Wengi hawajui kuuliza maswali muhimu na hawa pilots hawatoi information nzuri zikusaidia watu ila hii ni kazi ya kawaida tu unless Za kijeshi. Wasiogopeshe watu.
Kuna yule kijana mwengine ambao anaendesha ndege dogo kwenda mwanza , Arusha , namengine yéyé ndorubani mdogo sana Kuliko wadogo wengine huo mtoto nimweupe sana sikumbungi jina lake hongera broo Musa mungu yakusaidie yufanikiwe ishallah
Kaka hongera sana kwa hatua uliyofikia Ila unavunja vijana nguvu kwa nguvu zako zote,maana unachozungumza ni kwamba ni ngumu sana kwa kijana wa kawaida kuwa rubani,unaongea vitu vyote katika negative way kijana kuwa rubani, huwezi kwenda mbali kwa carrier yako broo,unatakiwa uwatie vijana wadogo moyo, kuwaambia kila kitu kinawezekana, unajikweza sana na jua kuwa Kuna vijana wadogo toka familia za chini sana watafanya makubwa nawe utashangaa, unajikweza sana broo. Hutaki kutoa advice unawaachia wazazi wako ambao hawajawahi kurusha ndege ndio washauri vijana, Marubani wako wengi na wanakuja, kuwa mshauri wa vijana na hakuna habari ya tz kuexpand kidogo kidogo,vijana wanakuja kwa nguvu sana. ONDOA UBNAFSI BROO !!!
Hapa ngoja tuekane sawa. Tusipende kuongea vitu ili mradi tumeongea tu. Huezi ukasema gharama halisi azotumia..kwasababu unaruka kutokana na pesa zako. Hapa Tanzania ili usome upilot wa awali unatakiwa atleast ue na 160 milioni sasa ili uendelee kupanda lanke unaendelea kulipa gharama mwishoe unaeza jikuta hadi ufikie level kama yake ushamaliza 500 mln . Sasa ukitaka kujua hayo nenda pale terminal one utajua kila kitu. level ya elimu ni kuanzia form 4 na ue umesoma masomo ya Sayansi. Haswa Phiysics Geography na Mathematics..hiko ndo nachojua mimi kwa kiasi. Wale wanao rusha za kijeshi mara nyingi wakiwa jeshini husomeshwa na Serikali. Na walio ajiliwa mfano yeye akiajiliwa na Air Tanzania. Ili arushe zile Air Bus Na Boeing 737 Max na 787 Dream liner lazma azisomee gharama zake hua zinagharamiwa na serikali na hua wanaenda Canada ukitaka kusomea Boeing..na Ufaransa Airbus
order to begin training as an airline pilot, you'll generally need at least 5 GCSEs from A to C, with English and Maths included. You will also need at least two A-levels, and ideally this will include Maths and Physics.16 Jun 2015
Anajua kiswahili ila kwa sababu amekaa sana nje na huko alikuwa anatumia sana kiingereza ndo maana inatokea automatically kiingereza kinatoka. Amejitahidi sana kwa kweli yuko vzr
Kwann watangazaji wa ayo wanamuiga sauti milard ayo??? Hd wanakera sasa Afu na huyo rubani hicho kiswangiliishi cha nn sasa Na hizo yaaaa,,, yaaaaa,,, ya,,, Kahhhh shikamoni wazungu kwakweli wamejua kututeka Ila yote kwa yote hongera sana nasi tunajivunia kua na rubani kijana,,,
Gharama,Gharama si useme ni shilling ngapi? Gharama ni kubwa kutegemea uwezo wa mtu kwako kubwa kwa mwingine ndogo. Sema exactly figure ya pesa. Poor interview👎👎👎👎👎
Mimi nauliza kwani ndege za Tanzania huwa zinarushwa kwenda nchi ipi na ipi za ulaya au America kwani nasikia hazina kibali kwenye nchi zenye sheria mwisho wao India na nchi za Africa tu
Ina maana India na nchi za kiafrika sio wajumbe wa IATA? Swali lako sijalielewa kabisa, kwani kwenda Marekani na Ulaya ndio kuwa na safari nzuri, shirika huangalia wapi kuna soko zuri na ushindani sio mkubwa sana.
hongera kijana upo vizuri unazungumza kiswahili .hata sisi mama zako ambao hatukusoma tumekuelewa. mungu akuinue akufikishe kiwango upendacho
Hongera sana kijana.
INshaAllah utafika mbali na utatimiza unayoyakusudia.
