😂😂 aliwaambia Kishimba wawe wanakagua kabla ya matumizi sio kutoa riporti hela imeishateketea😢 lakini kwa ndege ya mizigo hapo ndipo penyewe haswa CAG hana la kusema
@@bekabakari7394 labda kama mi mtoto sioni hali ya maisha na biashara zilivo ngumu uku mtaani , maendeleo yapi Ayo mi siyaoni Zaidi ya report ya CAG kuwa hasara kila mda
Wewe acha kutetea upuuzi mama Samia hajachangia chochote kweny ununuzi wa hii ndege hii nikazi ya jpm2 yeye kaipokea2 hata mia hajatoa acha kuxhabikia Mambo ya ajabu wewe
Hongera TANZANIA kwa hatua njema ya maendeleo, kazi iendelee.
Hongera Tz Mama Samia ubarikiwe
Pongez kwa baba wetu Magufuri kwa kazi nzuri maana bila wewe haya tusingeweza kuwa nayo
Hii ndo Tanzania naitaka kutusaidia sisi sio hadi mtupe hela hapana kututengenezea njia na urahisi wa maisha iyo inatosha sana mama
Right Truck big up President of Tanzania 🇹🇿
Ahsante binti yetu wa kitanzania kwa ushujaa wako wa moyo. Big up TZ
Jp the great
Hayeni
Tanzania ya utekelezaji hiyoooo
Kazi ya JPM hiyo wa tz tunajua
Twendeni serikali mkaweke mambo sawa kiuzalishaji ili tukasafirishe mzigo kwenda nje zaidi kukuza uchumi wetu,
Yup Samia, kikwete, ma Mwinyi, mhh uliza Ma mkapa ma nyerere ma Jpm..
RiP john P.
Kwa I hakuna ngazi za kuterezesha?
so itakua inatoa nini hapa na kupeleka nini...afu wapi?!
Maua, horticulture products, precious metals,
Swalilangu ilikuwa ml 30 badae ikawa. 60 ml😇😇😇😇😇😇
leo mama kapokea ndege mpya kesho ni kupokea kombe
😂😂
@@berthatz labda kimbe la ulanzi
😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅 utopolo bwana
Mama vaa buibui
🇹🇿🇹🇿👊
Hadi uku unaleta uyanga w jamaa ww kua na kikomo
Mbona haijaja na mzigo???
Good question 🤔
Kuna mpya gani apo
Washamba wa vijiji ndiwo huona maajabu bali sio walioelimika
Iyo ndo ingewafaa kuwachukua wachezaji wa yanga maan limbuken wa kupanda ndege
Mda si mrefu report ya CAG itakua ni hasara tupu
😂😂 aliwaambia Kishimba wawe wanakagua kabla ya matumizi sio kutoa riporti hela imeishateketea😢 lakini kwa ndege ya mizigo hapo ndipo penyewe haswa CAG hana la kusema
Tatizo letu watanzania
Hamkosi kusema
Baya au jema tubadilike
Tuonapo maendeleo
@@bekabakari7394 labda kama mi mtoto sioni hali ya maisha na biashara zilivo ngumu uku mtaani , maendeleo yapi Ayo mi siyaoni Zaidi ya report ya CAG kuwa hasara kila mda
𝗷𝗽𝗺 𝗮𝗹𝗶𝘄𝗲𝗸𝗮 𝗼𝗱𝗮 𝗵𝗶𝘆𝗼:
Ehe, sasa Mama Samia amemalizia deal. Ulitaka JPM atoke kaburini kuendeleza kazi!!!??
Oda imetolewa mwaka jana, JPM alikuwepo mwaka jana? Au alitoa oda akiwa kuzimu? Oda za JPM zilishawasili zote hakuna iliyobaki. Hizi ni oda za Samia 5
@@joycelinelyimo-fenske8745 Oda hii ni ya Samia sio JPM.
Wewe acha kutetea upuuzi mama Samia hajachangia chochote kweny ununuzi wa hii ndege hii nikazi ya jpm2 yeye kaipokea2 hata mia hajatoa acha kuxhabikia Mambo ya ajabu wewe
Wewe Mr. Miyeye endelea kuomboleza. Halafu ukimaliza ndio uanze kazi.