Hii video natamani Diamond platnumz aka Nasibu aione.....ameikumbatia dunia akasahu maregeo ni kwa Allah S.W. Allah amuongoze na atuongoze jamii Islam kwa ujumla.
Ndio kachara waaache kuiga huku dar tunakosa sifa za uungwana kbisa tunaomekana ni walewale wazugaj na miyoyusho tu hatuna lolote la maana maana wanao fanya ivo ni wahuni..
Mtihani yarabi tustiri ya jabar jamii ielekee kwenye twaa yako yamannan
Mashallah kutoka Konde mimekufikia kaka Kachara. Ni Handhal Talib Handhal.
Mumebugiiii sanaaa kumuachaaaa kitatangeeeee...kitatange nomaaaaaa
Kweli maneno yake vijana wa siku hizi ni mtihani Allah awahidi
Asnte mzee ipo vzur nimeipend 👍
Hii video natamani Diamond platnumz aka Nasibu aione.....ameikumbatia dunia akasahu maregeo ni kwa Allah S.W. Allah amuongoze na atuongoze jamii Islam kwa ujumla.
Mashaa Allah,nimekupata vizur sana kachara..Bhangi ndo tatizo yawahangaisha...kweli kabisa.
O
Ujumbe umefika kachara mashaallah
Allah atustir na vizaz vyetu lkn mtihan nimechek vby
Hahahaha kachara we fundi sana unajua
Mashallah ujumbe mzuri watu wanajisahau kbs dunia hii 😔
Mpak unyenyuw jeki kma umskiaa hii gonga like yk hapa hhhh
Munapotea sana akina kachara
nakukubali kachara
Kachara wewe na kidundo banaaa
Saa kuangalia kwa jeki
❤❤🎉🎉🎉
Iko poa sana
Cheng za ujii umenikumbush mbal bro
Eee watoto wa kiungwana mwapotea nyii
Hahahahahha😂😂😂kachara una maneno ww
😧😧😧
😂😂😂😂😂Eti saa mpk ipigwe jeki ndo uondok
Father umeniua ahahahahaaaa
Vijana wa sasa akili zao zinaendana na mavazi yao mtihaniii
Kama umeckia kama mm mtot mzuri kama nn gonga lik
😂😂😂
Ndio kachara waaache kuiga huku dar tunakosa sifa za uungwana kbisa tunaomekana ni walewale wazugaj na miyoyusho tu hatuna lolote la maana maana wanao fanya ivo ni wahuni..
😅😅😅😅
Hhhhh mikia ya pweza
Kaka vizur naomba namb no yako ya what's mm nazani unaniyahamu mm nikijana wako
Kachara kwa hapo ukumbusho umefika baba
🤣🤣🤣🤣
Kunvaa dume la fulana 😆😆😆😆
Muwache sharo atembee zama zako kachara zineisha hahaha
hahahah
hahahh
hahaha
🤣🤣🤣
🕋🕌🇹🇿 for you
Hawa waliodisslike ndio hao masharo yamewauma wao hata mawaidha wanadisslike
Munapotea sana akina kachara