KIJANA FRANK ANAEISHI NA MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA UKIMWI/HUYU ALIEMUAMBUKIZA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 มี.ค. 2023
  • KIJANA FRANK ANAEISHI NA MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA UKIMWI/HUYU ALIEMUAMBUKIZA
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 67

  • @fredpeter5442
    @fredpeter5442 ปีที่แล้ว +4

    Pole sana ndugu yetu

  • @elizabertkabadi3090
    @elizabertkabadi3090 ปีที่แล้ว +1

    Pole kakaangu tupo mwisho wa ukimwi umefika

  • @maximilliangaudence3351
    @maximilliangaudence3351 3 หลายเดือนก่อน

    Anafaa sana kuwa mshauri kwa wagonjwa wa ukimwi maana through yeye atakuwa proper guide

  • @olivahgaudence5681
    @olivahgaudence5681 ปีที่แล้ว +3

    @ummymwalimu mamaa msikilize huyu kijana wa kitanzania umsaidie😭

  • @user-po8hz7xw9j
    @user-po8hz7xw9j ปีที่แล้ว +1

    Ukimwi hauzuii kufanya kazi hizo unakula vzr

  • @proudpoint7370
    @proudpoint7370 ปีที่แล้ว +5

    Hivi kwa nini serikali inaruhusu wafungwa zaidi ya mmoja kutumia nyembe moja kunyoana? Hivi mpaka leo, na elimu yote hii inayotolewa kwenye jamii kuhus UKIMWI/VVU, bado wafungwa wanaruhusiwa kutumia nyembe moja kunyoana? Hapana aisee, hii lazima ikomeshwe. Haiwezekani

    • @jumalove2631
      @jumalove2631 ปีที่แล้ว

      Tatizo siyo Hilo Ila swali nikwamba kwanini Mtu Asipimwe Afya kabla Yakuanza kutumikia kicungo Kama wanavyo Fanya jeshini

    • @proudpoint7370
      @proudpoint7370 ปีที่แล้ว

      @@jumalove2631 Amesema kwenye interview kwamba walipimwa alipokua anaingia. Kwa hiyo maambukizi aliyapatia akiwa ndani kifungoni.

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 หลายเดือนก่อน

    Pole kijan dawa ya ukimwi ipo njian

  • @maryamtanzania9743
    @maryamtanzania9743 ปีที่แล้ว +2

    Kijana mzuri ukutane nae hutakuww na wasiwasi wakusema upime

  • @deboranicoraus4866
    @deboranicoraus4866 ปีที่แล้ว +2

    Kwn mtangazaji maiki kaweka mbali hvo ndo unaogop kuambukizw huo ukimwi au ?

  • @anethgeorge5474
    @anethgeorge5474 ปีที่แล้ว +1

    Mtangazaji hajui kufanya interview,ayo maswali yko kwann usielewe anayopitia mbna unam'bishia sasa

  • @mariamibrahim6738
    @mariamibrahim6738 ปีที่แล้ว +1

    Kk.mzuri ila munguu

  • @user-qw1sk6gj5q
    @user-qw1sk6gj5q 2 หลายเดือนก่อน

    Pore kaka

  • @saidiwakufuta
    @saidiwakufuta ปีที่แล้ว

    Jamaa anapenda Kaz rahis rahis wakt watu wamesoma hizo kazi za usafi kkt hizo wizara hawapati jee ww huna llte utapataje shehe unataka upate bajaji ili uambukize na wengne

    • @sturidamwaminde2254
      @sturidamwaminde2254 ปีที่แล้ว

      Kakaangu kasema wizara ya afya kufanya usafi hajapenda kuwa ivo

    • @saidiwakufuta
      @saidiwakufuta ปีที่แล้ว

      Saw Ila huko wizarani Kuna mmbo mengi yanatakiwa ndo uajiriwe Mana Kuna wasomi pia wanakila vyeti na kazi hawapati Sasa yy Hana llte atapata vipi na wakt wapo weng wenye maambukizi na vyeti yvao na Kaz hawapati Sasa yy auze hata maji mungu atamsaidia mbna au akishindwa aje zanzbar huku

