ความคิดเห็น •

  • @zaitunisiwa-yt3bb
    @zaitunisiwa-yt3bb หลายเดือนก่อน +1

    Asante Dr. Naomba kujua tiba asili ya ndui

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV หลายเดือนก่อน

      Tiba asili ya ndui
      th-cam.com/video/sn9mzciyF64/w-d-xo.html

  • @RejinaKalinga-fq2to
    @RejinaKalinga-fq2to 10 หลายเดือนก่อน +2

    Asante sana nimeipenda channel hii naamin nitabadirika kiufugani

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV 10 หลายเดือนก่อน

      Karibu Sana ndugu

  • @lestherusitukanesanasomaam1339
    @lestherusitukanesanasomaam1339 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana kwa madarasa yote Mungu akubari sana. Mimi nalima mpunga na mahinmi na sipendi Mbolea ya dukani naomba elimu ya kutumia samadi. Shalom

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV ปีที่แล้ว

      Jinsi ya kutumia au

  • @dianatarimo9521
    @dianatarimo9521 ปีที่แล้ว +2

    Nimelipenda sana somo hili

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV ปีที่แล้ว

      Barikiwa pia

  • @GilbertKelya
    @GilbertKelya ปีที่แล้ว +1

    Asante kwa maelekezo yenu ila picha ya madawa inatembea haraka

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV ปีที่แล้ว

      Oooh sawa ndugu tuifanyia marekebisho lakini unaweza irudia rudia

  • @JULIANAMANYASI
    @JULIANAMANYASI ปีที่แล้ว +1

    Asante mwezeshaji ninaswali kuku wangu wanaharisha mavi ya goroli goroli yenyewe ni dalili ya ugonjwa gani

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV ปีที่แล้ว

      Yana rangi gani

  • @HadijaEdward
    @HadijaEdward 8 หลายเดือนก่อน +1

    Na anzaje docta kutengeneza banda lakurerea vifalanga

    • @HadijaEdward
      @HadijaEdward 8 หลายเดือนก่อน +1

      Naomba nitumie video ya kutengeneza Banda la kurerea vifalanga

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV 8 หลายเดือนก่อน

      Video ya Banda la vifaranga
      th-cam.com/video/c7mMSY8tHp4/w-d-xo.html

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV 8 หลายเดือนก่อน

      Banda la vifaranga
      th-cam.com/video/c7mMSY8tHp4/w-d-xo.html

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV 8 หลายเดือนก่อน

      Banda la kulelea vifaranga
      th-cam.com/video/c7mMSY8tHp4/w-d-xo.html

  • @GuneMphuru
    @GuneMphuru ปีที่แล้ว +1

    Somo zuri sana. Asante. Naomba no. Yako ya simu pls!!

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV ปีที่แล้ว

      Sawa Sawa ndugu

  • @zaynabiddi4711
    @zaynabiddi4711 2 ปีที่แล้ว +2

    Asante sana nimejifunza

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV 2 ปีที่แล้ว

      Barikiwa sana🙏🙏naomba usisahau kusubscribe uendelee kua mwanachama wa channel hii

  • @charlesmwanzi4213
    @charlesmwanzi4213 2 ปีที่แล้ว +1

    Asantee kwa maelekezo. Mazuri ya namna ya kukabili magonjwa ya kuku

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV 2 ปีที่แล้ว

      Barikiwa sana ndugu

  • @MaluuMallya-yg4kh
    @MaluuMallya-yg4kh 10 หลายเดือนก่อน +1

    Asante Kwa SoMo hili ninakuomba no yako

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV 10 หลายเดือนก่อน

      Wasap +255765467484

  • @cathynthando2599
    @cathynthando2599 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV 2 ปีที่แล้ว

