Sheikh haji upepo “Namppa challenge Muhammad Bachu unijibu au utujibu, ni lini maswahaba wa Mtume, Mtume Muhammad ﷺ au wanafunzi wa maswahaba, waliweka makongamano ya kukaribisha mwezi wa ramadhani, wakawaweka waislam wakawa na ratiba zao kongamano litakua na siku flani na Ni lini llifanywa mkusanyiko wa namna hii au ulifanywa na maswahaba wa Mtume, Mtume Muhammad ﷺ au wanafunzi wa maswahaba ni LINI?” Ni Lini Maswahaba walifanya makongamano? Akasema hii ni bidah ya wazi 😂😂 KUPOKEA MWEZI WA RAMADHANI KWA MAKONGAMANO Tupe jibu sheikh kama una dalili hoja ni kitabu na sunnah kwa ufahamu wa Waja wema waliotangulia 😅
Unachoulizwa cio unachojibu nilini kongamano au mkusanyiko wakaja masheihk mbalimbali wakaongea kama masahaba au tabi tabingiina huu mkusanyiko ndio anaolizza? Hajapingana na yanayozungumzwa;
Asalamu alykum Vipi hali ndugu ktk imani, hivi kongamano maana yake nini...? Mana hadithi yasema alituhutubia mtume s.a.w ( je alihutubu msikitini ktk sala ya ijumaa au alihutubia ktk kongamano...? ) علمنا مما علمكم الله رشدا
Sheikh haji upepo “Namppa challenge Muhammad Bachu unijibu au utujibu, ni lini maswahaba wa Mtume, Mtume Muhammad ﷺ au wanafunzi wa maswahaba, waliweka makongamano ya kukaribisha mwezi wa ramadhani, wakawaweka waislam wakawa na ratiba zao kongamano litakua na siku flani na Ni lini llifanywa mkusanyiko wa namna hii au ulifanywa na maswahaba wa Mtume, Mtume Muhammad ﷺ au wanafunzi wa maswahaba ni LINI?” Ni Lini Maswahaba walifanya makongamano? Akasema hii ni bidah ya wazi 😂😂 KUPOKEA MWEZI WA RAMADHANI KWA MAKONGAMANO Tupe jibu sheikh kama una dalili hoja ni kitabu na sunnah kwa ufahamu wa Waja wema waliotangulia 😅
Sheikh haji upepo “Namppa challenge Muhammad Bachu unijibu au utujibu, ni lini maswahaba wa Mtume, Mtume Muhammad ﷺ au wanafunzi wa maswahaba, waliweka makongamano ya kukaribisha mwezi wa ramadhani, wakawaweka waislam wakawa na ratiba zao kongamano litakua na siku flani na Ni lini llifanywa mkusanyiko wa namna hii au ulifanywa na maswahaba wa Mtume, Mtume Muhammad ﷺ au wanafunzi wa maswahaba ni LINI?” Ni Lini Maswahaba walifanya makongamano? Akasema hii ni bidah ya wazi 😂😂 KUPOKEA MWEZI WA RAMADHANI KWA MAKONGAMANO Tupe jibu sheikh kama una dalili hoja ni kitabu na sunnah kwa ufahamu wa Waja wema waliotangulia 😅
Sheikh haji upepo “Namppa challenge Muhammad Bachu unijibu au utujibu, ni lini maswahaba wa Mtume, Mtume Muhammad ﷺ au wanafunzi wa maswahaba, waliweka makongamano ya kukaribisha mwezi wa ramadhani, wakawaweka waislam wakawa na ratiba zao kongamano litakua na siku flani na Ni lini llifanywa mkusanyiko wa namna hii au ulifanywa na maswahaba wa Mtume, Mtume Muhammad ﷺ au wanafunzi wa maswahaba ni LINI?” Ni Lini Maswahaba walifanya makongamano? Akasema hii ni bidah ya wazi 😂😂 KUPOKEA MWEZI WA RAMADHANI KWA MAKONGAMANO Tupe jibu sheikh kama una dalili hoja ni kitabu na sunnah kwa ufahamu wa Waja wema waliotangulia 😅
Maasha Allah akhy wafunze adab za dawaa Hao ,nimeanza kupat upole flani ktk moyo wngu juu ya upole wako wa ufasaha wa kutoa elm kwa utulivu Allah akuhifadh na Shari za viumbe

@HassanIddy-v1b alama gani ilio kuthibitishia kua mm sina elimu nawewe umejaa elimu ndio ukajua kua mimi sina elimu? Kwani wanijua na maisha yangu wayajua, na kazi zangu wazijua?
@HassanIddy-v1b Uzushi lazima uanguke mbele ya Sunnah, hata mufanyeje watu wanaelewa uoza wenu na wanaachana nao. Na miongoni mwa hao ni mm. Mwanzo nilikua sufi nilie athirika sana na fikra za kisufi, kizushi, lkn Alhamdu lillaah, niliacha uzushi na kundi kubwa la familia yangu waliacha uzushi kupitia mm baada ya tawfeeq ya Allaah Azza Wajalla
Wallaahi watu wa B'daa ni khattari sana ktk jamii yetu ya uislam...yaani wamekosa hoja ktk b'daa zao matokeo yake wanakurupuka kuleta hoja ya vitu volivyo sahihi...
