MWANAMKE ALIYEAMBUKIZWA UKIMWI ATENGENEZA DAWA "SITUMII TENA ARVS,NILIKUWA NA KILO 22"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 พ.ค. 2020

ความคิดเห็น • 765

  • @witneyjerry1293
    @witneyjerry1293 4 ปีที่แล้ว +20

    Huyu mama hataji ili wakitaka kufanya utafiti wamlipe ndy aonyeshe mti na ndy maana hataki kuelekeza huo mti.

  • @geraldsiame1508
    @geraldsiame1508 4 ปีที่แล้ว +28

    Afrika tumemwacha Mungu tukamwamini Muzungu ,watu wangu wanaangamia Kwa kukosa maarifa ,tuna miti ya kila aina kama zawadi kutoka Kwa Mungu lakini hatuna maarifa ya kuitumia

    • @ThomasMselle-rw5ej
      @ThomasMselle-rw5ej 2 หลายเดือนก่อน

      Umesema kweli mno na viongozi wengi hawana nia ya kusaidia watu wasioweza kuwahonga fedha nzuri. Hawana maono wala nia ya kuinua heshima ya nchi na Africa. Wao na ndgu zao tu

  • @seifkulwa3346
    @seifkulwa3346 4 ปีที่แล้ว +10

    Mama huo ni ujuzi wako, Mungu amekupatia kupitia matatizo tengeneza dawa uza kwa watu kwa bei nafuu Ila sasa ipuka sana kutumia media kujitangaza maana kilicho muua Dr. Sebi ni kijitangaza kwenye media na wenye viwanda vya dawa kumwandama sana!

    • @janethkomba4485
      @janethkomba4485 11 หลายเดือนก่อน +1

      Daaa 🙆Umeongea lamsingi asijutangaze yasije yakamkuta km ya Doctor seb Apumzuke kwa Amani😭

  • @alshaqsi1369
    @alshaqsi1369 3 ปีที่แล้ว +5

    Samahani mama Mwenyezi Mungu amekupa kipaji cha kujua dawa na ww pia wajibu wako usiwe mchoyo km sheytan saidia binadamu ili ukiondoka dunia ikufae ilimu ulionayo

  • @emmanueldutuleo3992
    @emmanueldutuleo3992 4 ปีที่แล้ว +51

    Serikali tujalibu na huyu mama tunaweza kuwa na mwanzo mnzuri kuhusu ugonjwa huo

    • @muhudiddi5008
      @muhudiddi5008 3 ปีที่แล้ว

      Mam mungu nimkubwa kumbuka ulivokua unajisikia maumivu wakat wa unaumwa tuambie iyoo dawa uokoe maisha ya wenzako

  • @sanchezmmary8986
    @sanchezmmary8986 4 ปีที่แล้ว +46

    HII NDIO TANZANIA YA MAAJABU!!! SALUTE KWA MAMA.(TANZANIA UNFORGETTABLE)

  • @princehancesam9892
    @princehancesam9892 4 ปีที่แล้ว +91

    Apeleke sehem husika wengi wapone Tanzania wabunifu sema wazungu wanazingua sana

    • @princesssway1396
      @princesssway1396 4 ปีที่แล้ว

      Sanaaa

    • @elizabethmabula101
      @elizabethmabula101 4 ปีที่แล้ว

      Ndiyo

    • @Fgldesigns
      @Fgldesigns 4 ปีที่แล้ว +4

      Wazungu wapotoshaji wanataka tusijiamini

    • @magrethjohn8576
      @magrethjohn8576 4 ปีที่แล้ว +7

      Prince hance Sam,kweli kabisa sema tuna amini kuwa dawa zikitoka kwa wazungu ndo zinafaa sana kumbe hizi zetu ndo kiboko

    • @pendojackison8822
      @pendojackison8822 4 ปีที่แล้ว +3

      Kweliiii apelekee sehem husika watu waweze kupona maana watu wanateseka si watoto na vijana na wazee

  • @samoocoolingsystem93
    @samoocoolingsystem93 4 ปีที่แล้ว +17

    Tusimdharau Binadamu Ni Kiumbe Mwenye Ufahamu Kwahiyo Huyo Mama Anajua Nini Anaongea 🙏🙏🙏

    • @mshaharatv5843
      @mshaharatv5843 4 ปีที่แล้ว +2

      Huyo dogo vipi, huyo ni mama ako mpe kheshma ndo uzungumze nae.

  • @mshaharatv5843
    @mshaharatv5843 4 ปีที่แล้ว +14

    Huyu mama ni mtu muhimu sana.

