MAU MPEMBA NA MAKAME NUHUSI POPO WA PEMBA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 14 พ.ย. 2022
- #MauMpemba #KomboKichwa #VitukoZanzibar
Furahi na jifunze na vichekesho vya Mau Mpemba. Mau Mpemba ni msanii wa Zanzibar anaejulikana sana kwa aina yake ya sanaa ya maigizo kwa kutumia asili yake ya Pemba. Kwa kushirikiana na wasanii mbali mbali Tanzania, Mau Mpemba anasisimua na kuvunja mbavu za watu wengi wanaopenda aina yake ya maigizo.
Aina ya sanaa anayofanya Mau Mpemba ni mfano wa kuingwa kwani, anatumia kile kidogo alichonacho ili kufurahisha na kuelimisha pia.
Ukihitaji kuunga mkoni harakati za wasanii hawa ili waweze kuleta furaha kila siku katika jamii zetu, hakikisha unatangaza biashara yako au kutoa ushauri wako kupitia.
+255 777 001500
Jamani muko vizuri sana nimeipenda
Kiengereza hich hutoboiii😂
Much love
Asante kiongozi
Hee Leo mmesema kimji sana😂😂
😃😁😃 you guys are so funny
Hii kali kabisa
Hatumii mbn kazi
Ndan ya Tahfif Apartment 💯
Hadi raha pemba nkwetu
😂😂😂😂😂😂😂😂tobaaa mbavu zangu
Msioijua Tahfif Apartment ndo hiyo karib sana
Pamoja mau na makamd
No problem ago 😂 😂 kiengereza cha wap hicho kake Mau
Heeeee mau uyo hunaunacho kijua punzika
Anataka sembe
Ah mbn mau siku hizi upo kimya
Mau mtukz
Pepa beg
popo ana kibali?tuingie mzigoni?