      Pamoja ndugu

  • @muqranaikukufarm4273
    @muqranaikukufarm4273 2 ปีที่แล้ว +1

    Shukran sana hili tatizo naona linanyemelea vifaranga

    • @muqranaikukufarm4273
      @muqranaikukufarm4273 2 ปีที่แล้ว +1

      Kama hutojali unaeza nipa namba nkutafute WhatsApp

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV 2 ปีที่แล้ว

      Wasap 0765467484

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV 2 ปีที่แล้ว

      Wasap 0765467484

  • @HasanMstapha
    @HasanMstapha 3 หลายเดือนก่อน +1

    Asante San mnatup elim ya bur kak

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV 3 หลายเดือนก่อน

      Hakika ndugu

  • @Ahmadfaisal-u2i
    @Ahmadfaisal-u2i 2 หลายเดือนก่อน +1

    Asanta sana kwa somo zuri

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV 2 หลายเดือนก่อน

      Tupo pamoja sana ndugu

  • @suleimangadafi2486
    @suleimangadafi2486 2 ปีที่แล้ว +1

    Nimeelewa vizur huu ugwazwa wa macho umeniathir sana

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV 2 ปีที่แล้ว

      Pole Sana ndugu

  • @lydiakayange1844
    @lydiakayange1844 2 ปีที่แล้ว +1

    Nimefurahia Sana na mafundisho

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV 2 ปีที่แล้ว

      Karibu sana🙏🤝

  • @joycemateru5388
    @joycemateru5388 8 หลายเดือนก่อน +1

    Napenda sana masomo yenu naomba namba yenu ya simu

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV 8 หลายเดือนก่อน

      Barikiwa pia. Sawa tutakutumia

  • @KervinPaul
    @KervinPaul 6 หลายเดือนก่อน +1

    Dawa ya typhoid na kipindu pindu cha kuku ni ipi?

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV 6 หลายเดือนก่อน

      Apo HADI duka LA mifugo ndugu WATAKUPA dawa walio nazo. Maaana dawa zipo nyingi Sana ndugu

  • @belthamwashilimbe465
    @belthamwashilimbe465 7 หลายเดือนก่อน +2

    Chakula Cha kuku consetreti kinapatikana wap

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV 7 หลายเดือนก่อน +1

      Maduka ya mifugo wanauza

  • @samymwita8529
    @samymwita8529 2 ปีที่แล้ว +1

    Nimependa somo lenu nitumie video yahuounjwa wavifaranga kinyesikinanatia matakon

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV 2 ปีที่แล้ว

      Okay

  • @benjaminmichael8751
    @benjaminmichael8751 ปีที่แล้ว +2

    Nauliza Kwamba Je hizo Dawa zakienyeji Zahaya magonjwa Zinamatokeo Sawa Na hizi za dukani Au kunatofauti ?

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV ปีที่แล้ว +1

      Ni Sawa tu ila utofauti ni haraka wa ufanyaji Kaz yaani za dukani kufanya kwa haraka kazi. Kwa kuku aliyezidiwa Sana tumia za dukani

  • @ArnoldMwenda
    @ArnoldMwenda 9 หลายเดือนก่อน +1

    Kuku wangu anatoka vidonda katika midomo dawa gani inafaa?

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV 9 หลายเดือนก่อน

      Pole itakua ni ndui tumia tiba asili. Andika apo you tube tiba asili ya ndui by agalus TV

  • @edrickgration
    @edrickgration 9 วันที่ผ่านมา +1

    Kwangu mimi, kuku anakosa pumzi anapumua kwa kuangalia juu nifanye je?

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV 9 วันที่ผ่านมา

      Inakuaje ebu angalia hii video inakua kama ivyo au
      th-cam.com/video/p0-uYjlt94o/w-d-xo.html

  • @simonodhiambo3351
    @simonodhiambo3351 4 หลายเดือนก่อน +1

    Santi sana mwalimu

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV 4 หลายเดือนก่อน

      Barikiwa pia

  • @winifridamkama7427
    @winifridamkama7427 2 ปีที่แล้ว +1

    Mimi no mfugaji was kimu wa kienyeji naomba unitumie hiyo video ya kutibu ndui kwa alovela na limao

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV 2 ปีที่แล้ว

      Jinsi y kutumia limao na a lovera kitibu ndui
      th-cam.com/video/sn9mzciyF64/w-d-xo.html

