Dada hata kabla sjamalizia kusikiliza Somo lako, nimefurahi na kupenda the way unatiririka materials. Nakuona ulivokua Mzuri kwenye Biology na chemistry darasan. Mungu akuinue zaidi na Zaid kwa juhudi zako
Nashukuru sana umenitia moyo sana mm by professional ni chemistry and biology teacher ndio maana najaribu kuzipambanua hizi mada za ufugaji Kwa jinsi science inavyomaanisha
Napataje vifaranga vya kroiler
Tutafute WhatsApp
Muko Tanzania ama wapi
Tanzania
Hebu tutumie nambari ya simu ya kid was kuongea na nyinyi
0712188239
Unasafisha Banda lako Kila baada ya muda gan?
Miezi miwili au mmoja
Thanks,Nitaesa tumia baking bowder ,nijibu plz na kama niko kenya 🇰🇪 nitaesa toa ngapy kwa mafundisho
Utatoa 450
@@KingoFarm1 thanks, tena nauliza nitaesa tumia baking bowder badala ya baking soda
Ni kitu kimoja hicho
@@marymary8313 hapana kila kimoja kina kazi tofauti japo kazi zake zinaendana,
Àsilimia moja nivijiko vingapi
safisana.
Shukrani sana
Je kwenye maji unatumiaje baking soda
Kijiko kimoja kwenye maji Lita 20
Dada hata kabla sjamalizia kusikiliza Somo lako, nimefurahi na kupenda the way unatiririka materials. Nakuona ulivokua Mzuri kwenye Biology na chemistry darasan.
Mungu akuinue zaidi na Zaid kwa juhudi zako
Nashukuru sana umenitia moyo sana mm by professional ni chemistry and biology teacher ndio maana najaribu kuzipambanua hizi mada za ufugaji Kwa jinsi science inavyomaanisha
Amina sana mpendwa Mungu akubariki sana
8:56
Nashukuru kVA ushauri vá kutumia beijo soda kVA kuku. Francisco/ Mozambike
Shukrani
Kipimo kwa kijiko kwa asilimia sielewi
Kijiko kimoja cha chakula kwenye maji Lita 20
@@KingoFarm1
Na kwenye vifaranga inafaa
Hapana subiri watimize mwezi mmoja
Unaeka kiasi gani cha baking soda kw maji?
Kijiko kimoja kwenye maji Lita 20
Je siwezi kutumia kwenye maji ya kunywa msaada.
Unatumia isikilize vizuri video utasikia matumizi sahihi
Kitabu nakipataje Niko Mombasa Moshi bar
Tunakutumia softcopy Kwa njia ya WhatsApp
Mi niko kenya nitalipa ngapi
800Kes
Asante was nijipange
Natumia kipimo gani kwenye maji maana umeelezea tu kwenye chakula
Kijiko kimoja kwenye maji Lita 20
Nauliza kiwango Cha maji kinachohitajika na chakula wakati unataka kuchanganya baking soda
Kijiko kimoja kwenye maji Lita 20
Kijiko Cha chakula au Cha chai
@@LeahMahengem kijiko kikubwa a kidogo?
Kikubwa au kidogo
Maji kiasi gani na vijiko vingapi vya b/soda?
Kijiko kimoja kwenye maji Lita 20
Unawapa Ķwa siku ngapi
Kwenye maji una wekaje?
Kwenye chakula ndio unaweka
Thc@@KingoFarm1