Mama hongera sana nakupenda sana Rais mnyenyekevu unawaelekeza wateule vizuri sana hongera Rais wetu mimi natamani wakuelewe kwani sisi wananchi tunakuelewa sana na MUNGU akubariki sana
Mama Yetu Mpendwa Raisi Dr Samia Raisi Wetu wa JAMHURI wa Muungano wa Tanzania Hongera sana kwa Hekima zako zenye Busara na Heshima. Kazi zako tunaziona Nchi hii ya TZ kwa Uongozi wako Nchi ina Amani WanaNchi wamechangamka kwa Uongozi wako. Mungu aendelee kukupa Afya Njema na Maisha mazuri yenye Mafanikio Amen Pamoja na Familia yako Amen
Mama angu samahani kama nakosea, makonda ni jembe nzuri sana ungemuacha uenezi kulekule aamshe chama hawa wangine hawana meno ya kupambana kama makonda
Mama shikamoo nakupenda Sana mamaangu kiongozi na Rais was jamhuri ya muungano wa Tanzania mama mwenye hofu ya Mungu unae juwa kusamehe na kusahau naomba umsamehe makonda naomba ni kilema msamehe mama anakiamsha chama ona Kama no mtoyo umemzaa Ana mapungufu huwezi mtupa ebu mpe nafasi ya mwisho muhulumie pls mama analeta Raha kwenye chama
Mama hakika umefafanua vzr Sana uteuzi wako Kwa kina makonda kweli mama Ni mama tu apewe sofa zake hongera mama yetu Mungu akujalie Baraka nyingi na mzuri Kwa Taifa letu na pia akujalie afya njema
Namuona MH rais ajae MH pour makonda yungu hatakuacha hata sekunde ni siku ya 3 tunakukanidhi mikononi mwa mwenye mamlaka mungu amekujengea ukuta na nguzo ya shaba hakuna siraha itakayoinuka juu yako pokea kwa jina la yesu
Hongera Muheshimiwa Rais kwa uteuzi wa viongozi wenye utendaji mzuri wa kazi zao.Lakini pia nakupongeza kwa mifumo mipya ya ubadilishaji wa askari traffic kuweza kutekeleza majukumu yao ofisini sio barabarani kwa kuboresha zaidi vitendea kazi vya kisasa kuweza kutoa habari na matukio kwa njia za camera umejitahidi sana mama kwa kubuni mioango bora ya kuleta maendeleo zaidi katika nchi yetu ya Tanzania.Ahsante mama.Kazi iendelee.
Mama una mambo mazuri sana na nia yako ni njema sana kwa nchi hii......lakini baadhi ya watendaji wako wanakuangusha...natamani sana wangekuwa na nia njema kama yako.......nakutakia kazi njema rais wetu.
watanzania tuache unafiki...huyu mama 17 March 2021 tulimtwisha mzigo wa urais ...mbele kuliwa giza...leo mwanga umeonekana vimeanza vimaneno...mwacheni afanye kazi mama
Mama samia nakupenda sana mama yangu sijawahi ona rais mstaarabu na mwenye hekima kama wewe mama u mnyenyekevu kwetu Mungu akubaliki taifa letu ulifikishe tunapotamani kimaendeleo mama tumeona treni mwendo kasi na yote mazuri unayotupambania tuwe nayo mama yetu
Ubarikiwe saana Mhe SSH, Ila kwenye Camera za barabarani ni habari njema saana, mana fine za barabarani kwa miaka Serikali ilikuwa inazikosa na zinaenda mifukoni kwa watu , sasa ikiboreshwa vizuri fine mtu akutane nazo kwenye sanduku la posta , ziwe online mtu awe na access ya ku print na kuona deni analodaiwa na kila mtu akichelewa kulipa fine iongezeke, na malipo yaende moja kwa moja account ya Serikali, pole pole ndio mwendo wa haraka unaotarajia ufike mapema
Chapa kazi Mama, nitakupa kura yangu bila kupindisha hasa zikija hizo mita za maji na ukatusaidia wastaafu kupata stahiki zetu zote mama uwe na afya njema.