Napenda unavo somesha walah siku zote ukiwa mkwer wa mambo wengi watakuchukia kwa sababu unawahalibia lakin pia siku zote batir imebeba watu wengi sana kuliko haki hii ndo sababu mpaka sas madrasani hatupewi elimu ya kishelia ila tunafumbw fumbwa tu, Alhamdurlah alla kur har kweny vipindi hivi tunaelimika sana kwakwer
Wallah sheikh bachu nakupend tu ila ndo yale uloyasema wakirusha wao mawe kw nguvu zao wanaona raha ukilidaka hlf ukawarushia wao wanakwambia unawapiga kw nguvu yaan wao walianza dharau na ww wajibu hivyo hivyo ila plz bachu naomba tu upunguze ukali kdg maana naskiliza mawaidha yako mpk nawaonelea huruma namna unavyowajibu wallah
Kwakweli namna tulivyo shughulishwa na mambo mengi unaweza ukashtuka unambiwa kesho ramadhan JAMBO HILI LA KUKUMBUSHANA KAMA ILIVYO SUNNA YA MTUME NIJAMBO ZURI SANA
Me nilimwambia upepo kwnz kabla ya kuongea fwatilia vzr ili usije ukadhalilika hlf eti anafananisha kongamano na maulid hapo ndo nikajua km waabudia makaburi hakuna k2 zaid ya porojo tu
Sheikh haji upepo “Namppa challenge Muhammad Bachu unijibu au utujibu, ni lini maswahaba wa Mtume, Mtume Muhammad ﷺ au wanafunzi wa maswahaba, waliweka makongamano ya kukaribisha mwezi wa ramadhani, wakawaweka waislam wakawa na ratiba zao kongamano litakua na siku flani na Ni lini llifanywa mkusanyiko wa namna hii au ulifanywa na maswahaba wa Mtume, Mtume Muhammad ﷺ au wanafunzi wa maswahaba ni LINI?” Ni Lini Maswahaba walifanya makongamano? Akasema hii ni bidah ya wazi 😂😂 KUPOKEA MWEZI WA RAMADHANI KWA MAKONGAMANO Tupe jibu sheikh kama una dalili hoja ni kitabu na sunnah kwa ufahamu wa Waja wema waliotangulia 😅
Haji upepo sis tulikua tunasubir mjadala mbona umekimbia kisha unakuja kwa namna za hali km hivi Dj side kakimbia mkamtoa mhanga diwan mpaka kakufur ebu njoo live jmn watu wenu wapo njia panda tauhid imeitwa ni ukatoliki ebu mkuje
@@Abutwalhamwanyuki Sheikh haji upepo “Namppa challenge Muhammad Bachu unijibu au utujibu, ni lini maswahaba wa Mtume, Mtume Muhammad ﷺ au wanafunzi wa maswahaba, waliweka makongamano ya kukaribisha mwezi wa ramadhani, wakawaweka waislam wakawa na ratiba zao kongamano litakua na siku flani na Ni lini llifanywa mkusanyiko wa namna hii au ulifanywa na maswahaba wa Mtume, Mtume Muhammad ﷺ au wanafunzi wa maswahaba ni LINI?” Ni Lini Maswahaba walifanya makongamano? Akasema hii ni bidah ya wazi 😂😂 KUPOKEA MWEZI WA RAMADHANI KWA MAKONGAMANO Tupe jibu sheikh kama una dalili hoja ni kitabu na sunnah kwa ufahamu wa Waja wema waliotangulia 😅
Lakini sheikh wallahi nakupenda Lillahi bure. Ulivyowavaa hawa majamaa hawawezi lala. Wanajaribu njia zote wameshindwa. Kila mmoja anajaribu anamaliza anampisha mwenzake. Mwanzo alikuwa alhatimy, akaja sabas alkubra, akaja ustadh Saidi, akaja yule wa taqsimul tauhid, sasa ni upepo, lakini sasa ubao wa kila siku ni Yusuf Diwani.
Mtto wa simba mashaallah mung akuzidishie elimu, wako wap kina Izuduni, sababs alkubra, usts said wa mambrui, etc hhhhhh mashaallah wafundishe hao Dini ipoj na waache kufata mila za mababu na mababa zao hayo wazinduke tunakobenda mbal xan 😢
Kiukweli naudhika sana nafsini mwangu nikimuona huyu mtoto wa bangi au diwani wasaka tonge hawa wameweka picha ya Shekh yeyote ktk Mashaayikh wa Sunnah na kutangaza eti wanafanya raddi, au vioja vya mawahabi...... Na napita tu wala siangalii siku hizi, kwa sbb nime gundua ujinga na upumbavu wa watu hawa waweza kukutia kwenye ujinga kama wao, maana waweza kuandika vitu vizito kwa ujinga wao. Ila hapa Maashaa Allaah naam ,naweka nanga naskiza vioja vyake huyu mwana wa bangi aliekuzwa na kulelewa kibangibangi nae akakua kwenye malezi ya bangi na akajipa mamlaka ya kuizungumzia Dini kwa akili mbovu zilizo changanyika na uzushi, na bangi. Natega sikio kuskiza namna unavyo tibiwa mwehu wewe. Shekh Muhammad Wallaahi tuko pamoja kwa wajinga kama hawa na wazushi kama hawa, ambao uzushi wao hawana njia ya kuutetea, sasa wanarapa na kutafuta kitu japo kidogo alimradi tu waambiwe wamesema, hali yakua hawana elimu....
Kwani kaka bangi inajificha? Ukitakakujuwa huyo haji yuko hivyo,kunasiku kamwita mwanachuoni mkubwa Ambae ni sheikh ibni uthaymiin kamsma eti ni mvutabangi😢😢 mpaka hapa hujajuwatu kuwa akilizake SI mzima?
