This girl comes from the richest family in Mwanza lakn ana hustle, wengn tumetokea maisha ya shida lakn tunachagua kazi. God bless your hustle Nancy 😘♥️
Siwekag comment youtube but how can i skip this inspiring young girl? Dada endelea hivo hivo. Huyu kasomea marekan ila hatujasikia kingereza cha "u know ze sing is" ...kajibu maswali kwa kiswahili safi kabisa. Tunakusupport na tunakupenda.
Huyo sio msukuma ni mchaga wa pasua moshi kazaliwa mwanza tuu na kuishi Safi sana my sister Allah akupe zaidi hapo kithunguuu w angekuwa wale wengine U know nyingi Nakujishauwa
@Mashuea Salim, nakuunga mkono kwa hilo, Tanzania ya sasa au naweza kusema Africa tunahitaji vijana wa aina ya Nancy husasan kwa kipindi hiki cha ugumu wa Ajira, fanya unachopenda na usiogope maneno ya watu, najua wengine hawapendi hivyo lakini mm binafsi nimemkubali sana huyu dada, Kwanza ni msomi lakini ameona fursa na anatumia vzr, Vijana tuamke, mtu amesoma marekani tena masters anadhubutu kufanya kazi ambayo wengi wetu tunaidharau, tena wengine hata hawana elimu lakin nyodo nyingi zisizo na faida, kazi kusema wengine na kuwakatisha tamaa
Watu wanaongea mambo ya msingi ili wengene tujifuze wewe upo unasema kama wewe ni mchaga gonga leka twende sawa muache haya mambo ya ujinga muache watu tujifunze hapa
Naangalia hii 2020 na nimemaliza chuo, sitamani kabisa kuajiliwa japo wazazi wa natamani Sana kuniona naenda officine! Umenitia moyo dada hopefully iko siku nitafanikiwa kama wewe!
Wow!..just wow!!..huyu dada naweza msikiliza over and over bila kuchoka, beautiful with brains, keep up the good work Nancy kuajiriwa ni utumwa na kikomo cha fikra tulicho rithishwa na jamii na wazazi wetu, tubadilishe mitazamo yetu vijana creativity, discipline, plans and execution is the way up..mtafute Nancy miaka 10 ijayo utamuita freemason.
Aiseee me nakuunga mkono Dada yangu, Hakuna kitu kinacholipa Kama kazi ya kujiajili. Me nafurahia kipaji changu cha utengenezaji wa keki na sihitaji kuajiliwa, Hongera sana
Millard Katika watangazaji wako nnao wakubali ni Huyu Kaka na Vidox na yule wa kike jina nmesahau yaan Hawa watu wanafanya nisichoke kufatilia Interview za Millard💪🏽💪🏽 Kazeni sana na Hongera sana Dada makande
I’m from DRC but right now I live in Virginia/USA. I always have same idea( returning home ), sadly I can not return to my country now coz situation is still not good yet, Burundi 🇧🇮 is my second home so after I get my US citizenship I will go back to Burundi and do something there, can’t wait to see my dream come true, let’s keep praying the Lord 🙏.
Wow! Ushawahi kusikia msemo "beauty with brain"? ndo huyu sasa...such an inspiration mrembo...sio wale wakina nani sijui wanatuonesha makalio tu na michupi instagram...i love this interview.
Kama mtu amesoma U.S na amejiajiri kupika makande na anapiga pesa, wewwww ni nani hutaki kazi unasubiri ajiraa. Kama unapenda kujiajiri kuliko kusubiri ajira, Gonga like hapa
Nancy the boss lady..so inspiring keep doing what you do and believe me you will make it,don't pay attention to haters..I will come for some food when I get back to Tz. Much love from the United Kingdom.
Uyu na masters yake anauza makande mimi nina na degree yangu nishindwe kujiongeza aisee hapana ivon mama endelea kufanya hicho unachokifanya 💪💪 ani uyu dada kanipa moyoo mnooo 😍
Binafsi naamini kuwa mpaka sasa hakuna mtangazaji yeyote wa online tv anayemfikia hata kumkaribia huyu jamaa.... He is so unique, hamuigi mtu yeyote, wengine utakuta wanawaiga kina Soudy Brown....Big up sana kaka.
Hongera sana NANCY kazi ni kazi haijalishi umesoma au laashukuru kile unacho kipata kuna wengine wana loose hope kwavile nimsomi na hawezi kutaka kujishughlisha na kitu chengine eti mpaka apate alichokisomea search pple are nonsence keep it up ☝ Nancy
Very nice mdogo Wangu Nancy. Wazo tu la kuondoka kwa Trump kurudi Tz ni mindset kali sanaaaaaa. Umegeuza akili za sisters wengi wanaohisi uzuri wao ndio ngazi ya kutokea kupitia tips na offers za wanaume kumbe tabasam lako tu kwa mteja lina thaman ya million moja kupitia good business strategy. Nataman niwe mmoja wa Makande suppliers kwenye catering yako. 40x5000 kwa a single package...one of the brilliant minds towards Tanzania ya Viwanda. Keep it up.
