MwanaFA Featuring Vanessa Mdee - Dume Suruali (Official Music Video)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 24 ธ.ค. 2024
- #MwanaFA #DumeSuruali #VanessaMdee #SlideDigital
(c) Slide Digital
SMS [Skiza 8091956] to 811
MWANA FA SONGS ARE AVAILABLE WORLDWIDE ON ALL DIGITAL PLATFORMS
ffm.to/mwanafa
Follow Mwana FA on;
/ mwanafa
www.facebook.c...
Channel Administered by Slide Digital
Instagram: slidedigitaltz
Kama unaicheki ngoma hii 2024 ngonga like hapa
2023 here we go 🔥🔥 Wapi likes za Mheshimiwa Mwana FA
Tuko hapa
Kwaniii ina TV ndani 🤣🤣🤣🤣🤣 kwan unauzaa nn dadaa 😂😂😂
Mheshimiwa MwanaFA.
Tabaki Mapenzi tusileteane ujambazi🤗
Eeh tupo
Mwana Fa ..na professor Jay mungu awape maisha marefu...huu mziki wanoa uringia umetoka mbali..2024 still my favorite artists..🎉
2024?? Like hapa❤❤
Tanzania is becoming the musical capital of Africa!
That is a plus for Swahili sure, even Swahili slackers like me are improving!
naukiniomba kesho hulizktena
TANZANIA IS GREAT
Samo Mgore cg
Ganniel Ernnie vg
Dear 2080 kids in our time we had a real vocalist our beloved cousin MwanaFa don't let this extinct from your ears 😂
nihonge nanunua nini kwa nini yani kipi nisichokijua Ina TV ndani? viono vingi😂😂😂😂😂😂 choir master mungu anakuona ujue😕😕 unataka upige zigo bure bure. 😩😩😩😩😩 dume stingy wewe😂😂😂😂😂😂 mmetisha sana 👏👏👏👏👏 love from 254.
😆😆😆😆😆 stingyness
Dume Suruali Dume Stingy
na after hiyo yote unanyimwa miti
Esther Nyokabi Kimiti ina tv ndani
Esther Nyokabi Kimiti sio enzi za magufuli
hii nyimbo Kali kama bado unaangalia 2019 like
Tupo sas 2020
"...unapenda ela zangu nami nazipenda pia. Kila mtu abaki na zake..." hapo vipi
ngoma drooo...
Phelix Abila ok
Phelix Abila na wewe baki na hamu zako 😂😂😂😂😂
hahhahhhahah,wazi kila mtu na zake
Phelix Abila haaahaahaa safi wacha kuche tweeende
My favourite still on top 2024😊😊😊😊
I am here because of Vanessa though i know nothing what they sing about elaboration please love from cape town South Africa
Hii!baby anney
baby anney ,actual they sing in swahili language.but is the message for woman who likes money from men'.
hery kauli
thanks dear
mh
They sing about giving money girl and Vanessa told boy that does not need boy who have not money
👉Nihonge nanunua nini🎵 kwanini yani🎵 kuna kipi nisichokijua ina TV ndani😝 Big up bro lazima watanyooka tu 🎬
Haaah
🤦
kiukwel cjawah chukia nyimbo yako ata moja.i swear ww ni msanii bora kwng baba dume surualiiiiii.hiii nmekupa asilimia buku na sio miaaaaa
Ilinibidi kujifunza huu wimbo,imenichukua mwaka mmoja mzima kuushika sasa,my best song,nipe ruhusa niimbe cover sasa,
Kaa
MwanaFA umetuokoa sisi kama team mafisi....big up tanga boy.....hawa wanadada walizidi.KIsumu +254.
aiseee ni xhida mwanaFa uko juu xan
David Ochieng 😂😂😂😂
dume kamputula kaa....mbali nami..,hahaha....wataiskiza japo.... kimnya kimnya...big up pesa zinauza utu wako...mko juu
David Ochieng 😂😂😂
David Ochieng kuona ufisi nimejua mkenya yupo😂dume suruali
Wenye tunaangalia hadi 2021
good to have real music back. I wish youtube had a love button too.
Benigne Uz mmmnnb
❤
Unaesoma comments huku una watch najua hatujuani ila naomba mwenyezi mungu akuzidishie maishani 🙏🙏🙏❤️
🔥🔥🔥6/5/21
@@mohamedmhando8548 🙏🙏🙏
Tanzania Vibes its good MwanaFA wasanii wengi wamegeuka kuw wanigeria but still unavibes za kibongo
Herman Ulaya Kweli
Kweli #fact
Mimi sio bahili mimi ni balaa....
2024 Vanessa Mdee all day every day ❤🔥
Hii hit ilifanya nikuwe gaidi... Kuna nini nisichokijua ina Tv ndani??😅
brother umetukomboa kwelii wewe ndo Che Guevara wetuu......
