@@agathabernard7338 Congratulation Sis Keep Moving naonaga mnavyopamba kuna yule dada wa moshi (Hossian Shao Kama Sijakosea) nais kama mnafanyaga wote kaz Shao i have seen wonderful stuff Mungu Akawape kibali mkazid kumuabisha shetan Mbarikiwe sana 😊
Hongera sana binti, kazi ya upota ni ngumu, unabeba mzigo mzito huku unapanda mlima...niliwahi fanya hiyo kazi mlima Meru, sio kazi ya kitoto. Mungu azidi kukuinua.
hongera sana Agatha wewe ni shujaa naendelea kuamini kuwa wanawake wa Arusha nimashujaa na upambanaji wao hauna tofauti na simba jike km ulivyosema ❤❤😇
@@samuelemmanuel3400 Sam kaka. Nafahamu binadamu tumeumbwa kuongea, jambo moja Tu Natamani ujue. Sio kila mwanaume Ana uwezo wa kumsupport mwanamke na si kila mwanamke anasubiriwa kuwa supported na mwanaume. Hata ukijua chanzo cha mapato na pesa zangu kaka hazitasaidia, angalau ungekua unanijua kwa undani ungekua na haki ya kusema. Tujifunze kuheshimu na kuthamini jitihada za kila mmoja. Na Kama haipendezi, ni bora kukaa kimya. Busara ni bora kuliko ujinga na siku zote wenye kupenda mafanikio ya wenzao ndio Huwa wanafanikiwa. Omba, then jifunze kutoa na ufanye kazi kwa malengo 😊. Nakutakia maisha mema kaka
@@divinemushi1417 kwa wanawake wa Kitanzania ni almost wote ni kuonga au wanafanya umalaya wanadanga, wewe Unajua bei ya hayo magari na huyo alikuwa ni mbeba mzigo na dereva , na inaonekana wewe ni mgeni hujakaa Arusha na Moshi na hujui biashara ya utalii kuna wanawake wenngi wanadanga huko mbugani 😅😅😅😅 eti superwoman 😅😅😅😊
@@samuelemmanuel3400 mkuu ni kutumia common sense tu Labda hayo magari alikunya makimba kutoka kwenye matako yake makubwa na kuyafinyanga kama mwanasesere , ila wanawake ni watu wa kudanga na kuna wanaume wapumbavu uwa wanaoga tu akikatikiwa kiuno na akipewa kuma na mkundu basi anapagawa, na wanapata favour sana wanawake wa Kitanzania hata makazini na siku mna Rais mwanamke huku ndio wao wana sauti
Ubaya wanapewa publicity na wote tunaona ni uongo mimi natokea Arusha nimeishi na professional tour guides wana ongea lugha karibu zote na bado ni ma employee sana sana wanapiga hela ya kuendesha maisha
Kuna vitu atufai kuiga alie na family nzr auwezi ringana nae ata siku na moja wee peta tu dada maana sio pow kupata michogo uko ndani kuna mutu nyuma ake.ila ongera sister....
