Naangalia hii 2023, kwa mawaidha haya, tunamuomba Allah afanye Kun-faya-kun kwa ndugu zetu wa Palestine. Afanye miujiza, haki na amani ipatikane Palestine. Naomba kila mmoja aandike Amin iwe kheri In sha Allah.
Hakika hua sichoki kusikiliza mawaidha ya huyu sheikh, ingawa kila nikisikiliza napata majonzi moyoni mwangu Alha ampe nuru ya milele ktk kaburi lake, Na alha amlipe kwa hii sadaka tul JARIYAAAA
allah mlipe heri nyingi kwa kazi yake kubwa yakueneza maneno yako na utuwezeshe sisi tunufaike na mawaidha yake na iwe chazo cha kuridhiwa na wewe yaa Rabb
na mimi. Wallahi nimejifunza mengi kwa kusikiliza durusi zake nami nika hapa Europe. Shehe Bachu alikuwa kweli Asad feel minbar, alikuwa ana style ya Sheikh Abdul Hamid Kishki. Mwenyezi Mungu awarehemu.
sikupata kkuona lakini Alhamdulillah nmepata kkuskiza,na napata faida na elimu ya dini yangu ya Islam kwa darsa zako,Allah akujaali pepo ya daraja ya juu,Ameen. .
Tutakukumbuka daima.. tunakuombea Dua Sana mwalim wetu . Allah akusaamehe pale ulipoteleza hakika uliifahamisha dini kadir ALLAH alivokuwezesha bado tunakupenda Sanaa
Nmejifunza mengi kupitia sheikh huyu na bado naendelea kujifunza na kiukweli nampenda Sana na mpaka Sasa cjamuona sheikh mwengine kwa upande wangu. Mungu ampe kila la kheri huko aliko. Amin
Ndio shekhe wa kwanza mimi kusikia mawaidha yake kutoka radioni wakati nakua hadi sasa. Allah ampe furaha ktk maisha yake ya kaburini na kesho Akhera. Aameen
huyu mwamba alikuwa na msimamo na mwanazuoni mzuri sana namkubali sana na wale mashehe wasaka tonge walimchukiya sana mungu amlaze mahala pema peponi amin
May Almighty Allah grant him janatul firdous , and provide rehema kwa kaburi yake, we love you but Allah love you most. All his teaching is sooo touching
mungu akujazi kheri na akufungulie milago khery inshallah wewe umetagulia na si tukonyuma mungu atume husini khatima inndal mauti wa raha baada mauti walfauza bijanah
Mwenyeez mungu ajaalie kaburi lako liwe bustani miongoni mwa mabustani ya peponi ndugu mwema hakika umeondoka kiwiliwili lkn maneno ya ujumbe wa kulingania umma wa kipenz chetu mtume Muhammad bdo yanaish na mioyo ya wenye mazingatio inawaongoza..Allah akulipe jannah inshallah..
Mm rashid salum mungu amjaalie malazi. Mema poponi kwa kazi yako ambayo uliyoifanya hapa. Duniani kwa kuitangaza dini. Ya. Allh mungu akulaze. Mahala. Pema peponi a
Naangalia hii 2023, kwa mawaidha haya, tunamuomba Allah afanye Kun-faya-kun kwa ndugu zetu wa Palestine. Afanye miujiza, haki na amani ipatikane Palestine. Naomba kila mmoja aandike Amin iwe kheri In sha Allah.
Aamin tulikua na Sheikh sisi..Allah attempted Nuru na Harufu ya peponi kaburi lake..
Mim naangalia 2024
اللهم غفر له وارحمه واسكنه فلجنة
aaaamin
Tujuane tuliomsikiliza Shekh miaka ya 90 kwa audio kaset! na sasa 2022 TH-cam! nipe thumb.
Mashallah! Mtu mwema hujulikana tu akiondoka dunian,shekhe uko uliko tunakutaja Kwa wema sanaaaaaa ,firdaus ushaingia japo hatukuoni ,amiin
Mmoja wa wanazuoni wazuri kuwahi kutokea zanzibar na Tanzania kwa ujumla, Mungu ailaze nafsi ya marehemu sheikh Bacho mahali pema peponi inshaallah.
Akurehemu ALLAH pamoja na ndugu zete waliokwisha tangulia kabla yetu nasi tupate mwisho mema..
Mtu anayegonga dislike kwenye maneno haya ana maana gani jamani, dah. Allah akurehemu shekhe, akupe jaannat firdaus, amiyn
Ameen
Yani ndugu yangu ukiona ivyo uje hajui Kutofautisha DISLIKE NA KULAIKE
Aamin ALLA h akurehemu ..Aamin..
Hakika hua sichoki kusikiliza mawaidha ya huyu sheikh, ingawa kila nikisikiliza napata majonzi moyoni mwangu
Alha ampe nuru ya milele ktk kaburi lake,
Na alha amlipe kwa hii sadaka tul JARIYAAAA
Amin
Daaa!
Huzuni xanz
Amin
Allah amrehemu na amueke pamoja na wema peponi.Ameen 🤲🤲🤲
Amina
Tucmsahau Sh. Nassor bachu ktk dua zetu..
#in shaa Allah.
Allah jaalie JANNAT FRIDAUS ktk maisha yako ya peni yaraby
mola akurehemu ww mbele na sisi nyuma. akupe firdaus Iwe makazi yk in sha Allah na ummat mohammed wote pia.
ALLAH akurehemu sheikh nassoro bachu na akufanye kuwa ktk waliocheka milele amina ya rab
Mwenye elimu inayonufaisha hubaki hai hata kama amekufa. Mola akulipe kw sadaqatul-jariah zako hizi tunazonufaika nazo Ameen.
Mungu akuhifadh afanye kaburi lako liwe ni miongon mwa viwanja vya peponi Insha Allah
Allah akupe pepo ya daraja la kwanza, Alhamdulillah umetuelimisha vya kutoshakusu Qur an na Sunna, kikubwa ni mazingatio
allah mlipe heri nyingi kwa kazi yake kubwa yakueneza maneno yako na utuwezeshe sisi tunufaike na mawaidha yake na iwe chazo cha kuridhiwa na wewe yaa Rabb
Allmarhum Sheikh Nassor Bachu, Allah akurehemu akusameh makosa yko n kuwa katik waja w pepo y Firdous. 🙏
Napenda sana mawaidha ya shekhe bacho uwa sitokagi pembezoni mwa radio iman saa nne mpaka saa tisa ALLAH amlehem
Allah akupe janat firdawus 🙏
Mungu msamedhe sana makosa yake shekhe nassoro bachu
Allah akupekauli dhabitty
Allah amlipe jazz a njema..kwa sadakatul jaariya hizi zinazo tunufaisha hadi Leo.
ALLAH AMLAZE MAHALA PEMA PEPONI AMIIN
Amiin
Ameen.
Amiin
ALHAMDULI LLAHI,MWENYEZI MUNGU AMLIPE KWA KAZI KUBWA ALIYOIFANYA KWA KUELIMISHA UMMA.
munguamlipe kwarehema yaallah
Mashaallah R.I.P
Ameen
Aaamiin
MashaAllah Allah amweke pema
Ya Allah mpe kauli thabit shekhe wetu na umrehemu
اللهم غفر له و يرحمه و يسكنه الجنه يارب يارب يارب العالمين ❤
Mwenyezi mungu akuweke pazuri inshallah napenda Sana mawaidha yako.
Aaamin yaa rabbi
Hakika pamoja na uzito upo wepesi mweyezi mungu amfanyie wepes sheh wetu
Alhamdulillah, Allah akulipe dahali shekh wetu Bachu
Mashallah mwenyez mungu akurehem akuwepe kwenye pepo ya Firdaus kwa kutupa illmu
Amiin
Wallah allah atakulipa malipo yaliyo makubwa sana.... Naakurehem...aaamiiinaaa
Mashalwa bado mawaidha kama mkuki
Allah ajaalie ampe pepo ya juu firdaus
na mimi. Wallahi nimejifunza mengi kwa kusikiliza durusi zake nami nika hapa Europe. Shehe Bachu alikuwa kweli Asad feel minbar, alikuwa ana style ya Sheikh Abdul Hamid Kishki. Mwenyezi Mungu awarehemu.
MrMedu490 Ameen
Kizur hakidumu
Allah akupe kila lenye khyr huko ulipo maalim
Aaaaamiin 🤲
Innalilah wainailaih rajiun Allah akulinde adhabu za kaburi akupe kauli thabiti🙏
Amiin
MUNGU MLAZE PEMA PEPONI SHEIKH NASSOR AMEEN.
allah akulaze mahala pema pepon ameen
Amin
mash_Allah sheikh Allah akupe janatul ferdos. Akuepushe na adhabu ya khamri na akupe pepo
Allah amulehemu shekhe wetu❤🙏
Allah akusamehe,akurehemu,akupe kauli thabit na akulaze mahala pema peponi..aamiyn.
Nampenda sana marhumu Sheikhe Nassor Bachu Allah ampe janna firdaus.
Selemani Zephania Amiiin
Allahumaghrilahu warhamhu waafihi waafuanhu waakirimu nuzulahu wawasia mudkhalahu waghasiluhu milmai wathaligi walbarid wanakihi minkhatwaya kama yunaka thaubu llabiyaz Mina nnanas
Aamiiin
Amiin yarabil aalamiin
Ammin ammin ammin Yarab
sikupata kkuona lakini Alhamdulillah nmepata kkuskiza,na napata faida na elimu ya dini yangu ya Islam kwa darsa zako,Allah akujaali pepo ya daraja ya juu,Ameen. .
Sheikh Nasur Bachu Allah Amrehemu alikuwa one of the best speaker in Swahili followed by Othman Maalim.
Allahumma thaabit-hu biqauli thaabit. Allahumma gh-firlahu warhamhu waafihi waaf-anhu.
Mashaallah
Allah amlaze mahala pema muondoleye adhabu za kabri in shaa allah
Tutakukumbuka daima.. tunakuombea Dua Sana mwalim wetu . Allah akusaamehe pale ulipoteleza hakika uliifahamisha dini kadir ALLAH alivokuwezesha bado tunakupenda Sanaa
Ya Allah mja wako huyu mlipe pepo kwa kazi nzuri aliyoifanya kwa ajili yako
Aaaaamiin🤲
MaashAllah Alhamdulilah Allah amrehemu na amtanganye na wema, Alhamdulilah
Allah akurehemu...Innallillah wainnaillaihy rajoon
May Allah grant him Jannat Firdaus Al Aala. Alikuwa mwalimu wangu tumenufaika sana kwake.
Mwenyez mungu amjalie kila la kheri uko alipo,kazi ameifanya shekh wetu,hakika hawa ndo warithi wa mtume wetu muhammad swl
ALLAH AMREHEHU SHEIKH NASDOR BACHU AMEEN
Nmejifunza mengi kupitia sheikh huyu na bado naendelea kujifunza na kiukweli nampenda Sana na mpaka Sasa cjamuona sheikh mwengine kwa upande wangu. Mungu ampe kila la kheri huko aliko. Amin
Ndio shekhe wa kwanza mimi kusikia mawaidha yake kutoka radioni wakati nakua hadi sasa. Allah ampe furaha ktk maisha yake ya kaburini na kesho Akhera. Aameen
Amin
Ameen ameen
Amiin pia ampee kauli sabiti kwenye kaburi lake
Mashaallah nakumbuka nikiwa mdogo 90s akija mombasa ilikua sikosi darsa na mihadhara yake Allah amuekee kwenye mizani yake
Allahummaghfirlahu warhamhu waaskinhum fii janna
Allah Akbar Alhamndulillah 2020
allah mpe kher uko alipo n mpe malipo ambayo makubwa zaid kuliko juhud aloitumia ktka kuipgania dini yko amin...
ALLAHU akufanyie wepes huko uliko
mungu akusaidie
Amin
Amin
Amiiyyyn
Mwenyezimungu akupanulie kaburi lako
Mashaalaha
allah mrehemu sheikh bachoo
Mashaallah sh Mungu akupe janna Yarrab!! Amiin
Allah amuondole adhabu ya moto na ya kabr na munyu amjaliye aipite jia ya carat I'll must akim mungu amlaze pema penye wema ameen
If people do have the role models then, this is my role model.... May ALLAH grant him jannatu firdausi
Amiiin Ya Allah
role model wa waislamu ni mtume Muhammad sheikh.
Allah Janna tu firdausi
Ameen
@juma hamis العلماء ورثة الأنبياء
Allwahuma aghfir Laguna warhamhu waskanhhu fil jannah
Amini Aminii ..ametuwondokeya shekhe mzuri sana.mungu ampenda zaidi yetu ss
Allahumma ighfir lahuu warhamhuu waaskinhuu filjannah. Ameen yaa Rabb.
amin
Amiin yarrab
Allah akulipe kheri nyingi uko ulipo amin
sheikh nassor bhachu rahimahullah.