Hongera sn Mussa nafurahi kuona Tanzania tuna mtu kama wewe kijana mdogo mwenye uwezo mkubwa all da best..
Mashaallah Tabarak Allah MMungu azidi kukuongoza na kukuinua InShaaAllah
Hongera sana kijana wetu, kuna baadhi ya vijana wenye umri kama wako wako bize kugombania mademu mtaani na ni ma admin kwenye magroup ya ngono,😁😁😁
🤣🤣😜
Hongera sana nakuombea mungu upate kazi air tanzania
Ushauri wangu Kwa vijana wote wa Tanzania.Fanyeni KAZI Kwa bidii msikate tamaa.
kweli shukran sana nami one day nitarusha inshaallah
Hongera sasa wajina
Msilaumu kuchanganya lugha ni mazingira alopitia.
Keep inspiring kaka Mussa 🤝
Sh ngapiii, sio tu kubwaa kubwaa, twataka jua ni sh. ngapi
60 milioni
Wengi hawajui kuuliza maswali muhimu na hawa pilots hawatoi information nzuri zikusaidia watu ila hii ni kazi ya kawaida tu unless Za kijeshi. Wasiogopeshe watu.
Safi sana. Vijana lazima mjipange kufikia malengo ya Mussa.
Mungu azidi kumbariki huyu jamaa.
I like u so so much for your job and courage
Kuna yule kijana mwengine ambao anaendesha ndege dogo kwenda mwanza , Arusha , namengine yéyé ndorubani mdogo sana Kuliko wadogo wengine huo mtoto nimweupe sana sikumbungi jina lake hongera broo Musa mungu yakusaidie yufanikiwe ishallah
Ko tukusaidije?
Ko tukusaidije?
Very humble person and so polite
Bro poteza mdawako kidogo pitia kwangu nawimbo
Hongera Sana kijana
Hongera bro usiwe na wasi utafanya kazi Air Tanzania
Bro poteza mdawako kidogo pitia kwangu nawimbo
honger
Mussa hongera sana
Huyu kijana ana busara sana; ingawa anapenda sana kuongea kiswanglish, ila ana kiwango cha juu sana cha busara.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Anaongea kiswanglish🤣🤣🤣🤣🤣
@@sifatiiman 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kaka hongera sana kwa hatua uliyofikia Ila unavunja vijana nguvu kwa nguvu zako zote,maana unachozungumza ni kwamba ni ngumu sana kwa kijana wa kawaida kuwa rubani,unaongea vitu vyote katika negative way kijana kuwa rubani, huwezi kwenda mbali kwa carrier yako broo,unatakiwa uwatie vijana wadogo moyo, kuwaambia kila kitu kinawezekana, unajikweza sana na jua kuwa Kuna vijana wadogo toka familia za chini sana watafanya makubwa nawe utashangaa, unajikweza sana broo.
Hutaki kutoa advice unawaachia wazazi wako ambao hawajawahi kurusha ndege ndio washauri vijana,
Marubani wako wengi na wanakuja, kuwa mshauri wa vijana na hakuna habari ya tz kuexpand kidogo kidogo,vijana wanakuja kwa nguvu sana.
ONDOA UBNAFSI BROO !!!
Mm nadhani sio kujisikia bali ana uhaba wa umahiri wa kujieleza tu.
Ha ha ha ha!,Sasa Kama uwezo wa kifedha huna unataraji akutie vipi moyo,,yeye kazungumzia kua garama ni kubwa,kaongea ukweli
Mimi sijaona sehemu aliyomvunja mtu moyo.
Hapa ngoja tuekane sawa. Tusipende kuongea vitu ili mradi tumeongea tu. Huezi ukasema gharama halisi azotumia..kwasababu unaruka kutokana na pesa zako.
Hapa Tanzania ili usome upilot wa awali unatakiwa atleast ue na 160 milioni sasa ili uendelee kupanda lanke unaendelea kulipa gharama mwishoe unaeza jikuta hadi ufikie level kama yake ushamaliza 500 mln . Sasa ukitaka kujua hayo nenda pale terminal one utajua kila kitu. level ya elimu ni kuanzia form 4 na ue umesoma masomo ya Sayansi. Haswa Phiysics Geography na Mathematics..hiko ndo nachojua mimi kwa kiasi. Wale wanao rusha za kijeshi mara nyingi wakiwa jeshini husomeshwa na Serikali. Na walio ajiliwa mfano yeye akiajiliwa na Air Tanzania. Ili arushe zile Air Bus Na Boeing 737 Max na 787 Dream liner lazma azisomee gharama zake hua zinagharamiwa na serikali na hua wanaenda Canada ukitaka kusomea Boeing..na Ufaransa Airbus
@@gervasally6979 usidanganye wenzako bro sio lzm uwe na pgm ndo uwe pilot
Allaah akuongoze
Huyo rubani hajuhi kujieleza maneno yake yana kama kwama anaweza kurusha ndege kweli huyu
order to begin training as an airline pilot, you'll generally need at least 5 GCSEs from A to C, with English and Maths included. You will also need at least two A-levels, and ideally this will include Maths and Physics.16 Jun 2015
And funds Offcourse ila kwa nchi kama Tanzania you are regarded a messiah.