Mheshimiwa Rais wa sasa wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania kupitia ccm,sisi wananchi tunasikitika sana kuona vijana waliomaliza vyuo kila mwaka, tangu 2015 mpaka leo hawana ajira wala mitaji,tunao majumbani tunawatunza kimasikini kabisa,tumestaafu mafao ni kikokotoo,hawaoi/hawaolewi, miaka inakwenda,Serikali ipo, inatoza kodi,inavuna rasilimali,inakopa,inapokea misaada,lakini tunasikia maendekeo ya vitu tu! Afya, Elimu,Maji,Umeme,viwanda, kilimo,uvuvi,ufugaji,nk. Vimekufa! Ukubwa wa serikali, kugawa mikoa,mna mishahara minono,posho za wabunge tishio,uchaguzi huru hakuna,utekaji,kubambika kesi,vitisho,tozo ndio maisha yetu! Mpaka lini?!!! Waache washauri pembeni Tupe hata hiyo katiba pendekezwa tupone tukuombee heri!
Panga pangua kama unagawa ardhi ya watanzania Raslimali nyingine za wananchi hutafanikiwa hata siku moja .Mungu alikuwa na maana yake kuweka watanganyika katika ardhi hii
Mhe, sisi wanajeshi wastaafu tuliostaafu kuanzia 2009 kurudi nyuma pensheni ni ndogo mno na hatuna mtu maalum wa kumpelekea. Sasa tunakuletea wewe AMIRIJESHI MKUU. Lakini tuliopigana vita ya Kagera tumeorodheshwa lakini hatima yake ni Nini. "Afande, tuangalie Kwa hicho la huruma.
Hivi baadhi ya waandishi huwa mnatumwa au mnaonyesha interest zenu? Habari na vichwa vya habari tifauti. Makonda kasifiwa vizuri juu ya kuamsha chama na kuaminiwa kupelekwa Arusha mahsusi mbona mnapotosha?
JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u...
8:25
Asant Mh Makonda Mungu akulinde akupiganie uchape kazi ww ni Taifa letu
MUNGU AKUBARIKI SANA KWA UHUSIA KWA MAKONDA. UMEMTIA MOYO NA IMANI KWA WATANZANIA. UNA NIA NJEMA KABISA AMEN.
Karibu makonda uje arusha ututengenezee mambo mazuri mungu akuepushe na watu wabaya wenye wivu asante sana mama kwa uchaguzi sahii
Mh makonda wewe ni kiongozi wa mfano, chapa kazi 💪tuko nyuma yako tunakuunga mkono kwa kishindo hakika unaweza songa mbee🙏🙏🙏
Mungu azidi kumtunza Makonda
Nakwelewa sana makonda mungu akubaluki ndo changamoto za kimadalaka kazi iendeleeeeee chapa kazi
Tunakupenda rais samia uishi miaka buku...❤❤
Namkumbuka pia Mh Said kalembo, Tanga inahitaji amsha amsha, Viongozi wapole mhmh tuleteeni Mh makonda,
Asante mama kumbe una nia nzuri Asante makonda karibu kwetu arusha
Hongera mh Rais kwa kazi nzuri unayoendelea kuifanya, Mungu aendelee kukupa afya njema ili uendelee kututumikia
Mh rais upo vizuri,leo nimependa unavyo wachambua watumishi wako,unaeleza kwanini umewachagua,congrats sana
Mama hongera sana nakupenda sana Rais mnyenyekevu unawaelekeza wateule vizuri sana hongera Rais wetu mimi natamani wakuelewe kwani sisi wananchi tunakuelewa sana na MUNGU akubariki sana
MAKONDA JEMBE NA MTI WENYE MATUNDA MUNGU AKAWE MBELE KATIKA KAZI ZAKO ❤
Karibu arusha kaka mapambano ya endelee kikubwa afya njema
Upo vizuri katika kauli zako,hongera sana, timu umeipangilia vizuri!