Asanteeeeeeee. Wengine wamezoea lakini hata majina Yao hawajui kuandika lakini wananichosha kwa maringo. Asante nance ,kwa wachaga hakuna kuchangia kazi.
hongera sana Nancy! kuajiriwa ni utumwa ila ukiamua kufanya kitu unachokipenda kwa moyo mmoja uwezo wa kufanikiwa zaidi ni mkubwa!Mungu azidi kubariki kazi ya mikono yako
Daaa!! Nansiii hongera sana sana nimekupenda ila tupo weng kazi tusichague uko vizuri najua kutokana na elimu imo nayo na kazi ya kuuza makande wachache walikuzarau ila ukweli nikwamba utatoka tu kimasha kwa sababu ubunifu ni mzuri zaid yanzuro
Nancy, your decision added to your critical thinking toward jobs has set a very high standard and enormous inspiration to many, especially young people. I applaud your courage and your stance. Several young girls have expressed the challenges they face on their job search, many hit the wall, not because they are not qualified, but because of the favors some men ask from them. You may not have faced these obstacles, I only express what I have heard from some. I take my hat off for you, and I wish you the very best in this business that I'm positive it will thrive--and will lead to diversification as time goes.
Ni kweli unaweza kukosa ajira lkn kazi zipo nyingi tu ni kiasi cha kujitoa ufahamu na kutochagua nn cha kufanya ilimradi ni kitu halali kukifanya. Mungu akuongezee maarifa zaidi dada Nancy. Barikiwa sana
I'm not Tanzanian but I leave and work in dar and speak not bad Swahili but this lady is role model for all women in tanzania not nandy with her naked videos. What she is saying about America is not easy she is right, I'm from UK and I tell you is not an easy life, Tanzania has so much opportunity it just take hard work and patient. Having a degree mean nothing today all successful people in business were school drop out. This lady will go far and I hope she does. By the way makande ni nini?
Thanks for your time,makande Ni chakula kinachotokana maize grain... wengine hupenda kuchanganya na maharage ( beans) Ila Nancy naona hachanganyi na nafaka nyingine...Ni kizuri..
Great mtu anasoma ili atawale maisha yake binafsi na atoe msaada kwa ambao hawakupa fursa kama yeye... Yaani atengeneze fursa kwa wengine... Attractiveness at work... Wabongo wata copy Hiyo ndiyo elimu sahihi... Hongera mamaa
Vizuri sana, Dada mrembo sana Ila ameamua kuweka usista du pembeni na kuamua kufanya biashara ndogo ndogo, madada msidange mitaani igeni mfano wa huyu dada.
Tatizo hukua na permanent résidence, Au pengine hana talent because marekani mtu ambaye ana masters degree awezi kukosa kazi kabisa Miaka mi nane university afu ukose ajira! Huyo hana experience ya kazi
Huyu mwandishi yuko vizuri analetaga habari nzuri zenye mafunzo mazuri sana Yule mwingine analeta wale jamaa wa Arusha wanakula Maandazi makubwa kama tofali za kienyeji
Hongera sana dada,utajiri haupatikani katika ajira,utajiri unapatikana katika ujasiria mali,huwezi kuwa tajiri kwa kulipwa mara kumi na mbili tu kwa mwaka mzima.
Project management::::: umefika dada. Hongera na mungu akuweshe katika yote. Yaani umefika ndipo. usijutie kwenda marejani. elimu yako imekufaa katika hili. Shukuru Mungu sana sana. Nimependa maamuzi yako. tazama umeawaajiri wangapi????? Hongera
Hongera dada Nancy. Nimejifunza mambo muhimu sana. Si vizuri kuwa na aibu au kuchagua kazi. Na pia ni vizuri kufanya kazi unayoipenda maishani. Lakini niko na swali. Vyakula vya mlenda, makenda ni Vyakula vya aina gani? Mimi ni mkenya na sielewi hivyo Vyakula. Ningependa kuvijua
You see the good thing about education is that. She is actually doing a normal thing done by many other restaurants and "mamantilie's" out there but she's doing it hilariously like on another crazy level. Thats the big difference huwezi fananisha na wauza makande wengine mtaani.
