"MIMI SIO MWANAMKE WALA MWANAUME | SINA JINSIA" Mgombea UWT Afunguka Kwenye Clouds 360

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ส.ค. 2020
  • "Kwenye mwili wangu sijui kama mimi ni mwanamke au mwanaume ila Mungu alichojisaidia kwamba nina sehemu ambayo naweza kujisaidia haja ndogo na kubwa lakini sehemu ya kuniweka kama mdada au msichana haipo sawa kama wanawake wengine sina ovari na upande wa mwanaume sina kiungo chochote na sijawahi kuona siku zangu, nina miaka 26" Baby John Musamba, aliyekuwa mgombea UWT

ความคิดเห็น • 1.5K

  • @junnykimathi2363
    @junnykimathi2363 3 ปีที่แล้ว +11

    Hiyo ni Baraka.wanawake
    Wengine wako na shida kubwa, wengine vipofu,wengine bila miguu na mikono,wengine wako na kila kitu lakini mungu akawaandikia hakuna kita fanya kazi.
    Mungu ana sababu yake.
    You are created special.
    Bibi wengi wa manabi wa mungu walikuwa hivyo hivyo.
    Kubali uko hivyo sababu mungu akupenda.
    Nitakuoa ,uwe bibi yangu kwa njia ya mungu.usi laumu mungu.,mambo za scientists zita kupoteza.wata kuharibu,hawaamini mungu.nipe nambari tuongeange.

    • @isayarevelian9698
      @isayarevelian9698 2 หลายเดือนก่อน

      me huyo namuoa tena kwa ndoa kabisa

  • @rosemutinda3076
    @rosemutinda3076 3 ปีที่แล้ว +8

    Kazi ya Mungu haina makosa🙏 alikujua hata kabla hajakutengeneza kwenye tumbo ya mamako. Wengine wana jinsia mbili na wengine hawana lol maajabu ya mwenyezi Mungu . 🤗🤗You are wonderfully made

  • @hikmajeyz5072
    @hikmajeyz5072 3 ปีที่แล้ว +30

    Takbiiiiir!! Allahu akbar! God above evrything and thats part of his works,Big respect to Almighty

  • @rachelwanganga939
    @rachelwanganga939 3 ปีที่แล้ว +24

    You are a lady, your voice can tell. Be strong you were created by God for his own glory. His grace and mercy is sufficient for you.

  • @SafeHaven_TV
    @SafeHaven_TV 3 ปีที่แล้ว +14

    Mjasili sana dadangu,nimekupenda bure.Mungu akupe nguvu,uzima na uwezo wa kumtumikia yeye.

  • @sarahomarijuma9651
    @sarahomarijuma9651 3 ปีที่แล้ว +81

    Siwezi vaa kiatu chako my dear ww zaidu ya strong zaidi ya jasili daah Allah akupe furaha zaidi ya hy ulio nayo

    • @saumuhassan6365
      @saumuhassan6365 3 ปีที่แล้ว +4

      Kwakweli

    • @yusufukibhakibha3741
      @yusufukibhakibha3741 3 ปีที่แล้ว +1

      Mungu akuinue ndug yetu umekua MTU wa pekee Tz

    • @yusufukibhakibha3741
      @yusufukibhakibha3741 3 ปีที่แล้ว +1

      Jamn ndugu pole kwa hlo kam huna hisia usdanganyke kuolewa wanaume watakudanganya 2

    • @sistercathe1708
      @sistercathe1708 3 ปีที่แล้ว +1

      Wapo watu wa aina yako ndugu pambana uwatee

    • @realb1180
      @realb1180 3 ปีที่แล้ว +1

      Nimempenda huyu Dada Baby John anajielewa anadadavua kesi alionayo vyema.....Mungu ambariki na kumtunza najifunza mno nikiwa na msikiliza.

  • @DOGMANBOOKS
    @DOGMANBOOKS 3 ปีที่แล้ว +22

    You are the most inspirational person I've ever seen. You also speak very well. Just a wonderful person.

    • @raisakarenga5933
      @raisakarenga5933 7 หลายเดือนก่อน

      😊😊😊😊😊😊😊

    • @marypeter6911
      @marypeter6911 6 หลายเดือนก่อน

      Mengine ni Kwa utukufu wa Mungu usijisumbue Kwa kuolewa au kumlekebisha Mungu kaa ivoivo na Mungu anapendezwa nawewe

  • @mshamyusuf6332
    @mshamyusuf6332 3 ปีที่แล้ว +6

    Asante dada nilikuwasina majibu kwamtoto wangu ambae hatamiezimiwili hajafikisha yukokamawewe anasehemu yakukojolea tu yaani nitundu tu ambayo ninyembamba sana
    Mimi ni baba mtoto huyoanachokiongea nikweli
    Nahisi huyomtangazi nahisi haamini
    Nawala sijui kama anaelewa unachoongea daaa aisee nashukuru kwakupatamajibu ya mwanangu

    • @happymacha9053
      @happymacha9053 3 ปีที่แล้ว

      Mungu mwema ndugu yangu..

    • @happymacha9053
      @happymacha9053 3 ปีที่แล้ว

      Mungu mwema ndugu yangu..