  • @MjombaRumanyika
    @MjombaRumanyika 9 หลายเดือนก่อน +1

    Naomba kuuliza Kuna aina ngap? Za dawa ya mafua Kwa kuku

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV 9 หลายเดือนก่อน

      Zipo nyingi Sana ndugu utegemea na kampuni tu

  • @HawaAmiri-e4q
    @HawaAmiri-e4q 2 หลายเดือนก่อน +1

    Unaweza kunisaidia somo la matumizi ya dawa katika magonjwa haya tofauttofauti kwa kuku

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV 2 หลายเดือนก่อน

      Dawa za asili au dukani

  • @RejinaKalinga-fq2to
    @RejinaKalinga-fq2to 10 หลายเดือนก่อน +1

    Kuku wangu wanapiga wanamafua nimewapa fruban lakini bdo hawajatulia nitumie nini

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV 10 หลายเดือนก่อน

      Badili dawa y mafua tofauti na iyo. Nenda duka LA mifugo zipo dawa Kama vile Tylosin, tylodox, Doxycoal n. K

  • @VictoriaMrema-b9i
    @VictoriaMrema-b9i 9 หลายเดือนก่อน +1

    Nimefutahia sana somo lako lkn mimi kuku wangu wanakoroma nimewapa telosoksi siku 5 lkn bdo hawajakaa vzr sasa niwape nini tena

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV 9 หลายเดือนก่อน

      Pole Sana ndugu apo waweza rudi Tena dukani.. AU mwanzishie tiba asili

  • @rosemtingele4716
    @rosemtingele4716 4 หลายเดือนก่อน +1

    Vifara wakiwa wanakorima na kinyesi chenye damu niwape dawa Gani?

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV 4 หลายเดือนก่อน

      Apo ni kikohoz na coccidiosis.
      Video hii inadawa zote izo utachagua moja wapo utakayo Pata dukani
      th-cam.com/users/shortsn_WpY6ptH54?feature=share

  • @ElardHauza-op2mh
    @ElardHauza-op2mh 4 หลายเดือนก่อน +1

    Je naweza kuchanganya dawa yote na vitamin?

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV 4 หลายเดือนก่อน

      Sawa tu na ni nzuri Sana

  • @jumamalale900
    @jumamalale900 2 ปีที่แล้ว +1

    Uko vizur kaka

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV 2 ปีที่แล้ว

      Pa1🙏🤝

  • @JustinMubakibagosi-ev9gm
    @JustinMubakibagosi-ev9gm ปีที่แล้ว +2

    Sasa uganjwa hii ya mwisho nidawa gani yamajani mutu anaweza kutumia kama kinga?

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV ปีที่แล้ว

      Ni ugonjwa gani uo wa mwisho umesemwa ndugu

  • @mkaliman8030
    @mkaliman8030 2 ปีที่แล้ว +2

    Nitaitangaza channel hii kwa rafki zangu wafugaj kama mm 💪✌

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV 2 ปีที่แล้ว +1

      Utakua umefanya jambo jema sana na kusaidia wengi. Mungu atatulipa cku moja🙏🏿🙏🏿🙏🏿

  • @SamuelJumu
    @SamuelJumu ปีที่แล้ว +1

    Hello naitaji kujua dawa ya kuku wakutaga

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV ปีที่แล้ว

      Apo unaama gani ndugu

  • @felixphilipo8434
    @felixphilipo8434 2 ปีที่แล้ว +1

    Mim nimfugaji wa kuku wakienyeji Ila napata Sana changamojo ya ukuzaji wa vifalanga wa kienyeji ukiwa nawapatiba km hizo na chanjo kwa wakati Ila bado tatizo la kushusha mabawa, kuvimba macho na kutoa kinyesi cheupe na njano haliishi ko niliomba njia sahihi yakufuata ili niweze kukuza vifalanga vyangu vyote pia naomba No ya sim yako

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV 2 ปีที่แล้ว

      Ndugu uleaji wa vifaranga Kuna mambo ya. Mcngi kuyazingatia Sasa ebu fuatilia Aya masomo kuhusu vifaranga tu. Kama Kuna th-cam.com/play/PL8xez8Eh4s0ENNDvJHA3l1dLb6SOmAv3b.html hutaelewa utatujuza

