Daaa nakumbuka mbali San nikiwa kijijini kwetu nilikuwa nampenda San mtoto wamtu na nilikuwa napenda San kusikiliza hii ngoma saiv limekuwa limshangaza 2024 gonga like twende pmj
Kwanza nianze na kuwapongeza MJ Record kwa production nzuri, Then Hascana umedirect vizuri sanaaa. Dogo Janja umekua sana kimziki, nimesikiliza mashairi, umewazidi wasanii wengi wakubwa, ila nimependa zaidi MELODY, umechange style ya uimbaji na noten tofautitofauti, music umekuwa na ladha nzuri... sio zile za kizamani mtu anatiririka tu na flow moja mwanzo mwisho.... nimependa pia SWAGA za ndani ya Video. Ushauri tu kwakua unakua sauti yako itakuwa inachange kidogo kutoka ya utoto kwenda ya utuuzima ama kijana, jitaidi usipoteze BRAND ya sauti yako...
nyimbo nzuri kweli unazidi kukomaa kimziki dogo.ipiya unakuja na styl zako za kimziki kuchanganya lugha hiyo nipoa sana kua mubunifu si kuiga kila kitu cha wasanii wengine waliojuu.naamini itakupa umaarufu zaidi zidi kuamubunifu cz game iko juu sana ya mziki .
Hiyo sauti ya binti imetia nakshi nzuri sana, nadhani ni Ruby! Pamoja na ubunifu mkubwa katika beat hiyo nimesikia kinanda cha 'Mpanzi' wimbo wa miaka ya 90 hivi, imetia ladha flani hivi amaizing!!! Kaza Janjaro...
Daaah mwanangu,Heshi a kwako chalii yangu.....Big up saana kwa Hamad Ally kwa kutuonyesha nyota Janjarooo.... Onanana eeeeh.....Toka mafita ya kidebe.....
Nakupenda 🎉🎉🎉 ngomazako nazipenda
2024 tunaishi nayo😂😂😂
Daaa nakumbuka mbali San nikiwa kijijini kwetu nilikuwa nampenda San mtoto wamtu na nilikuwa napenda San kusikiliza hii ngoma saiv limekuwa limshangaza 2024 gonga like twende pmj
2024 Nan bado anaichek hii ngoma kama mm
Mimi hapa kaka
@@AmosMarco-t4g pamoja sn
huyu dogo kusema ukweli nilikua simkubali alipoanza game alikua anazingua naona, sasa duuu janja saluti umekua sasa swagga Kali
unatisha dog..
Daudi Mwidima g
Kwanza nianze na kuwapongeza MJ Record kwa production nzuri, Then Hascana umedirect vizuri sanaaa. Dogo Janja umekua sana kimziki, nimesikiliza mashairi, umewazidi wasanii wengi wakubwa, ila nimependa zaidi MELODY, umechange style ya uimbaji na noten tofautitofauti, music umekuwa na ladha nzuri... sio zile za kizamani mtu anatiririka tu na flow moja mwanzo mwisho.... nimependa pia SWAGA za ndani ya Video. Ushauri tu kwakua unakua sauti yako itakuwa inachange kidogo kutoka ya utoto kwenda ya utuuzima ama kijana, jitaidi usipoteze BRAND ya sauti yako...
Nasikia raha sana kusikia lugha ya kirangi safi sana bro
My best song ever....Dec 2024 nipo hapa
2023 still cant get enough. Show dogo some love from 254
its still a banger
Mi Bado natazama
We there bro,classic hit
2024 dondosha like
together tunawakilisha❤❤❤❤
❤❤❤
Fundi😅
❤❤
❤
Bado naicheki 2019 nan mwingine gonga like twende sawa
Ila baba yao anitwa Young killer Msodoki!
Bonge la kideo, janjaro umetisha
umetisha dogo
Nyimbo nzuri xana dogo big up
jambo squad wanaumia sanaaa wakiona hii kitu uyu si ndo Dogo mbumbumbu anawakachaa sasa sio levo yenu
Nakukubali kinoma yaan broo❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Janjaro m ni pacha yko tunafanana snaaaa...napenda styles zko na music👒👒👒...🍾🍾
Nifurahi sana nipeni like apa jaman❤❤
nyimbo nzuri kweli unazidi kukomaa kimziki dogo.ipiya unakuja na styl zako za kimziki kuchanganya lugha hiyo nipoa sana kua mubunifu si kuiga kila kitu cha wasanii wengine waliojuu.naamini itakupa umaarufu zaidi zidi kuamubunifu cz game iko juu sana ya mziki .