  • @munnawwaryaqub8524
    @munnawwaryaqub8524 4 ปีที่แล้ว +22

    Dawa ya ukimwi ipo sema wazungu walishaturoga tyamini vyakwao na mimea aliotuumbia Allahu hatuiamini, ila dawa zipo na zinatibu kabisa

  • @joharikipindula6425
    @joharikipindula6425 4 ปีที่แล้ว +10

    Miti ni mingi sana hapa Tanzania ya kutibu kila aina ya magonjwa ila tu nikukosa maarifa tuko mbu mbu sijui aliyeturoga ni nani?

  • @ibrahimkibira9943
    @ibrahimkibira9943 3 ปีที่แล้ว +5

    🙏 Mungu hatubaliki sote na hatuepushie haya maradh

  • @newbornhaule1635
    @newbornhaule1635 4 ปีที่แล้ว +11

    Waafrika tuaakili sana ila tu wazungu wametufundisha kujidharau huku wakitoa Elimu isiyonatija kwetu

  • @masoudkipara5053
    @masoudkipara5053 4 ปีที่แล้ว +15

    Kumbe ni biashara jaman duuuh unawasaidia mamazako ili watu wajae km kwa babu eeee???

  • @davidwalalason7630
    @davidwalalason7630 3 ปีที่แล้ว +7

    Ukimwi ni virus na hakuna virus inayokosa antivirus but since ni biashara ya mafia ulimwengu huu ni hatari ata kwa mama huyu

  • @namanganewsofficiallchanel8631
    @namanganewsofficiallchanel8631 4 ปีที่แล้ว +22

    Ukikuta mtu aja like kiwa ujue kaongea point 100%

  • @mevakyavaleri6264
    @mevakyavaleri6264 4 ปีที่แล้ว +14

    Watu kama hawawanapaswa kupewa kipaumbele na ulinzi wakutosha

  • @edwingwesso6818
    @edwingwesso6818 4 ปีที่แล้ว +4

    Kama unaamin huyu mama ni muongo tena sana like twende ni mfanya biashara kama wafanya biashara wengne

  • @adamlipau8858
    @adamlipau8858 3 ปีที่แล้ว +3

    Duuh! Kumbe huu ugonjwa bado upo? naona watu tunajimwaga tu condom hadi zina expire madukani...watu mwendo wa Mpoto tu...daah! Mungu atunusuru

  • @user-bl9jj8wm9g
    @user-bl9jj8wm9g 3 หลายเดือนก่อน +1

    Angetajaja huo mti ili watu wajisaidie na wasaidike pia maana ndugu zetu jamaa zetu na haya ss hatuijui kesho yetu itakuwaje kwaiyo angetaja ili watu wengine na watoto wanao zariwa wanusulike jamani😱

  • @gabrieldenicc4502
    @gabrieldenicc4502 3 ปีที่แล้ว +5

    Inabidi wampe tuzo pia waje wataaramu wamuoji na alitumia nini nani na ilikuaje mpaka akafikilia dawa flani inawezakumponyesha yangu ni hayo tusipotezee tunu yetu

  • @Kanga-pu6yl
    @Kanga-pu6yl 16 วันที่ผ่านมา

    Wapi walio pona.
    Toa orodha.
    Kupona vvu si jambo la kawaida. Ni jambo laweza Fanya utembee uchi bila fahamu. Wacheni kufanyia biashara maisha ya waathiriwa.

  • @kimmenelus7835
    @kimmenelus7835 4 ปีที่แล้ว +11

    Yaani nilikuwa nakusikiliza lakini ulivyosema uwez kuutaja nikaingia kwenye uwanja wa coment na kukuachia ujumbe huuu
    ACHA ROHO MBAYA MAANA ATA MUNGU AMETENDA WEMA KUKUPA UZIMA TENA🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️

    • @elizabethmabula101
      @elizabethmabula101 4 ปีที่แล้ว +2

      Umeona eeh. Hataki anatak apige pesa peke ake tu. Ubinafsi sio mzuri. Bora hata asingehojiwa acha akae na ukimwi wake ba dawa yake.

    • @ruthmaeja6340
      @ruthmaeja6340 4 ปีที่แล้ว +1

      Atatajirikia wapi sasa?