Hebu acheni maneno amemchana au amemuaminia jembe lake
Makonda yuko vizuri nchi inahitaji majasiri
Mkuu wa mkoa ni raisi wa mkoa...hongera sana
Hongera sana mbunge wangu deo Mwenyezi Mungu akutunze🙏🙏
Mama Yetu Mpendwa Raisi Dr Samia Raisi Wetu wa JAMHURI wa Muungano wa Tanzania Hongera sana kwa Hekima zako zenye Busara na Heshima. Kazi zako tunaziona Nchi hii ya TZ kwa Uongozi wako Nchi ina Amani WanaNchi wamechangamka kwa Uongozi wako. Mungu aendelee kukupa Afya Njema na Maisha mazuri yenye Mafanikio Amen Pamoja na Familia yako Amen
Mama angu samahani kama nakosea, makonda ni jembe nzuri sana ungemuacha uenezi kulekule aamshe chama hawa wangine hawana meno ya kupambana kama makonda
Hakika
Welcome Arusha bro paul makondaa
Mungu akulinda mama Samia tuko pamoja mpendwa wetu tunashukuru kwa kutuletea jembe karibu mh makonda.
Ongera mama yangu rais wang mungu akulinde ❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉
MAKONDA IS HERO BINAFSI NAMPENDA
Mambo mazuri sana sana sana,Mh Rais wetu anatufanyia. Maisha marefu sana tunamwombea. AMEEN
Mama shikamoo nakupenda Sana mamaangu kiongozi na Rais was jamhuri ya muungano wa Tanzania mama mwenye hofu ya Mungu unae juwa kusamehe na kusahau naomba umsamehe makonda naomba ni kilema msamehe mama anakiamsha chama ona Kama no mtoyo umemzaa Ana mapungufu huwezi mtupa ebu mpe nafasi ya mwisho muhulumie pls mama analeta Raha kwenye chama
Asante kwa kumsaidia Makonda alikuwa amejitwisha mzigo hasingeweza kuubeba
MAKONDA Ni mid field wa Bi Mkubwa.anawezaaa..ni.kifaaaa
Mama hakika umefafanua vzr Sana uteuzi wako Kwa kina makonda kweli mama Ni mama tu apewe sofa zake hongera mama yetu Mungu akujalie Baraka nyingi na mzuri Kwa Taifa letu na pia akujalie afya njema
Namuona MH rais ajae MH pour makonda yungu hatakuacha hata sekunde ni siku ya 3 tunakukanidhi mikononi mwa mwenye mamlaka mungu amekujengea ukuta na nguzo ya shaba hakuna siraha itakayoinuka juu yako pokea kwa jina la yesu
Mungu akufanyie wepesi kwa kila jambo
Makonda hoyee utateuliwa zaidi mbele unatisha baba
Kila laheri Mwenyezi Mungu akujalieni Utume mwema nyote viongozi Wetu
kwa kumuondoa makonda ky uenezi raisi amefeli
Pongezi Mama Samia kwa kumteua ndugu Makonda kuwa mkuu wa mkoa
Mama ana jembe lake kweli kweli mimi pia naliamini Mh. Paul Makonda Mungu akutunze kaka yangu
Nlikuwa nasubiri taarifa ya Makonda Mungu amtetee
Hongela sana mama kwa kupambania hii nchi tuko nawe bega Kwa bega sasa ni meanza kukuelewa
Tunakupenda Makonda wetu Tena ww Ni mtiifu Wala hujala unakwenda kokote unako tumwa ❤🎉
Kila blog kila media head line makonda ... mungu azid kukubariki
Jembe
Hongera mama unawachagua watendaji vijana na wenye NGUVU,hongera Kwa KUWAINUWA vijana zaidiiiiiii
Hongera Muheshimiwa Rais kwa uteuzi wa viongozi wenye utendaji mzuri wa kazi zao.Lakini pia nakupongeza kwa mifumo mipya ya ubadilishaji wa askari traffic kuweza kutekeleza majukumu yao ofisini sio barabarani kwa kuboresha zaidi vitendea kazi vya kisasa kuweza kutoa habari na matukio kwa njia za camera umejitahidi sana mama kwa kubuni mioango bora ya kuleta maendeleo zaidi katika nchi yetu ya Tanzania.Ahsante mama.Kazi iendelee.
