Daktari aliyegundua na kumtibu mgonjwa wa kwanza wa UKIMWI Tanzania

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 พ.ย. 2023
  • Imetimia miaka 40 sasa tangu kugundulika kwa ugonjwa wa UKIMWI ambao uliingia Afrika Mashariki mwaka 1983.
    Callixte Twagirayezu alikua daktari aliyemtibu mgonjwa wa kwanza kabisa wa virusi vya UKIMWI.
    Maelfu ya watanzania walipoteza maisha, huku ikiwa vigumu kuweza kukabiliana nao kutokana na mila potofu.
    Katika mahojiano na BBC, daktari huyu ambaye kwa sasa ana miaka 93 anasema kilikuwa miongoni mwa vipindi vigumu kuwahi kushuhudia maishani mwake.
    ✍ @mcdavid_nkya_
    🎥 Bosha Nyanje
    #bbcswahili #tanzania #HIV
    Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili / @bbcnewsswahili

ความคิดเห็น • 3

  • @cosein
    @cosein 7 หลายเดือนก่อน +1

    Htr mnyarwanda anaongea vzr Kiswahili

  • @amanzitwaibu9269
    @amanzitwaibu9269 7 หลายเดือนก่อน +2

    Wakwanza jamani nipate ata 20

  • @samwelamosmusambwa9302
    @samwelamosmusambwa9302 7 หลายเดือนก่อน +1

    huyo daktari mbn sahv hatibu tena