    • @nasraabdallah850
      @nasraabdallah850 4 ปีที่แล้ว +1

      Roho mbaya sn ameiyonesha dhahir kbsaa

    • @ernesttomas85
      @ernesttomas85 4 ปีที่แล้ว

      Hati miliki

    • @zashamloli1233
      @zashamloli1233 4 ปีที่แล้ว

      Kwel kbx n kwa roh hyo kupona utakuskia tu

  • @user-fv5to7ee3l
    @user-fv5to7ee3l 7 หลายเดือนก่อน +1

    hongera mama na utakam lini kenya uzaidie watu wengi humu nchini kenya

  • @lightnessevarest9394
    @lightnessevarest9394 4 ปีที่แล้ว +6

    Kama unaamini hyo mama anatafta kiki kama babu wa loliondo gonga like

  • @ernestngalu3533
    @ernestngalu3533 4 ปีที่แล้ว +22

    Mnaotaka ataje mti wakati kipindi recoded mnaakili kweli

  • @rodamwajuma8043
    @rodamwajuma8043 4 ปีที่แล้ว +23

    Hacha roho mbaya taja jina la mti wengine wautumiye.

    • @jimmyjigar1468
      @jimmyjigar1468 4 ปีที่แล้ว +1

      Dah mzee mwenzangu njoo inibox nikubembeleze utaje mti

    • @hamadshein498
      @hamadshein498 4 ปีที่แล้ว

      Ucwape mpka mkwanja.

    • @celinadulle4104
      @celinadulle4104 4 ปีที่แล้ว +3

      Si ndio, mama ni mbinafisi. Kwani ukitaja jina kuna nini.?

    • @glorysimon775
      @glorysimon775 4 ปีที่แล้ว

      Asitaje wakati mwenzenu anapambana nyie mmelala kuweni na nyie wabunifu

    • @barikiarastus8770
      @barikiarastus8770 4 ปีที่แล้ว +4

      Hii ni biashara kama biashara nyingne, ni nani anatoa ideas yake ya pesa bure? ? Nyie ndio mnaroho mbaya sana maana hamtaki afaidike yeye waje wafaidike wajanja wajanja. Acheni mama wa watu apambane apige pesa.

  • @petermushy9883
    @petermushy9883 4 ปีที่แล้ว +14

    Taja mti watu tupone bhana acha roho mbaya

    • @johnsonkiwia6577
      @johnsonkiwia6577 4 ปีที่แล้ว +3

      Mjonjoo. Kajichanganya kataja 🤣🤣🤣

    • @maxsolutionstz
      @maxsolutionstz 4 ปีที่แล้ว +1

      hahaha

    • @janethtender6774
      @janethtender6774 4 ปีที่แล้ว +1

      Wew unataka wengine wafanyie biashara mfuate mwenyewe

    • @marymauya9207
      @marymauya9207 3 ปีที่แล้ว

      @@johnsonkiwia6577😂😂😂😂😂😂maskini kashautaja

  • @mariamwakabuta1034
    @mariamwakabuta1034 4 ปีที่แล้ว +3

    Dawa za magonjwa makuu kama hayo zipo sema wanao mtukuza shetani mpone, marecan walikuwa wanaongoza watu weusi kutengeneza hizo dawa lkn waliuliwa wote walikuwa 50 .na nikependekeza Tanzania waendelee kutengeneza hizo dawa na wawauzie na wengine lkn najuwa wazungu watatuletea vita.

  • @harmonize3476
    @harmonize3476 4 ปีที่แล้ว +28

    Tatizo la waafrika ubinafusi

    • @johnsonjohn8590
      @johnsonjohn8590 4 ปีที่แล้ว +2

      Tunafeli sana hapo

    • @elizabethmabula101
      @elizabethmabula101 4 ปีที่แล้ว +2

      Sana kabisa. Hatupendani hatutakian heri,chuki,ubinafs,ndiyo maana hatuendelei

    • @amaniurio1657
      @amaniurio1657 4 ปีที่แล้ว

      Anaweza kuekekeza watu wakatengeneza vibaya ikawa sumu

    • @alexmnane7122
      @alexmnane7122 4 ปีที่แล้ว

      Kwan wazungu sio wabinasi?

    • @sevcomonline624
      @sevcomonline624 3 ปีที่แล้ว

      Kwani wazungu walisha sema lengo lao na magonjwa yao kwetu?!

  • @beresreuben1351
    @beresreuben1351 4 ปีที่แล้ว +7

    Mungu ni mwaminifu yupo kutuokoa na mauti tanzania nitaifa teule

  • @bennamush1549
    @bennamush1549 4 ปีที่แล้ว +3

    Tatizo watanzania hatupendi kujishughulisha Na kutumia fursa zetu ni mpaka tusubir wazungu tukijishughulisha tunaweza kikubwa imani tu

  • @ilovejesus9303
    @ilovejesus9303 4 ปีที่แล้ว +15

    Mimi kama Dr wa CTC( clinic za HIV) naomba unywe hiyo dawa lakini usiache vidonge. Wengi walienda kwenye miti shamba, wakaacha dawa wamerudi CD4 zimeisha na wamefariki. Kweli ARVs zina side effects ila huwa kuna sababu km unazitumia na bado CD4 hazipandi.

