Christian Bella Ft Rosa Ree - ONLY YOU (Official Music Video)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 9 ก.พ. 2025
- Music video by Christian Bella featuring Rosa Ree performing ONLY YOU (Official Release) The Music Video Shot in Dar es Salaam, Directed by Kwetu Studios.
Written & Performed by: Christian Bella & Rosa Ree
Stream/Download :smartklix.com/...
Audiomack: audiomack.com/...
Follow Christian Bella on Social Media:
Instagram: / bellachristian1
Facebook: / christianbellaobama
Audiomack: audiomack.com/...
#ChristianBella #RosaRee #OnlyYou
© 2020
I’m in love with this song 😊tunaosikiliza 2025 naomba like zangu🤗
Come skiza Tena❤😂
Goma kaliii
kama ilitaka iwe bolingo...ika kataa,kwa mbali kama Afropop inayofanana na dance hall, but chorus na Rap verse ya rosa ree ni kama vile RnB...I think this is not bongo fleva i repeat...THIS IS CLASSIC.
Olamuki watu wa congo, tunawapenda hapa Uganda
Kaka unajua bwana, nyimbozako zinamaana sana kweli,yaani zinamaanisha kitu siokama zilezingine
Banzembo yakitoko penza Christian Bella 🇨🇩🇨🇩oleki nango
Sauti ya rose mi hoi...Ila Bella nataman namani nami unikumbatie Ivo jamon❤️❤️❤️
Dah nyimbo kali sana nani anae angalia tujuwane saivi au naomba like zenu
Daah ngoma Kali sana yani mpaka chozi lanitoka kwa laha
Sijawahi choka kusikiliza nyimbo zako,ww ni mkali ever kaka!!
Rosa Ree hukuwahi kuniangusha hata siku moko kabisaa.
mwana mboka tuna kupenda sana C.Bella wewe ni nyota ya 🇨🇩 🇰🇳 na africa mzima
Le grand Congo🇨🇩🇨🇩🇨🇩 T'aime bcp mon cher frère et compatriote de c pays d'Afrique ou sont ces congolais qui écoutent leur compatriote, donner vos likes ici
Ndeko na biso toujours likolo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Kali sna bella kama bella rosa kama rosa. Likes zao jameni
Sijawahi choka kusikiliza hii nyimbo
Tanzania 🇹🇿 we are untouchable. 🔥Magufuli kids Gonga hapa Lets Go...👍👍
Daaahaa bela umenifanya nilie ngoma tam
Wangapi wako hapa kwa ajili ya roza ree; nipeni like zangu
th-cam.com/video/N8A87jQhruE/w-d-xo.html
Jamani sura yake kama Wema....mhhh dada amebamba mbaya, anakaba kila file.
Me bella
I am here too my friend!
Hivi watanzaniya mumekwama wapi ?? Christian Bella ni muimbaji safi ,yani nyimbo hii ilibidi iwe view. Nyingi billioni
Diamond platnumz, wasafi, Ali Kiba n konde music wamefanya hatuangalii nyimbo zingine, lakini Kuna nyimbo kali sana, ...huu wimbo ni mkali
Kabisaaa wakat mwingine hata kama wimbo sio mzur..lakin kumbe wazuri wengi ila watu tumekariri.🤗
Kweli kaka
ni kweli dem utafkiri sio mbongo
Was we
Bien dit yaya
Ila bella tume miss shoo zako pande arusha una juaga 🏃 tunavyo kukubali baba
You are my favorite artist.. Yaani sauti nyororo Ina melody na utamu yaani 👌👏👏👏👏👏👏
Bella xina lakusema hapo....na hako kamanzi kanavyojua kulaaaaaaaap....kweli mmepatanaaaa100%
KING OF BELLE MELODIE, nakukubali, hii ngoma ni kali sana tena sana.inanikumbusha mengi sana. Mungu akujalie Christian Bella, DRC yote iko nyuma yako na haitachoka kuku sapoti.
th-cam.com/video/N8A87jQhruE/w-d-xo.html
Wa congomani na wa tanzania tuna kushukuru kwa such good trucks. Like u Mr Bella
King Wa Melody Mwenyewe Kakutana Na Mtoto Wa Michano Rosa, Mbona Shwanga Tu.
Baba tixhaaa ni balaa
@@pinisto5220 nakubali Master
th-cam.com/video/DtTJ3v6mTR0/w-d-xo.html
Exxx
Tausi
Naona kama rosa ree angeimba muondoko wa taratibu ingependeza sana 🔥
Asee hii ngoma naikubali sanaa christian Bella uishi milele....