@@HassanIddy-v1b nafikir kila upande huwa na tabia ya kumtusi shekhe wa upande fulani nashindwa kuelewa ni mtazamo gani wa dini unao ruhusu haya tubadilike tusimpe nafas ibilis tukajua twamfurahia mtume kumbe tumetekwa na ibilis
Nikweli ulisemalo lakini kaka kunawakati utaijuwatu kwamba huyu Fulani haya manenoyake yamekaa kichukichukitu ndio tafsiri inakuja kuwa huyu huwenda anatuumia kilevi fulani
Lahaulawala quwata ilaa bilahi. Mtume alwabashiria maswahaba kuingia kwa Ramadhani bila kuandaa Kongamano. Suna hiyo ndiyo kawaida ya maimamu wote kwenye misikiti yao na kwa kufanya hivyo hawajafanya Kongamano. Kongamano linahusisha bajeti, mialiko ya wahadhiri na wasikilizaji kutoka sehemu mbalimnali, kutengenezwa ratiba na kuwapo mwendesha ratiba. Mara nyingi huwapo mgeni rasmi n.k. Mada huwa ni yoyote iliyofikiriwa na waandaaji. Kongamano kwa sifa na maelezo yake kama ilivyo si jambo kafanya mtume wala sahaba wala maimamu wanne maarufu wa ahlisunna walnamaa. Ni Kongamano ndiyo bidaa si imamu msikitini kwake kuwabashiria waumini juu ya ujio wa Ramadhani. Hiyo siyo hadithi ya Kongamano bali ni hadithi ya kuwabashiria waumini juu ya ujio wa ramadhani. Toa haditthi ya Kongamano shekhe. Kwa kusema zama hizo haikuwepo haja maana yake Kongamano pia halikuwepo bali limebuniwa kukidhi mahitaji ya zama tu. Basi hoja hiyo peke yake ni uthibitisho wa kuwa Kongamano ni bidaa. Toshekeni basi na kila imamu kuwabashiria waumini kuingia kwa Ramadhani.Yanini basi kufanya Kongamano ambalo si mtume tu bali hata maswahaba na tabiina na tabii tabiina hawakufanya ?
Hapo sasa utofaut wa uwelewa na ufahamu kwasasabu pengine jina wakati wa mtume hawakuita kongamano pengine hapo uwelewa ndio imekua shida maana majibu hayohyo yakitolewa na upande wapili hmkubali
hujaelewa uwe unajifunza kuelewa! anachosema sheikh ni kwamba wakati wa mtume ulitaka mtume aite masheikh gani sasa!?? kulikuwa hakuna sababu kama vile wakati wa mtume hawakujengea uzio makaburi ya waislamu je na sisi leo tusijengee ukuta au uzio kwenye maeneo ya makaburi yetu tuyaache watu wakafanyie uhuni au tuyajengee uzio!?? jibu ni kuwa tunajengea uzio eneo la makaburi na sio bidah na gate tunaweka ikiwezekana na walinzi kabisa! kwa hivyo sio kila jambo ambalo mtume hakufanya ni bidah!
Yani Bachu kwa kuwa Allah amekuruzuku ufasaha wa kinywa basi unawafanya wafuasi wako utakavyo, umesahau kabisa kuwa Allah atakuja kukuuliza juu ya neema hyo, unafahamu ukweli lkn unapindisha wazi wazi ITTAQILLAH
Maulid moja kwa moja hayamo katika uislam lakini ilipokuja la kongamano likasemwa kuwa " kongamano, yaani kuwakusanya watu kuwapa bishara kwa ajili ya kuja kwa ramadhani" maneno meeeeengi kulipmba
Nakunukuu "Kongamano yaani kuwakusanya watu mwisho wa mwezi wa shaaban kuwapa mawaidha" hii ipo ila kongamano kuwakusanya watu kutoa mawaidha, kusoma Quran, kumwalia mtume bi maana MAULID haipo Yaani waikataa O waikubali 0
Tatizo ni kwamba hawo Masufi wanatafuta kukitetea wanacho kipenda. Na kutaka kuafahamisha watu kwamba na Answar sunnat pia wana bidaa zao. Wanajua ya kwamba kongamano sio bidaa lakini wanataka kukusafisha
mm sishabikii upande wowote lakini nakushauri vijana hebu acheni malumbano yasiyokuwa na maana maana halihii inakupeleeni kwenye Ria japomwajiona mposawa,
yan anayoyasema shekh sio ya sawa au vp, riya pia yatokea wap? unapata wap ilmu ya kusema mtu anafanya riya? riya ipo moyon mwa mtu yeye ndo shuhuda wa nàfs yake
Unajua kaka sisi tunajua KONGAMANO ni mkusanyiko wa watu unaotoa mafunzo fulani ama unaojadili kitu fulani. Lakini unapozungumzia MAULIDI inakuwa ni sherehe za mazazi ya Mtume Muhammmad (S.A.W) kitu ambacho hakikufanyika wakati wa Mtume na hata Maswahaba wake.
Allah akuhifadhi Sheikh Muhammad Bacho, umekua sbb ya kuzuiya uzushi usienee kwa kasi
Maashaallah sheikh wetu Mohammad Bachu Allah akuongoze ww na nasisi tunaopata faida kupitia ww
Jazaakallaahu kheir shekh Bachu azidi kukubaarki uzidi kutuelimisha ktk mas ala ya dini
Alhadulilah sheikh Bacho, umeituliza nafasi yangu . Nilimsikia jana huyo bwana kw maneno yasio nadalili. Nawaambia ndugu zangu, kila mnapomgusa sheikh Bacho wengi tunafaidika, nyinyi mnaongozwa na kebehi ,matusi maneno yasionadalili, mwenzenu,anasimama na aya na hadithi,hamuwezi kufanananae.nyinyi endeleeni nasi tuendelee kunufaika.WABILLAH TWAUFQ.
Huwezi kumpinga mtu unayempenda atakama ataongea pumba
Sheikh haji upepo “Namppa challenge Muhammad Bachu unijibu au utujibu, ni lini maswahaba wa Mtume, Mtume Muhammad ﷺ au wanafunzi wa maswahaba, waliweka makongamano ya kukaribisha mwezi wa ramadhani, wakawaweka waislam wakawa na ratiba zao kongamano litakua na siku flani na
Ni lini llifanywa mkusanyiko wa namna hii au ulifanywa na maswahaba wa Mtume, Mtume Muhammad ﷺ au wanafunzi wa maswahaba ni LINI?”