Nice
Mama una mambo mazuri sana na nia yako ni njema sana kwa nchi hii......lakini baadhi ya watendaji wako wanakuangusha...natamani sana wangekuwa na nia njema kama yako.......nakutakia kazi njema rais wetu.
watanzania tuache unafiki...huyu mama 17 March 2021 tulimtwisha mzigo wa urais ...mbele kuliwa giza...leo mwanga umeonekana vimeanza vimaneno...mwacheni afanye kazi mama
Mama samia nakupenda sana mama yangu sijawahi ona rais mstaarabu na mwenye hekima kama wewe mama u mnyenyekevu kwetu Mungu akubaliki taifa letu ulifikishe tunapotamani kimaendeleo mama tumeona treni mwendo kasi na yote mazuri unayotupambania tuwe nayo mama yetu
Ni kweli Wenye akili timamu na wazalendo wa Kweli wa hili taifa tunamuelewa Sana Mama Samia 🙌
Hongera Makonda msema kweli
Hongera makamu mazingra yanatisha
Hongera sana kwa meter umeweza sana.
ubarikiwe makonda Mungu yupo pamoja nawe
Asante saana saana Rais kuhusu bili ya maji tunateseka bili hazieleweki
Ubarikiwe saana Mhe SSH, Ila kwenye Camera za barabarani ni habari njema saana, mana fine za barabarani kwa miaka Serikali ilikuwa inazikosa na zinaenda mifukoni kwa watu , sasa ikiboreshwa vizuri fine mtu akutane nazo kwenye sanduku la posta , ziwe online mtu awe na access ya ku print na kuona deni analodaiwa na kila mtu akichelewa kulipa fine iongezeke, na malipo yaende moja kwa moja account ya Serikali, pole pole ndio mwendo wa haraka unaotarajia ufike mapema
Hongereni kwa kupata ajira, mkawatumikie Watanzania kwenye hizo nafasi.
Hongera sana mkuu
Tunakupenda Mh. Makonda... usimwangushe mama
Makonda mbeleni apewe ubunge hata wakuteuliwa kisha apewe zile wizara sugu kama ya Ardhi kisha tuone kama uzembe na dhulma vitatohoka kwa kiwango gani
Ila hyu makonda hata uraisi unamfaa...anapiga kazi
Makonda mungu akurinde
Nimekuja hapa kumsikia makonda tuuuu
Yaan hata mm naona anatuchelewesha tu
Chapa kazi Mama, nitakupa kura yangu bila kupindisha hasa zikija hizo mita za maji na ukatusaidia wastaafu kupata stahiki zetu zote mama uwe na afya njema.
Nampenda sana huyu Mama na muombeaga Sana.
Huyu mama atufai kabisa ktk nchi mwezi tuu anatuibia pesa yetu anakwenda kufisha oman na emiret ma kutuwacha hoi watanzania
Nice President proud to have lovely President like Samia
Mama anaenda vizuri
Hongera Mama Nakuombea Kwa Mungu.
Ubarikiwe sana rais
Shukran
Hongera sana mama Samia uongozi unaujua
Hotuba mzuri ya mh Rais anakupa kitu usichokijua na unapewa maelekezo huo ndio uongozi bora hongeta mama yetu
Kwa wloenda shule,hio n juu kw juu,mzee baba bora, Naibu, waziri kamili,,
Na Mara nyingi kwenye uwongozi wanao kusifia wanakuwa wanafiki tra wanasumbiwa masikini wa mungu
Makonda kazi anaijua,Wasikutishe akina Lema najua busara unayo utajua jinsi ya kwenda nao mpaka wajielewe
Brother makonda pambana sana
Mpango Maneno machache ila siku zote unaeleweka
na ndio anaongea ukweli kulko anajiita rais nnchi ipo kubaya sana samia anasema ipo pazuri yaani
Madam President, very cool very smart big up🎉
Kweli kabisaaa amekiamsha tutammisi sana MAKONDA
Mh samia ndio Rais anaeibiwa pesakuriko Rais yeyote africa na tanzania nzima ni Rais zaifu kabisa tz
Kikokotoo kitakuangusha mama
Mama hongera sana
Mama karibisha wawekezaji chanya vijana wapate ajira viwanda vijegwe vijana waache kwenda nje nchi
Mama kafanya nitamani kuwa Mbunge!! Dah😢 yaani anaelekeza vijana wake vizuri sana, Mwenyenzi Mungu mtunze Mama Samia Wetu
Acha hizo, 😮😮😮Mbona hamna mahali amemchana makonda.