    • @enockndamo1350
      @enockndamo1350 3 ปีที่แล้ว

      Isikupe shida zipo dawa inapasuliwa na anapata homoni

  • @eliyajoseph6862
    @eliyajoseph6862 3 ปีที่แล้ว +6

    Doctor kasema! Lakini Mungu pia anasema.. Mungu bado ana spea nyingi tu, amini tu na utauona utukufu wake. In Jesus name

  • @keshimartin2946
    @keshimartin2946 3 ปีที่แล้ว +49

    Watangazaji hamjamtendea haki huyu mnayemhoji kwa sababu
    1.Mmeuliza maswali mengi unprofessional, hasa mtangazaji wa kike.
    2.Hamkujali kabisa ombi lake kwamba anatamani kuonana na viongozi na kupata ufadhili wa masomo..angalau kwa kulisisitiza na kuweka namba yake hewani,mlipopata mlichokitaka basi, this is not fair, be generous.

    • @hisanmwakijungu10
      @hisanmwakijungu10 3 ปีที่แล้ว

      We nawe mjuaji, ebu kaa huko na elimu YAKO isiyo na faida

    • @mwajiranimesalimu5509
      @mwajiranimesalimu5509 3 ปีที่แล้ว +5

      huyo mtangazaji wa kike wallahy haelewi kabisaa

    • @soamesphares
      @soamesphares 3 ปีที่แล้ว +5

      Dada anajitambu vizuri sana. Elimu ni tatizo kwa mtangazaji wa kike!!. Watangazaji ilipaswa wajielimishe japo kidogo kabla ya kumhoji huyu Dada. Then, interview ingekuwa inajazia elimu yao ndogo na wakati huo huo kutuelimisha wengine. Badala yake sasa unaona watangazaji wanashangaa tu na kuonekana kama wanamdhalilisha Dada.

    • @nyerere1259
      @nyerere1259 3 ปีที่แล้ว

      sahihi kaka malehiwa wa ppm

    • @lovvy854
      @lovvy854 3 ปีที่แล้ว

      @@soamesphares haswa huyu mtangazaji wa kike

  • @fredrickmapesa7377
    @fredrickmapesa7377 3 ปีที่แล้ว +15

    Mtangazaj mwanamke sijui anakichwa gan. Naona haelew kabisa maelezo. Anakwaza sana kwakwel

    • @dianemanirakiza4847
      @dianemanirakiza4847 3 ปีที่แล้ว +1

      Non mumuelewe mtangazaji jameni ni binaadamu naye alistuka kwa kweli nimaajabu ya Mwenyezi Mungu

  • @sekundambilinyi5450
    @sekundambilinyi5450 3 ปีที่แล้ว +6

    Huyu dada ni jasiri sana!Big up dada Mungu hatokuacha!

  • @selemanikitatungwa9283
    @selemanikitatungwa9283 3 ปีที่แล้ว +10

    Pole Dada, naomba usimamie msimamo wako, unajitambua vyema Sana, ukikubali kuolewa na hao wanaotaka kulazimisha waweza lazimishwa na mengine yasiyofaa, kimaadiri yetu ya kitz

    • @dismacymoris5296
      @dismacymoris5296 3 ปีที่แล้ว

      Pole Sana dada angu Kama unaweza eb toa namba tukusapoti

  • @vanessastafford5120
    @vanessastafford5120 3 ปีที่แล้ว +7

    Wewe Baby kuolewa sio kushinda maisha. Hongera mama hutapata mauzi ya wanaume.

    • @onesmokabia80
      @onesmokabia80 3 ปีที่แล้ว

      Usiseme hongera ni kumpa pole na yy anatamani angekuwa na viungo vyote na sio hivyo alivyo,hata kama kuna maudhi ya wanaume,kama unaona vzr ivo alivyo kwa vile tatizo halipo kwako.

    • @onesmokabia80
      @onesmokabia80 3 ปีที่แล้ว

      Usiseme hongera ni kumpa pole na yy anatamani angekuwa na viungo vyote na sio hivyo alivyo,hata kama kuna maudhi ya wanaume,kama unaona vzr ivo alivyo kwa vile tatizo halipo kwako.

  • @halimashaib9102
    @halimashaib9102 3 ปีที่แล้ว +2

    Allahu akbar. Allah Ana uwezo wa kila kitu na hashindwi na chochote kile. Hata ulie katika jinsia ya kike au ya kiume anaweza kukubadilisha ghafla na ukawa km baby John. Huo ni uwezo wake. Na tusipende Sana kuuliza maswali ya ndani km kutaka kujua hadi utumbo wake ukoje nop utakuwa unajaribu kudadisi kazi ya Allah. Homgera Sana baby John na Allah Ana sababu zake kukuumba hivyo. Wala mtu asione labda Allah ameghafilika la hashaaa. Naamini qadari za Allah

  • @msabahkhamis9438
    @msabahkhamis9438 3 ปีที่แล้ว +17

    Usikubali kuolewa na mtu wa kawaida atakulawiti
    Labda uolewe na mtu mwenye jinsiya kama yako awe kabezi tu upande wa kiume.
    Msabah gas kisima majongoo zanzibar.