Ni Lini Maswahaba walifanya makongamano? Akasema hii ni bidah ya wazi 😂😂
KUPOKEA MWEZI WA RAMADHANI KWA MAKONGAMANO
Tupe jibu sheikh kama una dalili
hoja ni kitabu na sunnah kwa ufahamu wa Waja wema waliotangulia 😅
Unachoulizwa cio unachojibu nilini kongamano au mkusanyiko wakaja masheihk mbalimbali wakaongea kama masahaba au tabi tabingiina huu mkusanyiko ndio anaolizza? Hajapingana na yanayozungumzwa;
Tatizo we nishabiki wa bachu kichwa chako na chake vinaendan hujielew pmj nae
Asalamu alykum Vipi hali ndugu ktk imani, hivi kongamano maana yake nini...?
Mana hadithi yasema alituhutubia mtume s.a.w ( je alihutubu msikitini ktk sala ya ijumaa au alihutubia ktk kongamano...? )
علمنا مما علمكم الله رشدا
Tupo pamoja Shekh letu Bachu Allah akufanyie wepesi
Allah akuzidishie kher Sheikh Bachu pamoja na Sisi tunapata faida sana Masha Allah
Allah amzidishie na ampe umri mrefu shekh Muhammad bachu ili azidi kutuelimisha
Bachu Mitano tena kwako shekhe wangu❤
Mh.Mitano tena ndani ya dini.Au ni ushabiki ?
Kuwepo kwa Masheikh wa bida'a kunatusaidia sana kupata elimu kutoka kwa masheikh wa kisunna.
MUNGU AWAJAALIE UMRI MREFU MASHEIKH WA KISUNNA
Mawahabi ndio mashehe wa kisunnna kumbe
Hujui kumbe?!!😂😂 Ulishazoea wabidaa??😅😅
Hao mnao waita Mawahabi ndiyo waislamu pee wanaozifanyia kazi sunnah za Mtume kwa vitendo
@SadickMussa-g6h Sunna za kuwakashifu maiti au sio. Hakuna Sunna mnazofata nyie kukata suruali na kufuga ndevu mmeona ndio Sunna pekee. Hamna jipya nyinyi
Kwani wewe hujui kwamba anaye nyoa ndevu zake na kuburuza suruali yake ataadhibiwa siku ya qiyama?
Haji upepo hamna kitu mle yaan hata robo hakufikii..tupe eilmu sheikh Muhammad.
Sheikh haji upepo “Namppa challenge Muhammad Bachu unijibu au utujibu, ni lini maswahaba wa Mtume, Mtume Muhammad ﷺ au wanafunzi wa maswahaba, waliweka makongamano ya kukaribisha mwezi wa ramadhani, wakawaweka waislam wakawa na ratiba zao kongamano litakua na siku flani na
Ni lini llifanywa mkusanyiko wa namna hii au ulifanywa na maswahaba wa Mtume, Mtume Muhammad ﷺ au wanafunzi wa maswahaba ni LINI?”
Ni Lini Maswahaba walifanya makongamano? Akasema hii ni bidah ya wazi 😂😂
KUPOKEA MWEZI WA RAMADHANI KWA MAKONGAMANO
Tupe jibu sheikh kama una dalili
hoja ni kitabu na sunnah kwa ufahamu wa Waja wema waliotangulia 😅
Jazaakallahu khaira,,,
Waaleykum Salaam warahma tullahi wabarakatu Shukran.
Upepo anajiona yeye kama kimbunga.
Lakini anakimbia NIQASH.
Sheikh haji upepo “Namppa challenge Muhammad Bachu unijibu au utujibu, ni lini maswahaba wa Mtume, Mtume Muhammad ﷺ au wanafunzi wa maswahaba, waliweka makongamano ya kukaribisha mwezi wa ramadhani, wakawaweka waislam wakawa na ratiba zao kongamano litakua na siku flani na
Ni lini llifanywa mkusanyiko wa namna hii au ulifanywa na maswahaba wa Mtume, Mtume Muhammad ﷺ au wanafunzi wa maswahaba ni LINI?”
Ni Lini Maswahaba walifanya makongamano? Akasema hii ni bidah ya wazi 😂😂
KUPOKEA MWEZI WA RAMADHANI KWA MAKONGAMANO
Tupe jibu sheikh kama una dalili
hoja ni kitabu na sunnah kwa ufahamu wa Waja wema waliotangulia 😅
Huna lolote la mana wewe ibra,
Daima na dawama nafaidika kutoka kwa huyu mwamba, sheikh wangu Muhammad bachu, wallahi nakupenda kwaajili ya Allah
Huwezi kumpinga
Sheikh haji upepo “Namppa challenge Muhammad Bachu unijibu au utujibu, ni lini maswahaba wa Mtume, Mtume Muhammad ﷺ au wanafunzi wa maswahaba, waliweka makongamano ya kukaribisha mwezi wa ramadhani, wakawaweka waislam wakawa na ratiba zao kongamano litakua na siku flani na
Ni lini llifanywa mkusanyiko wa namna hii au ulifanywa na maswahaba wa Mtume, Mtume Muhammad ﷺ au wanafunzi wa maswahaba ni LINI?”