Safi,siyo hao wanawake wenu wadangaj alafu utasikiaa mm natafuta sana,mm ni mwanamke wa shoka sjui malkia wa nguvu Huyu kwangu ndiyo malkin wa nguvu sasa
Moja ya swali nisilolipenda Kwa watangazaji WA AYO NI ,HILI , UMEPATA KAMA SH. NGAPI HIVI , NA WAANDISHI WENGI WAMELIIGA , ITS TOOO UNPROFESSINAL QUESTION PLS TAFUTENI MASWALI YA KIBUNIFU LAKINI SIYO HILO
Hongera sana! Mwenyezi Mungu aibariki kazi ya mikono yako. Ubarikiwe utokapo na ubarikiwe utakapoingia....Leo kesho, na hata milele... ameen
Hongera dada Agatha Bernard, nimependa interview yako inanitia moyo mno, kama kuna kazi naomba nimesomea wildlife ndio nimemaliza Nov 2022
Dada Ubarikiwe Sana, really Inspire story Simon Uriyo Capetown SA
Uwa nafrahi Sanaa nikiona wadada wezangu Unaendesha vyombo vyamoto #ongera Sanaa ❣️❣️❣️
Hongera sana my dear tour guide mwenzangu japo Mimi nilikimbiaga funny kitambo🥰🥰🥰
Hongera sana Agatha kwa mafanikio yako. Lakini wewe pia ni mzuri na above all una sauti nzuriiii saaaanaaa
Ana sauti ya utangazaji
Seriously tuacheni uongo kuna sponsor mahali😂😂😂😂
Hii sawa
🤝
Kwani kuna tatizo we vp babuu
Hongera Sana binti kwa kudhubutu hatimae umeweza songa mbele usiache kumchq Mungu maana ni chanzo cha maarifa
Nimekupenda Bure.. you're really a lioness 💪💪💪
Well done my sister you are truly a strong woman may almighty bless you and your work much appreciated from mombasa Kenya l salute you hongera
Amen dear. Asante Sana. May God grant all your wishes. Keep going & welcome to Tanzania via Afro lioness
@@agathabernard7338 Congratulation Sis Keep Moving naonaga mnavyopamba kuna yule dada wa moshi (Hossian Shao Kama Sijakosea) nais kama mnafanyaga wote kaz Shao i have seen wonderful stuff Mungu Akawape kibali mkazid kumuabisha shetan Mbarikiwe sana 😊
Ukisikia hamasa ndo hii sasa. Hongera Agatha
Napenda wadada kama uyu wanao jituma. Big up dada 👏.
Naomba no dada angu
Kaz nzur,Wa Jina Wang Agatha hakika umeniambukiza ujasiri huu mkubwa wa kuthubutu kufanya vtu bla kuogopa,my dear ila Ktk Kristo Yesu mwokozi wetu.
Hongera sanaa dada endelea kuwa na moyo huo huo wa kuwasapot wanawake wenzako
Hongera sana Agatha wetu wa ilboru jamani❤,dokta mndeme must be proud of his daughter
Congratulations
Hongera sana mwanamke jaairi na shupavu Mungu akutunze.
Duh nmekupenda bure ulipo na umri wako keep it up Agatha
Mwanamke Aweza kama mtoto kakaa Tumboni miezi 9 na akamtoa weweeee dont joke with a Woman RESPECT OK
Nampenda sana AGATHA THE LIONES.....NAMPENDA MNO
Mungu akutie nguvu zaidi dada Agatha
Hongera sana umepambana sana umefanya kazi nyingi mbalimbali hatua kwa hatua uko saw big up sana👍👍👍👍
Hongera sana binti, kazi ya upota ni ngumu, unabeba mzigo mzito huku unapanda mlima...niliwahi fanya hiyo kazi mlima Meru, sio kazi ya kitoto.
Mungu azidi kukuinua.
Mungu akupinganie mwanamke wa shoka
Hizi story bhana ukizisikilaza kama huyu kufikiria mbaliii woiiii nipe mbege shirima
Hongera sana dada mdogo,uko vizuri,tunasaidiane tusiwe waregemezi.naomba kuwasiliana na wewe kushare mawili matatu.