  • @ramamtetu2327
    @ramamtetu2327 3 ปีที่แล้ว +13

    Huyo (Mdada )
    Anajieleza Vizuri ila
    Hao watangazaji Hapo Ni Wajumbe Hao
    Wanamuuliza Maswali Yasiyoeleweka

    • @everkabete6645
      @everkabete6645 3 ปีที่แล้ว

      kweli kabisa yani anajieleza vizuri sana na anaeleweka

  • @wemajohn9283
    @wemajohn9283 3 ปีที่แล้ว +13

    Mipango ya Mungu tu jamani, Mungu anaweza mfanyia njia pasipo nanjia

  • @sakwacshimakabhai9817
    @sakwacshimakabhai9817 3 ปีที่แล้ว +5

    Karibu dada.
    Yaani huo ni mshutuko tu kwa anaye kufanyia mahojiano.
    Kama hakika wewe ni mkristo,mtumaniye Mungu. Urithi wako ni kwa Mungu, asante dada usife moyo wala kutanganwa na walimwengu. Mungu awatetee wote 😘🙏

  • @floraflora5717
    @floraflora5717 7 หลายเดือนก่อน +2

    Bibi baby pole mrembo nikazi ya Mungu aina makosa ❤❤❤

  • @rahelgrayson6927
    @rahelgrayson6927 3 ปีที่แล้ว +3

    Mungu akusaidie mwanangu naamini kwamba uumbaji wa mungu hauna makosa,kazana kupambana zidi ya wengine heshima iwepo na kuwatambua naamini utafika lengo,nimeipenda Sana ulivyojikubali maana hata iweje haiwezi kubadilika chochote,mungu azidi kukutunza

  • @faumamakwaia5095
    @faumamakwaia5095 3 ปีที่แล้ว +5

    Wewe Dada Mtangazaji ujui kuuliza maswali!!

  • @mosesmureithi6823
    @mosesmureithi6823 3 ปีที่แล้ว +30

    Live strong! You are created for the Glory of God.

  • @nyotasandra1176
    @nyotasandra1176 3 ปีที่แล้ว +3

    Mungu atakusimamia, wewe ni jasiri, Mungu akushangaze, katika jina la Yesu

  • @frankbangimoto3462
    @frankbangimoto3462 3 ปีที่แล้ว +13

    She is very smart and strong girl. I wish asome udaktari.

  • @prettymoore6780
    @prettymoore6780 3 ปีที่แล้ว +8

    The interviewer is very insensitive. She’s not tying to understand the situation at hand. I’m proud of baby, May God help her accept herself and make the right decision in life. I wish you well.

    • @deborahanyango8605
      @deborahanyango8605 3 ปีที่แล้ว

      Disability is not inability,love your courage cutee soldier on.

  • @monicakawanara1077
    @monicakawanara1077 3 ปีที่แล้ว +29

    Mtangazaji Wa kike unamaswali ambayo kiukweli unamfedhehesha Dada Wa watu. Yaan mnavyomuhoji as if tatizo ni dogo Sana'a. Dada Mwenyeenzi Mungu akutunze

    • @saumsalim9966
      @saumsalim9966 3 ปีที่แล้ว +2

      True

    • @ismailchilonga2878
      @ismailchilonga2878 3 ปีที่แล้ว +2

      Kabisa

    • @jamilao8133
      @jamilao8133 3 ปีที่แล้ว

      Kweli Kabisa nafanya utani

    • @humphreymadiwa8324
      @humphreymadiwa8324 3 ปีที่แล้ว

      Nyie acheni kudharirisha watu mtu kasema hana hicho kiungo unataka aolewe ili akahudumie vp unyumba acheni mawazo ya kishetani bwana

  • @user-jx9xc6vo9x
    @user-jx9xc6vo9x 7 หลายเดือนก่อน +1

    Poleni sana mwanangu. Na mimi nyumbani tuna mtoto wa shangazi yangu yuko hivyo alizaliwa hivyo kama huyo mdada wala wala asiwe na shida amshukuru Mungu tu

  • @maatumkadhi1760
    @maatumkadhi1760 3 ปีที่แล้ว +70

    Ww mtangazaji wakike unachosha!!! Mashwali yako hayanamantiki ya kitoto sana yaan ningekuwa karibu na ww nikuchape vbao huyo nibinadamu pungza maswali yanayozidi kuumiza moyo😭

    • @hadijamandanje6189
      @hadijamandanje6189 3 ปีที่แล้ว +2

      Ukweli msumbufu anamchanganya

    • @sijalikifunyo912
      @sijalikifunyo912 3 ปีที่แล้ว

      Kweli!

    • @nellymatalanga5033
      @nellymatalanga5033 3 ปีที่แล้ว +2

      The questions are being asked for people who dont know or understand waweze kuelewa kwa ndani dah! ndio maana ya interview

    • @melkizedekanthony4151
      @melkizedekanthony4151 3 ปีที่แล้ว

      Hahahaa...mhusika hajalalamika. Mbona hivo

    • @myunaniniahmad6463
      @myunaniniahmad6463 3 ปีที่แล้ว

      Kuishi ni atake mungu, sayansi inafeli hapo, kuwa huna omon huwezi kuishi. Uhai uko kwa الله mungu tu.

