HARUSI YA TOTO DOGO PART II - MAU MPEMBA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ย. 2024
- #MauMpemba #KomboKichwa #VitukoZanzibar
HARUSI YA TOTO DOGO PART II - MAU MPEMBA
Furahi na jifunze na vichekesho vya Mau Mpemba. Mau Mpemba ni msanii wa Zanzibar anaejulikana sana kwa aina yake ya sanaa ya maigizo kwa kutumia asili yake ya Pemba. Kwa kushirikiana na wasanii mbali mbali Tanzania, Mau Mpemba anasisimua na kuvunja mbavu za watu wengi wanaopenda aina yake ya maigizo.
Aina ya sanaa anayofanya Mau Mpemba ni mfano wa kuingwa kwani, anatumia kile kidogo alichonacho ili kufurahisha na kuelimisha pia.
Ukihitaji kuunga mkoni harakati za wasanii hawa ili waweze kuleta furaha kila siku katika jamii zetu, hakikisha unatangaza biashara yako au kutoa ushauri wako kupitia.
+255 777 001500
Wewe kunitafunu ivi niishalala
Dah hiki kitoto dah
Hujalikwa usichangie saw saw
Naipenda hii mm hhhhhh
hujaalikwa usichangie
Safi sanaa huyu mtt
Uyu dogo amtafuna mh!!!
Like nimeiona
abuuu nisalimie ummy😆
kazi nzuri
Pati tu Kali Sana jamanii
Uyo dogo wangu yupo kama hivi yuko vzr sana tu unajuw hata mm napiga comedy lkn saiv sio saana nadil na camera na editing tu lkn nataka upige clip na uyu dogo wng labd tuone watu wataipokeaje
Vizuriii
Uyo mke mzuri mashalah
Weye wantafuna 😀😀
nimeipenda kazi hii
Dgo hodari
Hahaaa 🔥🔥🔥🔥
Nawapenda sana wapemba wenzangu mungu awabarki 💕💕
na ww pia
@@abubakaralibakar1443 Amina Yarab alamin
Mau uyo ni mtoto kwel maana mambo anakushinda ww
uyo dada nampenda hatr, macho yk na mdomo wake unaniacha hoiiii
Twatafunana 😂😂😂
Toto dogo kashayoyaaa😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hvi huko kutafuna wana maana gni😁😁
Ujui
kung'ata kwa meno, c hile ya naniliuuu
Hhhhhh aaaaaa hhhhhhhaaaaaaaaa hhhhhhhaaaaaaaaa jamani mie mbavu zanguuuuuu
😁😁hujaalikwqa
Dogo ana mke mzur
Ila ukwel mnajtaid sana na uwa nawafatilia mnamafunzo mazur ktk jamii
Dah hongera mau na huyo dogo mashaallha
Hujaalikwa usichangie 😂😂😂
Siku zote ngoma ya kitt haikeshi tt ndg leo nzg wataka utua
Mau unajua
Yani mpaka nasubscribe channel bila yakutaka😂
unitule
Kaoa na mundu
Hahahahaaaaa fundikancharukwaaa
Jamani uyo mtoto wakike vp? Mana ninampendaaaaaaaaa
Hahahahahahah ckayataka jmni
😂😂😂😂mwapiganaaa
Chekaaa Cheka utoe nuhusi
Mau huna Mjomba apo hhhhhhhhhhh
😅 😅 😅 😅 😅
Duh
😂😂🎉🎉🎉
Hahahaha hahahaha hahahaha
Duu
Poa
Hamna Idea acheni kufosi acheke nani sasa
Chuki hizo
Una roho mbaya tu ww kama hukucheka basi roho mbaya
Chuki zisizo msingi chanzo chake roho mbaya
Toa idea zko ww ulonazo acha roho nyeusi km huwezi kumpa mtu moyo,usimvunje moyo si uungwana
🤣🤣🤣🤣🤣😅
😂😂😂
😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mau nitafute tupeane idea za kushuti 0626969543