Nikweli kabisa maisha ya marekani siyo raisi kama watu wanavyo fikiria mimi naishi years now. Nafikiria kurudi nyumbani I love my Africa and I miss my friends. Natamani namimi niajiri siyo niendelee kuajiriwa miaka yoote. Amenipa moyo sana sijisikii raa sana kuendelea kuishi marekani. Nimemiss TZ kigoma. Love my Africa
Kitu ninachowapendea watanzania, yaani ameishi marekani Kwa miaka 10 ila bado anazungumza Kiswahili Safi, hajisheui na kizungu... Kiswahili kitukuzwe 😍Yote tisa, kumi hakuna kitu kizuri kama kujiajiri, vijana tusomeni ila akili zetu tuziweke katika kujitengezea ajira na kutengezea wengine ajira.
Huyu anaipenda nchi yake ndo maana anaongea kiswahili vizur hivyo hataki kuanza kuongea kizungu ila ni vizur sana alivyo ongea lugha yake mwanzo mwisho
Ndio naingia Rock city Mwanza kutoka Dodoma ,Dada Nancy yuko na 34 yrs hadi sasa mm nko na 27 ntahakikisha napambana hapa Mwanza hadi nirahisishe maisha yangu
Dada afadhali umesema vizuri sana Sisi tunaoishi marekani maisha si rahisi kama wabongo wanavyosema kama Utakuja huku ujipange Kweli Kweli Maana utakuwa mzigo na kazi za hapa ni nyingi Ila uwe na vibari au green card.
Tanzania tuko nyuma sana mtu hasomi ili asifanye biashara ndogo ndogo anasoma ili kupanua uwezo wake wa kufikiri na kuongeza maalifa aliyo nayo kama unaweza hesabu adi kumi basi unaongeza kuhesabu adi mia na unaweza uza ata vitumbua so msiwakatishe tamaa wanao ongeza uelewa wao
Hongera San sister umetisha San hat mm umenitia moyo Namukubali San dayo Hongera brother kwa kumtembelea mupambanaji mukubwa mungu Amuongoze katika maisha yake
It's 2024.. nimerudi kwa mara nyingine kuiangalia hii video..its very inspiring❤
Me too am still watching
This girl comes from the richest family in Mwanza lakn ana hustle, wengn tumetokea maisha ya shida lakn tunachagua kazi. God bless your hustle Nancy 😘♥️
glory gerald ok
This girl comes ndo nn
Musa Sabu hujaelewa nn Mbn nimeandika kila kitu kinaeleweka?
@@glorygerald1228 hahaaaa vp lakn kwema
my dear nabuwezeshwaji unadhan ni rahis tu huna mtaji ukafanye hayo?
Waliompenda uyu dada kama mimi tujuane mapemaaaa like apa. Najua uyo mtangazaji ndo wa kwanza ku like inaelekea kampenda sana uyu dad😆
penda sa Dada natakutamani
safi sana dada
mimi mwenyewe nimemzimia sana..mtoto mzuri mno,,on top ni mchapa kazi,,hawa ndio wanawake wa kugharamiwa
Hongera sana mdada
thanks very much
kama na ww unaangalia huku unasoma comments, like tujuane 😂
㊗㊗㊗㊗㊗
@@zunaiqbintameir5348 umeanza lin kutukana?
Safi sana
Djmuba Tech Services tsap
@@mrmongi1865 whtsp
Siwekag comment youtube but how can i skip this inspiring young girl? Dada endelea hivo hivo. Huyu kasomea marekan ila hatujasikia kingereza cha "u know ze sing is" ...kajibu maswali kwa kiswahili safi kabisa. Tunakusupport na tunakupenda.
Jamani wasukuma hatuna hayo mambo tuna uhalisia.
Huyo sio msukuma ni mchaga wa pasua moshi kazaliwa mwanza tuu na kuishi Safi sana my sister Allah akupe zaidi hapo kithunguuu w angekuwa wale wengine U know nyingi Nakujishauwa
U know the way me u wat and wat ni za wasanii wanaojielewa wala hta
Mckilize vzriii.. Sema hajachanganya Sana'a
@Mashuea Salim, nakuunga mkono kwa hilo, Tanzania ya sasa au naweza kusema Africa tunahitaji vijana wa aina ya Nancy husasan kwa kipindi hiki cha ugumu wa Ajira, fanya unachopenda na usiogope maneno ya watu, najua wengine hawapendi hivyo lakini mm binafsi nimemkubali sana huyu dada, Kwanza ni msomi lakini ameona fursa na anatumia vzr, Vijana tuamke, mtu amesoma marekani tena masters anadhubutu kufanya kazi ambayo wengi wetu tunaidharau, tena wengine hata hawana elimu lakin nyodo nyingi zisizo na faida, kazi kusema wengine na kuwakatisha tamaa
Proud of you mdogo wangu...CHAGA ON FLEEK ...KAMA WW MCHAGA DUNGA LIKE
brighton shakila hapa ndo mnapokoseaga, mnaleta mambo ya uchaga kwenye mambo ya msingi, sio saw a!
