika sheikh ana umbile la ndevu kama zako kabla ya kumhukumu
Shekh hakki unaijuwa ktka nafs yako bali njaa 2 na kujipendkeza kwa mayahudi
kina Kishki ndio wa njaa kwa kujipendekeza kwa mfalme Sudi wala hawana lolote ...
@@officialkamdudu umemuona kishk m2 wa sunnah yule ibadh
Juma Hussein wamjibu Sheikh kwa hoja sisi wasikilizaji tutachambua ila kama wako kimya wanabakia kwenye hoja ya Arafa ni moja dunia nzima bila kujibu hoja tayar sisi tunakua na maswali juu yao
Juma Hussein oa vibaraka wa Saudia. Wanaujuwa ukweli maslahi tu yanawaponza wanapotosha wati
Hebu sachini kwenye You tube clips yenye jina (JAWABU LENYE KUTOSHELEZA KWA MUHAMMAD IDDY) Msikilize elimu enye waislamu wa afrika mashariki acheni kuzubaishwa na kutiwa ujinga na hizo talanta za huyu jamaa mwenye uchache wa elimu asiejua hata kauli za wana wa chuoni zinasemaje ktk masaala haya.
Uwesu Sinde "mm nishaisilkza alhamllah sheikh kajitahid sana kufafanua lkn still kw upande wangu bado nashikilia hoja nliyofundishwa ambayo inaenda sawa na abuu iddi mana kw uwezo wangu wa akil bac naamin hiz hoja zao(mtoa mada) zna mashiko ukilinganisha na hoja za upande mwengne.
But hayo ni mawazo yangu tu baada ya kuskilza hoja za pande zote 2