Yaani hapo nimependa Kitabu cha TIMIZA MALENGO YAKO kipo pembeni.....nashauri watanzania wanaopenda kutimiza/kufanikisha mipango/malengo yao wakisome hicho kitabu hawatajutia! Binafsi nimesoma vitabu vya waandishi wengi lkn nakiri Kitabu hiki ni cha aina yake; Kinaweza kubadilisha mitazamo yako yote ya kushindwa na kuamini ktk kuwezekana, kitafanya ujiamini, ujitambue, kitakupa njia/mbinu ya kuendea changamoto yako yoyote ya kimaisha, utatambua kwamba mafanikio yako ni wajibu wako kivitendo na utaacha kulalamikia watu/ndugu/serikali kwa ufupi ni Kitabu kinachofumbua ubongo wa mtu ktk kujitambua lkn pia kuweza kukabiliana na vikwazo/changamoto mbalimbali za maisha kwa uwezo wa Mungu.
Somo zuri sana kaka. Shukrani and keep moving!!!
Neema ya Mungu ikutoshe umekuwa msaada sana kwangu najiamini mpaka najishangaa
Asante san broo Mungu akubariki sana somo zuri sana najifunza vitu vingi sana kupitia wewe Broo Mungu akubariki sana.. nakufatilia kila siku❤️🔥🙏🔥🔥🔥
Asante na ongera Sana kwa SoMo,Ila kwa Sasa marafiki wa kweli awapo wengi tunakuwa nao kwa muda mfupi wanatubadilikia,
Somo zuri Sana coach Joel..,...shukurani🙏🙏
Ubarikiwe sana kaka, binafsi kila somo lako linanijenga pakubwa mno, Mungu akutunze
Safi sana brother Joel Nanauka kwa elim kubwa unayotupatia mungu akubariki sana.
Sahihi sana teacher wangu umeeleweka
Ni kweli kabisa kati ya kitu nacho chunga na kumuomba Mungu ni kutokupoteza imani kwake
Asante sana bro japo hatuonani ila moyoni upo na siwezi kukupoteza najifunza mengi kutoka kwako Mungu akubariki sana🙏
Maono
Imani kwa MUNGU
Marafik wanajitoa kwako
Mmtu anakuamin uwezo wako🎉 thanks 👍 Bro
Barkiwe sana kaka Joel
Kaka Joel tunaomba English Sub....
Be blessed abundantly 🙏🏾
Dah we jamaa ubarikiwe tu
Nakubali sana mafunzo yako usinichoke kwa kukufatilia
hasa kabisa nigependa kupata vitabu vyako
Amen
May our Almighty living Father bless you abundantly 🙏
Mungu akubaliki sana
Kweli kabisa....nasubiri Mambo mazuri
Asante sana kaka Joel nanauka kwa elimu unayotupa
Aiseee me napenda nikuite Prof Nanauka.
Asante sana kaka napenda niwe na hicho kitabu nipo Mwanza
Asante sana zidi kubarikiwa
.SOMO NZURI SANA KAKA ONGERA SANA BROO NIMEFURAHI SANA.
NA NINAPATA VITU VINGI SANA KWAKO.🎉🎉🎉
Nakuelewa sana
Mbona kila napotaman kifanya jambo moyo unasita Kaka Joel nahitaji msaada 😌
Ahsante kaka Joel 🙏
Nimekuelewa sana ,
Kitabu sh ngapi
Yajayo yanafurahisha asante sana mwalimu 🎉
Somo nzur
Shukran
Wao so nice
Ahsante sana ubarikiwe zaidi ulivyo sasa Ahsante sana ♥️♥️♥️♥️🥂 by ERADIUS OSCAR from Mwanza nyegezi
Kazi kazi
MUNGU akubrk san
Big up👍
Thank you so much kaka, be blessed 🙌
Shukrani🎉
Thank you kaka
amiin
Asante sana somo zuri
Ipo sawa
Ubarikiwe kaka
Thanks brother
Niko na challenge
😢😢Ahsante sana
Asante sana
💯
Kitabu cha timiza malengo yako nakitaka vipi nitakipata
Nice work
Braza Jo,nitajuaje nimeitwa kufanya Nini!?
hapo kwenye marafiki sijakuelewa kabisa
Naam
Yaani hapo nimependa Kitabu cha TIMIZA MALENGO YAKO kipo pembeni.....nashauri watanzania wanaopenda kutimiza/kufanikisha mipango/malengo yao wakisome hicho kitabu hawatajutia! Binafsi nimesoma vitabu vya waandishi wengi lkn nakiri Kitabu hiki ni cha aina yake; Kinaweza kubadilisha mitazamo yako yote ya kushindwa na kuamini ktk kuwezekana, kitafanya ujiamini, ujitambue, kitakupa njia/mbinu ya kuendea changamoto yako yoyote ya kimaisha, utatambua kwamba mafanikio yako ni wajibu wako kivitendo na utaacha kulalamikia watu/ndugu/serikali kwa ufupi ni Kitabu kinachofumbua ubongo wa mtu ktk kujitambua lkn pia kuweza kukabiliana na vikwazo/changamoto mbalimbali za maisha kwa uwezo wa Mungu.
Thanks
💟
2:22
Kitabu hicho shilling ngapi?
good work
Thank you! Cheers!
🎉
❤❤❤❤❤
🇧🇮🇧🇮
Sorry Kaka hiki kitabu Cha timiza malengo yako ni Bei gani na naweza kuja kununua wapi Mimi nipo madale dsm
Ukifika stand ya daladala ya Mnazimmoja huwezi kikosa. Pia Mwenge kwa wauza vitabu - hope ni around Tsh 15k - 20k.
15,000/- Wasiliana na namba ya Bookshop 0762 31 21 71 utakipata