  • @dinakyoma5977
    @dinakyoma5977 ปีที่แล้ว +1

    Yaani leo vifaranga wa siku 3 walipata hiyo ya choo kugandia, hii video imenifaa sana
    Na nilikuwa na bata anadalili zote za typhoid hii video imenifaa

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV ปีที่แล้ว +1

      Barikiwa Sana ndugu

  • @antonysteven4341
    @antonysteven4341 2 ปีที่แล้ว +2

    Naomba kujua namna ya kuchanja kuku na kwa mda gan

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV 2 ปีที่แล้ว

      Ratiba ya chanjo zote za kuku hili somo lake🤝👇
      th-cam.com/video/uakD0dx61Rg/w-d-xo.html

  • @apolloniandesanjo7313
    @apolloniandesanjo7313 ปีที่แล้ว +1

    Hbr kuku wangu wanashindwa kutembea shida ni nini

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV ปีที่แล้ว

      Hawaumwi

  • @rajaburashidi8234
    @rajaburashidi8234 10 หลายเดือนก่อน +1

    Kukuwangu wanamafua naomba msaada wa matumizi sahihi ya dawa nikiasi gani niwape warudi kuwa sawa

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV 10 หลายเดือนก่อน

      Matumizi utegemea na Aina ya dawa. Tembelea duka LA mifugo

  • @ArafaSaid-ws8qd
    @ArafaSaid-ws8qd ปีที่แล้ว +1

    Kuku amekauka sauti jogoo dawa yake nini plz

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV ปีที่แล้ว

      Iko ni kikohoz ndugu MPE dawa ya mafua AU kikohozi atapona

  • @KalenaMalimiMalimi
    @KalenaMalimiMalimi 3 หลายเดือนก่อน +1

    Dalili za kideli zinafanana na taifodi au

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV 3 หลายเดือนก่อน

      Ni tofaut ndugu

  • @PrincessLwinga
    @PrincessLwinga 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kuku waliovimba macho unaweza kuwatenga

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV 4 หลายเดือนก่อน

      Waweza na ni muhimu kufanya ivyo

  • @Xaum-s8m
    @Xaum-s8m 11 หลายเดือนก่อน +1

    Ni dalili gani kuu ambazo zinatofautixh ugonjwa m1 na mwengine maan dalili za magonjwa meng hufanana

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV 11 หลายเดือนก่อน

      Fuatilila zaidi magonjwa mbali mbali ya kuku kupitia Channel hii

  • @juleskayenga4426
    @juleskayenga4426 ปีที่แล้ว +1

    Mimi ni jules toka Congo RDC nafurayi kwa mafunzo na mufugo

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV ปีที่แล้ว

      Barikiwa Sana ndugu wasalimie Congo

  • @AlphonceAlphonce-k7k
    @AlphonceAlphonce-k7k 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nataka kujua kuku wanapewa chanjo wakiwa na umli gani

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV 3 หลายเดือนก่อน

      Siku *7 fuatilia video hii ya ratiba ya CHANJO ya KUKU
      th-cam.com/video/uakD0dx61Rg/w-d-xo.html

  • @stellanzunda5741
    @stellanzunda5741 2 ปีที่แล้ว +1

    Naomba mkufuzi nisaidie kurudia somo la mafua Kwa kuku wa kienyeji.

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV 2 ปีที่แล้ว

      Kuhusu somo la mafua ya kuku, dalili zake na tiba 👇👇🙏
      th-cam.com/video/Ws90o1Y0H3o/w-d-xo.html

  • @jofreypius4806
    @jofreypius4806 ปีที่แล้ว +1

    Mm ninatatizo kku kuwa na matongotongo naomba mzaada

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV ปีที่แล้ว

      Ayo ni matatizo ya Macho wape kuku wako vitamin Mara kwa mara

  • @aminambwana1718
    @aminambwana1718 2 ปีที่แล้ว +1

    Mimi Nina kuku wangu maguu yana magamba alafu yanafura saingine kucha za toa damu. Je niugonjwa gani nadawa yake Nini?. Swali lapili nimboga gani yafaa umpe kuku. Ni mchicha au skuma wili

