Thank you so much Brother Millard Ayo for highlighting the dreams and aspirations of this precious young brother. Truly God is with him.And may the Almighty God bless you Millard Ayo.
Millard unamoyo mzuri sana unajitoa kwa watu wa namna hii kiasi kwamba mpaka unaingia gharama ya kufly nae mpaka zanzibar, I know you have a good heart, you are my neighbour from Arusha be blessed with what you are doing.
Daah! Much love Millard unatuletea issues zinazowasaidia watanzania wanaohitaji msaada. Mungu azidi kukubariki na kukusimamia bro WaTanzania wazidi nufaika kupitia wewe✊✊
tukipatikana watu 15,000 tukamchangia jamaa TSH 10,000/- kwa kila mmoja wetu basi jamaa ataweza kwenda kutimiza ndoto yake na kuwa rubani. Tumchangieni kijana mwenzetu aweze kusoma. Bigup sana Narcent kwa kutokataa tamaa. Mungu yupamoja nawe
Bro Millard hili bonge moja la story na tunajifunza mambo mengi sana kama vijana, Mungu ni mkubwa sana na atatimiza ndoto zake hakika, asikate tamaa kabisa! na hyo discipline ya savings nimeielewa sana na imeniongezea ka hekima flani amazing!
Hongera sana Millard kwa namna hii lazima uendelee kubarikiwa. Narcent Mungu hubariki juhudi za watu wake hivyo namini kabisa na ni matamanio yangu ya juu ufanikiwe
Mimi pia na ndoto ya kuwa kuwa specialist wa Neuro surgeon Mkubwa East Africa and world wide kwa sasa nasoma diploma ya udaktar ila nikimaliza wazazi wangu hawana uwezo wakuniendeleza na mm nilikua na ndoto tangu nikiwa chekechea mpaka sasa am struggling pia na vibiashara vidogo na mm nije nifikie malengo yangu nikasome John Hopkin university cku moja nikiwa daktar nataka nijitolee kuwa hudumia watu wasio jiweza nahsi kuna kitu Mungu anataka anitumie inshallah Mungu nijalie nije niwe msaada kwa watu wengi zaidi cjawah kata tamaa Keep it up bro utafika penye nia pana njia am so touched 😢 mi nmefanya business nyingi nime chekwa nimedharauliwa but still fight
Binafsi ninaelewa sana kinachoitwa NDOTO, binafsi nauza nguo ila nina ndoto ya kumiliki maduka makubwa ya nguo km vile VUNJA BEI STORE, hapa mtaani kwetu kuna marafiki huwa nawaambia kufkia 2025 nna ndoto ya kwenda china mwenyewe na niwauzie jeans kwa bei ndogo ... Eeh Mungu nisimamie ktk ndoto yangu hii .. na namuombea pia Ndg Narcent Mungu amtimizie ndoto yake itimie
Kila mtu duniani ana malengo na ndoto nyingi sana!! Lakini ni wachache wanao thubutu kutimiza malengo yao!! Wengi huishia kupanga tu. Kaka Narscent Meena umeonesha nia yako ya dhati na umethubutu kutimiza kile ulichokipanga miaka mingi hongera sana na Mungu atakupigania.!"penye nia pana njia"
Man this dude got high discipline,he got patience he is soo focused and he is soo determined..This article Millard Ayo got me .He's gon make it In sha Allah !!!!
Hakika ndoto yako inaenda kutimia Mungu akulinde na adui wakila aina wewe ni mfano bora wote mlio kata tamaa simameni tusonge mbele Yupo Mungu wa Eliya hapo ulipo amini kwaimani ipo siku atakufta machozi kwa hali yeyote uliyo nayo. Never give up 👆 God bless Israel 🇮🇱 and God bless Tanzania 🇹🇿
Daah hzo karanga nishawahi kula jamani ni nzuri sana bila shaka frank adius anajiskia vizur sana kukutengenezea bidhaa nzuri kama hyo jamani tumchsngie nurscent meena
Hakika sijutii kuangalia MillardAyo Tv kweli hapa kuna habari za ukweli na uhakika. Hongera sana kaka kwa kuwa na ndoto nzuri hakika ipo siku ndoto yako itakamilika. Daaa pole sana kwa kuondokewa na mama yako mpendwa R. I. P mama.