Utasikia wanasema wewe sio mtanzania kwasababu unachanganya lugha 😂😂❤️
Nice
Good
Mwache aongee kimombo naona hajui kiswahili wabongo bwana daa yanini kuchanganya lugha 😆
Anajua kiswahili ila kwa sababu amekaa sana nje na huko alikuwa anatumia sana kiingereza ndo maana inatokea automatically kiingereza kinatoka. Amejitahidi sana kwa kweli yuko vzr
Safi mkuu
Bro poteza mdawako kidogo pitia kwangu nawimbo
Interview mmhhh cyo tamuu
Mbona hajaongea kingereza kwani sio msomi huyu wa sanii hacheni shobo huyu ni mwana degree halisi kabisa maana hajajishauwa km wakina fulani is
Kwann watangazaji wa ayo wanamuiga sauti milard ayo???
Hd wanakera sasa
Afu na huyo rubani hicho kiswangiliishi cha nn sasa
Na hizo yaaaa,,, yaaaaa,,, ya,,,
Kahhhh shikamoni wazungu kwakweli wamejua kututeka
Ila yote kwa yote hongera sana nasi tunajivunia kua na rubani kijana,,,
Safi sana
Bro poteza mdawako kidogo pitia kwangu nawimbo
"RARE EMPLOYMENT OPPORTUNITY" BUT "TURF"
Kweli tunayo rasilimali watu.tuwashikirie ili waijenge nchi yetu.
Kigugumizi cha nini kusema kiwango cha gharama? au ndo hujui we ulitumia tu maana ni za kupewa hujui jumla.
Wivuu
Gharama,Gharama si useme ni shilling ngapi? Gharama ni kubwa kutegemea uwezo wa mtu kwako kubwa kwa mwingine ndogo. Sema exactly figure ya pesa. Poor interview👎👎👎👎👎
Gharama kubwa ndoo nn? Taja kiasi
Interview inaboo sanaaaaa
Nani anasikiliza sauti Kama Mimi uku
Poor mtangazaji hajui kuhoji wala kuuliza maswali. Na hajui ni vitu gani muhimu amuulize 👎👎👎👎
Anakumbwa na aina yoyote ya "speech impairments"? Mahojiano mazuri anyway!
Bro poteza mdawako kidogo pitia kwangu nawimbo
What you mean speech impairement ama unataka kutuambia hajui Kiswahili?
Pongezi mwanangu ningependa nisafirinandege yako
Sura yenyewe na miaka 24 mbona mbali sana, anyway mama yako ndie anajua ukweli
Shibe ya USA
Amepata reseni akiwa na miaka 24 sio anamiaka 24
Aaaaa eee
Wacha chuki dada
Mwulize anaweza kuendesha ndige za ukubwa gani.
😂 eti ndige.
Sijaelewa yuko kazini au bado mwanafunzi?
Kazeeka kimuonekano😂 ana asili ua upara😅
Ina maana unashindwa kuongea Kiswahili kijana?
Mimi nauliza kwani ndege za Tanzania huwa zinarushwa kwenda nchi ipi na ipi za ulaya au America kwani nasikia hazina kibali kwenye nchi zenye sheria mwisho wao India na nchi za Africa tu
Mpaka sasa ni hivyo lakini tuta fika mbali tu.
h
Ina maana India na nchi za kiafrika sio wajumbe wa IATA? Swali lako sijalielewa kabisa, kwani kwenda Marekani na Ulaya ndio kuwa na safari nzuri, shirika huangalia wapi kuna soko zuri na ushindani sio mkubwa sana.
@@kambamazig02024 Muuliza swali ni Mpuuzi Au jipu lishatumbuliwa 😅😅😅
jaman miaka 24 mbona kama mkubwa?
°°°°
Keep inspiring kaka Mussa 🤝