    • @cool809cent8
      @cool809cent8 4 ปีที่แล้ว +7

      Apana ongeza jitihada katika reseach usitumie aklkili za kwenye vitabu tu

    • @mkdg.4skolo891
      @mkdg.4skolo891 4 ปีที่แล้ว +3

      Naomba nipate no sake jmni mm nahtaji saaana hzo dawa

    • @geofreylucas9469
      @geofreylucas9469 4 ปีที่แล้ว

      @@mkdg.4skolo891 0754632685

    • @zachariabin5400
      @zachariabin5400 3 ปีที่แล้ว +4

      Naww ni kibaraka cha wazungu tu huna lolote hakuna ugojwa ambao hauna tiba hizo PowerPoint zenu za medicine baadhi zinawadanganya,image 30yrs now hakuna cure for HIV ........na hizo dawa zenu ndo mnauwa watu nyny kupitia wazungu....wenu hebu nijibu Maswali
      1:why ARV akitumia mtu kama prophylaxis na uhakika ame contact na blood yenye high viral load kwa mgojwa mwenye HIV infection stage 4 huwa hapati HIV infection?,ndo dawa zimeuwa HIV au nini? na tunaambiwa HIV hafi kwa dawa yyte Bali abafubaa tu tena tunaambia no particles akiwa nje mwili ana inactive but akiwa kweny damu anakuwa active?
      Maswali ni mengi sana ukiweza kujibu na scientific reason nitajua umesoma kweli hukuwa unasoma PowerPoint? 2:mnapimaje viral load ikiwa HIV as retrovirus can't grow in pure culture? 3: jibu kwanza halafu nitaendelea kukuuliza ?

    • @tenecioustz1767
      @tenecioustz1767 3 ปีที่แล้ว

      @@zachariabin5400 naomba namba zako ww plz

  • @rosehaule220
    @rosehaule220 4 ปีที่แล้ว +4

    Sasa kataja mti unaitwa mjonjoo🤣🤣🤣chezea waandishi wa habari ww kataja bila kujijuwa..sasa hiyo dawa ya ukimwi mbona unakuywa kila siku..na hizo axina kipimo.miti shamba ni mibaya zaidi cos aina vipimo..nilifikiri unakunywa mara moja unapona hiv🤣🤣 sasa si utakunywa madebe mangapi..mama wee bas ingepona barikiwa ugundue zaid

  • @fredytarimo9107
    @fredytarimo9107 4 ปีที่แล้ว +18

    Mungu akutie nguvu mama na dawa yako ikawe dawa ya kweli ukimwi umekua tishio kwa dunia.

    • @moshyfaraj9588
      @moshyfaraj9588 8 หลายเดือนก่อน

      Tunaimani tutapona kwa jina la yesu asante mama

  • @janethkomba4485
    @janethkomba4485 11 หลายเดือนก่อน +1

    Kwahiyo mama angu utaki kutaja uwo mti 😢ujuwe ungetaja ungepata swawabu nyingi sanaa kutoka kwa Mungu sababu ungewaokowa wengi sanaa nakunawengine wamezariwa nauwo ugonjwa pasipokuwa nahatia wanateseka😢kunawengine awana uwezo waizi cm nakuungia TH-cam lakini ungetaja uwo mti nirahic habari yaiyo tiba zingewafikia kiuraic adi uko vijijini ndani ukooo🙏

  • @hancesenya5259
    @hancesenya5259 4 ปีที่แล้ว +14

    Nani mwingine anaona sahiv hyo kichwa pekee ndo ina kilo 22??😂😂😂
    Naomba like zangu jaman

  • @jaydjuma8255
    @jaydjuma8255 10 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu mama sio poa ninaamini kweli dawa zipo zaukimwi yani 90% lakini serekali zetu zaki Africa zinachangia pia watu kuteseka allah azilani kabisa ..mama wewe ulipotia mateso yote hayo imekuaje ama inakuaje unashindwa kuwasaidia watu wanao kutafuta ao basi tengeneza dawa zako ziweke sokoni watu wanunue ao uache kujisifu wakati usaidiyi watu haifayi bhana

  • @hemedisalim5522
    @hemedisalim5522 4 ปีที่แล้ว +10

    Masiala Masiala inaweza ikawa dawa kweli

  • @richardkaiza74
    @richardkaiza74 4 ปีที่แล้ว +4

    Wasaidie watu mama na wewe utabarikiwa. La kufanya peleka hiyo dawa Nemc wakaifanyie utafiti kwa undani. Wape maelekezo muhimu na wakupe hati Miliki. Wazarishe dawa hizo dawa kwa kiwango cha kimataifa .