Ni Lini Maswahaba walifanya makongamano? Akasema hii ni bidah ya wazi 😂😂
KUPOKEA MWEZI WA RAMADHANI KWA MAKONGAMANO
Tupe jibu sheikh kama una dalili
hoja ni kitabu na sunnah kwa ufahamu wa Waja wema waliotangulia 😅
Hamn lolot nyie
Wew unaelew ila masalafi audio hawaelewi hawez kujib hapo ataruk t@@IbraFareed
@@IbraFareed Mbona ameshakujibu unataka nn tena
MAASHAA ALLAH sheikh jazakallakum kheir ,,,,,,
جزاك الله خير وجعله في ميزان حسناتك
Maasha Allah akhy wafunze adab za dawaa Hao ,nimeanza kupat upole flani ktk moyo wngu juu ya upole wako wa ufasaha wa kutoa elm kwa utulivu Allah akuhifadh na Shari za viumbe
Shukran ❤❤❤
Maashallah nilikua nikisubir wajibu ya kielimu maana nilimsikia Msufi upepo akibwabwaja 2
Mwaga maarifa Shekh Muhammad, Allaah akulipe kila lakheri
Sheikh haji upepo “Namppa challenge Muhammad Bachu unijibu au utujibu, ni lini maswahaba wa Mtume, Mtume Muhammad ﷺ au wanafunzi wa maswahaba, waliweka makongamano ya kukaribisha mwezi wa ramadhani, wakawaweka waislam wakawa na ratiba zao kongamano litakua na siku flani na
Ni lini llifanywa mkusanyiko wa namna hii au ulifanywa na maswahaba wa Mtume, Mtume Muhammad ﷺ au wanafunzi wa maswahaba ni LINI?”
Ni Lini Maswahaba walifanya makongamano? Akasema hii ni bidah ya wazi 😂😂
KUPOKEA MWEZI WA RAMADHANI KWA MAKONGAMANO
Tupe jibu sheikh kama una dalili
hoja ni kitabu na sunnah kwa ufahamu wa Waja wema waliotangulia 😅
@HassanIddy-v1b alama gani ilio kuthibitishia kua mm sina elimu nawewe umejaa elimu ndio ukajua kua mimi sina elimu?
Kwani wanijua na maisha yangu wayajua, na kazi zangu wazijua?
@HassanIddy-v1b Uzushi lazima uanguke mbele ya Sunnah, hata mufanyeje watu wanaelewa uoza wenu na wanaachana nao.
Na miongoni mwa hao ni mm.
Mwanzo nilikua sufi nilie athirika sana na fikra za kisufi, kizushi, lkn Alhamdu lillaah, niliacha uzushi na kundi kubwa la familia yangu waliacha uzushi kupitia mm baada ya tawfeeq ya Allaah Azza Wajalla
Uko sawa nimekosea nilikuwa na mjini huyo Sufi ibra fareed
mashaallah, nimeielewa vzur hii taarif ya bidah.. alhamdulillah,
Allah akuhifadhi Sheikh Mohammed Bachu
Masha Allah Hakika Tumefaidika sana Ustadh wetu Mpendwa ❤❤❤ Allah Azidi Kukuhifadhi
❤❤
Wee fundi bana wajua mpk wakera
Allaah akubaarik
😂😂😂
Bachu to the world...😅😅
Allah akuripe kheri shekhe bachu
ALLAAH, akujaze kheri kwa Elim,, unayo tupa
Allah akuhifadh uzidi kutupa darsa
Bora hata umemnyuka huyu suffi mkubwa jahhil Allah akuhifadhi sheikh Muhammad
Mashaa Allah
Wallaahi watu wa B'daa ni khattari sana ktk jamii yetu ya uislam...yaani wamekosa hoja ktk b'daa zao matokeo yake wanakurupuka kuleta hoja ya vitu volivyo sahihi...
HAJI Upepo ni mweupe, hata mie wa alif lam mom nammudu
Haji upepo nimweupe kama kupe😂😂😂😂
@@abdallahmgaya7521 huwenda ila haipendez kujisifu maana elimu ni kitu kipana sana
Allah akulhifadhi kwa uelimishaji uliokua mnyoofu kabisa
اللهم صل على محمد وآل محمد الطيبين الطاهرين
Masha Allah from Moçambique 🇲🇿🇲🇿 Allah ukupe umri mrefu wenye baraka na manufa sheikh Muhammad nassor bachu uhibuka fi Allahi
Masha Allah ❤❤❤❤❤
Napenda unavo somesha walah siku zote ukiwa mkwer wa mambo wengi watakuchukia kwa sababu unawahalibia lakin pia siku zote batir imebeba watu wengi sana kuliko haki hii ndo sababu mpaka sas madrasani hatupewi elimu ya kishelia ila tunafumbw fumbwa tu, Alhamdurlah alla kur har kweny vipindi hivi tunaelimika sana kwakwer
Wakizidi kumchukia bachu ndivyo tunavyo zidi kupata elimu
Maashaallah..!!
Wallah sheikh bachu nakupend tu ila ndo yale uloyasema wakirusha wao mawe kw nguvu zao wanaona raha ukilidaka hlf ukawarushia wao wanakwambia unawapiga kw nguvu yaan wao walianza dharau na ww wajibu hivyo hivyo ila plz bachu naomba tu upunguze ukali kdg maana naskiliza mawaidha yako mpk nawaonelea huruma namna unavyowajibu wallah
Baaraka llahu fik
Haji upepo kamdomo kamemponza😂😂sizani kama atakuja tenaaa na kamdomo 😂😂😂
Kwakweli namna tulivyo shughulishwa na mambo mengi unaweza ukashtuka unambiwa kesho ramadhan JAMBO HILI LA KUKUMBUSHANA KAMA ILIVYO SUNNA YA MTUME NIJAMBO ZURI SANA
Ni kweli akhii ila tusijiweke mbali sana hadi tukawa hatujui leo tarehe ngapi au mwez gani shukran
Mutafanya bidaa moja moja mnayoipinga .ilimujue kama ufahamu wenu ni mdogo
Ni kweli kabisa wanayo yapinga ndio wanayo yafanya wao.