😂😂😂😂 nyie madume surwali
Kevin Isaya Nathan bora kuwa dume surual kuliko kuhonga Tu!
ongo zinaleta
..mkosi
kama umekombolewa sasa anza kumbania matumizi uliyokuwa unampa wifeeee. aonane na vidume vinavyojua kuhonga,
nmeipenda kwel
Hii ngoma ni ajab,2024 tuko haoa
haHAHA ETI INA TV NDANI HAHAHA KUMANINAAAA
😂
Amore bby co poa
nice one Falsafa juu kama kawa
stev dougie
Miltone Musumbah 254 haha
wimbo bora kwa wanaume ambao hawana hela
mwana fa we n matatzo dem akiniomba hela tu namtumia goma hlo chap
Martin Emanuel duuuuh
hahahahaa.hatari
Martin Emanuel njoo nikupe tbt.😂 😂😂
+LadySalim Kabora haha nimekujA
ok
Nyie mandugu
Kila shetani na mbuyu wake.
saivi dem wangu akitaka kizinga tu namtumia huo kwanza afu ndo tuongee
ndo mnavyo sema ukiniomba kesho unisikii tena
Ucpende Hela kama Mfuko,Au fanya unavyofanyaa upate zako.
Kama unaangalia hilo songi 2020 baada ya mlipuko wa CORONA tupia 👍👍👍👍👍👍👍👍
broo ww n bonge la msanii japo sio simba
dj john Msonga kama sio simba atakuwa kifaru sio lazima wote wawe simba.
dj john Msonga hamfiikiii darasa Darasa ndo kila kitu mwaka huuuu hahaaa👏👏
hit Kali hii
nzuli vido ❤❤
MWANA FA NI LEGEND NA ANAZIDI KUWA JUU
Mwana Fa is one of finest musicians in TZ, unsung hero!
Lakini vanesse aludi nyumbani kwa Jux😂
Mm Sio Bahili ni Balaa
#teamhupatikitu.
Nikikuhonga ukanikimbia mie nakuja ndotoni
usipende hela kama mfuko .😁😁😁😁😁😗😗😅😅😃😃
Unapenda hela zangu? na mim nazipenda pia,, kila mtu abaki na zake
Kelvin Thomas aisé good
bye bebi tutaongea
napenda mistari ya mwana fa na sauti ya vmoney
Dah!!,hapa 2 kwa nn yan kuna kip nisichojua INA TV ndan
Ndio mfalme. Nimecheka sana eti kwani ina tv ndani
Ludia John Mangare sio Tv tu ipo mapaka na A/C
@Khazina Waziri 😂😂😂😂😂
bora uniite dume suruali ....kuliko kutoa pesa yangu kwa nia ya nikihonge...nabaki na hamu zangu....
nikikuhonga, ukaniacha nakujia usingizi
shedrack kombe 😂😂😂😂😂😂😂😂
Nimependa wimbo wenu mnapendeza
Aaaa machali sikuhizi wachoyo, ati napenda pesa zake naye anazipenda pia. a a sidate mimi heli ningezaliwa kitambo.
Aise, siyo wote walio ivo
Wan
Hizi ni enzi za Maghufuli sio za Jakaya Miriam
kama bado unaiangalia 2020 gonga like twende sawa apa
Pamoja sana
Baki na hamu zako
😃😃baada ya fa kuponda saana hatimae vanesa kamalizia kwa (Baki na ham zako)😃
2021 bado naangalia hili tungi 🙏 weka likes kama hautanunua kama FA. coz haina TV ndani.
Safi sana mwana FA wambie hao,,,,. sasa wanaume wote hakuna kuhonga.... eti jamani kwani ina TV ndani??????
Ina TV na decoda lol
Bye babe tutaongea haha hii nyimbo bado ni moto 😂from somalia 😉
kwani ina nini, ina tv ndani ? ushasema binam #dumesuruali.
vivakenya It's "Nihonge nanunua nini kwanini yani, ni kipi nsichokijua ina TV ndani?"
pamoja sana nimeielewa hiiyoo sana
Kimbururu
Kimbururu
Kimbururu asante great lyrics.
Nani ako huku baada ya FA kuwa na virusi vya corona
Quick recovery Mwana wetu
weee ni dume suruali kaa mbali nami huendani nami.
vane atangoja kama askari wa zamu .
nice song. mashairi matamu.
Hahaha Vee upande wako mzuri
Hahahah
mistari zinagusa asilimia mia
heheh.....iyo kali,kipi usichokijua mwanafalsafa..........ina tv ndani
Kwa wale wanaopenda kuhongwa ujuembe ushwafikia #dume suruali
abuu katana baki na ham zako
Hongo sinaleta mikosi that true..ikifika mapenzi usilete ujambazi😂..round hii itabidi wakome..kwani unauza nini dada ?😂
The reason why am here is at 2:59 Chevrolet Camaro SS 1LE... Kwaya Masta!