Kaka millad Mimi naamini ktk ndoto,Mungu yu mwema kwa kila anayemtegemea naamini hata mm ndoto yangu itatimia kwa kumtegemea Mungu na hata mm naamini nitakuwa rubani kwa neema ya Mungu.Naitwa Milton Newton Kalyembe
Daah! Mungu akusaidie, Mungu aguse mioyo ya watu , akuwezeshe kufikia ndoto yako. Akufanyie wepesi mdogo wangu . Nakumbea kwa Mungu akufungulie milango ya baraka ili ufike mbali. Nimeguswa sana wengi wanandoto lakini wanapokata tamaa ndoto zao huishia njiani kwa kukosa sapoti so usikate tamaa Mungu atakuwezesha mhimu usijitenge mbali na Mungu mtegemee sana Mungu...mwenyewe ninandoto kibao hapa nakomaa mpaka kieleweke. All the best mdogo wangu. Mungu akutangulie na akuongoze kwa kila hatua
Kaka Millard hongera sana kwa kuwa na moyo wa kuwaona watanzania wanyonge! Maana channel yako imekuwa chanzo cha mafanikio kwa watu wengi. *na hiyo ndio akili kabisa,badala ya kuwapa 1000/= na kuwaacha unashirikiana nao mwanzo hadi mwisho wa safari yao* hakika Mungu atakulipa brother Millard.
Duh, Maisha ya Narcent yamenigusa nami Nina ndoto ya kuwa Waziri wa Maliasili na Utalii but Mungu tupiganie sisi Wanyonge baba muumba wa mbingu na nchi
Nitakutumia 100,000..
Mungu akubariki sana sana
Songa mbele
Beto Beto Ahsante sana ndugu yangu
@@narscentmeena2885 nitext whatsaap +16476434665 mungu atalipitisha hili
Beto Beto ...ALLAH Will be paying you forevermore
Wow nice
Rais wa wanyonge baba magufuli msaidie mnyonge mwenzetu aweke nyota ya tanzania mbele
Kabisa kabisa mungu atakupa itaji la moyo wako iko siku maombi yatajibiwa mungu akubarik sonnakuombea sana
Daa huyu dada anaistolia kubwasana ya maisha
Kweli
Thank you so much Brother Millard Ayo for highlighting the dreams and aspirations of this precious young brother. Truly God is with him.And may the Almighty God bless you Millard Ayo.
Mungu usiyeshindwa kwa chochote unayetoa maj kwenye jangwa naomba umsaidie mwanao,nimelia for sure
Story nzuri Sana Millard
Mungu amuongoze Huyu kaka atafika kwa neema za Mungu,, Mpk machozi yamenitoka
Kijana naona ndoto zako
Millard unamoyo mzuri sana unajitoa kwa watu wa namna hii kiasi kwamba mpaka unaingia gharama ya kufly nae mpaka zanzibar, I know you have a good heart, you are my neighbour from Arusha be blessed with what you are doing.
Uko vizuri sana ayo
Daah! Much love Millard unatuletea issues zinazowasaidia watanzania wanaohitaji msaada. Mungu azidi kukubariki na kukusimamia bro WaTanzania wazidi nufaika kupitia wewe✊✊
Asante sana Ndahani.
Millard umetuletea story nzur sana, ww ni moja kati ya watu wanaotuletea habar zilizonzur kwakweli na tunajifunza
Asante sana Najma
@@millardayoTZA bruh nakukubaligi sana bila kumusahau #vidoVidox ❤👊
Interesting story, Mungu akusimamie kaka hakuna linashindikana chini ya jua, weka namba ya akaunt ya tigo pesa au voda
@@millardayoTZA uko vizuri broo
Honger zake mungu amtie nguvu ktk kz zake
Allah is great 👍🏻
May your wish come true Insha Allah Ameen
Yusuf Ali amiin yaa Rabb
kabisaa
tukipatikana watu 15,000 tukamchangia jamaa TSH 10,000/- kwa kila mmoja wetu basi jamaa ataweza kwenda kutimiza ndoto yake na kuwa rubani. Tumchangieni kijana mwenzetu aweze kusoma. Bigup sana Narcent kwa kutokataa tamaa. Mungu yupamoja nawe
Uko sawa kabisa
Umewaza vema sana kaka
Hahahaha karanga kutoka ADIUS COMPANY GROUP safi sana nurscent mungu yuko na wewe ndoto itatimia
This is called spiritual confident thank brother ayo onbehalf of him he gonna make it soon as possible
Jamani Mimi ni maskini lkn nawaomba nyote wenye uwezo akina diamond ,Ali kiba , harmonize na wengineo msaidieni kijana mwenzenu
Kila la heri kwa ndoto zako .Mwenyenzi Mungu Akupe na uzidi kutimiza ndoto yako ...🙏🙏🙏🙏🙏
Millard hongera Sana taarifa km hizi ndizo tunazitaka. Dream zote zinawekekana.