wachaga bana
@@gaspermwaipopo691 umeona eeh,wanaboaa
Watu wanaongea mambo ya msingi ili wengene tujifuze wewe upo unasema kama wewe ni mchaga gonga leka twende sawa muache haya mambo ya ujinga muache watu tujifunze hapa
brighton shakila og
Naangalia hii 2020 na nimemaliza chuo, sitamani kabisa kuajiliwa japo wazazi wa natamani Sana kuniona naenda officine! Umenitia moyo dada hopefully iko siku nitafanikiwa kama wewe!
Wow!..just wow!!..huyu dada naweza msikiliza over and over bila kuchoka, beautiful with brains, keep up the good work Nancy kuajiriwa ni utumwa na kikomo cha fikra tulicho rithishwa na jamii na wazazi wetu, tubadilishe mitazamo yetu vijana creativity, discipline, plans and execution is the way up..mtafute Nancy miaka 10 ijayo utamuita freemason.
Good girl good idea keep it up
Wengi wenye mawazo ya kuajiriwa hua wanawaza kuiba tu km sio pesa, wakati!
Kweli kaka aiseehe utumwa wa kishetani
Mambo yanapelekwa kisomisomi sahani znafwata China good.
Mimi nikirudi Nitauza Vitumbua tu hakuna Namna...Hongera Mama
Tuuzie vitumbua dada
Kamasisi.mabaharia.wa.meli.fifty thousand dollars Zanzibar home 18.
Joshua Nyamaiswe 😂😂😂😂😂
Ahahaha! Umenifurahisha sana
Tupo wengi hapa
Hongera mdada mzuri,,, Mungu abariki kazi ya mikono yako,,, wapenda kupika oyooooo!!!
Aiseee me nakuunga mkono Dada yangu, Hakuna kitu kinacholipa Kama kazi ya kujiajili. Me nafurahia kipaji changu cha utengenezaji wa keki na sihitaji kuajiliwa, Hongera sana
Bonifas nichek. 0679410076
Sijui Millard anawatoaga wapi watangazaji wake? All wanna high thinking capacity with good brains. Lazima uenjoy interview tu!
Millard Katika watangazaji wako nnao wakubali ni Huyu Kaka na Vidox na yule wa kike jina nmesahau yaan Hawa watu wanafanya nisichoke kufatilia Interview za Millard💪🏽💪🏽 Kazeni sana na Hongera sana Dada makande
I’m from DRC but right now I live in Virginia/USA. I always have same idea( returning home ), sadly I can not return to my country now coz situation is still not good yet, Burundi 🇧🇮 is my second home so after I get my US citizenship I will go back to Burundi and do something there, can’t wait to see my dream come true, let’s keep praying the Lord 🙏.
Never give up brother. Home sweet home sweet.
I'm from congo.
I wish to return also.
I live in the philippines.
May be our country congo will be good .together we can go in next level
Wow! Ushawahi kusikia msemo "beauty with brain"? ndo huyu sasa...such an inspiration mrembo...sio wale wakina nani sijui wanatuonesha makalio tu na michupi instagram...i love this interview.
umeonaeeee wale wamevurugwa
Kbs wah nampa mkono
Kama mtu amesoma U.S na amejiajiri kupika makande na anapiga pesa, wewwww ni nani hutaki kazi unasubiri ajiraa. Kama unapenda kujiajiri kuliko kusubiri ajira, Gonga like hapa
😂😂😂😂 mi Nina kidiploma changu kazi zote czitaki .... Wa Masters anauza makande .... Wacha nitafute bodaboda nipeleke kazi Ni kazi .....
Big up
Hahahaaa
😁😁😁
Haha
Nimecheka had machoz😂😂
Dada, you are an amazing woman, umeniinspire na umenishangaza at the same time, endelea hivyo hivyo!!!!
Elimu ni chanzo cha marifaa#Nancy Lema(Beautiful girl).
Kweli hakuna mchaga mpumbavu
Dada Nancy nimependa sana jinsi unavyojituma kama ungekuwa karibu ningekutafuta
Sio.mzuri. Sema ni wakawaida maana iyo ya uzuri umeiganda. Wakaida tu
Nancy the boss lady..so inspiring keep doing what you do and believe me you will make it,don't pay attention to haters..I will come for some food when I get back to Tz. Much love from the United Kingdom.