Sufi beautifully dealt with, mashallah
Wewe UPEPO tunakushauri kwanza ukasome elimu yako bado ndoooogo sana kwa SHEKH BACHU
Bacho ni mtu mjinga bado mjinga sana
Mjinga ni wewe na makhurafi wenzako wazushi waliokosa elimu ya sunna@@FatmaaMussa
Shekh yaani huyo UPEPO wa chekechea ndo umlinganishe na UPEPO? mbingu na ardhi
Unatafuta wanaume ili uwolewe? Sema tukusaidie😢wewe fatuma
Sio upepo ni mapepo huyo
الهم جعلنا اخلاص في كل اعمالنا
Hahahaha aise haji upepo yuko wapi , hebu tumtumieni apate ilmu
Akilinyingi sana Masha Allah
Alhamdulillah jana nilipoion video ya huyo Sufi moja kwa moja nikasem ukiipata sheikh wet najua utatupa elim sisi pamoj na yeye
Me nilimwambia upepo kwnz kabla ya kuongea fwatilia vzr ili usije ukadhalilika hlf eti anafananisha kongamano na maulid hapo ndo nikajua km waabudia makaburi hakuna k2 zaid ya porojo tu
@@khalifa_kuchiacheniushabik w.koment mutakwenda ulizwa just hizi koment unawambia wt waabudia makaburi pasna ushahid
Utofauti upo wapi kwani
@@khalifa_kuchi😂😂😂😂😂
@@MohammedJuma-d2wnenda huko
Makhurafi wao mbona wanatukana na kukufurisha na kuwajengea Ahlussunna Uadui ktk jamii
Tutolee nasaha zako za Ajabu
Tupo pamoja Sheikh Bachu
Sheikh haji upepo “Namppa challenge Muhammad Bachu unijibu au utujibu, ni lini maswahaba wa Mtume, Mtume Muhammad ﷺ au wanafunzi wa maswahaba, waliweka makongamano ya kukaribisha mwezi wa ramadhani, wakawaweka waislam wakawa na ratiba zao kongamano litakua na siku flani na
Ni lini llifanywa mkusanyiko wa namna hii au ulifanywa na maswahaba wa Mtume, Mtume Muhammad ﷺ au wanafunzi wa maswahaba ni LINI?”
Ni Lini Maswahaba walifanya makongamano? Akasema hii ni bidah ya wazi 😂😂
KUPOKEA MWEZI WA RAMADHANI KWA MAKONGAMANO
Tupe jibu sheikh kama una dalili
hoja ni kitabu na sunnah kwa ufahamu wa Waja wema waliotangulia 😅
Tatizo hauna elimu
Haji upepo sis tulikua tunasubir mjadala mbona umekimbia kisha unakuja kwa namna za hali km hivi Dj side kakimbia mkamtoa mhanga diwan mpaka kakufur ebu njoo live jmn watu wenu wapo njia panda tauhid imeitwa ni ukatoliki ebu mkuje
Hovyo sana ww
Hujajibu hoja yoyote kuna tofauti ya Kongamano na Darsa msikitini
Hujaelewa sikiliza vizur
Hana mazingatio ataelewa vp
Sahihi
Watu wabudia wanashid sn
Hahaa yani ww kweli ndugu yake upepo.kwaiyo darsa ni lazima liwe msikitini.
Alhamdulillah Allah akuongezee umri
Upepo acha kupepea
JAMANII KUWAPA BISHARA SIO SWALI ,,SWALI NI KUTUALIKA KWENYE KONGAMANOOO ,,,,,SEMA HUNA JIBU,,,,,
Huyu aliyemuta upepo kampatia kweli kwasababu maranyingi upepo huleta hasara na mafuriko mabaya sana pia inaonekana kichwani mwake hamnaarifa ya elim isopokuwa maulidi kuabudu makaburi na kucheza mnanda
Hewa
Sahihi kabisaaaa😂😂😂
@@Abutwalhamwanyuki Sheikh haji upepo “Namppa challenge Muhammad Bachu unijibu au utujibu, ni lini maswahaba wa Mtume, Mtume Muhammad ﷺ au wanafunzi wa maswahaba, waliweka makongamano ya kukaribisha mwezi wa ramadhani, wakawaweka waislam wakawa na ratiba zao kongamano litakua na siku flani na
Ni lini llifanywa mkusanyiko wa namna hii au ulifanywa na maswahaba wa Mtume, Mtume Muhammad ﷺ au wanafunzi wa maswahaba ni LINI?”
Ni Lini Maswahaba walifanya makongamano? Akasema hii ni bidah ya wazi 😂😂
KUPOKEA MWEZI WA RAMADHANI KWA MAKONGAMANO
Tupe jibu sheikh kama una dalili
hoja ni kitabu na sunnah kwa ufahamu wa Waja wema waliotangulia 😅
Kama ni kweli sawa ila kama sikweli utakwenda kumjibu aliyekuumba
Haji upapaa aibuuu mtu mzimaaa
Lakini sheikh wallahi nakupenda Lillahi bure. Ulivyowavaa hawa majamaa hawawezi lala. Wanajaribu njia zote wameshindwa. Kila mmoja anajaribu anamaliza anampisha mwenzake. Mwanzo alikuwa alhatimy, akaja sabas alkubra, akaja ustadh Saidi, akaja yule wa taqsimul tauhid, sasa ni upepo, lakini sasa ubao wa kila siku ni Yusuf Diwani.
Alhamdulillah nimtangulia comments
Mohammad bachu... alhamdulillah..shk haji upepo.. umepata.. tena..
Wallahi ukiwa hujasoma kisawa sawa hawa mashekhe wa sasa watakuchanganya sana 😂😂😂😂😂المنطوق والمفهوم
Bachu wallahi kweli kweli hujielewi umeulizwa kitukingine wewe unatoa mawaitha bali kiburi kwako ndo kikubwa mmm haka kajamaa mtihani
We ndo hujielewi acha wenge au una stim kichwani
Mtto wa simba mashaallah mung akuzidishie elimu, wako wap kina Izuduni, sababs alkubra, usts said wa mambrui, etc hhhhhh mashaallah wafundishe hao Dini ipoj na waache kufata mila za mababu na mababa zao hayo wazinduke tunakobenda mbal xan 😢
Sawa sheikh mijadala
Kiukweli naudhika sana nafsini mwangu nikimuona huyu mtoto wa bangi au diwani wasaka tonge hawa wameweka picha ya Shekh yeyote ktk Mashaayikh wa Sunnah na kutangaza eti wanafanya raddi, au vioja vya mawahabi......