Mbona mna imba uwongo.... hii nyakati hakuna penzi kama hii
Wewe ni kiranja wa kutuliza tukiooooooooooo🥰😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘
😍
inyimbo kwakweli dah! Naikubali sana
Rossa ree unanikoshafa wee binti yaan uko na unyamwezi wa kimamtoni ile kinyama duh yaan uko pekeee😍🔥🔥🔥🔥🔥
th-cam.com/video/N8A87jQhruE/w-d-xo.html
Yaan hii ngoma sijawai kuichoka miaka 3 Sasa haipiti week 1 lazima niipige ghetto. Rosa Ree unanimaliza saana my sister
Hizi like kwanini kila siku nakosa hata mia tu
Bella ameshindikana hawezekani ni mwisho wa matatizo!
Woooooww Bella na 🌹 nimewakubali...... Much love song, ngoma Kali...
th-cam.com/video/N8A87jQhruE/w-d-xo.html .
Bro you are the one only because IAM very appreciated with this song🔥🔥🔥🔥🕳️
nakukubali sana ngomazako zote mungu akupe maixha malefu Bela🙏🙏
1:53 Rosa ree nimekubali 😍😍
Ni mzuri alafu anajuwa sana
Wa congomani tujuwane hapa like 👍 kama umeikubali hii ngoma
th-cam.com/video/N8A87jQhruE/w-d-xo.html
Niko Lubumbashi🙋
Rosa reeth-cam.com/video/DtTJ3v6mTR0/w-d-xo.html
Tupo hapa, nipo Bukavu ✌️
@@AngelAngel-sy6my sehemu gani niko kabwesese hapa
Huyu ni fundi sana 🙌🙌🙆
Kings of the best merodi salut kwako kaka💯💯💯
Nishapitia mingi Mikasa mpaka kupendana na wewe sinabudi nitulie,penzi lako halijawahi TOKEA ,nilikosea nilazima nikuombe radhi,Kwa vile ndani ya penzi letu wewe ndio kiranja ,kiufupi niseme tu ,YOU ONLY YOU,nasema Asante Kwa moyo wa dhati ,na sitojali maneno ya wapashkuna na walimwengu Kwa UJUMLA wao
Kama unapenda sauti ya bella gonga like tukisonga
I Still Haven't Go Enough Of This Beautiful Join Is Another Level From Cbo🎉🎉🎉🎉
Xhida xana nipendereee pakaaa unipe kabeby Rosa jaman mtoto ww xhidaaa xana 🎧🎶🎵🎵🎼
Wa kwanza kuview na kukomenti hapa, kama unawakubali hawa jamaa kwa pamoja ila hukutarajia kama wangepiga collabo gusa hapa
👇
th-cam.com/video/N8A87jQhruE/w-d-xo.html .
Tanzania
Rosa Ree ni wetu sisi wakenya 😂
Na tusibishane tafadhali.😌
Hizi tabia ni za kwetu 🇰🇪.
Bella kama Kawa Melody👌🏾.
Bella imba babaa nakuelewA sanaaaaa hii mumeuwa sana 🔥🔥🔥🔥🔥
kubwa
Mwanamke kapendeza Sana,. Kavuma
Hilo busu hatar 😀
Yenyewe hiyooo
Kenyan boy uko huku pia
my Man Christian Bella..... hit maker
Kama una mkubali Christian bella an Rosa Ree don't forget ku gonga like down below.
th-cam.com/video/N8A87jQhruE/w-d-xo.html
th-cam.com/video/DtTJ3v6mTR0/w-d-xo.html
th-cam.com/video/6D7_mTSohAU/w-d-xo.html
P1
Ipo safi
Mwamba wa sauti nyonlolo big up bella 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼❤❤❤🇹🇿🇹🇿🇹🇿
T 🇹🇿 🇹🇿 C🇨🇩🇨🇩 forever 💪💪
Palipo na Bella hapaharibiki kituu jamaa fundiii sana uyuuu♥️💯 sina shida na like yako wacha ni enjoy mziki mtam🌺
No one sings like bella does...Common words but how he turns them into the best tune it's crazy...Rosa yo the Monster madam.....Bonge LA love song ...thank you guys
th-cam.com/video/N8A87jQhruE/w-d-xo.html .
