#TBC1

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 มี.ค. 2023
  • Kipindi hiki Cha Wekeza Tanzania kinakutembeza ujionee ukubwa wa kiwanda Cha mbolea Cha ITRACOM kilichopo Dodoma Tanzania, ambacho ni kikubwa zaidi Afrika Mashariki na manufaa yake Kwa taifa.
    Mtangazaji - Vumilia Mwasha
    Mwongozaji- Neligwa Muggitu
    Mdhamini - AZANIA BANK
    Fuatilia habari na matukio mbalimbali kwa saa 24 kupitia tovuti yetu, www.tbc.go.tz au App yetu ya “TBC Live”
    TBC Live : tbc.go.tz/wp-content/uploads/...
    App Store (iOS): apple.co/31Yxjta
    Tufuatilie pia kwenye kurasa zetu za mitandao ya kijamii;
    Twitter: / tbconlinetz
    Instagram: / tbc_online
    Facebook: / tbconlinetz

ความคิดเห็น • 16

  • @Ndayaki
    @Ndayaki 5 หลายเดือนก่อน

    Hongera xana Burundi

  • @filbert9138
    @filbert9138 ปีที่แล้ว +1

    Dodoma ya kijan Sasa hiv ❤✅✅✅🇹🇿🇹🇿

  • @ninsabahassan2508
    @ninsabahassan2508 ปีที่แล้ว +2

    Burundian oyeeeeee

  • @micahmutinda3755
    @micahmutinda3755 ปีที่แล้ว

    Napenda 'