ALLAH A'ZZA WAJALLA Akuhifadhi ndugu yetu kijana wetu Muhammad Bachu. Huyu ndugu Qasim hana Al a'dalatul I'lmiyya. Endelea kumsaidia huenda siku moja ALLAH SUBHANAHU WATAALA Atamponya magonjwa yake moyo kadha wa kadha.
Allah amuhifadhi duktuur Islam nawe kijana mwenzetu akhy Bachu. Uwepo wenu ni neema kubwa sana kutoka kwa Allah mtukufu ktk mwambao huu wa Afrika mashariki na kati kwa wazungumzaji wa kiswahili. Sheikh Kassim mafuta leo amevulika nguo yeye na wafuasi wake mchana kweupeee😅 Allah awaongoze wao na sisi ktk haqqi na atuunganishe tuwe wamoja. Acheni HASAD kwa duktuur amewazidi sanaa.
Lengo la Dr. Islam kuwajibu kwa kuandika makala ya kiarabu ni ili wasome TU waliokuwa na 'ilm. Watu wa kawaida hawastahiki kuskia mana hawajafika upeo huo, hawatoelewa na itawachanganya. Dr. Islam ana hikma sana Allah amhifadhi.
Khalafu Ductor Islam Allaah amuhifadhi, pamoja nawewe Shekh Muhammad, nikwamba ktk upande wa maarifa Ductor yuko juu sana, lkn tu mihemko yao ndio inayo wafanya wakatae fadhila za wenye fadhila
Wnatamani Majadida wakufunge mdomo ewe Akhy ,Allah amekuneema na kauli ,Na watu kukufamhu ,Mashallah Allah azidi kukutia Nguvu Mwalim wetu ,Uendelee kubainisha Uwoza wa Hawa Jamaa ,Aswaafiqa
Usijaribu kuumbuwa mtu ambaye hana ubaya nawe! Mafuta yanayeyushwa leo! Shukran mtoto wa kipenzi chetu Nassor Bachu!.Allah twakuomba tulindie Huyu Sheikh Wetu pamoja na dr.islam!
sheikhe wetu mpenda hawa jamaa inatakiwa wakufate wakuombe ukawasomeshee wanafunzi wao pongwe pia nawao wakae chini wakusikiliza wote unaweza allah akuzidishie elim
Shekh Muhammad Allah akuhifadhi kweli kwa atakae soma hivyo vitabu vya dr.islam kwa umakini na kwa kutafuta haqqi basi ataelewaa alhamndulillah mimi nimesoma vooye na nimefaidi kweli kweli
Allah atazidi kuwadhalilisha wasiokusudia haqi na kufanya kwa ajili yake. Na atazidi kupambanua ni nani msawa na nani anafuata njia isiyo ya sawa kwani daima haqi itaendelea kung'ara na batwil itavuma kidogo kisha ianguke. Ndo tunachoshuhudia hivi sasa. Mola wetu hachezewi Sub-hanahu wata'alah
Kwa kweli nimefurahi sana sheikh Bachu ufafanuzi huu.yaani dr.islam Kwa upole wake Hawa kina mafuta wamemfanya dr.islam awacharaze Kwa ilmu alionayo ambayo kina mafutaa ndio hasad yao inavowatafuna.
Imekuja haki na uongo umejitenga na siku zote uongo ni giza na haki ni nuru. Sheikh Mafuta hebu punguza jazba na wacha kupenda uadui kwa waislam raddi zako unazotoa nyingi zitakuchafua mwenyewe kama hazifuati tartib za kiislam wala kuheshimu waislam wenzako was sunnah ukijaribu kumtia mtu udhalili Allah atakurudishia udhalili kaako siku zotr na watu watakuona aibu zako kaka Mafuta
@@canoksancomprehensivelearn7182 Hili ni funzo kubwa sana Kwa sheikh Kassim Mafuta (Allah amuhifadh) ikiwa kweli yeye anakusudia haqqi. Allah atuongoze sote
. Allah amhifadhi Dr.Islam Mohammad. Na Allah ampe umri mrefu ili azidi kutunufaisha zaidi na elmu aliopewa na Allah. Na kassim mafuta Allah amuoneshe haqi na amuepeshe na kibri.kwani ukiwa na kibri huwezi pata elm ya kisawasawa
Shekh MUHAMAD BACHU HAKUNA SIKU UMENIFURAHISHA ZAIDI KM LEO SIKI ZOTE WANIFURAHISHA ILA HI YALEO NI ZAIDI ALLH AKUHIFADHI NA AKULINDE NA KILA BALAAAA LA DUNIA NA AKUJALIEE HII ILIMU UMETUPA IWE NI SABABU YA WW KUINGIA PEPONI
Kajibu yote kwa fasaha ya hali ya juu sub-hanallah sikutegemea kwa namna nilivokuwa nayaona mazito mpaka nawaza atajibu vipi lkni tizama anavoyavunja kiwepesi ama kweli tutafute ilmu na tukishaipata tumuombe Allah asitujalie kibri
@@MusaNjalolevel. Ya kuhukum. Watu uongo na ujinga. Na mpaka. Kufikia. Hatua. Yakusema duktur Islam Muhammad salimu ALLAH mtukufu amuhifadh. Amuogope. ALLAH subhanah wataalah. ,kumbe. Yy ni mrongo. Na mropokaji. Mkubwa
Asalamu alaykum warahamatulah wabarakaru ikiwa haifai kusikiliza mtu wa bida'a,na mashekhe wa kisalafi wa Tanzania wamesema hawa ni mahizibi? Mbona munamsikiliza huyu mtoa mada na kucoment? Ikiwa Muna wasikiliza mashekhe wakisalafi? Hamuoni munakengeuka kuwafuata mashekhe wenu? Ila inaonekana bado munaitafuta haqi ndio maana munafuaatilia darasa au rududi za Muhammad Bachu Allah amuongoze yeye na sisi inshallah
Mbona Mafuta kakiri kwa UTAFITI WAKE MDOGO. NILICHOONA MIMI NO WIVU UNAWASUMBUA KWANINI Dr.islam Kafika TANGA ....NA MAFUTA HUJIONA TANGA MTAWALA NDIO YEYE. KWANZA ALITAKIWA KASIM MAFUTA ALETE HESHIMA JAPO KWA CHEO CHA DOCTOR. UJUE MPAKA AMEITWA DOCTOR MAANA YAKE NINI.
MASHAALLAH.ÀLLAH ataendelea kuwazalilisha kwakule kuwazulum ndgu zao bila y khaki.Majadida wanatumia kisingizio cha dini kw chuk zao binafs n wla sio maslah y din..
Bacho unajitutumua sana na sheikh abu fadhwil (Allah amuhifadhi) inaonyesha unaingiza pesa ya kutosha you tube kupitia jina lake, Allah akuongoze uwache ujinga.
Aliulizwa sheikh swaleh Al fawzan Allah amuhifadhi . Kuhusu kisa hicho mpka akacheka kwanza, kisha akasema sheikh ' Abu huraira hakuchukua ilmu kwa sheitwan bali alichukua kutoka kwa mtume ile ilmu. Haikuisadikisha moja kwa moja bali aliipeleka kwa mtume alaihi swalatu wa salam salaam.
@@ZakariaBoy-fv3kh Huja hukuzickia au!? Huna la kuongea hapa jadida ww tulia tu dawa ikuingie. Huyo ndio duktuur Islam Sasa kama ulikua humjui. Acheni HASAD jamaa.Allah atuongoze
@@ramadhanramadhan4948nyinyi majadida kaazi kweli kweli yaani hamutaki kuangalia haki tena mnaangalia ushabiki tu,hujaona sheikh Dr Islam amejibu Kwa maandishi yapo kwenye kitabu ,na jee hujaelewa hapo au hujasikiliza mpaka mwisho unetum tu comment kishabiki.mnataabu sanaa nyinyi majadida
Sheikh Qaasim Mafuta Allah amhifadhi Amesema "hakuna mahali sheikh Ibn Utheimin amesema kutokana na hadithi ile ya Abu Hureira basi inajuzu kuchukua ilmu kutoka kwa sheitwan " na ni kweli alivyosema. Kwa hivyo mzunguko wa maneno yote kwenye hii video lakini tukirudi kwa hoja hii kuhusu sharh, maelezo ya hadithi ya Abu Hureira utapata hakuna aalim aliyejuzisha jambo hilo la kuchukua ilm hata kwa sheitwan.
Ujadida ulipoingia mwk 2006-2007,fitna hiyo ilianza kama msichana mbichi(binti kigoli)anaependeza na kufuaatwa na wavulana,lakin miaka ilivyozidi kusonga mbele mpaka leo hii majadida wamekuwa kama nyegere alieachia ushuzi kwenyemzinga wa nyuki wamebaki kulewa kutokana na harufu hawana nguvu tena,
Imekuja haki na uongo umejitenga na siku zote uongo ni giza na haki ni nuru. Sheikh Mafuta hebu punguza jazba na wacha kupenda uadui kwa waislam raddi zako unazotoa nyingi zitakuchafua mwenyewe kama hazifuati tartib za kiislam wala kuheshimu waislam wenzako was sunnah ukijaribu kumtia mtu udhalili Allah atakurudishia udhalili kaako siku zotr na watu watakuona aibu zako kama Mafuta
Sheikh Wetu Weka Number Ya Mpesa Wallhiy Una Stahili Maziwa kwa Kazi Ngumu Unayo Ifanya😢 Na Pia Unahitaji Camera Kubwa Na Kiti Kizuri Uendelee Kutunyooshea Hawa Watu
TEKELEZA ULICHO KIAHIDI NDUGU YANGU NA ALLAH AKUFANYIE WEPESI UKITIMIZE, KAMA UTATAKA NUMBER YAKE MIMI NITAMUULIZA AKIRUHUSU NITAKUPATIA MAANA NAFAHAMIANA NAYE. ILA NAKUSAHJIHISHA TIMIZA UKICHO KITAMANI NI KHERI HIYO
Kumbe Doctor Islam anawajibu kwa vitabu sasa mbona wao hawataki kujibu kwa vitabu bali ni maneno tu aisee Sheikh bachu twakushukur Kwa bayana kwa hawa wanaojinadi kwa elim kumbe ni debe tupu
@@rajabumbendenga5480nyinyi majadida ndio mmekaa kishabiki tu,hamutaki kuangalia haki IPO wapi na nani kakosea anachisema sheikh wenu kila kitu sawa tu.nyinyi ndo mmekaa kishabiki kabisa,fateni haki acheni kukaa kishabiki nyinyi majadida
Yeye kama najiona yupo sawa bac amfanyie raddi nduguye Muhammad mafuta kwa kujiunga na chama cha siasa. Mbona ameufyata? Qassim hayupo pale kwa ajili ya dini yupo kwa ajili ya maslahi, analipwa hadi mshahara
Mimi nakubali na ndivyo ilivyo JAMBO LA HAKI na HIKMA Unawaza kuchukua Kwa mtu yoyote bila kujali nani, sio kwenda kusoma, kwenda kusoma lazima awe mtu sahihi mweye msimamo sahihi katika DINI YA ALLAH
A.ALAYKUM WARAHMATULLAH WABARAKATU... SHEKH NAOMBA NIULIZE SWALI HAPO KWENYE KUSOMA KWA MTU WA BIDAA JE NI ELMU YA DINI TU NDIO HAIFAI KUSOMA KWAKE AU ELMU HATA ELMU YOYOTE????
Inaeleweka Qasim Mafuta kutojua maana ya 'ilmu' na 'haqqi' kwani kiarabu si lugha yake ya mama. Lakini cha kushangaza amewaangusha watanzania wote kwa sababu wanajulikana kukielewa kiswahili vizuri sana lakini yeye ameshindwa kutofautisha baina ya maana ya "kuchukua" na "kutafuta". Chuki ni mbaya jamani inaeza kukusahaulisha lugha yako ya mama
ALLAH A'ZZA WAJALLA Akuhifadhi ndugu yetu kijana wetu Muhammad Bachu. Huyu ndugu Qasim hana Al a'dalatul I'lmiyya. Endelea kumsaidia huenda siku moja ALLAH SUBHANAHU WATAALA Atamponya magonjwa yake moyo kadha wa kadha.
Allah amuhifadhi duktuur Islam nawe kijana mwenzetu akhy Bachu. Uwepo wenu ni neema kubwa sana kutoka kwa Allah mtukufu ktk mwambao huu wa Afrika mashariki na kati kwa wazungumzaji wa kiswahili. Sheikh Kassim mafuta leo amevulika nguo yeye na wafuasi wake mchana kweupeee😅 Allah awaongoze wao na sisi ktk haqqi na atuunganishe tuwe wamoja. Acheni HASAD kwa duktuur amewazidi sanaa.
Mafuta umeyakajaga
@@MustafaChiumbwe😂
Siku mkiacha ushabiki mtabaini utumbo aliouzungumza kwenye hiyo sauti
@@rajabumbendenga5480Ww ukiacha ujadidah utabaini haki au wao?
Allah hakuifazi sheikh muhammad bachu from Moçambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Bachuuuu brooo Allah akulipe kwa kuitetea hadhi ya masheikh wetu wote
Lengo la Dr. Islam kuwajibu kwa kuandika makala ya kiarabu ni ili wasome TU waliokuwa na 'ilm. Watu wa kawaida hawastahiki kuskia mana hawajafika upeo huo, hawatoelewa na itawachanganya. Dr. Islam ana hikma sana Allah amhifadhi.
Khalafu Ductor Islam Allaah amuhifadhi, pamoja nawewe Shekh Muhammad, nikwamba ktk upande wa maarifa Ductor yuko juu sana, lkn tu mihemko yao ndio inayo wafanya wakatae fadhila za wenye fadhila
Wnatamani Majadida wakufunge mdomo ewe Akhy ,Allah amekuneema na kauli ,Na watu kukufamhu ,Mashallah Allah azidi kukutia Nguvu Mwalim wetu ,Uendelee kubainisha Uwoza wa Hawa Jamaa ,Aswaafiqa
ALLAHUMA AMIIN
Allah hakuifazi sheikh muhammad bachu from Moçambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿 88
Usijaribu kuumbuwa mtu ambaye hana ubaya nawe! Mafuta yanayeyushwa leo! Shukran mtoto wa kipenzi chetu Nassor Bachu!.Allah twakuomba tulindie Huyu Sheikh Wetu pamoja na dr.islam!
Allah mrehemu shk NASSIR BHACHO KWANI KATUACHIA DHAHABU,PIA YA RABBI MHIFADHI HUYU MUHAMMADI BHACHU,
Allah atujalie mwisho mwema maana unayemdhania ndiye kumbe siye na Allah akuongoze m bachu ktk haki tuzid kunufaika biidhni llah.
sheikhe wetu mpenda hawa jamaa inatakiwa wakufate wakuombe ukawasomeshee wanafunzi wao pongwe pia nawao wakae chini wakusikiliza wote unaweza allah akuzidishie elim
Shekh Muhammad Allah akuhifadhi kweli kwa atakae soma hivyo vitabu vya dr.islam kwa umakini na kwa kutafuta haqqi basi ataelewaa alhamndulillah mimi nimesoma vooye na nimefaidi kweli kweli
Allah amhifadhi Dr.ilsam na wew pia akhy muhammad bachu leo umejua kutupa faida tena yenye ladha nzuri sana
Allah atazidi kuwadhalilisha wasiokusudia haqi na kufanya kwa ajili yake. Na atazidi kupambanua ni nani msawa na nani anafuata njia isiyo ya sawa kwani daima haqi itaendelea kung'ara na batwil itavuma kidogo kisha ianguke.
Ndo tunachoshuhudia hivi sasa. Mola wetu hachezewi Sub-hanahu wata'alah
Duktur islam twampenda na tunamuamini sana ... Allah amuhifadhi azidi kutupatia ilmu yenye manufaa
Kwa kweli nimefurahi sana sheikh Bachu ufafanuzi huu.yaani dr.islam Kwa upole wake Hawa kina mafuta wamemfanya dr.islam awacharaze Kwa ilmu alionayo ambayo kina mafutaa ndio hasad yao inavowatafuna.
Imekuja haki na uongo umejitenga na siku zote uongo ni giza na haki ni nuru. Sheikh Mafuta hebu punguza jazba na wacha kupenda uadui kwa waislam raddi zako unazotoa nyingi zitakuchafua mwenyewe kama hazifuati tartib za kiislam wala kuheshimu waislam wenzako was sunnah ukijaribu kumtia mtu udhalili Allah atakurudishia udhalili kaako siku zotr na watu watakuona aibu zako kaka Mafuta
@@canoksancomprehensivelearn7182 Hili ni funzo kubwa sana Kwa sheikh Kassim Mafuta (Allah amuhifadh) ikiwa kweli yeye anakusudia haqqi. Allah atuongoze sote
Allah akupe ikhlas,fasaha zaidi na umri wenye manufaa....amiin
Mwamba unachimba madini mnooo Allah akuhifadhi amiin
Kila wenye akili atafahamu labda hataki ukweli. Shukran kwa maelezo ya wazi kabisa.
Hii raddi ni ya kielim sio kukurupuka Allah akuhifadhi Shekh Muhamma
Jazakallahu khaira yani akhu Allah akuweke miaka na miaka maana wewe kiboko ya majeuri wenye chuki kama ndugu yetu mafuta
Mashallah Tabarakallah,, Allah akuhifadh shehk Muhammad Bachu
. Allah amhifadhi Dr.Islam Mohammad.
Na Allah ampe umri mrefu ili azidi kutunufaisha zaidi na elmu aliopewa na Allah.
Na kassim mafuta Allah amuoneshe haqi na amuepeshe na kibri.kwani ukiwa na kibri huwezi pata elm ya kisawasawa
Shekh MUHAMAD BACHU HAKUNA SIKU UMENIFURAHISHA ZAIDI KM LEO SIKI ZOTE WANIFURAHISHA ILA HI YALEO NI ZAIDI ALLH AKUHIFADHI NA AKULINDE NA KILA BALAAAA LA DUNIA NA AKUJALIEE HII ILIMU UMETUPA IWE NI SABABU YA WW KUINGIA PEPONI
Amen yaa rabbi 🤲🤲🤲
Amiin amiin
A alaikum warahmatullah wabarakaatuh
Amin
Allaahumma Amiiin
Baarakallahu fiik ustadh wetu kwa kutuelewesha hakki ndio ilmu... Allah akuhifadhi na akuongoze daima.
Mashallah sh Muhammad Bachu
Yaa Allah mmiminie baraka sheikh Nassor Bachu kaburini pake!..
Allah barik. Usiombe uingie mwenyewe 18 za bachu
Wallah Allah akuhifadhi sheikh Bacho,nakupenda sana
Jazakallahu kheir sheikh kwakutuelimisha MAASHAA ALLAH
بارك الله فيك يا شيخ، وزادك الله في علمك.
Allah amlinde duktur Islam
Kajibu yote kwa fasaha ya hali ya juu sub-hanallah sikutegemea kwa namna nilivokuwa nayaona mazito mpaka nawaza atajibu vipi lkni tizama anavoyavunja kiwepesi ama kweli tutafute ilmu na tukishaipata tumuombe Allah asitujalie kibri
Kwelii kajibu kiwepesii sana ductur islam ana elimu lakinii hana kibrii Allah Amhifadhii
Naomba kitabu kama unacho@@NaduuAbdilah-uj5vj
Jazaakallahu khairaa Sheikh Muhammad,
Taratibu tutafika In Shaa Allah. Usiache kutoa ufafanuzi mahala na wakati wa haja.
Asalam alaykum warhamatullah wabarakatu mashaallah kitabu Cha Dr Islam mhammad Allah awahifadhi wte kinaitwa vp nataka kukisoma
😂😂😂😂 Qasimu mafuta anavuliwa nguo. Na AL . AKHY Muhammad bachu ALLAH mtukufu amuhifadh
Mafuta level nyingine achana na huyo mropokaj wako
@@MusaNjalolevel. Ya kuhukum. Watu uongo na ujinga. Na mpaka. Kufikia. Hatua. Yakusema duktur Islam Muhammad salimu ALLAH mtukufu amuhifadh. Amuogope. ALLAH subhanah wataalah. ,kumbe. Yy ni mrongo. Na mropokaji. Mkubwa
@@MusaNjaloduh 😂😂😂😂😂 ushabiki ni uvundo isee
Level nyingine ya HASAD na UJINGA na UJADIDA sio😂@@MusaNjalo
@@hafidhwajina6718Hawa majadida ni mtihani sheikh yani wao ni kama nyumbu tu Allah atuongoze sisi na wao ktk haqqi
Asalamu alaykum warahamatulah wabarakaru ikiwa haifai kusikiliza mtu wa bida'a,na mashekhe wa kisalafi wa Tanzania wamesema hawa ni mahizibi? Mbona munamsikiliza huyu mtoa mada na kucoment? Ikiwa Muna wasikiliza mashekhe wakisalafi? Hamuoni munakengeuka kuwafuata mashekhe wenu? Ila inaonekana bado munaitafuta haqi ndio maana munafuaatilia darasa au rududi za Muhammad Bachu Allah amuongoze yeye na sisi inshallah
Sawa kabisa ibn bachu ck hzi unaeleweka sana
yaan sanaaa ❤❤❤
Allah akuhifadhi mwanangu akupe mwisho mwema inshaallah
Sheikh Bachu Allah akuhifadhi Qasim mafuta inaonekana wazi yeye anachuki na wasomi wanao mzidi
@@kipandeseifu3755 Hilo liko waz sheikh! Anasumbuliwa na hasad Allah amuongoze!
wewe kweli kipande maana akili ni kipande pia elimu unapima kwa nini?
@@AymanRuhayrunikweli kwani wewe unapimaje??
Maashallah shekh njoo nikuozeshe Dada yangu
Mbona Mafuta kakiri kwa UTAFITI WAKE MDOGO.
NILICHOONA MIMI NO WIVU UNAWASUMBUA KWANINI Dr.islam Kafika TANGA ....NA MAFUTA HUJIONA TANGA MTAWALA NDIO YEYE.
KWANZA ALITAKIWA KASIM MAFUTA ALETE HESHIMA JAPO KWA CHEO CHA DOCTOR.
UJUE MPAKA AMEITWA DOCTOR MAANA YAKE NINI.
Marshallah hawa vijana Wana faida kubwa sana katika Allah awalipe
ALLAH AKUWEKE UTETEE HAKI SIKU ZOTE KWAJILI YA ALLAH INSHA ALLAH
Allah awahifadhi na kuwapa elimu kubwa na umri mrefu papaneni kwa ajili ya allah mafuta ukifa na hali uliyo motoni
Usiseme,mafuta motoni,yeye ni muisilamu na ni sheikh wa kundi la watu,sema Allah amuongoze yeye na sisi na Allah amuongoze asitukane mashekh wa kweli
MASHAALLAH.ÀLLAH ataendelea kuwazalilisha kwakule kuwazulum ndgu zao bila y khaki.Majadida wanatumia kisingizio cha dini kw chuk zao binafs n wla sio maslah y din..
Subhanallah Kasim mafuta uwombe msamaha kwakwel
فرَّج الله همك، وقضى دينك، وأسعدك في الدنيا والآخرة "♥"🤲🏽❤
Barakallah fiik ya shekhuna
Sasa Mtoto wa Bachu umekua na naona unaendelea kusoma Allah akujaalie aaamin
Sheikh Muhammad bachu twaomba utusomehe kitabu Cha Dr Islam alichomraddi humeid nacho tunufaike na tujue iftaraaty zao
ATUKUTANISHE SOTE NA MTUME WETU PAMOJA NA MASHEKH WETU KINA DR ISLAM ALLH AWAHIFADHI
Ameen
Allah akulipe kheri muhammad bachu.❤❤
Sheikh Allah akubaarik naomba ufanye bahthi na ukifanyie haashia icho kitabu chake
Mashaa Allah kaka! Chuki na ananiyya ndo tatizo la baadhi ya mashekhe! Baaraka llahu fiikum!Allah awahifadhi ili mufaidishe umma!
Bacho unajitutumua sana na sheikh abu fadhwil (Allah amuhifadhi) inaonyesha unaingiza pesa ya kutosha you tube kupitia jina lake, Allah akuongoze uwache ujinga.
Sheikh Muhammadi Bachu umeupiga mwingi
Allah atakuhukumu kwa ftna yako
Yaaani Qasimu mafuta ALLAH Amuongoze atoa. Hizo chuki zake na ujinga wake alokua nao.
Ni hassad na ujinga wake tu ndio leo anadhalilika hapa😅
Mashek wote nawapenda kwa ajili ya Allah ,Allah atuongoze.
Shukran Sheikh wangu
Mashallah shekh mungu akupe umli mrefu na akuzidishie elimu
Aliulizwa sheikh swaleh Al fawzan Allah amuhifadhi . Kuhusu kisa hicho mpka akacheka kwanza, kisha akasema sheikh ' Abu huraira hakuchukua ilmu kwa sheitwan bali alichukua kutoka kwa mtume ile ilmu. Haikuisadikisha moja kwa moja bali aliipeleka kwa mtume alaihi swalatu wa salam salaam.
@@ZakariaBoy-fv3kh Huja hukuzickia au!? Huna la kuongea hapa jadida ww tulia tu dawa ikuingie. Huyo ndio duktuur Islam Sasa kama ulikua humjui. Acheni HASAD jamaa.Allah atuongoze
Eti alichukuwa ilmu kwa mtume kwani sisi saiv hatuna marejeo ya kusadikishia?
@@IbnuAlly-wm8il naam alisadikisha kwa mtume, hakumuamini sheitwan. Aliyasadiki maneno ya mtume.
@@mbjunior166 huyu ni kihere here ajibu Dr Islam mwenyewe mana huyu hatojibiwa na abul fadhil mana lengo la huyu ni umaarufu
@@ramadhanramadhan4948nyinyi majadida kaazi kweli kweli yaani hamutaki kuangalia haki tena mnaangalia ushabiki tu,hujaona sheikh Dr Islam amejibu Kwa maandishi yapo kwenye kitabu ,na jee hujaelewa hapo au hujasikiliza mpaka mwisho unetum tu comment kishabiki.mnataabu sanaa nyinyi majadida
بارك الله فيك وحفظكم الله ورعاكم
Sheikh nassor ameacha mrithi wake kielim
It's really something.God bless you.
Nimefurah sana kwa hii clip
Asalamualaikum jamani tutulize ndimi zetu tusiwasemevibaya walimu hapa tuchukueni elimu Allah awaongoze ktk usawa
Tumuombee mungu amuongoze aondoe chukikwa Wana zuoni
Tumuombee nani?
@@YaezeyBurhnyshekh kasim mafuta ndo aombewe duwa aondokewe na hasad
Bachu unaeleweka na wenye akili zao ktk hili..ukweli huwa haupingiki unaingia moja kwa moja akilini
Nakupenda kwaajili ya ALLAH ewe Muhammad bachu❤
Sheikh Qaasim Mafuta Allah amhifadhi Amesema "hakuna mahali sheikh Ibn Utheimin amesema kutokana na hadithi ile ya Abu Hureira basi inajuzu kuchukua ilmu kutoka kwa sheitwan " na ni kweli alivyosema. Kwa hivyo mzunguko wa maneno yote kwenye hii video lakini tukirudi kwa hoja hii kuhusu sharh, maelezo ya hadithi ya Abu Hureira utapata hakuna aalim aliyejuzisha jambo hilo la kuchukua ilm hata kwa sheitwan.
Ujadida ulipoingia mwk 2006-2007,fitna hiyo ilianza kama msichana mbichi(binti kigoli)anaependeza na kufuaatwa na wavulana,lakin miaka ilivyozidi kusonga mbele mpaka leo hii majadida wamekuwa kama nyegere alieachia ushuzi kwenyemzinga wa nyuki wamebaki kulewa kutokana na harufu hawana nguvu tena,
Umepiga katika mshono sheikh Muhammad bachu tumekuwelewa kasimu ni wazimu mafuta ya nazi
Ni hakika sheikh😅 Allah atuongoze sisi na wao
@@mbjunior166 Allahuma ameyn
😂
Nawanasihi majadida wenzangu tuchukuwe elimu kwa walimu wetu ILA USULUBU. wao tusichukuwe .....
Nadhani imefahamika
Uko sawa kielimu wako sawa inafaa
@@issaabdallah1205 Umesema sawa kbs sheikh. Allah atuongoze sote!
Bachu ni jinga sana
Mashaallah Allah akuhifadhi akhy Muhammad
Bachu, ukiona qasim anakujibu, ujue unayo yasema n mambo ya sawa na ya kielim.
Nakama kasimu mafuta anaelimu kweli basi amekosa hekma,au anakiburi na anafikiri Kila kauli yake ni swawabu tofauti na hata wanazuoni
Imekuja haki na uongo umejitenga na siku zote uongo ni giza na haki ni nuru. Sheikh Mafuta hebu punguza jazba na wacha kupenda uadui kwa waislam raddi zako unazotoa nyingi zitakuchafua mwenyewe kama hazifuati tartib za kiislam wala kuheshimu waislam wenzako was sunnah ukijaribu kumtia mtu udhalili Allah atakurudishia udhalili kaako siku zotr na watu watakuona aibu zako kama Mafuta
Sheikh Wetu Weka Number Ya Mpesa Wallhiy Una Stahili Maziwa kwa Kazi Ngumu Unayo Ifanya😢 Na Pia Unahitaji Camera Kubwa Na Kiti Kizuri Uendelee Kutunyooshea Hawa Watu
Sahihii kabisaaa
TEKELEZA ULICHO KIAHIDI NDUGU YANGU NA ALLAH AKUFANYIE WEPESI UKITIMIZE, KAMA UTATAKA NUMBER YAKE MIMI NITAMUULIZA AKIRUHUSU NITAKUPATIA MAANA NAFAHAMIANA NAYE. ILA NAKUSAHJIHISHA TIMIZA UKICHO KITAMANI NI KHERI HIYO
Bingwa wa kutoa na kupangua hoja,baaraka llahu fik
Wallaah Masheikh zetu acheni chuki baina yetu na chuki ndio inatupelekeeni kuto kuniona Haqi
Bachu ni mbabaishaji sanaaaa Allah akuhifadhi.
HASHUO LAKO HILO WAPOTEZENI WASIOJUWA TUNAOFAHAMU HAMNA
@@zahrannassor5184 ubabaishaji wake uko wapi bainisha
Allah atuongoze ndugu zangu waislam tuifate haqq
@@SalumKeya Ameen
MASHA ALLAH BACHU
Kumbe Doctor Islam anawajibu kwa vitabu sasa mbona wao hawataki kujibu kwa vitabu bali ni maneno tu aisee Sheikh bachu twakushukur Kwa bayana kwa hawa wanaojinadi kwa elim kumbe ni debe tupu
Hivi unaongea kidini au ushabiki tu
@@rajabumbendenga5480 kidini
Au ulitaka aanze na Bismillah ndo iwe kidini?
"Hizb salafy ni wajinga kufahamu ibara za wanazuoni"
@@rajabumbendenga5480 dini Kwani huoni bayana hii au umekunywa bendera ya pongwe
@@rajabumbendenga5480 Ww ndy shabiki jadida mwenye hasad na taasub za kijinga
@@rajabumbendenga5480nyinyi majadida ndio mmekaa kishabiki tu,hamutaki kuangalia haki IPO wapi na nani kakosea anachisema sheikh wenu kila kitu sawa tu.nyinyi ndo mmekaa kishabiki kabisa,fateni haki acheni kukaa kishabiki nyinyi majadida
Hawakuwezi hawakuwezi kwa hoja kwa Uwezo wa Allah watajificha wapi jamani
الله يبارك فيناو يهدينا جميعًا إلي الحق
Qasim Mafuta Bora angekaa kimya Hapa anavuliwa nguo anabaki mtupuu kwenye hili
@@kipandeseifu3755 Swahiih sheikh😂
Kassim mafuta anakibur sana ywajiona yeye yuko sawa kwa kilakitu,,naushabiki mwingi tuu yan ywaona wenzake wooooteeeee,hawakusoma yeye ndio msomi
Yeye kama najiona yupo sawa bac amfanyie raddi nduguye Muhammad mafuta kwa kujiunga na chama cha siasa. Mbona ameufyata? Qassim hayupo pale kwa ajili ya dini yupo kwa ajili ya maslahi, analipwa hadi mshahara
Mimi nakubali na ndivyo ilivyo JAMBO LA HAKI na HIKMA Unawaza kuchukua Kwa mtu yoyote bila kujali nani, sio kwenda kusoma, kwenda kusoma lazima awe mtu sahihi mweye msimamo sahihi katika DINI YA ALLAH
Leo nimekubali
Waleykum salam warahmatullah wabarakatuh
Ustadh bachu wafunze hao ma ccm
وجزاك الله خيرا
A.ALAYKUM WARAHMATULLAH WABARAKATU...
SHEKH NAOMBA NIULIZE SWALI HAPO KWENYE KUSOMA KWA MTU WA BIDAA
JE NI ELMU YA DINI TU NDIO HAIFAI KUSOMA KWAKE AU ELMU HATA ELMU YOYOTE????
Naona munakulana nyinyi kwa nyinyi mawahabi
Inaeleweka Qasim Mafuta kutojua maana ya 'ilmu' na 'haqqi' kwani kiarabu si lugha yake ya mama.
Lakini cha kushangaza amewaangusha watanzania wote kwa sababu wanajulikana kukielewa kiswahili vizuri sana lakini yeye ameshindwa kutofautisha baina ya maana ya "kuchukua" na "kutafuta".
Chuki ni mbaya jamani inaeza kukusahaulisha lugha yako ya mama
Allah atufanyie wepesi
Huyo ndio ductur islam sasaa shida ya qasim mafuta ni wana muonea husda ductur islam
@@NaduuAbdilah-uj5vj Naam Naam!
Hilo pia Inawezekana