  • @saumuhassan6365
    @saumuhassan6365 3 ปีที่แล้ว +34

    Subhannallah, uyu Dada jasiri, dah! Allah akuzidishie furaha.

    • @mrishoswahbu2700
      @mrishoswahbu2700 3 ปีที่แล้ว

      Saum hassan nimekumic kweli nilkua nimeibiwa cm nikawasioni comment zakosasa naziona

    • @danielndusilo4723
      @danielndusilo4723 3 ปีที่แล้ว

      Mungu akupatie ujasiri.

    • @saidwale6053
      @saidwale6053 3 ปีที่แล้ว

      Aamin

  • @aminahamadi4017
    @aminahamadi4017 3 ปีที่แล้ว +4

    pole sana mdogo wangu yote mambo ya mungu

  • @missngai6135
    @missngai6135 3 ปีที่แล้ว +30

    I love the courage of this lady, mungu anakupenda na unapendeza sana

  • @deusngumba5155
    @deusngumba5155 3 ปีที่แล้ว +12

    Pole Dada, jipe moyo hiyo ni kazi ya MUNGU haina makosa
    Huenda kuna kitu kibaya alikuepusha kwa kukuumba hivo

  • @anethswai8141
    @anethswai8141 3 ปีที่แล้ว +3

    love u baby since tukiwa shule,,Mungu akakupiganie na akusimamie kwa kila jambo

  • @tunujumanne3168
    @tunujumanne3168 3 ปีที่แล้ว +2

    Duh pole sana,nilisomaga na mdada ana jinsia mbili ya kike na ya kiume

  • @lemonadesoldier1377
    @lemonadesoldier1377 3 ปีที่แล้ว +1

    What I like she's very couregous ,Mungu anasababu KWA Kila kitu MUNGU MKUBWA AKILI ZAKE HAZICHUNGUZIKI

  • @wivinenyamukama9701
    @wivinenyamukama9701 3 ปีที่แล้ว +8

    Dada Mungu anaweza.tafuta watumishi wa Mungu wako wengi duniyanai anaweza mwenyezi Mungu

  • @sarahomarijuma9651
    @sarahomarijuma9651 3 ปีที่แล้ว +19

    Pole dada ila Allah akupe maisha marefu sio rahisi kukubali hiyo hali but upo happy mno yn i like u baby girl good blessing you always❤️🙏🏼❤️🙏🏼 kujiamini ndio kila kitu 😍😘

    • @atikombogolo2356
      @atikombogolo2356 3 ปีที่แล้ว

      Mkuu nani kakwambia huyo ni mdada bhana

    • @sarahomarijuma9651
      @sarahomarijuma9651 3 ปีที่แล้ว

      atiko mbogolo ww hy ni Dada ni vile jinsia zote shakuwa nazo ila body yk ni yakike ulitoa jinsia

    • @banglagirl5682
      @banglagirl5682 3 ปีที่แล้ว

      Pole san dear sister kweli mungu ww niwajambu

  • @mariamathuman5862
    @mariamathuman5862 3 ปีที่แล้ว +1

    Pole sana mwanangu alizaliwa hivyo alikua tundu la mkojo na haja kubwa hila mashavu yalikuwepo akiwa na wiki 2 tulimpeleka hospital wakampasua kumbe kulikua na ngozi imeziba wakamchana mpaka sasa yupo kama kawaida na kaolewa na ana mtoto

  • @GHOST-gc8ju
    @GHOST-gc8ju 3 ปีที่แล้ว +1

    Halo ndiyo unapoona tanzania imepoteza mtu mmoja muhimu sana yaani kwa ninavyomjua mzee wangu RUGEMALILA huyu kiumbe angekuwa sehemu ya kuwafikia wengi na tungewaona wengi sana anastahili heshima sana huyu dada

  • @esthermungai5802
    @esthermungai5802 3 ปีที่แล้ว +4

    Dada wewe ni jasiri sana. Issue yakuolewa usijihusishe nayo kabisa maana haitakupa raha. Focus on your studies and become successful in life. God knows why it had to be this way.

  • @magesamatiku7364
    @magesamatiku7364 3 ปีที่แล้ว +7

    Hatuna la kusema sisi Binadamu tulieumbwa na Mwenyezi MUNGU.MUNGU ni Mwema siku zote yeye aliumbwa kwa Makusudi ya ke.Uumbaji wa Mungu una mibaraka yote.