  • @arkhamitwaha3692
    @arkhamitwaha3692 4 ปีที่แล้ว +6

    Huyu ni kuchukua madini alonayo yaani tumtumie ila ahakilishe watu wanapona sio kufubaza tu

  • @hilalhilal8400
    @hilalhilal8400 4 ปีที่แล้ว +5

    JAMAA NOMA. KAMHOJI MPAKA BIBI UMEMDONDOKA MDOMONI AKAUTAJA. DOH!🤣

  • @iddyshaban7353
    @iddyshaban7353 2 ปีที่แล้ว

    Hongera mama Mungu a endelea kukusaidia uwasaidie nawengine

  • @mosesnyamhanga449
    @mosesnyamhanga449 4 ปีที่แล้ว +9

    Hapa hakuna kitu nbiashara tu! Me skizii ata....

  • @ngwanashija2667
    @ngwanashija2667 4 ปีที่แล้ว +11

    Mama umetisha huyu mama awezeshwe tu atengeneze dawa itibu dunia nzima wazungu ile kwao mana ukimwi wamegeuza milad

    • @ramathedon4001
      @ramathedon4001 3 ปีที่แล้ว

      watamuua uyu mama nakwambia wazungu sio watu wazuri wamegeuza ukimwi nu Mradi wao wa kupiga ela

  • @rahmakitomar7968
    @rahmakitomar7968 4 ปีที่แล้ว +6

    siri ya dawa anaijua mganga kama mnataka dawa kunyweni kama mna mashaka waacheni wenye imani wanywe

  • @festokibiki8961
    @festokibiki8961 4 ปีที่แล้ว +1

    Very good thanks god

  • @princesssway1396
    @princesssway1396 4 ปีที่แล้ว +4

    Ya kweli haya?

  • @catherinesumari7499
    @catherinesumari7499 3 ปีที่แล้ว +3

    Mungu anaweza ukiamini imani ya mama ni kibwa mno

  • @fredyfile623
    @fredyfile623 4 ปีที่แล้ว +3

    Kama nikweli hongera mama na unastahili kupewa uprofesa kabisaaa

  • @princesssway1396
    @princesssway1396 4 ปีที่แล้ว +5

    Basi wizara ya afya iangalie pengine kweli itasaidia tafadhal pengine kweli itafanya haki

  • @rosehaule220
    @rosehaule220 4 ปีที่แล้ว +4

    Ila ziboreshwe.wagojwa wengi wa hiv ni wabunifu wa dawa kwan wanaangaika mnoo kutafuta uponyaji wanagundua vingi mnoo waangaliwe kwa macho mawili uenda wakasahidia

    • @wilsonemanuel9915
      @wilsonemanuel9915 2 ปีที่แล้ว

      Amina mama Mungu ndio kakupa iyo dawa mama Mungu hakubalik

  • @nuruabraham3769
    @nuruabraham3769 4 ปีที่แล้ว +5

    hivi loliondo haipo Arusha kweli, nikumbusheni basi😂😂😂 maana naona huyu mama anaanza kuleta story za babu.

  • @sharonmasawe5381
    @sharonmasawe5381 4 ปีที่แล้ว +4

    Kazi ya utangazaji inalipa mtangazaji mashavu amevimba amekua round ka mpira ndo maana anamwambia mama mambo

  • @janethnkembo5808
    @janethnkembo5808 4 ปีที่แล้ว +2

    Mhh ukimwi auna Dawa. Watu walio acha dawa wakaenda loliondo wengi walikufa.. Hakuna unafuu mbona na iyo niya kunywa kila Siku.?km arv

  • @tausiuledi5528
    @tausiuledi5528 3 ปีที่แล้ว +4

    Ukimwi hu hu inawezekana kupona kweli.wataalamu wanasema ukitumia sana ARV vidudu vinfubaa ukienda kwenye vipimo havionekani. Ukitaka kujua acha dozi miezi sita mingi RIP inakuhusu.