Na napita tu wala siangalii siku hizi, kwa sbb nime gundua ujinga na upumbavu wa watu hawa waweza kukutia kwenye ujinga kama wao, maana waweza kuandika vitu vizito kwa ujinga wao.
Ila hapa Maashaa Allaah naam ,naweka nanga naskiza vioja vyake huyu mwana wa bangi aliekuzwa na kulelewa kibangibangi nae akakua kwenye malezi ya bangi na akajipa mamlaka ya kuizungumzia Dini kwa akili mbovu zilizo changanyika na uzushi, na bangi.
Natega sikio kuskiza namna unavyo tibiwa mwehu wewe.
Shekh Muhammad Wallaahi tuko pamoja kwa wajinga kama hawa na wazushi kama hawa, ambao uzushi wao hawana njia ya kuutetea, sasa wanarapa na kutafuta kitu japo kidogo alimradi tu waambiwe wamesema, hali yakua hawana elimu....
🤣🤣🤣🤣🤣🤣uko sawa kakaaaaaa bida'a Haina nafasi ktk uislaam
@@HassanIddy-v1b je unakubaliana naye kweli huyo anayemsema kalelewa kibangibangi mpaka unacheka mtakuja kuulizwa siku ya hesabu
Kwani kaka bangi inajificha? Ukitakakujuwa huyo haji yuko hivyo,kunasiku kamwita mwanachuoni mkubwa Ambae ni sheikh ibni uthaymiin kamsma eti ni mvutabangi😢😢 mpaka hapa hujajuwatu kuwa akilizake SI mzima?
@@HassanIddy-v1b nafikir kila upande huwa na tabia ya kumtusi shekhe wa upande fulani nashindwa kuelewa ni mtazamo gani wa dini unao ruhusu haya tubadilike tusimpe nafas ibilis tukajua twamfurahia mtume kumbe tumetekwa na ibilis
Nikweli ulisemalo lakini kaka kunawakati utaijuwatu kwamba huyu Fulani haya manenoyake yamekaa kichukichukitu ndio tafsiri inakuja kuwa huyu huwenda anatuumia kilevi fulani
Bachu huwezi kujibu hilo swali,sikiliza ulivyoulizwa ndio ujibu.Mtume hajafanya kongamano kwa ajili ya Ramadhani watakaokuelewa ni mashabiki zako.
Ww ndio uelewi maana ya kongamano ni kuita /kukusanya watu kwaio mtume aliwakusanya maswahaba sikiliza vizuri wacha ushabiki.
@iddimohamed254 swala ni kongamano sio kukusanya watu
Lahaulawala quwata ilaa bilahi.
Mtume alwabashiria maswahaba kuingia kwa Ramadhani bila kuandaa Kongamano. Suna hiyo ndiyo kawaida ya maimamu wote kwenye misikiti yao na kwa kufanya hivyo hawajafanya Kongamano.
Kongamano linahusisha bajeti, mialiko ya wahadhiri na wasikilizaji kutoka sehemu mbalimnali, kutengenezwa ratiba na kuwapo mwendesha ratiba. Mara nyingi huwapo mgeni rasmi n.k. Mada huwa ni yoyote iliyofikiriwa na waandaaji.
Kongamano kwa sifa na maelezo yake kama ilivyo si jambo kafanya mtume wala sahaba wala maimamu wanne maarufu wa ahlisunna walnamaa.
Ni Kongamano ndiyo bidaa si imamu msikitini kwake kuwabashiria waumini juu ya ujio wa Ramadhani. Hiyo siyo hadithi ya Kongamano bali ni hadithi ya kuwabashiria waumini juu ya ujio wa ramadhani.
Toa haditthi ya Kongamano shekhe.
Kwa kusema zama hizo haikuwepo haja maana yake Kongamano pia halikuwepo bali limebuniwa kukidhi mahitaji ya zama tu. Basi hoja hiyo peke yake ni uthibitisho wa kuwa Kongamano ni bidaa.
Toshekeni basi na kila imamu kuwabashiria waumini kuingia kwa Ramadhani.Yanini basi kufanya Kongamano ambalo si mtume tu bali hata maswahaba na tabiina na tabii tabiina hawakufanya ?
Hapo sasa utofaut wa uwelewa na ufahamu kwasasabu pengine jina wakati wa mtume hawakuita kongamano pengine hapo uwelewa ndio imekua shida maana majibu hayohyo yakitolewa na upande wapili hmkubali
upande wapili.kuhus maulid mtume haikupokewa amekusanya watu akawazungumzia mazazi yke
Hao wengine wanatafuta umaarufu kupitia wewe ila usichoke kuwafahamisha hao
Shekh bachu umefeli tatizo sio bishara tatizo je mtume alifanya kama mnavyofanya
hujaelewa uwe unajifunza kuelewa!
anachosema sheikh ni kwamba wakati wa mtume ulitaka mtume aite masheikh gani sasa!??
kulikuwa hakuna sababu kama vile wakati wa mtume hawakujengea uzio makaburi ya waislamu je na sisi leo tusijengee ukuta au uzio kwenye maeneo ya makaburi yetu tuyaache watu wakafanyie uhuni au tuyajengee uzio!??
jibu ni kuwa tunajengea uzio eneo la makaburi na sio bidah na gate tunaweka ikiwezekana na walinzi kabisa!
kwa hivyo sio kila jambo ambalo mtume hakufanya ni bidah!
Usiseme kuwakusnya watun.sema kongamano
BORA UPEPO WAKE USIKATIKE NJIANI TU MANA KALIANZISHA😅
Hujajibu swali la msingi...
Kwanza watakiwa kulifahamu swali. Akhuy. .