  • @Laizer3
    @Laizer3 2 หลายเดือนก่อน

    Dada pole sana ,mungu atakupa ahera njemaa

  • @badbouryali4785
    @badbouryali4785 7 หลายเดือนก่อน +2

    You are a very brave person God will always pave a way for you, thanks for having the courage to educate us about this issue

  • @rehemajumamlinde9418
    @rehemajumamlinde9418 3 ปีที่แล้ว +34

    Maswali ya dada mtangazaji utadhani ya wajumbe...
    😁😁😁😁

  • @sharifaselemani4608
    @sharifaselemani4608 3 ปีที่แล้ว +3

    Tangu nimeanza kumsikia uyu Dada nimempenda sana amejikubali na anajiamini.nakupenda my love

  • @HaleluyaTv
    @HaleluyaTv 3 ปีที่แล้ว

    KARIBU KATIKA IBADA YA JUMAPILI YA LEO KUTOKA HAPA OMEGA MINISTRIES CHURCH OF ALL NATIONS KWA MTU WA MUNGU NABII S.S ROLINGA, MBEZI BEACH - DAR ES SALAAM PIA USISAHAU KU SUBSCRIBE CHANNEL YETU PENDWA, GUSA LINK HII CHINI KUTAZAMA #LIVE UBARIKIWE
    th-cam.com/video/xVAibDtcXl0/w-d-xo.html

  • @alimasigasaleh8659
    @alimasigasaleh8659 3 ปีที่แล้ว +2

    Allah ni mkubwa. Na uzuri dada yetu she's very thankful for how she is and much happy.

  • @mrjulius5840
    @mrjulius5840 3 ปีที่แล้ว +16

    IMENIUMA SANA 😭😭😭

    • @miriamsaidtindwa1447
      @miriamsaidtindwa1447 3 ปีที่แล้ว

      Yaan dah

    • @sinclairchippi5896
      @sinclairchippi5896 3 ปีที่แล้ว

      Tafuta kanisa la miracle revival Pentecostal church, Dar salama, utapata usaidisi wa maombi nawee utapata hajaa za moyoo wako

    • @mrjulius5840
      @mrjulius5840 3 ปีที่แล้ว

      @@sinclairchippi5896 kwan kuna sehem hapo nmeuliza kanisa lenu?

    • @sinclairchippi5896
      @sinclairchippi5896 3 ปีที่แล้ว

      @@mrjulius5840 tunataka huyu dada apate uponyaji wake, ama huamini Mungu anaweza fanya miujiza?

  • @omarikombo1410
    @omarikombo1410 3 ปีที่แล้ว +7

    Pole dada Lkn kuna wanaume ambao wanaweza kukuoa kwani wapo ambao biological zao hazisimami

  • @kemilembekazimoto5010
    @kemilembekazimoto5010 3 ปีที่แล้ว

    Dada kwanza pole sana, ni mapenzi ya Mungu ila kama u amwamini Mungu anaweza, Mimi kuna dada mmoja ninamfahamu alikuwa na tatizo kama hilo ila Mungu alifanya muujiza siku asiyodhani aligongwa na gari lilimpitia juu yake hakufa wala hakupata mchubuko sehemu yoyote ila alipoinuka akajikuta amekuwa mzima aliolewa mwaka 1998 saizi ana watoto 5 mme wake alifariki mwaka jana,kwa Mungu inawezekana.

  • @fathiyaalrawahi6382
    @fathiyaalrawahi6382 3 ปีที่แล้ว

    Pole sister hebu aombewe msaada ende nchi za nje labda atafanikiwa kwa opresheni.Mungu atakusaidia wapo kama haokweli duniani doctor ataona kama inawezekana .badala kumhoji sana

  • @feisalmangaya3327
    @feisalmangaya3327 3 ปีที่แล้ว +7

    Dah uyu dada lkn mzuri mmmh

  • @evanschaedirectoreffortcon6264
    @evanschaedirectoreffortcon6264 3 ปีที่แล้ว +4

    God knows why, we can not question Him.Hongera for coming you are beautiful

  • @mapendoimani2462
    @mapendoimani2462 3 ปีที่แล้ว

    Mungu anajua kazi yake. Na yupo juu ya sayansi.God is an artist.Amen kwanza anajipenda anajitambue Mungu amjalie.she is comfortable n brialliant

  • @jacksonokatoko3096
    @jacksonokatoko3096 3 ปีที่แล้ว +2

    Baby John congratulations for coming out publicaly to hear from your heart, thanks for understanding yourself up that level of your age have hope and believe in God almighty to make your own choice

  • @mussamapesa5632
    @mussamapesa5632 3 ปีที่แล้ว +5

    Mtangazaji wa kike yuko vzr sana anachimbua ili mjue sio kana kwamba anataka aolewe

  • @jtheophil5499
    @jtheophil5499 3 ปีที่แล้ว +10

    She is so beartiful❤

    • @barakajohn7442
      @barakajohn7442 3 ปีที่แล้ว

      mungu akusimamie

    • @elizaeliza2435
      @elizaeliza2435 3 ปีที่แล้ว

      Mtangazaji wa kike unaboa lkn muhusik yupo vzr san tn unaweza kbs kuwa kiongozi

  • @theresiakapinga5238
    @theresiakapinga5238 6 หลายเดือนก่อน

    Hongera kwa ujasiri, Mungu anayosababu yakukufanya ulivyo. Ninawafahamu baadhi walio na hali yako. Mpe Mungu nafasi akuonyeshe kusudi la kukuumba hivi ulivyo.

  • @bethamoses837
    @bethamoses837 2 ปีที่แล้ว

    Pole mamy kaz ya Mungu hain makoxa uwez jua mpango wa Mungu

  • @aminamahamud9333
    @aminamahamud9333 3 ปีที่แล้ว +14

    Very unprofessional nasty questions from mtangazaji wa kike. Baby John congratulations kwa ujasiri wako. Allah afunguwe njia ya malengo yako.