kufeli ni njia rahisi sana ya kufanikiwa kama umeelewa namaanisha nini gonga like hapa ### BLT Mtabe
Bonge la Mtanzania
Millard Ayo ni moja wa wanahabri ambao ni wa kweli, wazuri na hongera sana ubarikiwe
Pole saana Kaka pia hongera maana bado una nguvu na matumaini💖☑️☑️☑️
Never give up dear friend 💪 Naamini ndoto yako itatimia kwa uwezo wa MUNGU
Ubarikiwe kwa hilo
Bro Millard hili bonge moja la story na tunajifunza mambo mengi sana kama vijana, Mungu ni mkubwa sana na atatimiza ndoto zake hakika, asikate tamaa kabisa! na hyo discipline ya savings nimeielewa sana na imeniongezea ka hekima flani amazing!
Penye nia pana njia🙏🙏..
Pambana, Usiache kumtegemea Mungu, yy ni mueza wa kila jambo, akisema liwe basi huwa❤🙏.
#Umust #Ucan #Uwill
Yaan hadi nimetoa na machozi 😭mungu akusimamie kwakweliw
Kwa kweli nimelia
Yani sio Pete Yako
Wacha tu wachaaa
Aki imeniuma sana
Hongera Kijana mwenzetu nimekukubali mkali tuko pamoja sanaaa
Hongera sana Millard kwa namna hii lazima uendelee kubarikiwa. Narcent Mungu hubariki juhudi za watu wake hivyo namini kabisa na ni matamanio yangu ya juu ufanikiwe
Mimi pia na ndoto ya kuwa kuwa specialist wa Neuro surgeon Mkubwa East Africa and world wide kwa sasa nasoma diploma ya udaktar ila nikimaliza wazazi wangu hawana uwezo wakuniendeleza na mm nilikua na ndoto tangu nikiwa chekechea mpaka sasa am struggling pia na vibiashara vidogo na mm nije nifikie malengo yangu nikasome John Hopkin university cku moja nikiwa daktar nataka nijitolee kuwa hudumia watu wasio jiweza nahsi kuna kitu Mungu anataka anitumie inshallah Mungu nijalie nije niwe msaada kwa watu wengi zaidi cjawah kata tamaa Keep it up bro utafika penye nia pana njia am so touched 😢 mi nmefanya business nyingi nime chekwa nimedharauliwa but still fight
Amiin
aisha mnyeke ...inshallah ALLAH AKBAR...Ni mwingi wa huruma.anatuskia vilio vyetu.
aisha mnyeke inshallah.....we don't give up...
Amin mungu jalia
Nazielewa xana Makala zako Millard,,kijana ni mpambanaji haswaa,mungu amfanyie wepesi,Ameeen,
Binafsi ninaelewa sana kinachoitwa NDOTO, binafsi nauza nguo ila nina ndoto ya kumiliki maduka makubwa ya nguo km vile VUNJA BEI STORE, hapa mtaani kwetu kuna marafiki huwa nawaambia kufkia 2025 nna ndoto ya kwenda china mwenyewe na niwauzie jeans kwa bei ndogo ... Eeh Mungu nisimamie ktk ndoto yangu hii .. na namuombea pia Ndg Narcent Mungu amtimizie ndoto yake itimie
Hongera kk jitaidi utafikia
Never give up
Aiseee very touching story. Km vijana wote wangekua na msimamo,mipango na mikakati km huyu tanzania ya viwanda ingetimia kiuhalisia
Kila mtu duniani ana malengo na ndoto nyingi sana!! Lakini ni wachache wanao thubutu kutimiza malengo yao!! Wengi huishia kupanga tu. Kaka Narscent Meena umeonesha nia yako ya dhati na umethubutu kutimiza kile ulichokipanga miaka mingi hongera sana na Mungu atakupigania.!"penye nia pana njia"
Vizuri sana brother 🙏 hongera sana brother 🙏
Nacent nimefurahiya sana juhudi zako za ndoto yako yakuwa Rubani mtarajiwa hongera sana kwa mapambano
Utafanikiwa jamaa angu Mungu hamtupi mja wake be blessed bro
Man this dude got high discipline,he got patience he is soo focused and he is soo determined..This article Millard Ayo got me .He's gon make it In sha Allah !!!!