  • @kirupyseleman582
    @kirupyseleman582 4 ปีที่แล้ว +23

    Mird najua mna mawasiliano na huyo mama mwambie hivi hatujasahau babu ya loliondo

    • @msalikemediaonline
      @msalikemediaonline 4 ปีที่แล้ว +2

      Hahaha yaan wewe

    • @bintiiddy7043
      @bintiiddy7043 4 ปีที่แล้ว +1

      😂😂🤣🤣🤣🤣🤣😁😁😁

    • @nyabahailani3169
      @nyabahailani3169 4 ปีที่แล้ว +4

      Babu wa loliondo kwani aliumwa? yeye alikua hana ushahidi wa kujitosheleza ndio maana

    • @wisperfect1960
      @wisperfect1960 4 ปีที่แล้ว +1

      Na ww ulikunywa kikombe😂😂

    • @kirupyseleman582
      @kirupyseleman582 4 ปีที่แล้ว

      @@msalikemediaonline 😁😁😪 nipigie

  • @haikamsechu8039
    @haikamsechu8039 4 ปีที่แล้ว +11

    Kwanini mtu alazimishwe kutaja? Watu bwana. Mnataka tumieni hamtaki basi. Zawadi yake kwa kujitahidi kwake kwanini atoe bure. Msipende bure sana wanadamu kah!

  • @joelboya9888
    @joelboya9888 2 ปีที่แล้ว +2

    Ili usaidie ulimwengu inatakiwa utaje mchanganyiko wote na jinsi ya kuitengeneza kila mhanga ajitengenezee dawa

  • @godfreybigeyo9105
    @godfreybigeyo9105 4 ปีที่แล้ว +2

    Asante mama

  • @ElizabethBosco-rs6se
    @ElizabethBosco-rs6se 2 หลายเดือนก่อน +1

    Naomba namba

  • @judymukui7171
    @judymukui7171 3 ปีที่แล้ว +2

    Tz twawaogopa nyinyi tangu enzi za loliondo😂😂but mbona corona hamna tz

  • @Last403
    @Last403 หลายเดือนก่อน

    Dawa zipo sema tu ni kuzijua,alaf ukigundua kama hiv ukajitangaza watakuua wakidai unawaharibia biashara zao

  • @fatmabaraka3191
    @fatmabaraka3191 3 ปีที่แล้ว +1

    Uyu mtangazaji namuonaga ana dharau sana' fatilia Interview zake akioji mtu

  • @majaliwajohn7319
    @majaliwajohn7319 4 ปีที่แล้ว +2

    Mama husitaje maana wanajifanya hawaamini dawa zao kaa hivo hivo.

  • @namanganewsofficiallchanel8631
    @namanganewsofficiallchanel8631 4 ปีที่แล้ว +8

    Biashara ni matangazo ila ni siri pia

  • @leonardmwanza2731
    @leonardmwanza2731 4 ปีที่แล้ว +11

    Ayo naomba namba ya huyu mama

  • @NonoNono-qp3zu
    @NonoNono-qp3zu 4 ปีที่แล้ว +5

    Hahaha😁😁 eti arv trela mbili za gari, mambo mengine yanachekesha

  • @muniraahmed624
    @muniraahmed624 4 ปีที่แล้ว +1

    Mmh hivi babu wa loliondo alipoteleaga wapiii😁

  • @marygregory7566
    @marygregory7566 3 ปีที่แล้ว +5

    11:25 kataja huo mti huo mnjonjo

    • @frankkajoba8372
      @frankkajoba8372 8 วันที่ผ่านมา

      Unaufahamu huo mti dada manake tuna ndugu zetu wanataabika.

  • @annajohn175
    @annajohn175 4 ปีที่แล้ว +3

    Hiyo kadi siyo ya CTC .....SEMA DAWA INAONGEZA CD4 AMBAYO NDIYO KINGA ..INAYOZUIA MAGONJWA MNYEMELEZI..KUPONYA NINA MASHAKA KINGA ZIKIWA JUU UNAKUWA SALAMA

    • @lilianluhasi5053
      @lilianluhasi5053 4 ปีที่แล้ว

      Mtu anapona kabisa amini maana kinachofanya tuseme mtu anapona Ni kwasababu mtu anakunywa Mara moja hanywi Tena na anapona, ndiyo maana ya kupona, Kama haiponyeshi angeendelea kunywa kila siku

    • @deonikolausdeonikolaus62
      @deonikolausdeonikolaus62 4 ปีที่แล้ว +1

      Sio kupona kabisa kiongoz inaongeza kinga

    • @idrisjuma2259
      @idrisjuma2259 4 ปีที่แล้ว +5

      Kwanini huamini kupona? Ukweli ni kwamba ukitumia hizo dawa zao unaua kinga zako za asili unaleta kinga mpya artificial hivyo ukiacha kutumia kinga zitashuka na kuleta balaa kwa mgonjwa sio kwamba virusi vililala eti vimeamka hiyo si kweli kama tunavyoaminishwa.