    • @alicehinga8372
      @alicehinga8372 3 ปีที่แล้ว +1

      This interviewer nkt...
      From the onset this lady said what she has as her private organ is neither female nor male, just 'something' to pass urine....
      The man understands what lady baby is saying, the lady interviewer is all about questions that even lady Baby doesn't know how to answer.
      Lady interviewer please be sensitive to your interviewees please...
      Lady Baby it is well, God knows you and that is what matters, take heart and bravo for your courage.

    • @nemaodhiambo7274
      @nemaodhiambo7274 3 ปีที่แล้ว

      Sijui yukoaje huyu
      she just questions nonsense

  • @deboraramadhan8663
    @deboraramadhan8663 3 ปีที่แล้ว +20

    Kama hauumwi popote dada kaa chini mshukuru mungu jinsi alivyokuumba mungu anamakusidy makubwa na wewe

  • @aynatjoe5756
    @aynatjoe5756 7 หลายเดือนก่อน

    She's so brave, intelligent and beautiful,, see way she talks Wow.. God make wonders, God favor your what u ask him.. I bless u Baby

  • @husseinashol8111
    @husseinashol8111 3 ปีที่แล้ว +1

    Kazi ya Mungu haina Makosa,. Alhamdulillah 4 Everything

  • @emmyjohn3970
    @emmyjohn3970 3 ปีที่แล้ว +68

    NATAMANI MUNGU WA MBINGUNI AKUSHANGAZE..YAAN NATAMAN UFUNGULIWE NA UWE MZIMA IN JESUS NAME

    • @bellabakera
      @bellabakera 3 ปีที่แล้ว +6

      Afunguliwe vp sasa? Mbn yupo sawa kabisa kwenye macho ya Mungu.
      Nahisi wewe ndo unatakiwa ufunguliwe ufahamu na uelewa kutambua uwepo wake na kumkubali basi.

    • @mecktildatushabe7898
      @mecktildatushabe7898 3 ปีที่แล้ว +4

      Kweli inawezekana kwa jina la Yesu

    • @btylove1870
      @btylove1870 7 หลายเดือนก่อน

      ​@@bellabakeraAsante umejibu vizuri sana.

    • @yasminoluoch169
      @yasminoluoch169 7 หลายเดือนก่อน

      Amin

    • @tauhidajumahamad1218
      @tauhidajumahamad1218 7 หลายเดือนก่อน

      Amin🙏

  • @fatumamcharo3929
    @fatumamcharo3929 3 ปีที่แล้ว +3

    Pole sana dada!! Mungu atatenda!!

  • @elisimalongo4965
    @elisimalongo4965 7 หลายเดือนก่อน

    Munglku AKUBARIKI SANA kwa mungu yote yanawezekana muone mtumishi wa mungu mwamposa KAWE KWENYE MAOMBII

  • @HAMIDAMIVULE
    @HAMIDAMIVULE 7 หลายเดือนก่อน

    Mwenyeezimungu amekuepusha na dhambi za zinaa mdofowangu mungu akubariki akupe kukubali hali iliulipwe pepoyake

  • @kailomsewa2258
    @kailomsewa2258 3 ปีที่แล้ว +10

    Mungu wangu jamani Mungu WA ajabu 😢YaaAllah msimamie ivyo ivyo azidi kuwa strong

    • @amirimbelwa8447
      @amirimbelwa8447 3 ปีที่แล้ว

      Binafs naweza kumuoa bila shaka na maisha yataendelea

  • @winnshirima4122
    @winnshirima4122 3 ปีที่แล้ว +8

    Namshkuru Mungu kaka zako wote wanakusapot waendelee na moyo huo huo

  • @ramamjema8391
    @ramamjema8391 7 หลายเดือนก่อน

    Dada yangu hongera sana, Mungu anakupenda sana wewe huna shida yoyote Cha msingi kaa hivyohivyo kama ulivyo, na timiza majukumu Yako na kujenga taifa na mtegemee sana Mungu.

  • @user-ep2yz5pm6d
    @user-ep2yz5pm6d 7 หลายเดือนก่อน

    Hamjui kuhoji muliuliza swali zuri sana kua tumboni kwake kunann kabla ajatoa jibu mmeshauliza lingine

  • @plujorilugano9489
    @plujorilugano9489 3 ปีที่แล้ว +3

    Hakika yangu mm naweza ishi nae kwa upendo wa dhati kuhesimu uwazi wake alionao, kwanza nampenda hv tu alivyo hakika naongea haya ya moyo wangu

  • @lushakenterprises524
    @lushakenterprises524 3 ปีที่แล้ว +7

    Hawa watantazaji wanacheke vipi sasa?huyu ni binadamu tu bwana..it takes courage for her kujitokeza na kujieleza...na inshallah atapata kura.