You inspired me sana Nancy, you opened my eyes kwa kweli. I loved it! Keep it up
Uyu na masters yake anauza makande mimi nina na degree yangu nishindwe kujiongeza aisee hapana ivon mama endelea kufanya hicho unachokifanya 💪💪 ani uyu dada kanipa moyoo mnooo 😍
Nancy, you are an inspiration to many Africans and moreso all young people. I love your strength and committment to what you love. Go girl.
Binafsi naamini kuwa mpaka sasa hakuna mtangazaji yeyote wa online tv anayemfikia hata kumkaribia huyu jamaa.... He is so unique, hamuigi mtu yeyote, wengine utakuta wanawaiga kina Soudy Brown....Big up sana kaka.
Hongera sana NANCY kazi ni kazi haijalishi umesoma au laashukuru kile unacho kipata kuna wengine wana loose hope kwavile nimsomi na hawezi kutaka kujishughlisha na kitu chengine eti mpaka apate alichokisomea search pple are nonsence keep it up ☝ Nancy
Mashaallah Allah akubariki dd uwendelee na kaziyako vizuri kusoma dd silazima uajiriwe kazini serekalini mazali unaelimu yako unaweze kujiajiri mwenyewe inshaallah
Masha Allah.. Kaz ni Kaz dada yngu piga kz unaingiza hela nzur tu kuliko kutegemea Kaz za serikal..
Hongera kwa kujiongeza😍😍❤❤
Nice job my dia
Very nice mdogo Wangu Nancy. Wazo tu la kuondoka kwa Trump kurudi Tz ni mindset kali sanaaaaaa. Umegeuza akili za sisters wengi wanaohisi uzuri wao ndio ngazi ya kutokea kupitia tips na offers za wanaume kumbe tabasam lako tu kwa mteja lina thaman ya million moja kupitia good business strategy. Nataman niwe mmoja wa Makande suppliers kwenye catering yako. 40x5000 kwa a single package...one of the brilliant minds towards Tanzania ya Viwanda. Keep it up.
Hawa ndio wanawake wa kuoa
Hilo ndo ulilofikiria haraka haraka kaka.
Yaaan
+Husn Mjuba Kuoa ni jambo la kheri dada Husn ,na Nacy ni wife material
@@mohamed.hassani9917 mimi ni mwanaume kaka .
+Husn Mjuba sorry jina limeniconfuse
Asanteeeeeeee. Wengine wamezoea lakini hata majina Yao hawajui kuandika lakini wananichosha kwa maringo. Asante nance ,kwa wachaga hakuna kuchangia kazi.
Very interesting .
Allah atakujalia kheri. Utafika mbali sana.
love from Iringa
Anayepitia comment hasa za wachagga ....LIKE
Mungu abariki kazi za mikono yako
Mmmh uko vizuri Dada yangu
Jiandae kuja kunihoji 😀😀I promise ntakuja kuedit comment nikifanikiwa
Keep it up
Beauty with brain 👌🏾well done ✅ my girl 😉
hongera sana Nancy! kuajiriwa ni utumwa ila ukiamua kufanya kitu unachokipenda kwa moyo mmoja uwezo wa kufanikiwa zaidi ni mkubwa!Mungu azidi kubariki kazi ya mikono yako
Mwanza sehemu gan nancy
Kwa Mara ya kwaza na comment, this guy knows how to do interview, he deserves t b a presenter
Lubuva Martine Kuna watu watamuiga
0629301992 992 ndo hivyo
@@lubuvamartine2267 Anajua kwa kweli swali gani la kuuliza, Kongole kwake
Sanaaaa
Namimi na fuatiliaga ana juakazi yake sio maswali yakiginga big up Nancy nikiwa mwanza ntamtafuta napenda makande sana
Daaa!! Nansiii hongera sana sana nimekupenda ila tupo weng kazi tusichague uko vizuri najua kutokana na elimu imo nayo na kazi ya kuuza makande wachache walikuzarau ila ukweli nikwamba utatoka tu kimasha kwa sababu ubunifu ni mzuri zaid yanzuro
Mwanza kunanoga 🙋🙋🙋 mashallah hongera kwa wazo zurii la kujitofautisha na wengine kazi kazi.. I 💝U
Maryam Maram ok
Maa shaa Allah Mariam
@@abdullahrashid6297 u weclome
Good dada
Nancy, your decision added to your critical thinking toward jobs has set a very high standard and enormous inspiration to many, especially young people. I applaud your courage and your stance. Several young girls have expressed the challenges they face on their job search, many hit the wall, not because they are not qualified, but because of the favors some men ask from them. You may not have faced these obstacles, I only express what I have heard from some. I take my hat off for you, and I wish you the very best in this business that I'm positive it will thrive--and will lead to diversification as time goes.