Congrats Agatha, awesome 👌
hongera sana Agatha wewe ni shujaa naendelea kuamini kuwa wanawake wa Arusha nimashujaa na upambanaji wao hauna tofauti na simba jike km ulivyosema ❤❤😇
Usiombe upendane na huyu Dada halafu we mwanaume kilaza😀😀😀🔥🔥
Ahahaaaa
@@happychristopher1067 hatariii
Hongera samba jike binti wa kipare. Piga kazi mama,
GREAT AGATHA! WEWE NI SIMBA JIKE HASWA
Agatha, nimejifunza kuwa juhudi siku zote zinamafanikio maishani, Mungu aendelee kukupa haja ya Moyo wako
Amen Renati. Kuna wakati utapitia mengi na magumu ila trust the process that God is taking you through. Usiache kuomba 💕
@@agathabernard7338 Nakupongeza sanaa Nikuombe utushike mkono hata sisi wanawake wa vijijini jamani
Hongera sana mawenzi casfeta gilr jamn mungu akuinue zaid agatha
Congratulations 👏👏
Be blessed always mydear Agatha
Aaah, one day moi dream will come true
Great dada
Hongerah sana saa simba wa kike Mungu akufanyie wepesi zaidi na zaidi kazi yako tamu sana
Hongera sana Agatha
My schoolmate Agatha 👏👏congrats sis
Thanks dear
Wow congratulations super women ,ila arusha ukiacha uslay queen kuchagua kazi pesa ipo sana sehemu za wageni izi ukosi
Wengi wao ni malaya uwa wanajiuza kwa Wazungu
Big up Agatha. Unajitahidi
Wooh Agatha congratulations kpnz
Congratulation superwoman 💪💪
So what? Mbna ingekua mwanaume usingehoji? Kipi ambacho hawez mwanamke kufanya? Tatizo mnaamini kila mwanamke aliefanikiwa amehongwa na ndo mtabaki sana nyuma 😏
@@samuelemmanuel3400 Sam kaka. Nafahamu binadamu tumeumbwa kuongea, jambo moja Tu Natamani ujue. Sio kila mwanaume Ana uwezo wa kumsupport mwanamke na si kila mwanamke anasubiriwa kuwa supported na mwanaume. Hata ukijua chanzo cha mapato na pesa zangu kaka hazitasaidia, angalau ungekua unanijua kwa undani ungekua na haki ya kusema. Tujifunze kuheshimu na kuthamini jitihada za kila mmoja. Na Kama haipendezi, ni bora kukaa kimya. Busara ni bora kuliko ujinga na siku zote wenye kupenda mafanikio ya wenzao ndio Huwa wanafanikiwa. Omba, then jifunze kutoa na ufanye kazi kwa malengo 😊. Nakutakia maisha mema kaka
Thanks love 💕
@@divinemushi1417 kwa wanawake wa Kitanzania ni almost wote ni kuonga au wanafanya umalaya wanadanga, wewe Unajua bei ya hayo magari na huyo alikuwa ni mbeba mzigo na dereva , na inaonekana wewe ni mgeni hujakaa Arusha na Moshi na hujui biashara ya utalii kuna wanawake wenngi wanadanga huko mbugani 😅😅😅😅 eti superwoman 😅😅😅😊
@@samuelemmanuel3400 mkuu ni kutumia common sense tu Labda hayo magari alikunya makimba kutoka kwenye matako yake makubwa na kuyafinyanga kama mwanasesere , ila wanawake ni watu wa kudanga na kuna wanaume wapumbavu uwa wanaoga tu akikatikiwa kiuno na akipewa kuma na mkundu basi anapagawa, na wanapata favour sana wanawake wa Kitanzania hata makazini na siku mna Rais mwanamke huku ndio wao wana sauti
So inspiring
Hongera mpenz Mungu akufikishe mbali zaidi
hongera sana dada mpambanaji
Am proud of you dear,Mungu azidi kukusimamia
Hongera my dada
We Mungu akuwezeshe
Hongera sana mdogo wangu Mungu akubariki sana
Waooo!ongera Agatha ad nimetamani kukuona live
Acha tamaaa🤣🤣🤣
Umalaya tu🤣
👏👏😍😍💪Mwenyezi Mungu akulinde
Hongera dear...u deserve it😍😍😍
Jomoni MashaAllh nimekupenda bure ddangu .