    • @perisnjoroge3102
      @perisnjoroge3102 3 ปีที่แล้ว

      I don't like the way they are interviewing Nkt

  • @eunice1611
    @eunice1611 7 หลายเดือนก่อน +1

    Wapendeza sana bebi 💖 lakini ni maumbile ya mwenyezi mungu jikubali tu

  • @christopheranthony4754
    @christopheranthony4754 6 หลายเดือนก่อน

    Hongera kwa ujasiri

  • @emanuelmbondo4598
    @emanuelmbondo4598 3 ปีที่แล้ว +6

    Huyu dada ana akili sana. Mungu ambariki

    • @laurentsimon8304
      @laurentsimon8304 3 ปีที่แล้ว

      Baby kabae kaaa huyu mtu kaniumiza sana yaani machozi yana nitoka tu daa mungu ni muweza wa yote

  • @geoffreyngolua2563
    @geoffreyngolua2563 3 ปีที่แล้ว +5

    The interviewer is very unprofessional. It like she can't understand anything. Baby John congratulations for the courage 💖 I really love it. May your joy never cease.

    • @christinemurungi8357
      @christinemurungi8357 3 ปีที่แล้ว

      Very true

    • @gimbanantavyo5217
      @gimbanantavyo5217 7 หลายเดือนก่อน

      You are very right, she can't differentiate between urethra and vagina.She so much boring.

  • @mgesichinchibera9172
    @mgesichinchibera9172 3 ปีที่แล้ว

    Ahsante Sana,mtoto wangu hujakosea kabisa kujitambulisha hivyo, pia shukurani Kwa waliokulea ,kwangu nakuona unasitahili uongozi

  • @toshashabani3768
    @toshashabani3768 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu acha habaki kuwa Mungu, kwa maana afanya vitu juu ya ufaamu wetu. Iyo ni ukubwa wa Mungu. Mungu Wetu apewe sifa 🙏🙏🙏.

    • @salomesimiyu8972
      @salomesimiyu8972 7 หลายเดือนก่อน

      Hakuna linaloshindikana kwa Mungu ,endelea kuomba

  • @adamdeus6015
    @adamdeus6015 3 ปีที่แล้ว +20

    hivi wewe mtangazaji wa kike kweli umesomea taaluma hiyo mbona maswali yako kama mtu asiyesomea taaluma hiyo mbona maswali yako ya kumdhalilisha huyo ndugu

    • @queeneva3709
      @queeneva3709 3 ปีที่แล้ว

      Jamani hata mimi nilitaka kijua kama anahisia au la. Maana sisi ambao tuna jinsia moja hatujui hasa ni namna gani wanahisi? Nime2ahi kusikia ishu kama hii hakuna hisia kabisa eti. Mungu huyy wa ajabu yaani kuna watu wamepewa utauwa toja mbinguni.

    • @cholohamod7050
      @cholohamod7050 3 ปีที่แล้ว

      Yani km sio mzima kiakili

    • @leonardjames4360
      @leonardjames4360 3 ปีที่แล้ว

      Pole Ila namm siamni Kama huna jinsia.hatamoja

    • @fatumahassan8605
      @fatumahassan8605 3 ปีที่แล้ว

      Maswali yake sawa na gazeti la udaku ! She thought that shis the only perfect one! Plz learn how to do professional enterviews !

  • @leahmwangi5804
    @leahmwangi5804 3 ปีที่แล้ว +6

    This lady is soo unprofessional what kind of questions are you asking her she already told you she dont have private parts and you insists her to get married

  • @elishaluchemba1071
    @elishaluchemba1071 3 ปีที่แล้ว

    Baby jikubali ingia jinsia moja nayo itakujia kwa Iman unapendeza Sana ukiwa dada lakn mungu hakuweka jinsia ya kike ukijkubal unaweza kuwa mama wa watoto uso wako n dada na sauti pia nakupenda Sana

  • @piusmarco6490
    @piusmarco6490 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu akupe Imani ya ushindi

  • @sabinashabani4688
    @sabinashabani4688 3 ปีที่แล้ว +6

    Maswali mengine niyakuliza doctor wake jamani sio musika.mungu akuangazie my dear.

    • @elizabethrichard4780
      @elizabethrichard4780 3 ปีที่แล้ว

      Baby John I love you so Much. From moyoni kabisa bila utani. UsikubaLi kuolewa hata siku moja. Lakini alivyokuumba hajakosea. Nae aliamua uwe hivyo basi shukuru kwa kila jambo. Ila shIka sheria za mungu kutoka 20:1-17.hakika utairithi mbingu

  • @caren3010
    @caren3010 3 ปีที่แล้ว +55

    Kabla hamjafanya mahojiano ya kisayansi muwe mnafanya research kwanza na muite wataalam wa mambo watoe ufafanuzi hapo hapo..maswali yenu very unprofessional, yanaweza muumiza muhusika.

    • @priscajohnson7383
      @priscajohnson7383 3 ปีที่แล้ว

      Yaani huyu mtangazaji anaboa sana..

    • @prettymoore6780
      @prettymoore6780 3 ปีที่แล้ว +2

      I second you, this type of interviews should be conducted along a gender specialist for proper clarification.