2024 mpaka Léo naitazama ku toka🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Nakubali arusha dogo jaajar🔥💞 🇴🇲🇹🇿
Hiyo sauti ya binti imetia nakshi nzuri sana, nadhani ni Ruby! Pamoja na ubunifu mkubwa katika beat hiyo nimesikia kinanda cha 'Mpanzi' wimbo wa miaka ya 90 hivi, imetia ladha flani hivi amaizing!!! Kaza Janjaro...
Saaana
Ukweli
Ndo maana naipenda
Naitaamani paka leoooo🔥🔥🔥🔥🇹🇿🇹🇿🇹🇿
2025 anyone 😊🤷
Hereee...✊🏾
More fire janjaro kazi iko vizuri sana
Didn't know this dude was that talented!!! Keep up the good work!!! salute from sweden
Good hit safi sana Janjaro
Nomaa Sanaa janjaroo
Hihihuuu uyuuuu dogooo nyauuuu sana anajuaaa kip it up boy
don't understand a single word but this is crazy. Love the music and the clip.
Greetings from the Pacific
Dogo janja kwa hiyi ngoma Unanimiliki nayiskiliza 10 fois kwa siku
Im still lissen this those in 2024 😢
ikopoa sana dogojanjaa
This is so beautiful in so many ways...the MELODI & SWAG is %100!!
kwa mara ya kwanza nimekuelewa dogo janjaroo safi sanaaaaa
2024 gather here✌️✊
Tupo tupo❤❤❤❤
Let's go 2022 Dogoo janja. Banger juu ya banger 🎵🎶🎛️🥇
for sure hii nyimbo nimeipenda mnoo any time naisikiliza sihome or job yani nikisikia nasisimka nakuombe kila la heriiimwaaaaaaaaaaahhh
penda xana hii song
Janjaro juu yao sana,nakukubali sana kuliko mayoung wote fully mwanangu watu wa msa like tuoneshe maupendo.
kama kuna mtu amesikia sauti ya linah sanga nipeni maua (like)
Ruby
kama na wewe umemiss ngoma kali kal kama hizi kwa dogo janja tujuwa kwa like plz
as a dj in kenya i say one word ... dude yo uko juu.... got the voice beat and the massage big up yo..
Hapo 2 ✌️✌️✌️😅
Bonge la ngoma muda wote kwa janjarooo❤
This song still a hit...
safi sana #Janjarooo,
"Mapenzi ya sinema niya...." wanaotafuta kiki, kweli unawaumbua...
Janjaro,come on again to swag like this one
Quarantine season brought me here.. Dogo Janja, am enjoying this joint from Abu Dhabi
Respect
Sasa ma- youngers watajifananishaje NA wewe, am ur no 1 fan
nice song, Nigeria in Europe, one African, one love.
The song from Tanzania East Africa and not Nigeria
Ngoma bado naikuba sana 🔥 🔥
Janjaro got more potential than he know, kip it up Dogo Janja
kaz nzuri,,hansakana kafanya kichupa safi,,ngoma pia mororoo
Nani anaitazama mpk 2021 gonga like twende sawa
Hapa nipo hadi leo 2023
2023🇰🇪
2023 hiingoma ntaendelea skia skuzote🔥🔥
Shtuka wewe hii ni 2024 goma tunatamba nalo bado
❤
hatar sana janja umetisha
Hottest 🔥🔥🔥🔥 playing on repeat right now 👍👍👍❤️❤️❤️🇿🇲🇿🇲🇿🇲
Ii ngoma angeitowa Leo ingekuwaje 2024
big work...dogo janja...hanscana
Wakayiiiiiii njanjaro moja tu hakuna mwingine
DOGO JANJA UKO JUU 2 SANA KEEP IT UP
unajua do go👌👌👌
it is beautiful song keep it up
uyu dogo anaweza.