  • @sarahsalumu7792
    @sarahsalumu7792 2 ปีที่แล้ว +2

    Uyo mama ana,nia ya kusaidia watu bali ni biashara ndugu zangu musiache dawa zinatolewa na serikali ipo siku Mungu atamtoa mtu mwenye moyo wa kusaidia ugonjwa ukapotea kama ebora na uyo mama ajue kua nae kiumbe ato zikwa na pesa

  • @irenemakuto6525
    @irenemakuto6525 3 ปีที่แล้ว +2

    Surely🤔

  • @silperaura5637
    @silperaura5637 2 ปีที่แล้ว

    Mama haoni kuwa mungu alimtumia yeye iliasaidie watu Kwa Nini asitaje huo mtu kweli mama mbinafsi ata mungu apendi

  • @azizaabdalah5206
    @azizaabdalah5206 4 ปีที่แล้ว +14

    kaaa we mamaa wee utakufa na kipaji wape wenziomaujuziii😟

    • @zaynabali6109
      @zaynabali6109 3 ปีที่แล้ว

      Eeeeh afaa kutaja uo mti tuujuwe pia sisi tutajitengezea, lakini ataki kutaja jina la mti😭😭😭muongo.

    • @MwalimuJelly
      @MwalimuJelly 3 ปีที่แล้ว

      @@zaynabali6109 mama anaitaji laki 6 ili akupe dawa

    • @zaynabali6109
      @zaynabali6109 3 ปีที่แล้ว

      @@MwalimuJelly kwanzia leo nimewacha mambo ya mitandao kabisaa mimi ni hallo NA kunyamaza you tube byby

    • @MwalimuJelly
      @MwalimuJelly 3 ปีที่แล้ว

      @@zaynabali6109 kidogo tu nimtumie sijui ninge kuwa kwenye hali gani 😞😞😞

  • @willeibrahimu5530
    @willeibrahimu5530 4 ปีที่แล้ว +2

    Mama Safi sana

  • @JK-uq1tv
    @JK-uq1tv 3 ปีที่แล้ว +2

    Inabidi apeleke hiyo Dawa NIMRI wakaifanyie utafiti Kwanza.

  • @gjoisso3347
    @gjoisso3347 3 ปีที่แล้ว

    Habari ya kazi naomba kuwasiliana na huyu Dada please

  • @queenlove366
    @queenlove366 3 ปีที่แล้ว +3

    Tunataka Jin ama semani namba yke plzz

  • @edwingwesso6818
    @edwingwesso6818 4 ปีที่แล้ว +5

    Sasa hataki kusema kwahyo anataka rais amuombe ndo aseme au

  • @ayoubhussein6625
    @ayoubhussein6625 4 ปีที่แล้ว +8

    Roho mbaya sasa umefanya interview ya kazi gani!?

    • @iddirashid8038
      @iddirashid8038 4 ปีที่แล้ว

      biashara hiyo

    • @siamejaylos9197
      @siamejaylos9197 4 ปีที่แล้ว +1

      We unataka atoe siri kama watu watatengeneza vibaya wakafa. Hata ataje kutengeneza anajuwa mwenyewe huu sio ugali ahehe

  • @senorinamtei8202
    @senorinamtei8202 4 ปีที่แล้ว +19

    Huo ni mti wa Ming’ongo/ amarula tree

  • @thieryniyonkuru5023
    @thieryniyonkuru5023 3 ปีที่แล้ว +1

    Na wandishi inabidi mtoke hapo mkiwa mmepiga dozi ya kinga🤨🤨🤨🤨
    Kijana piga hata jagi moja hapo 💪💪🍾

  • @shedracksebastian3090
    @shedracksebastian3090 3 ปีที่แล้ว

    Mama yupo vizuri watu wanataka kujuadawa ili waanze kuzalisha nakuhuza nivizuri selikali impatie watu walio athirika kujiakikishia kama nikweli ili apate akimiliki itakayo Mlinda aweze kuzalisha ili selikali ipate mapato kupitia huyu mama ukombozi juu yataifa letu namataifa mengine yajue kuwa tayari tiba Ipo pia Nivizur mama uyu atunze vizuri kumbukumbu za mimea anayo itumia ili isipotee historia ya mzalendo aliye gundua dawa hiyo kutoka Arusha Tanzania wakuu ifanyie kazi maana jambo hili nijema.