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV 2 ปีที่แล้ว

      Pole sana mpe sana vitamins, kuhusu majani MBOGA zote zinafaa ila kwa zaidi majani mengine yapo KWENYE video hii Kuna Aina y majani 10 tofaut tofaut
      th-cam.com/video/17-yYtPoD2o/w-d-xo.html

  • @mwajeymshamu2603
    @mwajeymshamu2603 2 ปีที่แล้ว +1

    Video

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV 2 ปีที่แล้ว

      Tukutumie kwa njia gani is ndugu

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV 2 ปีที่แล้ว

      Tukutumie kwa njia gani is ndugu

  • @upendolutego3731
    @upendolutego3731 2 ปีที่แล้ว +1

    Vifaranga wangu wananyong'onyea na kuvaa koti dawa gani nitumie wana week 2

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV 2 ปีที่แล้ว

      Vp uliwapa chanjo zinazohitajika na vp una wapa GA vitamin?

  • @exaudmbuya9306
    @exaudmbuya9306 5 หลายเดือนก่อน +1

    Sasa kuku akishakuwa na huo uchafu mweupe kwenye macho unpaka dawa gani

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV 5 หลายเดือนก่อน

      Unautoa uo uchafu Kisha wape Vitamin na antibiotics

  • @msafirisamwel977
    @msafirisamwel977 2 ปีที่แล้ว +1

    Vp kuus majipu nawezaje kusaidika

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV 2 ปีที่แล้ว

      Hapana kwa Nani sasa kuku au

  • @AllyMaritine
    @AllyMaritine 2 วันที่ผ่านมา +1

    Dalili za ugonjwa za kipindupindu kwa kuku ni zipi na dawa zake

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV 2 วันที่ผ่านมา

      Muharo wa rangi ya kijivu , na unakua na harufu Kali sana. Wape dawa kama trisumuilsyne

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV 2 วันที่ผ่านมา

      Muharo wa rangi ya kijivu , na unakua na harufu Kali sana. Wape dawa kama trisumuilsyne

  • @saumumunisi8013
    @saumumunisi8013 2 ปีที่แล้ว +2

    Nimefurahi kupata some hilo la dawa ila naomba ratiba ya chanjo kwa vifaranga hadi wamalize chanjo zote

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV 2 ปีที่แล้ว

      Ratba za chanjo somo lake ni hili👇👇
      th-cam.com/video/uakD0dx61Rg/w-d-xo.html

    • @frankphilipo2930
      @frankphilipo2930 ปีที่แล้ว +1

      Aiseee hats Mimi nimependa darasa hili make mi napenda kufuga kuku

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV ปีที่แล้ว

      Karibu sna.na ubarikiwe

  • @GodnessMaleo
    @GodnessMaleo 9 หลายเดือนก่อน +1

    Vifaranga wangu wanalemaa ni wadog wana wk moja sasa nawapa stata ya vifaranga wadogo hali hiyo inasababishwa nanini jamani.😂

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV 9 หลายเดือนก่อน

      Kuku wa Aina gani? Na je unawalea bila mama yao au

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV 9 หลายเดือนก่อน

      Kuku wa Aina gani? Na je unawalea bila mama yao au

  • @oriethkimaro333
    @oriethkimaro333 ปีที่แล้ว +1

    Kuku wa wavimba miguu wanakosa nguvu

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV ปีที่แล้ว

      Pole Sana ndugu

  • @egidnyenza5358
    @egidnyenza5358 2 ปีที่แล้ว +1

    Mini nafuga lakin nimetumia dawa zote za mafia haisaidii nifanyaje

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV 2 ปีที่แล้ว

      Pole Sana ndugu vp kuku wako unawawekea malanda ya mbao? Na JE wa natoka nje wanakula samadi ya mifugo? Ebu tuanze na apo kwanza🙏