Daa siku nikija Mwanza lazma nije kula msosi hapo.Naona kuna usafi wa kiwango cha SGR na Stiglers gorge.Big up my lovely dada
Umetisha mkuu
Hahahahahah @ Abby, au umepnda kimwana
Abby Adams in
Mwenyezi Mungu asikupugukie, endelea kumtegemea ,USIACHE KUTOA ZAKA Malaki 3:10.
😅😅
Ni kweli unaweza kukosa ajira lkn kazi zipo nyingi tu ni kiasi cha kujitoa ufahamu na kutochagua nn cha kufanya ilimradi ni kitu halali kukifanya. Mungu akuongezee maarifa zaidi dada Nancy. Barikiwa sana
I'm not Tanzanian but I leave and work in dar and speak not bad Swahili but this lady is role model for all women in tanzania not nandy with her naked videos.
What she is saying about America is not easy she is right, I'm from UK and I tell you is not an easy life, Tanzania has so much opportunity it just take hard work and patient.
Having a degree mean nothing today all successful people in business were school drop out. This lady will go far and I hope she does.
By the way makande ni nini?
🌽maize mixcher beans!
Pablo Escoba thanks
Melickzedeck Madaha
Ur welcome your the owner right and if so I want to try your food how can I get contact or order some?
Katengololo Steven
Cheers mate it sound nice and I'm sure the food will taste delicious
Thanks for your time,makande Ni chakula kinachotokana maize grain... wengine hupenda kuchanganya na maharage ( beans) Ila Nancy naona hachanganyi na nafaka nyingine...Ni kizuri..
Great mtu anasoma ili atawale maisha yake binafsi na atoe msaada kwa ambao hawakupa fursa kama yeye...
Yaani atengeneze fursa kwa wengine...
Attractiveness at work...
Wabongo wata copy
Hiyo ndiyo elimu sahihi...
Hongera mamaa
Vizuri sana, Dada mrembo sana Ila ameamua kuweka usista du pembeni na kuamua kufanya biashara ndogo ndogo, madada msidange mitaani igeni mfano wa huyu dada.
Bora umeamua kurudi home ukafanya kazi kuliko ungefake maisha ulaya hongera Nancy keep moving my dear
uyu dada ana masters tena ya Marekani
......ww una kidgree chako cha duce unajishaua km uend
......choon vile
........mjini dil kuwa na pesa
Akyanani true fact @ Richard
😂😂😂 umenena mkuu
😂😂
Sisi wasomi wetu akili zmedumaa kwa kutegemea kuajiriwa tuu sio km the whites .
Richard Philipo mmmmh Wa duce
Dada Nancy aiseeh I am really motivated . 5000 ×40= perday 200000 Dada Nancy bora ulitoka marekani ukaja we have to learn from u kbsa
Very smart and inspiring, your actions and mindset have literally defined the words 'don't settle'. I hope your business grows bigger and bigger.
Schola M ☺️👏👏
Tatizo hukua na permanent résidence,
Au pengine hana talent because marekani mtu ambaye ana masters degree awezi kukosa kazi kabisa
Miaka mi nane university afu ukose ajira! Huyo hana experience ya kazi
Hata mimi nimejiuliza hilo swali, lakini kwa nilivyomsoma naona kuajiriwa sio passion yake.
Huyu mwandishi yuko vizuri analetaga habari nzuri zenye mafunzo mazuri sana
Yule mwingine analeta wale jamaa wa Arusha wanakula Maandazi makubwa kama tofali za kienyeji
🤣🤣🤣🤣🤣 chali ya Arusha wale🙊🙊
😀😀😀😀
Ahahaha
Ndio maana yule ni bonge anawekwa kwenye sekta yake😹😹
Ha ha ha ha
Kila mutu Aige mfano huu dada mungu akuonekanie
Very inspiring story, God bless her hustle 🙏🏾
AMEN AMEN. Nans MUNGU MKUU akutangulie na akupe hekima na ujasiri . Barikiwa sana. AMEN.
Napenda sana wadada wa namna hii Mwanamke ni kupambana nimekupenda bure my dada Nancy. Mungu akubariki kazi ya Mikono yako
Anisia ludelemla Kuna watu wengine watamuiga
Ndio kuiga lazima haya ni mambo ya kuiga kabisa na cyo kuiga ujinga yy kawa ubao na sisi wengene atufundishe kupitia yy
America enlightens us sana tunaotoka bara la Africa . Kudos dada
...and she is doing what she studied in the US.Project management and Finance...
njeri karuri I’m glad umeichekechua na kuiona hiyo hahah.