Mirad upo poa sana big up
ohh my lord,,, same story we are passing through, though we pass through hard moments but God Will provide
Mung atakjalia mema
mashaAllah, mungu akufanyie wepesi namini mungu yupo pamoja na ww🙏🙏🙏🙏pole San kwa kufiwa na Mama 😥(never give up )
Hakika ndoto yako inaenda kutimia Mungu akulinde na adui wakila aina wewe ni mfano bora wote mlio kata tamaa simameni tusonge mbele Yupo Mungu wa Eliya hapo ulipo amini kwaimani ipo siku atakufta machozi kwa hali yeyote uliyo nayo. Never give up 👆 God bless Israel 🇮🇱 and God bless Tanzania 🇹🇿
Godfrey Stephano ujumbe wako.umenitia nguvu chenkyuu my brother
Amiin
Usikate tamaa mzee wa kazi,,endelea kupambana.kwenye nia pana njia
kakusanya milioni 9, bado milioni 141 ili ifikie milioni 150, watanzania tumchangie kijana inawezekana
Hizo pesa ni dollars ngapi please
Tim Cee ...inshallah
tuma namba yako kaka nikuunge hata ya nauli kaka
Wow mungu amuzidishie Salam ziwafikie kutoka upande wangu🇰🇪
Hata mimi nina plan ya kusoma masters yangu, USA, nimeanza kujichanga mdogo mdogo..
Maombi yangu Mungu yasikie "mjalie kijana huyu kutimiza ndoto zake ya kuwa rubani wa mataifa fanikisha kazi za mikono yake! Amen."
MUNGU atasimama na utafanikiwa!!!
Masha Allah masha Allah mungu akubariki utimizendotozako insha Allah mungu atakusaidia nakupenda sana love you ❤♥️❤
hongera sana hata hapo ulipofikia maana x padogo naamin mung hajawah kumwacha mwenye haki ...siyo mbal utafika tu never give up🙏
Millard Ayo you'r so perfect in preparing good video & news respect for you.
Allah akujaalie saana kaka angu
Dah nimependa sana hiyo imani yake,naamin Lazima atafanikiwa
Aminaa....
pow sana daa
Tupo wapi Matajiri wa Tanzania? Jamani watanzania wote tumsaidie huyu kijana ili atimize ndoto zake.
Daah hzo karanga nishawahi kula jamani ni nzuri sana bila shaka frank adius anajiskia vizur sana kukutengenezea bidhaa nzuri kama hyo jamani tumchsngie nurscent meena
Huyu kijana atatufuwa tuu. Big up sana #millardAyo. Believe in Jesus. The only way of Victory
jamani naumia Sana ningalikuwa nauwezo ningalimzaidia huyu kijana nikiamini Mimi kama mwanamke ningemwambiya kwaza mimi mama nakumsaidia
Mungu akujalie Kabisa. Umenifurahisha sana na kunitia moyo.
Mashaallah mungu atucmami wenye hali za chini na jitihada ya kutafuta ongereni sna katika history yko inatia moyo sna mungu akucmamie amen
Daaah,, hii ni ndoto kubwa sana,, hongera kwako mkuu
Dimond na wengine pls msaidieni huyu kaka kwa ajili ya taifa la Tanzania
Media nyingine muige millad ayo kwa anacho fanya sio mnatuletea habar za kuunga unga habari big up bro !!!!#mtuwangu wa nguvu
Mungu Akuongoze na Kaka Adi Machozi yaminitoka Wallah
Wow congratulations classmate it has been our dream finally you made it through Narcent
Hakika sijutii kuangalia MillardAyo Tv kweli hapa kuna habari za ukweli na uhakika. Hongera sana kaka kwa kuwa na ndoto nzuri hakika ipo siku ndoto yako itakamilika. Daaa pole sana kwa kuondokewa na mama yako mpendwa R. I. P mama.
