Kutana na Zawadi aliyeishi na VVU kwa miaka 17 bila kumuambukiza mume wake Hamisi.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ม.ค. 2020

ความคิดเห็น • 31

  • @williamibrahim2823
    @williamibrahim2823 4 ปีที่แล้ว +5

    Hongeren sana tena sana

  • @asteriashios1852
    @asteriashios1852 15 วันที่ผ่านมา

    Mungu awatunze nimewapenda Bure huyo ndo mume dada umempata

  • @reggancamp5247
    @reggancamp5247 4 ปีที่แล้ว +9

    Hongera sana Kaka kwakutokumkimbia huyo mkeo. Maana kwa hali hiyo ningumu sana kubaki nae ukizingatia mmeenda kupima halafu wewe unakuwa fresh yaani mkitoka angaza tu nakubeba begi mbio

  • @tabumasumbuko7213
    @tabumasumbuko7213 4 ปีที่แล้ว +4

    Mungu Baba wambinguni awatunze

  • @tedymwandara5480
    @tedymwandara5480 4 ปีที่แล้ว +7

    Yani we kaka nakutafakari ckupatii majibu.Yan umeshajua ana HIV lkn unafanya nae kavu kavu kweli we ni mwamba.

  • @fidesbenard2836
    @fidesbenard2836 4 ปีที่แล้ว +2

    Mungu awalinde milele kwa upendo wenu..

  • @janejonathan528
    @janejonathan528 4 ปีที่แล้ว +5

    Mhhhhh hadi nimeogopa upendo wa huyu kaka nimkubwa sana ila Mungu mwaminifu dada mwamini na usikiri kuwa una HIV positive,kama alivyosema mumeo hakika utapona!

  • @thobiasmanyinyi8977
    @thobiasmanyinyi8977 4 ปีที่แล้ว +8

    Serikali na Mashirika, kama mnavyowajali wenye HIV; Pia waangaliwe na wengine hasa wale wenye majonjwa sugu kama vile kisukari n.k. Hata japo dawa zao kama wenye kisukari ikibidi wapatiwe free dawa zao maana tunawaona huku mtaani wanapata tabu sana, kwani dawa zinauzwa ghali sana na wengine hawana hata uwezo wa kumdu baadhi ya ghalama!!

  • @edwardkasubi1332
    @edwardkasubi1332 4 ปีที่แล้ว +3

    Couple yenu inapendeza sana Glory to God

    • @shanifaabdul3550
      @shanifaabdul3550 ปีที่แล้ว

      Couple yenu nimeitaman sana mungu awazidishie furaha

  • @tabumasumbuko7213
    @tabumasumbuko7213 4 ปีที่แล้ว +2

    Hongera kaka unamoyo ni wanaune wachache sana wenye moyo kama wako

    • @bonifacebeatrice8077
      @bonifacebeatrice8077 2 ปีที่แล้ว

      Kweli katika 100=0.001,Mungu si mwanadamu atakupa thawabu

  • @salamahamadisudi1912
    @salamahamadisudi1912 4 ปีที่แล้ว +4

    Na mpenda mume km huyu mwenye upendo wa dhati

  • @wemakalamu3538
    @wemakalamu3538 4 ปีที่แล้ว

    Mubarikiwe inshaallah

  • @hassanalfan6941
    @hassanalfan6941 9 หลายเดือนก่อน

    Mtafuteni.. doctor t.r.msigwa..inshaALLAH dada atapona

  • @agnesvigao4277
    @agnesvigao4277 3 ปีที่แล้ว +1

    Ilove u dada naomba namba yako ili unishauri vizur nikapime maana muoga

  • @moseelias2312
    @moseelias2312 3 ปีที่แล้ว

    Honger

  • @habibakhalfan1065
    @habibakhalfan1065 4 ปีที่แล้ว +1

    Kwa_kweli_hakuna_aijuae_kesho_ila_kubwa_ni_kumuomba_Allah_huyu_kaka_Alie_mlinda,ni_Mungu_tu_ila_inatisha_mnoo

  • @robbemanase9051
    @robbemanase9051 4 ปีที่แล้ว +4

    Story kwenye medum nyingine wametoa tofauti na hii, inakuaje?

    • @isaacmwaipopo
      @isaacmwaipopo 3 ปีที่แล้ว +1

      Wametoa tofauti kiaje. Elezea. Mie nimesikiliza zote

  • @silvanclementimsomamsoma5079
    @silvanclementimsomamsoma5079 4 ปีที่แล้ว +3

    Mmmm ayabana

  • @fatimanoh2575
    @fatimanoh2575 4 ปีที่แล้ว

    Allah kareem

  • @saidaosward3199
    @saidaosward3199 2 ปีที่แล้ว

    Mimi ninauliza je watoto ulizaa hawajaapata maambukizi ya ukimwi

  • @williamibrahim2823
    @williamibrahim2823 4 ปีที่แล้ว +1

    Nikweli lakin?

  • @mussamponzi8998
    @mussamponzi8998 2 ปีที่แล้ว

    Hajaeleza kwanini mwenza wake hajapata?

  • @zawadiomari3757
    @zawadiomari3757 ปีที่แล้ว

    Dad mm nataka namba zako

  • @eliaschamungwana2525
    @eliaschamungwana2525 4 ปีที่แล้ว

    Kaka ,naomba number yako au Dada zawad

    • @albertogeorge6632
      @albertogeorge6632 4 ปีที่แล้ว

      Mungu ni mwema kaka umeandaliwa pepo tayari na mwenyez mungu

  • @mpokimwakisimba692
    @mpokimwakisimba692 3 ปีที่แล้ว +2

    Mmekuwa ushuhuda wenye manufaa kwa jamii. Elimu halisi watu hawana wengi wamepotoshwa Sana!