JINSI YESU ALIVYONIPONYA VIRUSI VYA UKIMWI- MCH ESTHER ERASTO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ก.ค. 2021
  • Niliugua UKIMWI wakati Mchumba wangu ndio tunaendelea nae kufanya vipimo kuandaa Harusi Yetu.
  • เกม

ความคิดเห็น • 41

  • @neemadaud5337
    @neemadaud5337 3 หลายเดือนก่อน

    Jamaniii mama hongera Sana huwa napenda nikuone tuu na baba barikiwa Sana kwa wimbo mzur nyimbo zako nazipataje

    • @uponyajitv4224
      @uponyajitv4224  3 หลายเดือนก่อน

      Tupigie 0756 498 083

  • @mamaziada134
    @mamaziada134 2 หลายเดือนก่อน

    Napokea afya njema kwa jina la yesu

  • @user-lz2tp4il5v
    @user-lz2tp4il5v 8 หลายเดือนก่อน +2

    Jamani mungu yupo na anaponya ukiwa na imani utaponya hata mimi aliniponya huo ugonjwa sai niko saudia na chapa kazi

    • @uponyajitv4224
      @uponyajitv4224  3 หลายเดือนก่อน

      Tupe namba yako tafadhali

  • @dyanadeus4965
    @dyanadeus4965 ปีที่แล้ว

    Huu wimbo aisee nauihitaji unaitwaje mbona mzuri hivo❤❤❤❤❤❤kiukweli unatia moyo🙏🏻🙏🏻

  • @user-yq2mf8le5z
    @user-yq2mf8le5z ปีที่แล้ว +1

    Hadija nmeokoka nampenda yesu NAMI pia nahitaji nipone

    • @uponyajitv4224
      @uponyajitv4224  3 หลายเดือนก่อน

      Piga simu hii 0756 498 083

  • @BetinaEnody-xj2hi
    @BetinaEnody-xj2hi ปีที่แล้ว +1

    Amina natamani na mimi siku moja mungu aniponyeeee naamini kuponywa

    • @uponyajitv4224
      @uponyajitv4224  3 หลายเดือนก่อน

      Tupigie 0756 498 083

  • @maryjoviny6991
    @maryjoviny6991 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu nimuweza Mambo yote

  • @ezekielsamwel6742
    @ezekielsamwel6742 2 ปีที่แล้ว

    Mama! Mama!mama! Yaan nimesikia touches zisizo za kawaida..viko visima vikubwa sana vwa hazina ndani yenu watumishi wangu Mungu awabariki sana

  • @nicholausmahembuke7305
    @nicholausmahembuke7305 2 ปีที่แล้ว

    Mungu aendelee kuwabariki enyi watumishi wa Mungu.
    Nawakumbuka,mliwahikuja kanisani kwetu Dar.kwa Mch, Kametta

  • @dyanadeus4965
    @dyanadeus4965 ปีที่แล้ว

    namimi nimeshayashuhudia matendo watu wakipona✍️✍️❤✍️kikubwa mtu uache dhambi Mungu hashindwi lolote lile🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻

  • @mariahmweni7110
    @mariahmweni7110 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen 🙏 hata mimi ataniponya kwa jina la yesu kristo

  • @joshualucas8077
    @joshualucas8077 2 ปีที่แล้ว +1

    Nabarikiwa sana kupitia watumishi hawa Mungu awatunze daima.
    Nawapenda sana.

    • @joshualucas8077
      @joshualucas8077 2 ปีที่แล้ว +1

      Be blessed my spiritual parents

  • @gesmakisamba5053
    @gesmakisamba5053 2 ปีที่แล้ว

    Mungu ni mwema kweli kila wakati

  • @neemamartin7111
    @neemamartin7111 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen Mama Yetu. Mungu akuhifadhi daima. Ushuhuda wakuganga mioyo iliochoka nakujeruhika. Binafsi nimehisi faraja naimani yangu kujengeka nakukua. Mungu azidi kukuneemesha

  • @yasminemukilo-wd5oy
    @yasminemukilo-wd5oy ปีที่แล้ว

    Amen yesu ni Bwana ..naukumbuka ushuhuda huu uliutoa kanisani mwa Jerusalem revival temple himo nimeguswa na ushuda wako mchungaji nawapenda wote wachungaji wangu

  • @mikombemikombemikombe3720
    @mikombemikombemikombe3720 2 ปีที่แล้ว

    Haki ni ushuhuda wa kutia moyo eeh mungu kutana na Hitaji la moyo wangu nami niyashuhudie matendo makuu ya mungu kama huyu mama mchungaji🙏🙏

  • @milkabakari4515
    @milkabakari4515 2 ปีที่แล้ว

    Amen🙏🙏🙏mama mungu azidi kukutunza.

  • @ntulisuzan897
    @ntulisuzan897 ปีที่แล้ว

    Wimbo mzuri sana

  • @yasintapallangyo6484
    @yasintapallangyo6484 2 ปีที่แล้ว

    Mungu akulinde

  • @christinebaraza
    @christinebaraza ปีที่แล้ว

    Amen God is Great 🙏

  • @yasminemukilo-wd5oy
    @yasminemukilo-wd5oy ปีที่แล้ว

    Amen

  • @flaviacharles1348
    @flaviacharles1348 2 ปีที่แล้ว

    Hakika Yesu ni Bwana! Asante sana kwa kushea ushuhuda huu maana unadhihirisha kwa uwazi kabisa matendo makuu sana ya Mungu. Glory be to God. Mungu awabariki sana watumishi wa Mungu.

    • @ruciasimeo4431
      @ruciasimeo4431 ปีที่แล้ว

      Mungu awape maisha marefu, mnafanana sana

  • @razielmgonja2015
    @razielmgonja2015 ปีที่แล้ว

    Hakika ametenda

  • @mariahmweni7110
    @mariahmweni7110 2 ปีที่แล้ว +1

    Jamani Esther wangu my dear maludio yako wapi

    • @joshualucas6995
      @joshualucas6995 2 ปีที่แล้ว

      Nimebarikiwa sana, God bless you.

  • @emmanueltulaselfemmanueltu2590
    @emmanueltulaselfemmanueltu2590 ปีที่แล้ว

    wekeni no mniombee na mm

  • @hildamakala178
    @hildamakala178 ปีที่แล้ว

    Nataman nipate namba ya mchungaji nasumbuliwa na magonjwa

  • @KAIPAAA3211
    @KAIPAAA3211 4 หลายเดือนก่อน

    Wapumbavu wajinga mnawadanganya watu, ulipimwa hosptal gan ya serekar? Daktal yup wa serikar anathibitisha uponyaji huo, wajinga wapumbavu waongo