Yaani ndio habari bora zaidi Hongera Millard Ayo
Waohh nimepeta kitu
Mungu akubariki sana ndg angu ..Pambana na pigana na kusudi lako.Umefika ni hatua chache zimebaki.
tuko pamoja broo! wangapi kma mm tupo tayari kununua karanga zake ili braza ari'de mawinguni kma mwewe.
ndugu mungu akutiye nguvu utashinda capt
Interesting story but painful😭😭
Mungu awe na wewe usikate tamaa dogo pambana tutaendelea kukuunga kwa hii biashara yako mungu mbele daima
Huyu ndie Mungu wamatendo Ya kushangaza tu be strong brother
Kaka millad Mimi naamini ktk ndoto,Mungu yu mwema kwa kila anayemtegemea naamini hata mm ndoto yangu itatimia kwa kumtegemea Mungu na hata mm naamini nitakuwa rubani kwa neema ya Mungu.Naitwa Milton Newton Kalyembe
Mungu amjalie afya njema ili ndoto zake zitimie
Ayo ukivua kofia mbayaaaaaaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Allah akufanyie wepesi zaidi ya ya unapofikiria
Imenitowa machozi aisee mungu ni mkubwa Sana I love your God
Mungu nkubwa kaka yangu piga moyo konde bado Mungu atakukumbuka tu kwa ndaa wake na tayari mujiza wako uko mbele yako tu uamini tu
We ni mpambanaji na uko very strong. Utafanikiwa
HUYU JAMAA NIMESOMA NAE REGIONAL AVIATION DUUH PAMBANA BABA
Mungu akutangulie katika kutimiza ndoto yako
Daah! Mungu akusaidie, Mungu aguse mioyo ya watu , akuwezeshe kufikia ndoto yako. Akufanyie wepesi mdogo wangu . Nakumbea kwa Mungu akufungulie milango ya baraka ili ufike mbali. Nimeguswa sana wengi wanandoto lakini wanapokata tamaa ndoto zao huishia njiani kwa kukosa sapoti so usikate tamaa Mungu atakuwezesha mhimu usijitenge mbali na Mungu mtegemee sana Mungu...mwenyewe ninandoto kibao hapa nakomaa mpaka kieleweke. All the best mdogo wangu. Mungu akutangulie na akuongoze kwa kila hatua
Natumuombee sana mungu azidi kushusha mibaraka kwa watu tuweze kutambua umuhimu wa ndoto yake
Namba zake Tafadhali tumchangie kupitia mobile money. Inawezekana sana! Big up!!!!
Duh..kumbe miaka 3 imepita. Na hela nshatuma😀 ndo leo hii story naiona..hope alifanikiwa
Mungu akufanyie wepesi ktk ndoto yako.
Mtoto mwenye hakiri...mungu akujalie
Big up kijana
lnshallha mungi yuko nawe itatimia ndoto yako kaka na nimependa unauza karanga kwa ajili ya ada
Sina cha kukuchangia hila nakuchangia kwa maombi tu MUNGU atakuwezesha amen
Hongera amini utafanikiwa..Kwa maana kila aombae hupewa.
If your orphan like here,for our lovely father's and mother to rest in peace.
Daaaah more than pain,sio siri yatima hatuna dira
Safi sana Millard Ayo kwa kazi nzuri
hongera sana ayo
Wow pambana kaka.Mungu ni mkubwa hata mm nina ndoto za kuwa mfanya bihashara mkubwa wa kike 🙏🙏🙏🙏
Kaka Millard hongera sana kwa kuwa na moyo wa kuwaona watanzania wanyonge! Maana channel yako imekuwa chanzo cha mafanikio kwa watu wengi. *na hiyo ndio akili kabisa,badala ya kuwapa 1000/= na kuwaacha unashirikiana nao mwanzo hadi mwisho wa safari yao* hakika Mungu atakulipa brother Millard.
Very courageous young man. Never give up. You will go far God Bless you. Watching from Kenya.
phydiliah mwagodi thank you soo much
Big up brother mungu akutangulie sana
Nakuombea sana nursent
Mungu akujalie kaka Narcet utimize ndoto zako, kwakwel ng'ombe wa maskini hazai ila Mungu ni mweza wa yote atakuinulia watu watakusaidia usihofu
Duh, Maisha ya Narcent yamenigusa nami Nina ndoto ya kuwa Waziri wa Maliasili na Utalii but Mungu tupiganie sisi Wanyonge baba muumba wa mbingu na nchi
😂😂😂😂 uwaziri hausomewi kaka, kuwa na ndoto ya kitu ambacho kinasomewa, ila yote kwa yote Mungu afanye ndoto yako itimie
Utauza pembe za ndovu...!
Kwa nn unatamani siasa
Tafuta chuo cha chichiem
Spirit takes much of positivities than we can imagine of possibilities...I got your back my boy🤝🇹🇿
Prof Martin Peter Nhondo thank you soo much
Sure
Watu kama hawa serikali ingewachukua haraka sana..ni hazina ya Taifa
nice choice my dear friend, a good thing is just to ask from God,
Nimependa sana histolia ya Nascent. Mungu ambariki sana..