Minayimba muzuri sana, niko mu Kolwezi kwasababu nasikiya amu yakuhikala tanzania, aksanti christian and rosa ree
King of the best Melody🇨🇩🇨🇩🇹🇿🇹🇿
The kind of masauti and best melodies Mwana Mboka uko vizuri sana ninakuelewa balaa ,Umetisha Yaya
Greetings from Lagos Nigeria. What a sweet song you have Christian. I so much like your music. All thanks to my Tanzania girl friend for always playing your song at home. She made me became addicted to your songs. Keep up the good work.
I really really love this song!!!Bella!!keep it up man ft Dada mkali wa wote...thumbs up!!!
They need big recognition...iingie trend hii ngoma
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
I love you Rosa Ree😍😍😍😍
Exactly nice song and lovely ❤
Huhu mziki humevuma sana USA💥🔥🔥 Kentucky Tennessee Arizona Indianapolis adi Texas ongera sana nakusapoti sana. Much love you my brother God bless you🙏😍🔥
Daa sijui nilkua nimechelewa wap kuskia wimbo huu kali muno 2024
Daaa rosaree anajua Sana sijui kwann wanaojua hawavumi
sababu hawajauza nafsi zao kwa shetani
CBO🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩botama congolais yoka eleeeengi
Don't say king of melodie, he's a king of kings @best melodie ... christian bella👑💯💯💯💯💪
Yeah! Huu wimbo ni moto
Yaani bella napedaga melody zake afu michano ya rosa ree🔥🔥
th-cam.com/video/N8A87jQhruE/w-d-xo.html
Penda San unavyoimba, na ulvyochanganya na Rosa, tan Sana,haaaha et nkupe kabeiby
Kama umekubali uyu ni king wa best melody like yako hapa plz
Christian Bella king of Best music
Ngoma nzuri saaaaaana afu inatuliya kbs
Siyo zile zenu za fujo fujo nyiiingi mpaka utaisi km wakonapigana
King of the best melody we we ni gwiji wa magwiji haujawahi kukosea bro more blessing
Goma limekubalika au vip wajumbe. Kam umeelewa combination 🔥🔥🔥 gonga like
th-cam.com/video/N8A87jQhruE/w-d-xo.html ..
Kama unasikiliza kutoka TANZANIA🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Gonga like twende sawa
xáńáá
th-cam.com/video/6D7_mTSohAU/w-d-xo.html
😂😂😂😂😂
@@majidjoasi1042 👍
mimi kutoka USA 🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸
Ngoma qaliiii aseee @rosa lee umeuwa mamaa @CBO we ni mashineeee mzaeeee
my best east African collaboration in 2020
Wewe Mkali saana Ndugu Yetu, wakilisha bendera ya 🇨🇩 na Owa uyo Mrembo haki Mnaendana saana! Itaezakua couple mmoja noma saana 👌❤️🥰🥰🥰 from USA 🇺🇸 🤝Phoenix ✊
th-cam.com/video/N8A87jQhruE/w-d-xo.html .
Love from Nairobi Kenya 🇰🇪♥️
Upo good c.bella nakukubali sio mzee wa kujichora na kujitoga maeleni
King of the best #MELODY , kizazi Sana Mzee wangu @Rosa ree unaniuwa Sana mamy
th-cam.com/video/N8A87jQhruE/w-d-xo.html .
Ngoma kubwa sana hii Bella, umeshinda sana humu ndani
Love from Dr Congo😍😍
🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Nani bado huskia huu wimbo, master of voice #CBOmusic💞
I still haven’t got enough of this beautiful joint 🔥
Only you❤
Bella depuis nayeba papa okotanga tiii na mikua nalela yo fort mon artistes, ozo sala fierté ya mboka na biso
th-cam.com/video/N8A87jQhruE/w-d-xo.html
Kama unakibali bella ni mkali like kwanza
Trop fort c’est le Congo 🇨🇩 qui gagne 🙏🏽👊🏽👊🏽🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩✌️✌️
Naikubari sana
The king of the melody Christian bella 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 am proud of you my brother 💪💪💪
Who he is here 😢in 2024🎉❤anipe like 😢🎉
Jamani tutasema vingine ila Kwa huuwimbo wametishaaaaa...👌👌👌👌❤️❤️
Love this song guys its a hit😘😘😘am from zambia
Wote wametisha ngoma kari sana hadi kichupa chake yani
Wow, am a ugandan but this song is too lit too lit.
And this guy has a talent, but Rosa is by far...🔝 ❤ from 🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬
Jman beat limewekwa sawa Sana na Bela kauw bila kumsahau demu wa chuga♥️♥️
King of the Melody! 👍
Ila Rosa Ree hii ngoma uliuaaaaa kahama oyeeeeeeee
I love this song , much love from Canada 🇨🇦
This song doesn't get old