  • @mtawalatv
    @mtawalatv 4 ปีที่แล้ว +2

    Tunahitaji kuwalinda hawa kwa nguvu zote Na kuwasogeza karibu na wataalam wajifunzee na hawa wabunifu. Wapo wengi mtaani tunawajibu wakuwaleta pamoja .na hawa watu wanapoteaga wazungu hawapendii mambo kama hayaa

  • @reubenryoba998
    @reubenryoba998 4 ปีที่แล้ว +2

    Pole mama huyo mtu mkubwa aliekwambukiza yupo kigoma jamaniii

    • @iraqgirl2143
      @iraqgirl2143 4 ปีที่แล้ว

      Reuben Ryoba kigoma roho mbayaaaa

  • @issaswedi6974
    @issaswedi6974 9 หลายเดือนก่อน

    Njia Bora ya kuachana na maambukizi ni kufuata mafundisho ya mwenyezi mungu na kumcha mwenyezi mungu hiyo ndo njia Bora zaidi na iwapo utajitambua kua umeathirika Basi usihofu bado mwenyezi mungu Yuko na wewe Ila unaweza kutumia dawa Kama vile PHV-39 solution na ukarejea kwenye shughuli zako za kawaida Kama siku zote

  • @ngwanafabian7532
    @ngwanafabian7532 4 ปีที่แล้ว +10

    NMRI kazi kwenu.

  • @sadiaabed6687
    @sadiaabed6687 4 ปีที่แล้ว +5

    Mmmhh jamani sasa tutajuaje kama havionekani tunataka akienda kupimwa hapohapo tumsikie huo dakatari aseme sio yy na hio dawa ina uhakika gani apeleke mahabara ikapimwi kama inaponya maana kama anatumia na akipimwa havionekani inamaana anapona

  • @user-bl9jj8wm9g
    @user-bl9jj8wm9g 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu tusaitie jamani malazi haya yamekaa pabaya sana ila huyo mm Kama angekuwa anasaidia watu kweri Sasa angetaja ili watu wawe sawa jamani

  • @edwardgwaspika4943
    @edwardgwaspika4943 4 ปีที่แล้ว +2

    Safi sana ndo ivo tusilale kusibiri mpaka dawa za nje. Hata uyo mh. Wa idarani awe na watu wanamwakilisha mikoani wachukue namba za simu wasaliane na mhusika moja kwa moja! Kusubili kuletewa mambo ya keep kizamani!

  • @UpeoMinistryofMedia
    @UpeoMinistryofMedia 4 ปีที่แล้ว +2

    👏👏👏

  • @majaliwajohn7319
    @majaliwajohn7319 4 ปีที่แล้ว +8

    Bongo hawaamini dawa zao ila ingekuwa kagunduwa mzungu asubuhi tu serikali ingefatilia.

  • @unambwenaiman5355
    @unambwenaiman5355 4 ปีที่แล้ว +1

    Pole sanaaa

  • @dechaggagirl1614
    @dechaggagirl1614 4 ปีที่แล้ว +1

    Uwiiiii cjawahi ona kumbe mtu wa ukimwi ako hivo mungu tunusuru ya rabby😭😭😭😭

    • @basilisamsaka8469
      @basilisamsaka8469 4 ปีที่แล้ว

      De chagga Girl kwani yukoje we acha ujinga.

    • @hilalhilal8400
      @hilalhilal8400 4 ปีที่แล้ว

      Tena utaona mtu anang'ara kumbe hatariii. Moto ndani kwa ndaniii

    • @cheiknamouna2058
      @cheiknamouna2058 3 ปีที่แล้ว

      Wee Sasa unatuongopea umekulia wapi usione au hujasoma hata Aids wacha uwongo ila hongera Kama hujawah ona siye tumeuguza na tunao mtaani tunaishi nao

  • @mkenya2545
    @mkenya2545 4 ปีที่แล้ว +2

    Sema shikamoo mama

  • @wee2587
    @wee2587 4 ปีที่แล้ว +3

    kama MUNGU amekusaidia ukapata ufahamu wakutumia huu mti mbona uwe mchoyo

  • @abdallahsimba
    @abdallahsimba 4 ปีที่แล้ว +4

    NAMBA YA SIMU TUNAHITAJI YA CORONA KINGA TAFADHALI NIPO DAR

  • @policejamiimkumbwa9405
    @policejamiimkumbwa9405 4 ปีที่แล้ว +1

    Sahihi

  • @geofreylucas9469
    @geofreylucas9469 4 ปีที่แล้ว +1

    Ukiona anahofia kuutaja Basi jua ya kuwa huo mti ni maarufu na wengi wanaufahamu so anahic akiutaja tu kazi kwake imekwisha Tena so mim na wew tufikirie Mara mbili juu ya hii miti Kama aloe vera,muarobaini,majani ya mpera nk. ambayo Mara nyingi inatumika kutibu magonjwa sugu then uchanganye na hayo mengine anayoyasema