Ngoma bado mpya jamani,,year 2024 let us gather here
ume kill mwanaFA big up👌👌👏👏👏
fatma halfan Nihonge nanunua nini
fasaw
Tunamuheshimu mwana na vennesa mdee🇰🇪🇰🇪🇹🇿🇹🇿
💯✔✔✔kwani unauza nn dada unitakii mema😂😀
Mwana fa kwani unauza nini Dada!??
Still listening and loving it 2019!! Unapenda pesa na mie napenda zangu kila mtu abaki na zake 😂🤣🥰
The guy deserves to be even a president of Tanzania 🎉
Usipende hela kama mfuko😂😂😂😂😂...unapenda hela zangu hata mm nazipenda pia🙆😂😂😂👏👏👏👌🔥🔥🔥🔥🔥#let be known that for the sake of my generation I pen down today and declare this song the best song ever #one love from 254❤️
Nakutambua mwana FA hujawah niangusha ..hakuna jipya chini ya jua
vanessa Mdee never dissapoints. I LOVE THIS
Wangapi tuko HAPA ,baada ya kuwa MBUNGE
I like the way the songs starts, it reminds me of a specific bird in my village, Also this line ".....ina TV ndani..." hehehe Awesome
Wooow❤️❤️same to me😭❤️🔥
That's the ring net dove. Early in the morning lol
💖💖
I love songs
Nyinyi ndo waimbaji wengine naona naona mziki wako wanaupeleka kinyume
Yabaki mapenzi, tusileteane ujambazi, hata upige sarakasi, utachonga viazi............FIIIIIIIIREEEEEEEEE
Kila mtu anapenda hela zake
ticha peter. mgos nyimbo zako ziko vizur ujumbe sahihi kwa muda sahihi na kwa jamii sahihi
mwana fa kuna kitunataka kujua ina tv ndany,,, heheheh mtu ajibu ata mimi nataka kujua
Oya dogo vipi usiwe na hofu hili covid -19 uta litoboa .Be be faint hearted you'll overcome it...
Mwanaume surual kaa mbali nami kwakweli
kweli wakenya hongereni mana mmetushinda wa tz kwa comments. big up guys
Mwana fa keep it up braza wapi like zakeeeee❤❤
Lol!! I just heard "nikikuhonga ukaniacha ntakujia usingizini!" 😂😂😂 I can't imagine the nightmare..
hahaha
Hahahaha
😂😂😂
😂😂😂
KWELI D
💥 falsafa
Musipende pende hela kama mfuko....Nice job brother
Hello 2024🔥🔥🔥🔥🔥
Daaaah eti ina TV ndani ametixha
mwanaume wa hvyo wann sasa???ndo tunavyosemaaa,,,,,hahahahahahaha noma sanaaaaa
ikjkoop
Ati TV ndani....NYC song anyway
😄😄sio bahali Mimi.balaa..... "mwanaume ovyoo weeweee"😛😂😂😂
For those luo in TZ this means longlino yani mwanaume suruali tuu billa uume
hands down mwana FA......kwani wauza nini?
Ati iko na TV ndani!!!
Kaz bora. Ila matashi ya vanesa kwangu ni tatizo. Naamin yupo kwaajil ya kuipa kiki kimataifa. Lkn binafs nadhan angeimba mdada kama Maua Sama au Ney Lee, ingekua vizur zaid na tungeilewa nyimbo yote. Salute to FA, nakubali kazi zako. Just an advice, Neylee anafaa kushiriki nawe. Try one day and see its impacts.
Hakuna mbingu bila ardhi bro, ndo maana ukiangalia mbal unaona mbingu imegusa ardhi (mbingu imeanzia ardhin).
"Tajiri Mtata kama Salah"💙💯💪...#counsellorSalh
2020 kama bado tunaupenda huu wimbo gonga like twende pamoja
unapendaa hela zangu nami nazipenda pia😂😂😂😂zero chills✌
hahhahaha ati kama ina tv ndani?? lol ...mwanafalsafa yo killin me!!
so it's been seven years and i still love this 😔❤️
hahahahaha viuno vingi kama mwali wa kimakonde ahaahahahahahahah ,umejuaje mwana
Huyu jamaa ajengewe sanamu lake posta au popot
noma sana bro
bongo fleva imepandisha mashetani,sio audio wala video vyote ni fireeeeee.
big up yourself binamu
Jastine Swalo FIIIIRRREEE!!!
Jastine Swalo ujnnnnnnnnnbv 🚰🚰🚰🚰🚰🚰🚰🚯🚯🚯🚯♓♓♓♓♓♓♓♓♓♓♓♓♓🔝🔝⏰⏰⏰⏰⏰⏰⏰⏰⏰⏰🔝⏰⏰⏰♍🔝🔝🔝⏰⏰⏰💮🚯💮💮@nutatuma
viuno vingi kama mwana wakimakonde
Pesa inauza utu wako, kama Bado Upo 2020 gonga like,
Kwan inativiii ndani . Haaaahaaa