    • @user-co3yk7xb4p
      @user-co3yk7xb4p 9 หลายเดือนก่อน

      Mwaka huu usiushe kama hujagingwa na gari ukafie huko. Hakuna mtu aliyeomba apate virusi

  • @VeronicaMangula-lk3ng
    @VeronicaMangula-lk3ng 11 หลายเดือนก่อน

    Pambana kaka angu kupata maambukizi sio mwisho wa maisha

  • @ablashaffy2860
    @ablashaffy2860 ปีที่แล้ว +1

    Yan kampen zte hz kumbe bongo bdo kuna ushamba wa kunyanyapaa wat!

  • @mwanajumamwinyi2665
    @mwanajumamwinyi2665 ปีที่แล้ว +2

    Daah lkn anaweza kupata mtoto asiwe na ukimwi wakitumia dawa

  • @mwanagwakyala3213
    @mwanagwakyala3213 ปีที่แล้ว +1

    pambana jamaa yangu ndugu uwe na hela watakuthamin

  • @sarahngulo5909
    @sarahngulo5909 ปีที่แล้ว +2

    Kwel uspime kwa macho

  • @user-ln2gn3jg2k
    @user-ln2gn3jg2k 9 หลายเดือนก่อน

    Daaa hata Mimi apa nipo niowe

  • @totobest6913
    @totobest6913 ปีที่แล้ว +1

    Sare kali ilo muambukiza ukimwi

  • @user-gl8ij6mn6e
    @user-gl8ij6mn6e 4 หลายเดือนก่อน

    Yaan serikali inheona haja mbali ya kuwasaidia kuwapa dawa bure pia ingewekwa mikakati ya kuwawezesha kuwapa ajira au fani kama hivyo kuangalia na kuwapa fani wengine kuwapa kama huvyo huyo bajajo hata kwa mkopo ili waweze kuishi kupata milo kamili waweze kumudu kunywa dawa