Kilichowajaa ni ubishi ni ushindani tu
Kwa ufupi upepo ajue mikusanyiko inafaa, hata tukusanyike siku kadhaa tupige mpunga muhimu tuwe ktk kukumbushana mambo mbali mbali ya dini
Maarifa ndio ambayo watu wanayahitaji nasio akili za kilevi na maneno ya bangi
😂😂😂😂😂😂😂
Ok and oky❤❤❤
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Yani Bachu kwa kuwa Allah amekuruzuku ufasaha wa kinywa basi unawafanya wafuasi wako utakavyo, umesahau kabisa kuwa Allah atakuja kukuuliza juu ya neema hyo, unafahamu ukweli lkn unapindisha wazi wazi ITTAQILLAH
Kasome kwanza Usikurupuke, kama anaficha ukweli unaoujua utoe wew kwa dalili, tatizo lenu hamusomi munapiga mapiano madrasani
Hongera bachuu ALLAH akuoe elmu yenye manufaa
Anaongea haqqq Kwa dalili
Wewe sjui unasikiliza kupitia maskio au miguu
Wewe unasumbuliwa na hasadi,maana she bachu anaongea kwa vitabu kama unapinga lete hoja,sio kulialiatu😭😭
Du! Upepo wa kusi au kaskazi elimu nursery school mwalimu wa chuo kikuu😂
Sheikh uwa iyo inzi wa kisufi kwa rungu
Iloooooo Haji upepo umeshushuka shuu Pata hiyo
Duh!!!!!!!!!
Kiufupi bachu umepita mulemule wanamopita watu wa maulid
Maulid moja kwa moja hayamo katika uislam lakini ilipokuja la kongamano likasemwa kuwa " kongamano, yaani kuwakusanya watu kuwapa bishara kwa ajili ya kuja kwa ramadhani" maneno meeeeengi kulipmba
shekh leo umepiga kwenye mshonooo
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Alhamdulillah
Nyinyi mawahabi munapo fanya bid'aa hujaribu kuipamba isionekane ni bid'aa
Mhh😮 mnyangu tuoneshe bida'a na mapambo yake
Wewe akili iko sawa vitabu vinazungumza sikiliza
Unaambiwa ukimkumbusha mwenzako kuh ramadhan utapat ujira wako au hii pia darasan kwenu hamuambiwi
@@saadaAbdalla1371 bila ys shaka huyo hajaitazama "video" mpaka mwisho au yuagua ugonjwa wa "ta'asubi(kung'ang'ania).
Nakunukuu "Kongamano yaani kuwakusanya watu mwisho wa mwezi wa shaaban kuwapa mawaidha" hii ipo ila kongamano kuwakusanya watu kutoa mawaidha, kusoma Quran, kumwalia mtume bi maana MAULID haipo
Yaani waikataa O waikubali 0
Uko sawa
sasa maulid au kongamano?
Nilikuwa na hamu kubwa na Malibu kwa hiyo radio y kielimu
Ww mi mjinga
HUYU UPEPO KWELI NI UPEPO HALISI KABISAAA!!!!
Ni mwendawazimu hajitambui anawakufurusha mpk maulamaa
Shida ya masufi wao hawatoi vitabu. Nikutoa harufu ya mdomotu hawana dalili
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Tatizo ni kwamba hawo Masufi wanatafuta kukitetea wanacho kipenda. Na kutaka kuafahamisha watu kwamba na Answar sunnat pia wana bidaa zao. Wanajua ya kwamba kongamano sio bidaa lakini wanataka kukusafisha
Shida ya sheikh ni kuwafanya masheikh wengi hawajui sana ila ni yeye tu hakosei.
Jiandaeni kujibu bidaa ya kongamano. Na hamna jawabu ya hilo.
Embu muhudumie mume wako kama unae,achana na mitandao utapotea
Upepooo kaibikaaaaa😂
🤣🤣🤣🤣🤣
Daah aibu naona mm
Wapi maswahaba au Mtume walifanya kongamano la kuupokea Ramadhani na kuwakusanya watu kutoka sehemu mbalimbali za nchi na kupika vyakula
Bachu usiipambe bidaa kwasababu unaifanya wwe hio kwa mtizamo wenu hio nibiadaa kamayalivyo maulidi nawala usiitetee bidaa😂😂😂😂😂
soma kwanza acha upumbavu
Wee kama sio Sufi asiosoma maulidi basi utakuwa nijadida maswa"aafiqa maadui wa suna,
Tatizo lenu watu wanasoma Vitabu nyie mnagalagala Makaburini na kupiga madufu
Kashalewa kashata na Kahawa Cha ropokwa tuu!!😂
Unatakiwa kwanza ujue bidaa nini
Kiti kinawasha
Aliwakusanya wapiiii bachu??
Uo UPEPO ni upepo gani aeleze hapo kwa vitabu na yeye😂😂😂
mm sishabikii upande wowote lakini nakushauri vijana hebu acheni malumbano yasiyokuwa na maana maana halihii inakupeleeni kwenye Ria japomwajiona mposawa,
yan anayoyasema shekh sio ya sawa au vp, riya pia yatokea wap? unapata wap ilmu ya kusema mtu anafanya riya? riya ipo moyon mwa mtu yeye ndo shuhuda wa nàfs yake
Mashehe wa kisufi walitwambia hadithi dhaifu zinatolewa dalili skuamini ila leo bachu na yy katolea dalili hadithi dhaifu
Sema upepo alukurupuka angesubir kwanza kongamano likaisha akajua kulizungumzwa kitu gani ndio angekuja na hoja zake . Lkn kakurupuka bila ya kujua
Unajua kaka sisi tunajua KONGAMANO ni mkusanyiko wa watu unaotoa mafunzo fulani ama unaojadili kitu fulani.
Lakini unapozungumzia MAULIDI inakuwa ni sherehe za mazazi ya Mtume Muhammmad (S.A.W) kitu ambacho hakikufanyika wakati wa Mtume na hata Maswahaba wake.