    • @rosemsaky8974
      @rosemsaky8974 2 ปีที่แล้ว +1

      @@AGALUSTV wanatoka nje na wanakula may changu yote na Nina ngo,mbe wanachakura huko kwenye vinyesi vyao

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV 2 ปีที่แล้ว

      Haina shida

  • @ComfortNdossi
    @ComfortNdossi 9 หลายเดือนก่อน +1

    Kuku anarisha kinyesi cheupe kama maziwa ni dalili gani

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV 9 หลายเดือนก่อน

      Typhoid

  • @sephaniakilasi3896
    @sephaniakilasi3896 2 ปีที่แล้ว +1

    Je ni ugongwa na tiba gani vifaranga Wa kifika umiri Fulani wananyanyua mabawa badaye wanakufa

  • @veronicalemalali6361
    @veronicalemalali6361 ปีที่แล้ว +1

    Naomba namba zako please

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV ปีที่แล้ว

      Sorry ndugu Kuna nini? Hatuwez saidiana kwa kukomment apa🙏🏿

  • @hassanimainde9971
    @hassanimainde9971 2 ปีที่แล้ว +1

    Kuku wangu ni chotara wenye miguu mweupe, nashukuru wanakuwa haraka lakini napata changamoto kubwa ni dalili za magonjwa haziishi pamoja na tiba ninazowapa kwa ushauri wa wataalamu. Hasa kinyesi chekundu na uharo mweupe unanipa shida kweli!!! Nifanyeje?

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV 2 ปีที่แล้ว

      Apo ni matatzo ya matumbo hatujui dawa Dani unatumia ndugu

    • @oriethkimaro333
      @oriethkimaro333 ปีที่แล้ว +1

      Naomba namba ya simu

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV ปีที่แล้ว

      Wasap +255765467484

  • @Biashara641
    @Biashara641 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kuku kupinda shingo ni ugojwa gani

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV 6 หลายเดือนก่อน

      Vitamin upungufu

  • @EshaRumbe
    @EshaRumbe 7 หลายเดือนก่อน +1

    Kwaio kideri hakina dawa

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV 7 หลายเดือนก่อน

      Yes

  • @johaneslupembe5912
    @johaneslupembe5912 2 ปีที่แล้ว +1

    Dalili za kideli hujatuambia

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV 2 ปีที่แล้ว

      Okay

  • @robertrobbie8586
    @robertrobbie8586 2 ปีที่แล้ว +1

    Kama kuku analegea miguu na kufa huo ni ugonjwa gani?

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV 2 ปีที่แล้ว

      Apo ni vigumu ndugu kujua ni ugonjwa gani. Dalili zingine Zipo vp maana Ata dalili zingine kuku analegea miguu na a naweza kufa pia

  • @martinkaranja9265
    @martinkaranja9265 10 วันที่ผ่านมา +1

    Kuku ukiwa na hiyo kifua nahajamaliza chanjo arafu nikawapea tyrodoxy nitakuja kumaliza kuwapea chanjo zile simembaki