Very true, Time is money marekani, usichokijua ni usiku wa kiza, Asante kwa kufungua macho ya vijana wengi
Hongera sana dada,utajiri haupatikani katika ajira,utajiri unapatikana katika ujasiria mali,huwezi kuwa tajiri kwa kulipwa mara kumi na mbili tu kwa mwaka mzima.
Dah bro Mkwelele nimekuelewa kinoma kwenye kulipwa mara kumi na mbili sema uwa atujiongezi kimawazo
Hehehehe this is xso true
sad facts but very true
Ni noma sana kulipwa mara 12 tu kwa mwaka mzma 😀
I second you 💪
safii Nancy nimependa ujasiri wake
Mimi nauza makande kwenye mgahawa wangu..tena 1000 tu!!!
Mazuri mno nayaunga vizuri na matamu sana.
Ila tatizo wabongo wanasema makande huwa hawashibi!!!! Hata wale sahani ngapi!! 😁😁😁
Janeth naomba kuwacliana na ww 0765515580
Kwa vile matamu kitu kitamu aliishi amu
@@zurfashafii9531 wow
Kweli mwenyewe sishibi
@@agathacharles8860 vip umempata?? Nami nashida nae
Project management::::: umefika dada. Hongera na mungu akuweshe katika yote. Yaani umefika ndipo. usijutie kwenda marejani. elimu yako imekufaa katika hili. Shukuru Mungu sana sana.
Nimependa maamuzi yako. tazama umeawaajiri wangapi????? Hongera
I love your idea 😍😍 keep it up
Hongera dada Nancy. Nimejifunza mambo muhimu sana. Si vizuri kuwa na aibu au kuchagua kazi. Na pia ni vizuri kufanya kazi unayoipenda maishani. Lakini niko na swali. Vyakula vya mlenda, makenda ni Vyakula vya aina gani? Mimi ni mkenya na sielewi hivyo Vyakula. Ningependa kuvijua
Uzuri wa elimu huko mbele wanakufundisha jinsi ya kujiongeza ukikosa ajira, lkn Tz ukikosa ajira unalalamika fb
😂😂😂😂
Haha
Kabisaaaaaaa…
Hapo unaji limit, unawezajiongeza hata kama umesoma elimu yetu hii hii. Tatizo kubwa tuliowengi hatutaki kujiongeza
@@Felix72282 si ndo tunajiongeza kwa kulalamika fb
Kwa kweli ndugu yangu unasauti nzuri ya kukua mutangazaji wa radio ao mutangazaji wa michezo. Courage my bro millard ayo.
Hawa ndiyo binadamu tunawo wahitaji hapa dunuani
Umeona eeeeh
Xaf xana c6 uko njema
😂😂😂
i love this woman! So refreshing! I am moving back to East Africa!
You see the good thing about education is that. She is actually doing a normal thing done by many other restaurants and "mamantilie's" out there but she's doing it hilariously like on another crazy level. Thats the big difference huwezi fananisha na wauza makande wengine mtaani.
Nikweli kabisa maisha ya marekani siyo raisi kama watu wanavyo fikiria mimi naishi years now. Nafikiria kurudi nyumbani I love my Africa and I miss my friends. Natamani namimi niajiri siyo niendelee kuajiriwa miaka yoote. Amenipa moyo sana sijisikii raa sana kuendelea kuishi marekani. Nimemiss TZ kigoma. Love my Africa
Nimempenda sana mrembo nakazi anayofanya big up God blessing u 🙏🙏🙏
Dada nimekupend bure piya nimejifunz kitu piya nipo nje ya nji mwaka wamwish ss narud Tanzania kweli tusichangue kaz hongera my sister 😘😘
jamaa yupo vizuri kwenye kuuliza maswali, maswali yenye akili , anauliza vitu ambavyo hata mtoto mdogo anakuwa motivated kuwa positive katika maisha .
Kitu ninachowapendea watanzania, yaani ameishi marekani Kwa miaka 10 ila bado anazungumza Kiswahili Safi, hajisheui na kizungu... Kiswahili kitukuzwe 😍Yote tisa, kumi hakuna kitu kizuri kama kujiajiri, vijana tusomeni ila akili zetu tuziweke katika kujitengezea ajira na kutengezea wengine ajira.
anajieleza kiswahili kizuri kabisaa japo kasoma ila ungekuta mwngne kingereza kwa sanaa
😁
Huyu anaipenda nchi yake ndo maana anaongea kiswahili vizur hivyo hataki kuanza kuongea kizungu ila ni vizur sana alivyo ongea lugha yake mwanzo mwisho
Yaani tena angekua ndio wale warembo wetu wa bongo movie hapo angeongea kimombo cha majivuno hatari
Wale waso elimu ndio tabia zao
Ndio naingia Rock city Mwanza kutoka Dodoma ,Dada Nancy yuko na 34 yrs hadi sasa mm nko na 27 ntahakikisha napambana hapa Mwanza hadi nirahisishe maisha yangu
Umewapiga gape waajiriwa wote in terms of financial freedom
Yes that's financial freedom.