  • @alimkumbukwa8363
    @alimkumbukwa8363 ปีที่แล้ว +1

    Ww mtngazaj wakat huna kaz ulienda kubeba zege

  • @totobest6913
    @totobest6913 ปีที่แล้ว

    Imsadie

  • @user-po8hz7xw9j
    @user-po8hz7xw9j ปีที่แล้ว +1

    Maxmam Tv walimchangia huyu kanenepa kweli ulikosa. Mtaji kweli

  • @lufundadimpoz6063
    @lufundadimpoz6063 ปีที่แล้ว +6

    Uongo mwingi😅

  • @alimkumbukwa8363
    @alimkumbukwa8363 ปีที่แล้ว

    Mtangaz ww bn unaznguaa ww

  • @user-po8hz7xw9j
    @user-po8hz7xw9j ปีที่แล้ว +1

    Vjana masokoni wanabebamizigo

  • @user-pn7ko9tj8w
    @user-pn7ko9tj8w 4 หลายเดือนก่อน

    Ukilala na mtu ana virus prep ita nisaidia kwa muda gani

  • @ramadhaniisihaka295
    @ramadhaniisihaka295 ปีที่แล้ว

    Unyanya paaa bd ni mkubwa sn

  • @ruwaidaal-ismaily9099
    @ruwaidaal-ismaily9099 ปีที่แล้ว +3

    FRANK Anakipaji Cha kucheka tu🤣

    • @Thebaddest255
      @Thebaddest255 ปีที่แล้ว

      jaribu kuvaa kiatu chake stop making funny of him

  • @davidpaschal778
    @davidpaschal778 ปีที่แล้ว

    Uyu apambane bn aache kutaia huruma jp pole kwa ugonjwa uo

  • @alimkumbukwa8363
    @alimkumbukwa8363 ปีที่แล้ว +1

    Au unaongea tu

  • @estertiffa-ew5id
    @estertiffa-ew5id ปีที่แล้ว

    Wee mtangazaj nae vp kwahyo kwa ajil ana maambukiz ndio aend kwao jmniii

  • @user-cv7vm1mx9d
    @user-cv7vm1mx9d 5 หลายเดือนก่อน

    Labda ulikua unalawitiwa uko jera sio nyembe bwana ni ulikua unaliwa

  • @user-cv7vm1mx9d
    @user-cv7vm1mx9d 5 หลายเดือนก่อน

    Tapeli tu huyu kafanye kazi acha umama watu wanaukimwi nawanapiga kazi

  • @zaitunisinamenye1799
    @zaitunisinamenye1799 ปีที่แล้ว +4

    Uyo ni ugonjwa kama ungine wala matajiri wasimnyime kazi, vile anakunywa dawa hawezi kumuambukiza mtu, ata akiowa hawezi kumuambukiza mke wake na kuzaa atazaa mtoto mzima bila tatizo, mpeni msaada

    • @eliasnathaniel5198
      @eliasnathaniel5198 ปีที่แล้ว +1

      True coz me mwenyew n miongoni wa watu tunaowahudumia watu wenyewe maambukizi ya ukimwi so kama mtu anatumia dawa zake vizur ni ngumu sana kuambukiza coz wingi wa virusi unapunguza sana

    • @ablashaffy2860
      @ablashaffy2860 ปีที่แล้ว

      @@eliasnathaniel5198 hapa TZ wat wazto sana kuelewa kuhud ukimwi

    • @eliasnathaniel5198
      @eliasnathaniel5198 ปีที่แล้ว

      @@ablashaffy2860 true

    • @mubuyafrancis3979
      @mubuyafrancis3979 ปีที่แล้ว +1

      Yani kwer kabisa unaongea .Mi kuna jamaa yangu anao Tena Kama Myaka 3 Alipima akakuta anao.Ila cha ajabu Toka aanze kutumia Dawa HIV walai Akipima Tena Ngoama inasomae Negative kirasiku.Tena jamàa Ana Afya nzuli Sana .wala hauwezi kujuwa bro.Natena Anazaa fresh Sana tu.

    • @emmanuelkinyenje9998
      @emmanuelkinyenje9998 ปีที่แล้ว

      Mm ni mmoja kati yawahanga wa ukimwi watu waelew kwamb ukiwa n ukimwi hauumwi sehemu yoyote ukizingatia dawa na ukila vizur ukajiona kawaida wakumbuke kuna cancer na ndo ugonjw hatari watu wanateseka na kun kisukali ukimwi ulikuwa unaogopwa miak ya tisin kabla ya dawa na aslimia 90% wwng wao wanavirusi lak avionekan kwa umakin wakutumia dawa kwaiyo jmn msituone wakosaji sana mkanyanyapaa watu MUNGU IBARIKI TANZANIA

  • @agnerapius7244
    @agnerapius7244 ปีที่แล้ว

    Watu wenye ukimwi wauwawe tu ili ukimwi usiwepo hatutaki watu hawa wauliwe haraka

    • @thynerwith130
      @thynerwith130 ปีที่แล้ว

      Akili yako ndogo kama maisha yako.......mxiewwwwww

    • @edinakyaruzi9226
      @edinakyaruzi9226 ปีที่แล้ว

      Mmmmmm jamani kweli sema tuwe makini sana jamani kama utaki kupata tulia tu au tumia kinga

    • @salmaabdul6154
      @salmaabdul6154 ปีที่แล้ว

      Rekebisha kauli Yako😏😏😏😏

    • @veronicadeus9345
      @veronicadeus9345 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣duh haya bhana

    • @Thebaddest255
      @Thebaddest255 ปีที่แล้ว

      Hivi wewe ni binadamu wa kawaida 😢 hajapata kwa kutegemea aliupatia jela