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV 10 วันที่ผ่านมา

      Ndio unaweza

  • @suleimanhaji2535
    @suleimanhaji2535 2 ปีที่แล้ว

    Mimi hassan kuku wangu wesha pata ndui nikiwachoma watapona au hawaponi tena

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV 2 ปีที่แล้ว

      Hapana usiwachome

  • @getrudemhozya9920
    @getrudemhozya9920 2 ปีที่แล้ว +1

    Chanjo ya Gumboro hujaitaja

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV 2 ปีที่แล้ว

      Okay

  • @AkwiPapalika
    @AkwiPapalika 8 หลายเดือนก่อน +1

    Kuku wanatoa kinyesi cheupe Cha majmaji

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV 8 หลายเดือนก่อน

      Apo ni dawa za Homa za matumbo

  • @philipolwena5873
    @philipolwena5873 ปีที่แล้ว +1

    Ninapenda niwe mwana chama wakipindi chenu

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV ปีที่แล้ว

      Karibu Sana Endelea kufuatilia video ktk channel hii

    • @gabrielsamson5168
      @gabrielsamson5168 ปีที่แล้ว +1

      Nimependa kuwa mwanacham wa ufugaji au kipind chako plz nafug kuku hawanip faida

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV ปีที่แล้ว

      Jifunze mbinu mbalimbali za kupunguza gharama

  • @stevenjuma6926
    @stevenjuma6926 2 ปีที่แล้ว +1

    Kaka nitumie mwongozo wa ufugaji kuku wakubwa

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV 2 ปีที่แล้ว

      Uwe specific mwongozo una maana ya nini apo

  • @MjombaRumanyika
    @MjombaRumanyika 9 หลายเดือนก่อน +1

    Dawa ya kuku kuviba pembeni mwajicho

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV 9 หลายเดือนก่อน

      Mafua ayo nenda DUka LA mifugo mwambie kuku wangu Ana mafua

  • @evakombe4123
    @evakombe4123 2 ปีที่แล้ว +1

    Kuku huyo uliye mtenga akiwa mgonjwa(gumboro/kideri) na hatimaye akifa, ni dawa gani hutumiwa kusafishia banda either ya dukani au ya asili, kabla hujaweka kuku wengine?

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV 2 ปีที่แล้ว +1

      Dip tu za kusafishia mabanda y ng'ombe na nguruwe. Mchek muuza madawa y mifugo atakusadia

  • @adolfushayo7447
    @adolfushayo7447 2 ปีที่แล้ว +1

    Kwanini kuku huwa hawatagi kwa haraka ingawa anapandwa

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV 2 ปีที่แล้ว

      Sababu Zipo nyingi fuatilia video hii
      th-cam.com/video/nkHDPuL7Qb8/w-d-xo.html

  • @SadickCharles-fw3he
    @SadickCharles-fw3he 4 หลายเดือนก่อน +1

    Naomba namba yako ya watsap

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV 4 หลายเดือนก่อน

      Sawa ndugu tutakutumia

  • @johnngaruiya270
    @johnngaruiya270 2 ปีที่แล้ว +1

    nimefurahi Kwa somo ninaswali ninafiranga miezi miwili na wagojwa wanajikuja nakukauka koon

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV 2 ปีที่แล้ว

      OK karibu wape vitamin

  • @salmamakame6439
    @salmamakame6439 7 หลายเดือนก่อน +1

    Joto haliwaathiri kuku

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV 7 หลายเดือนก่อน

      Wape vyakula kpindi cha joto

  • @veronicasanga7401
    @veronicasanga7401 2 ปีที่แล้ว

    Naomba naomba namba yako

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV 2 ปีที่แล้ว

      Okay🙏🏿

  • @egidnyenza5358
    @egidnyenza5358 2 ปีที่แล้ว +1

    Tatzo la Mafia karb kila dawa zote nimetumia haisaidii nifanyaje

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV 2 ปีที่แล้ว

      Mazingira ya banda yapo vp

  • @issamnadamnada5502
    @issamnadamnada5502 2 ปีที่แล้ว +1

    Mimi Nina tatzo LA mafua na kuvimba macho

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV 2 ปีที่แล้ว +1

      Wape vitamin na dawa za mafua na toa uchafu ulilopo kwenye macho

    • @issamnadamnada5502
      @issamnadamnada5502 2 ปีที่แล้ว +1

      @@AGALUSTV nashukuru sana

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV 2 ปีที่แล้ว

      Barikiwa pia🙏🤝

  • @annagracelweyemamu4606
    @annagracelweyemamu4606 2 ปีที่แล้ว +1

    Cc

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV 2 ปีที่แล้ว

      100%

  • @shangweeliud2189
    @shangweeliud2189 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV 2 ปีที่แล้ว

      Pamoja ndugu 🙏

  • @Biashara641
    @Biashara641 2 หลายเดือนก่อน

    Kuku huhara choo cheupe je niugojwa gani

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV 2 หลายเดือนก่อน

      Wadogo au wakubwa

  • @salmamakame6439
    @salmamakame6439 7 หลายเดือนก่อน +1

    Joto haliwaathiri kuku

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV 7 หลายเดือนก่อน

      Lina waathiri ivyo wape vitamins kipindi cha joto