Congratulation sister
But hongera
Mpaka umenishawishii natamani mnoo ila ndio vile tenaa! Hongeraaa
Usikate tamaa na wala usijihis huwezi. Anza upya kwa malengo🎁
Uanze upya kwa malengo ila udange kwa kiakili tu kwa wazungu huko maporini wako wengi madada huko chuga wamefanikiwa kwa kuuza mwili wao kwa Wazungu
@@kabwelasutiviraka4765 Mhhhhhhhhhhh!
Ongera Sana sister nimekukubali Sana samahan sister naomba Kama ukiskia mahali kuna kazi naomba unisaidie sister mm ni chef na Nina uzoef wa miaka 6
No yko
MashaAllah..
Congrats beautiful 😍 💓 💖
Dada nataka nikuoe mpenz 😍😍😍🥰🥰😘😘😘😘💋💋❤❤❤
Wow. Hongera sana sana sana Agatha
Hongera dad
She's a real lioness I do appreciate her.
Nakupenda ccy Agatha
Am happy to hear that girlfriend
Hongera saan 🎉
Hongera sana♥️
So Many Congratulations Agatha 👏
Uko vizuri sana mamaa penda bure
Woo.hongera.sana.dada.mungu.akubariki.amina
Kumbeee...Mbona Kama Rahisi Sanaaa why wengine Hawatoboi..Haaahaa🤣🤣🤣🏃🏃🏃
Ubaya wanapewa publicity na wote tunaona ni uongo mimi natokea Arusha nimeishi na professional tour guides wana ongea lugha karibu zote na bado ni ma employee sana sana wanapiga hela ya kuendesha maisha
@@Casualgamer766 Yaaaniii motivation tu
Mdada yuko natural ad raha an mzurii hatari
yeah she deserve🤗
Hongera sana keep fighting
Hongera saana
I hope mama amemsikia..
Agatha congratulations dear
Hongera kwake❤
Huyu ndo malkia wa nguvu sasa kweli umen_ Inspire 👏👏
Hongera,sana
Kuna vitu atufai kuiga alie na family nzr auwezi ringana nae ata siku na moja wee peta tu dada maana sio pow kupata michogo uko ndani kuna mutu nyuma ake.ila ongera sister....
Kuna umalaya sana huko kwenye Utalii Arusha Moshi wengi wanauza kuma na mkundu kwa Wazungu Kwa hiyo wengi mafanikio yao ni ya kuuza miili yao
Sema dada uyo siyo binti
Hongera sana dada endelea kumwamini mungu atakuongezea
Amen kaka 🙏🏾
Hongera saaaana ❤❤❤❤
Your lioness my dear tunaweza
Hongera dr,u deserve 🤗
Upo vzr sana dada yangu.
Hongera sana hakika penye nia pana njia.
Big up sana mrembo .Sasa unapatikanaje
Safi,siyo hao wanawake wenu wadangaj alafu utasikiaa mm natafuta sana,mm ni mwanamke wa shoka sjui malkia wa nguvu
Huyu kwangu ndiyo malkin wa nguvu sasa
Wanauza kuma na mkundu kwa watalii huko Arusha na Moshi ukitembelea maeneo hayo ndio utajua
Asante kipenzi. Barikiwa Kenneth.
Well wishes famale guide 🇹🇿
Jamn Hongera zake nimesoma nae kindoroko
Napenda siku moja niongoze wataliiii, acha nimalizane nao kwanza hotelin
Interesting
Unatutia moyo wanawake wenzanko tunakushukuru mungu akubariki
Moja ya swali nisilolipenda Kwa watangazaji WA AYO NI ,HILI , UMEPATA KAMA SH. NGAPI HIVI , NA WAANDISHI WENGI WAMELIIGA , ITS TOOO UNPROFESSINAL QUESTION PLS TAFUTENI MASWALI YA KIBUNIFU LAKINI SIYO HILO
Hongera sn!
Congratulation sis, you are a superwoman
Hongera sana mndeme mwenzangu
You are intelligent Agatha