I appriciet you Dada Nancy big up you don't care what your God be with you about your work
wachaga tuna comment wapi!
Kenya
Gift Mafue - Hapa mpee.
Nakuona mbe
hahahahha
Popoteee siunajua tupo hata kule bombadia zilikoelekezwa
My dear sister,nakupa Gwara aise. Hata kuoa ninamwomba MUNGU anijalie wa kwetu.We're the hard workers...Thanks to GOD...
Dada afadhali umesema vizuri sana Sisi tunaoishi marekani maisha si rahisi kama wabongo wanavyosema kama Utakuja huku ujipange Kweli Kweli Maana utakuwa mzigo na kazi za hapa ni nyingi Ila uwe na vibari au green card.
Masele William kweli kabisa maisha ya marekani ni magumu sana
Masele William poa tutajipanga basi au vepee
Karibuni Sisi tulishatangulia ila tukizipata ni kuzipeleka Tanzania ndiyo nyumbani.
Masele William nikweli kabisa siyo raisi kwakweli mimi mwenyewe ninamipango yakurudi nyumbani
Za Colorado Vipi Mimi Nipo California
Mungu Akuzindishe Dada yangu kukosa kazi sio mwisho WA maisha Ongera sana sana Dada yangu 💕💕💕💕💕
Jamaniii iv Hawa Watu WA dislike wananini lkn 😥😥😥ni wachawi 😂😂
Vaileth Chami wanaona wivu ndio maana wana dislike
Wakati utajuwa unachukiwa bila sababu na haujali ndio mwanzo kufaulu kwako
Vaileth Chami 😂😂😂umeona eeeh wachawi hawakosi wako kila kona hadi TH-cam wapo 😂😂😂
Ahahhaha
Wengine hawaelewi maana yake dear wana dislike bila kujua wanajua wanalike
Wooww..... You have inspired me... Uko vizuri sana Nancy, may your hustles get blessed always
AJIRA HAZIPO LAKINI KAZI ZIPO. BARIKIWA MAMA YANGU.
Hongera sana dada. Wewe ni mfano wa kuigwa kwa vijana wengi wanaomaliza chuo ktk kipindi hiki ambacho ajira ni mgumu
Tanzania tuko nyuma sana mtu hasomi ili asifanye biashara ndogo ndogo anasoma ili kupanua uwezo wake wa kufikiri na kuongeza maalifa aliyo nayo kama unaweza hesabu adi kumi basi unaongeza kuhesabu adi mia na unaweza uza ata vitumbua so msiwakatishe tamaa wanao ongeza uelewa wao
Oscar Allele
Nakubaliana nawe kabisa Oscar...
napambana kufundisha vijana ktk hilo eneo...
nimemfurahia huyo mpambanaji...
@@dominicsomola402 nimekupata man
Mwanangu chukua soda popote ulipo. Afu tuma namba ya mobile money nikurushie bundle
Oscar Allele
Oscar Allele fact
Very proud sister kupitia ww nmejifunza kuwa sio kila asemae bwana ataulidhi uzim wa milele congratulation sister
From UAE
That's good Nancy
Masha Allah tabaraka Rahman Mwenye Enzi Mungu akuzidishie
Nimeupenda umeni inspire😘😘😘
Nancy unaakili poa! Asante sana! Utawamusha wengine mwanangu!
+254, Great inspiration to our generation. Smart and extremely beautiful.
Nakosa maneno ya ku-comment hapa...
You are doing extra ordinary things.
keep it up
Huo ni mwanzo , tunakuombea ufanikiwe zaidi
Seriously, your fiance is so lucky. Hawa ndo wanawake wa kuoa. Wapenda maendeleo
Thank Millard ayo kwa kutuletea mfano wa kuigwa God bless you sister Nancy
Nimependa na naibariki kazi na maarifa yake...
Dominic Somola
Fantastic interview and interviewer is so on point. Inspired 💯
Amesomea marekani,mastas na anaongea kiswahili muda wote,ingekua mwingine hapo angejishebedua na kiingereza mwanzo wa intaviu mpaka mwisho
😀😀😀kwel
naam wakujishaua
😂😂😂😂
ha hahaaa
😂😂
Hongera San sister umetisha San hat mm umenitia moyo Namukubali San dayo Hongera brother kwa kumtembelea mupambanaji mukubwa mungu Amuongoze katika maisha yake