Kalishaa chal ya arusaaa
Jail Boy d
Ota mm Hadi Leo naenjoy hili goma 2024
Sema nao mwanaaa🔥🔥
Kazia hapo hapo kaka usishuke thamani. Kazi nzuri sana
wooooow......penda hii song yako sana kip it up
Sana dogo nakubal song tena kitikio kiko pouwa sana komaa dogo kwenye game .muziki kaz...
tuntu Google noma sana
tuntu Google ok kidume wewe
Hii beat Master J alikuzingatia sana... sio kawaida. Na umeitendea haki
Daxo chali huyo master J ana huo mkono ?? huyu dogo daxo ni nouma
Safi sana janjaro from ngaronaro nakupata fresh sana
uyu dogo yupo na kipaji....utatokelezea big up nyc work.babtale stop givin ur attention to diamond alone.pure talent man
2021 still listening to this jam🔥🔥🔥💯
Nice song
Me🖐🏻
waoooo mtoto wa nyumbani umefanya vzuiuur saaana big upppp
Vaileth Mvungi mtoto wa home
This has been my favourite track since the first time I heard it in 2016
"Am happy ,if you're happy chezaaa"😀😀
Janjaro nakukubali sana jembe langu ....njoo home fanya shoo za maana
Good sana msinga wane, unafanya vizuri sana na kirangi
Hakika huu wimbo nimzuri kwanza unatuliza Moyo, kuhusu nyimbo za mahusiano it's a powerful message.
Hii ngoma ni kali sana nimeipenda::
Mimi pia naipenda
all time star.........janjaro wakilisha kabisa
Kazi nzuri, keep it up Janjaro.
Yaaani hii ngoma naipenda mpaka nakua crazy... Aliniacha chali alipoimba toka mafuta ya kidebe Leo namiliki ndingaaaaaaaaa
Gudd hiyo respect dogo janja
Daaah mwanangu,Heshi
a kwako chalii yangu.....Big up saana kwa Hamad Ally kwa kutuonyesha nyota Janjarooo....
Onanana eeeeh.....Toka mafita ya kidebe.....
uko vizuri dogo komaa alafu mwambie dmnd mtoe kolabo itapendeza sana
Kwa hiyo ni suala la kumwambia tu kwamba nataka tutoe collabo eeh... Rahisi ivyo eeh
Diamond na Tip Top ni kama ndugu. Collable ni rahisi tu kama anavyofanya makolabo na Chegge
Safi sana dogo janja nakuaminia
duuh dogo umetisha mbaya kaza kwan safar ndio kwanza mpya
This is so Dope. 🔥🔥🔥🔥
Dogo Janjaroo Umetoka Mbali Na Sasa Uko Hapa... Salute Brada
wow!!! dogo janja alwayz on top,,, am inlov with how yu rap keep it up, 😍😍😍
Pamoja sana dogo janja kwa ngoma zuri anaemukubali dogo janja aweke leki yake twende swa
I pray this song ifike view 1million.
Big up Dogo janja
YUSUF JUMA ishafika
2025 dondosha comment twende sawah
Wataelewa tyuuu dg janjaro p1 xn
Dogo yuaniuzi kitu 1tu....hana swagger
big up Janjaro, unafanya vizuri na nina imani utafanya vizuri zaidi.
umetisha dogo janja
2023 still listening to this hit.
me 28 jul 2023
ngoma yake kidebe ndo napenda sana na sauti yake kwa hiyo ngoma kidebe amenifurisha sans
LOVE FROM ICELAND !!!!
dogo hii nyimbo ulitisha kinoma... Nipo hpa 2023
Janjaro this is one of your most quality song...i'm still jamming to it.
Oct 2019
Nice video # hende nikutwale kayii ukalange vazazi vanii safi sana @ dogo janja kutuwakilisha warangi
Damn that's 2011 Audi Q7 3.0T S Line... Naona mekua mdau wa Audi kama kaka ako Sheneida!
Hiii hata angetoa 2030 ingekua jit song tu 🔥🔥🔥🙌
this song is dope....am a new fan
full baridaaah aminia sana janjaroo w mkali endelea kuwakilisha r chuga zaid na zaid