UTATA KUHUSU KAULI ZA OTHAMAN MASOUD MAJUKWAANI / ICHI NDO KINAMPA NGUVU? / NI BALAA TUPU
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 7 ก.พ. 2025
- WorldNewsMedia ni chanzo namba moja cha habari kinachota taarifa mbalimbali ulimwenguni . Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
#siasazanzibar #raissamia #othamnmasoud
Maalim Said Miraji, wewe ni Teacher na mwanasiasa ulokomaa. Hongera sana
Shukran broo tunakupenda sana kwa kutetea zanzibar
Nyerere kazi yake kubwa ilikua ni kueneza fitna tuu duniani.
Tumekuelewa vzr sisi tunataka kuinusuru zanzibar
Muheshimiwa ukinitajia maalimu Seif,Mimi unanimwagisha machozi mengi yanayokuwa hayana mwisha,Unaniliza kilio kisichoisha milele kwakumkumbuka mema aliyotufanyia sisi Wazanzibar wake. Nakuomba Allah umfufuwe maalim seif leo hii inshaallah. Ameena,Ameena yarabilighalameena.
Big bless to karume kidogo
Ohh ok thanks hata me sikujua hii asante kumbe wazanzubar walichenshwa na huyo salmin
Ahsant na shukran
Baba yake Abui. Nakuaminia sana uko wazi kwa ulijualo.
What i think ninyi where zanzubar going is separations with Mainland in the future ninyi mtasema ipo huko mbele
Maalim Said rudi tupambane, umeshapumzika vya kutosha. Nakumbuka ulipopata kisago.cha mateso 27/jan/21. Mungu mkubwa
Idrissa aliodoka kwa sababu gan
Jamaa hx haijui😊
Good history
Ningefurahi kama historia ya Zanzibar pale ilipopata uhuru kutoka kwa uingereza
Utaipata Google search Zanzibar History before Revolution
Uingereza haikupata kuitawala Zanzibar isipokuwa aliombwa na mtawala Sultan kutoka Oman kuilinda Serikali yake kwa kiingereza wanasema "under protectorate" yaani utawala wa Kisultani ulikuwa chini ya himaya ya Muingereza. Kilichofanyika Dec. 10, 1963 ni kwa Muingereza kujiondoa tena kama mlinzi wa utawala wa Kisultani. Hivyo hapakuwa na Uhuru tarehe 10/12/1963.
Aboud jumbe aliekwa tu bila kushauriwa znzibar
Mamlaka kamili
Dunia tinapita tu
MBONA HEAD NEW IPO TOFAUT NA VEDIO AMA SJAFAHAM
Io ni Culculation ya Siasa na nimejufunza kua yote yanayoendelea yanatokana na historia za kisiasa
huyo jamaa kaulizwa nin anajibu nin Hana uchambuz
Mbona kajibu vizuri tuu basi kma huelewi basi mpeleke mamako ajibu vzr.
Uhakika kaulizwa kitugani anijibu nini
Hakuna mzanzibar anaitwa maganga ww mtanganyika hii mada hakuhusu ndewe Wala shikio kwa iyo siwezi kukujibu
Muwongo mkubwa wewe fisadi hakuwapendelea wapemba nyie mlijazawa chuki kwa makusudi wacha kusema uwongo
MAPINDUZIIIII DAIMAAA *
Mpuuzi usokua na akili. Wewe si mzanzibari
Wewe hapo unaongea utashi sadifa aliongea Nini nakafanya nini
Sheini didnt win to be honest
Mamlaka kamili, acheni mbamba.,
Kama mulianganisha, toeni mkataba hadbarani.
Kwani aliulizwa vipi naona anatoa historia ya Zanzibar
Mbona kajibu vizuri tuu
Umesahau hata maaliSeif aliwahi kuwa waziri kiongozi wakati wa utawala wa Idrisa Abdoul Wakili hapo ndipo mambo yalipoanza kuharibika Maalim aliwapebdelea Wapemba mtifuano ukazidi
Muandishi kwanini usimuulize OMO mwanyewe huoni ukiuliza watu wengine utapata majibu sio au ndivyo munavyotaka Ili mupate la kusema
wewe unatoa story,jibu suala
Siasa ni mchezo mchafu,, Tunataka muungano mpya sababu walio unganisha hatujui waliyokubaliana ,inabaki Siri ambayo imekufaa,,, kama watenda haki na amani basi mukubali kuvunja na kuunda mpya
Siasa sio mchezo machafu wana siasa ndio wenye uchafu na kila kuzidisha uchafu wao wenyewe ndani ya nafsi zao
Ccm b ukimsikiliza ni kichefu chefu tu,,WAZANZIBARI wanataka mabadiliko zamani sio sasa tokea marehemu seif haki yao ya kuchaguwa inaporwa ,,huyu jamaa ana mendit gani kuwajibia WAZANZIBARI, ni upuuzi tu
Wee una mandet gani ya kutuzungumzia wazanzibar
Sefu alikuwa mroho wa madaraka tu maana alikuwa ccm na aliitaka nchi hakupewa ndo maana akatimkia kwingine ili apate madaraka
Ushike Adabu yako wewe nuksi mmoja
@@RashidHaroun-c2jAlaysa llahu biahkamulihakimin hakimin Allah atamlipia Maalim Seif unasema uwongo kwa chuki zako loo Hasbunallah Waniimal 😢
@@RashidHaroun-c2jNa huyo alokuunga mkono nyote mtakwenda kujibu kwa MMungu kwa uzushi waongo msokuwa na adabu wakosefu wakubwa washenzi msojijuwa