    • @cholohamod7050
      @cholohamod7050 3 ปีที่แล้ว

      Amenikwera Sana km sio taaluma yk

    • @alicehinga8372
      @alicehinga8372 3 ปีที่แล้ว +1

      Mtangazaji wa kike ndiye aliye na hayo maswali ya kipuzi....
      Mwanaume hata anaingilia kuokoa huyu dada Baby kujibu hayo maswali...

    • @elizabethkariuki2601
      @elizabethkariuki2601 3 ปีที่แล้ว

      I absolutel agree with you Caren. The interviewer comes off as too naive and insensitive.

  • @aminambughi9613
    @aminambughi9613 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kazi ya Mungu haina makosa, Mungu akutetee!

  • @user-te5ge7bv4h
    @user-te5ge7bv4h 5 หลายเดือนก่อน

    Kazi ya mungu haina makosa mungu akubariki dada

  • @saidbanga
    @saidbanga 3 ปีที่แล้ว +10

    Hii interview angeipata Salama Jabil Au Milady Dah Sijui Yaani..! nadhani huyu dada angeongea mengi Ambayo Yangefanya story yake iwe ya kusisimua Zaid

    • @salmadalaquimane2364
      @salmadalaquimane2364 3 ปีที่แล้ว

      Kabsaaaaaaaaaaa

    • @jazilambaji2789
      @jazilambaji2789 3 ปีที่แล้ว

      Said Banga'huyu dada alihojiwa na channel ya Millard Ayo alijieleza vzr sana na aliyekuwa akimhoj alikua vzr sana

    • @muniraabdulrahman5656
      @muniraabdulrahman5656 3 ปีที่แล้ว

      Mbona ndio imeanzia kwa midady ayo

  • @aggyparty2990
    @aggyparty2990 3 ปีที่แล้ว +4

    Kiukweli mnaohoji hamjui kuhoji mnataaluma ila wagumu kuelewa hasa we mtangazaji mwanamke hamjui mmepanic au vipi mnarukiarukia maswali hampi nafasi yakujieleza hakuna kilichoeleweka sijui ndiyo mmechanganyikiwa na nyinyi yaani kunamengi yakujifunza ila mmefail kwenye kumuhoji

    • @magrethelisha2220
      @magrethelisha2220 3 ปีที่แล้ว

      Ayo tv wanajua kuoji watu kama hawa mimi wakinioji wanipe na pesa

    • @aggyparty2990
      @aggyparty2990 3 ปีที่แล้ว

      Magreth Elisha kabisa hakuna walichohoji angekuwa Millard ayo tungejifunza mengi mno

  • @rosekway2626
    @rosekway2626 3 ปีที่แล้ว +1

    be strong honey usikate tamaa. Hakuna lisilowezekana kwa MUNGU wewe endelea kuamini ipo siku Mungu atajibu ombi lako . soma methali 3:5-6

  • @user-rm6xb9xo7u
    @user-rm6xb9xo7u 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi nakupongeza Kwa kujikubali jinsi Mungu alivyokuumba,usingefanya hivyo ugekuwa na huzuni mno moyoni.Uwe na furaha na amani na Mungu atazizdi kukubariki.

  • @arafatkhalid4391
    @arafatkhalid4391 3 ปีที่แล้ว +13

    Huyu mtangazaji wa kike mbona anakazania huyo dada aolewe au kazoea kufirwa mtu kashakwambia hana kuma wala mboo wewe unakazania ndoa mpumbavu kweli clouds tafuteni Watangazaji wenye ueledi

  • @zumamarande3242
    @zumamarande3242 3 ปีที่แล้ว +13

    Baby umechemsha una maswali yakitoto kiboko yaki Hassan ngoma

  • @georgemwanyange3832
    @georgemwanyange3832 7 หลายเดือนก่อน

    Mungu akusaidie

  • @FoibeJustolukumay
    @FoibeJustolukumay 5 หลายเดือนก่อน

    Kazi ya Mungu haina makes Mungu akubariki

  • @fefenailsandmakeup1353
    @fefenailsandmakeup1353 3 ปีที่แล้ว +4

    Nna shangazi yangu yupo hvo na anamiaka 54 sasa, yaan hajawahi kuvunja ungo, hana nywele sehemu za siri (anavosema yeye) wala makwapani.. yupo ka mtoto mchanga, hana pa kufanyia mapenzi yeye ana pa kukojolea tu...hajaolewa mpka leo anasema hana hisia yaan yupo tu, hana matiti, ila ukimuona huwez jua mzurii sanaaa sahv ananlelea mwanangu tu yaan duuh ni ajabu ila kweli

  • @dottnatt7110
    @dottnatt7110 3 ปีที่แล้ว +3

    Watangazaji mmeogopa eeh😀😀wallah nacheka Kama mazuri Allah atunusuru🙆

  • @mcongomakete3064
    @mcongomakete3064 3 ปีที่แล้ว

    Mungu akusaidie dada baby. Nikweli inawezekana kumuoa. Kinacho sumbua ni mme kua mpole na kumpenda nakujadili nae. Hongera kwaujasili dada baby

  • @ahmedsoudathman5088
    @ahmedsoudathman5088 3 ปีที่แล้ว +1

    I like this courageous woman...
    you deserve high office ...
    you have all the guards 👌👌