Waandish wa habari wapuuz sana
Kazi iendelee MUNGU awalinde viongozi wetu
Hongera mama kwa kuwaona vijana
Mh raisi kula yangu ipo wazi 2025
Kuhusu maji ni kilio kikubwa mkuu, asante sana
njoo paul.utujengee standa..na soko moja litoke hapa mjini arusha kutanua mji
SEMA hasimamie ela Yako vzr
Kiongoz hatoi PSA yke mfukoni
Kujenga miundo mbinu
Mama nakupenda sana wewe ni mstaaranu sana hata kixiwi anakuelewa. Ubarikiwe sana rais wetu
Mheshimiwa Rais wa sasa wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania kupitia ccm,sisi wananchi tunasikitika sana kuona vijana waliomaliza vyuo kila mwaka, tangu 2015 mpaka leo hawana ajira wala mitaji,tunao majumbani tunawatunza kimasikini kabisa,tumestaafu mafao ni kikokotoo,hawaoi/hawaolewi, miaka inakwenda,Serikali ipo, inatoza kodi,inavuna rasilimali,inakopa,inapokea misaada,lakini tunasikia maendekeo ya vitu tu! Afya, Elimu,Maji,Umeme,viwanda, kilimo,uvuvi,ufugaji,nk. Vimekufa! Ukubwa wa serikali, kugawa mikoa,mna mishahara minono,posho za wabunge tishio,uchaguzi huru hakuna,utekaji,kubambika kesi,vitisho,tozo ndio maisha yetu! Mpaka lini?!!! Waache washauri pembeni Tupe hata hiyo katiba pendekezwa tupone tukuombee heri!
Unataka rais awatafutie wachumba😂
Mama naamini kabisa wamekuelewa sana ila wakikengeuka mungu anawaona unawapa somo kubwa sana Tujenge nchi yetu jamani
Kwakweli tuwekewe hizo meters wanatuua hawa wapuuzi...tunawalipia bills za majumbani mwao uwii
Jamani mtusaidie kwenye swala la umeme. Yaani kwasasa Matumizi ya taa nne na Tv moja lkn umeme wa Tsh Elfu 10 mwezi haushi duuuu
Kweli kabisa
Mama Luna Mita unaweza kuzisoma ofisini.huhitaji kuenda kwenye nyumba .
Maagizo ya mama ni mazuri sana,wenye mamlaka msimuangushe,msimudanganye,tpate maji.
Panga pangua kama unagawa ardhi ya watanzania Raslimali nyingine za wananchi hutafanikiwa hata siku moja .Mungu alikuwa na maana yake kuweka watanganyika katika ardhi hii
❤❤❤❤❤
Mhe, sisi wanajeshi wastaafu tuliostaafu kuanzia 2009 kurudi nyuma pensheni ni ndogo mno na hatuna mtu maalum wa kumpelekea. Sasa tunakuletea wewe AMIRIJESHI MKUU. Lakini tuliopigana vita ya Kagera tumeorodheshwa lakini hatima yake ni Nini. "Afande, tuangalie Kwa hicho la huruma.
Mama tunakuamini MUNGU akuongoze tutafika salama endelea kumtanguliza MUNGU. Ubarikiwe
Hivi baadhi ya waandishi huwa mnatumwa au mnaonyesha interest zenu? Habari na vichwa vya habari tifauti. Makonda kasifiwa vizuri juu ya kuamsha chama na kuaminiwa kupelekwa Arusha mahsusi mbona mnapotosha?
Mpuuz huyu
Ushauri mzuri sana mheshimiwa rais ameutoa kwa watumishi wake.
Huyu alieambiwa kafanye kazi vzr bila neno lolote inabidi ajitafakari vzr