@@mhogomchungu7168 bjhjjhbzn,1$"'?/ /@'*%
Allah akulipe kwa madhara ya elimu alokujalia ulioiacha katika jamii ya uislam
Wallaih thuma wallaih mpk nileo tunafaidhika na mawaidha alioyaacha sheikh wetu Nassoro Bachu ALLAH akulipe mazuri yale anayo yajua yeye Amiin
napenda sana mawaidha yako sheikh wangu shukran afuen
Allahu, rabbil al a'ameen
ampe rehma kwa wingi mno na firdaus a'ala.
A'ameen.
ameen
Allah amlipe mazuri huko aliko aamin
ALLAH mrehem sheikh nasoro bachu na muepushe na kila aina ya adhabu zako na pepo iwe makazi yake ya milele inshaallah
mungu akusahem ww na sisi mazambi yetu tulio yafamy
Allah yarham sheikh wetu,ameen
MAA Shaa Allah Tabaraqallah 20yrs ago almost but I can't 😢
He was 1 in a million wallah
Allah amlaze mahala patukufu na inshallah amlipe pepo tukufu inshallah.
Amiina shekh wngu Mungu akurehemu akupe kher shar akuepushe ln.shaa llah
Nakuomba Allah umrehemu shekh wetu huyu. Tunanufaika mengi kutoka kwake. Aaamiyn.
Allah amrehemu shekh wetu
Yarabi mjalie kher sheikh Nasoro.
Masha Allah mungu akulipe zaid sheikhe wetu Amin Amin
Allah atakulipa kwa sawabu kwa kazi kubwa ya kuuendeleza uslamu
Allah akujaalie pepo za ngazi ya juu kwa utumishu wako kwa umma wake,akuepushie adhabu na vitusho vya kaburini-Ameen ameen ameen Yaarabil ala meen.
Maashaha alha
huyu mwamba alikuwa na msimamo na mwanazuoni mzuri sana namkubali sana na wale mashehe wasaka tonge walimchukiya sana mungu amlaze mahala pema peponi amin
May Almighty Allah grant him janatul firdous , and provide rehema kwa kaburi yake, we love you but Allah love you most. All his teaching is sooo touching
Allah akupe Janatul Fardosa Allahumma Amiin
Allah amlaze mahali pema.peponi amin.
Shekhe letu jannatul Firdaus iwe mashukio yako in shaa Allah
mungu akujazi kheri na akufungulie milago khery inshallah wewe umetagulia na si tukonyuma mungu atume husini khatima inndal mauti wa raha baada mauti walfauza bijanah
Allahumma amiin ysrab
Amin
Mungu akujazie kheri
Allah akulipe wema . Amin
Mwenyeez mungu ajaalie kaburi lako liwe bustani miongoni mwa mabustani ya peponi ndugu mwema hakika umeondoka kiwiliwili lkn maneno ya ujumbe wa kulingania umma wa kipenz chetu mtume Muhammad bdo yanaish na mioyo ya wenye mazingatio inawaongoza..Allah akulipe jannah inshallah..
Allah subuhanah waatallah akupe nuri ndani ya nur umeondoka ila bado kwenye nyoyo zetu unaish
Kupitia Redio Imani ya Morogoro nilipomsikia huyu Shehe nisalimu amri nakufuata Sheria za Allah hakika ameacha faid kubwa mno.
Allah Ampe pepo yadaraja yajuu zaid.
Ya Allah mjalie sheikh NASSOR BACHU umueke katika pepo za juu FIRDAUS amiin 🤲
Allah jaalia kheri juu ya haya insha'Allah
Allah mpe Jannatul firdowsi
Masha allah
Allah Ampe Jannatul-Firdhous;;;;;Ametutangulia mbele ya Allah lakini ametuachia mawaitha zake tunayazikiza hadi leo hii,Alhamdhullillah.
Mashallah..tenda mwema nenda zako...mwenyizi mungu amelazi mahali pema peponi sheik wetu!!!..
Allah akurehemu na akupandishe toka darja moja Hadi nyingine katika janatul firdaus Kwa faida ninayoipata alhamdulillah kupitia mawaidha yako
my favourite sheikh Allah amuhifathi
نسأل الله أن يجعله من أهل الجنة ويعط كتابه بيمينه ولا يعط كتابه بشماله
Mm rashid salum mungu amjaalie malazi. Mema poponi kwa kazi yako ambayo uliyoifanya hapa. Duniani kwa kuitangaza dini. Ya. Allh mungu akulaze. Mahala. Pema peponi a
Hakika mawaidha ni sadakutjaalia Mwenyezimungu kaburi lako alifanye lawaja Wa peponi aamiin Inshaallah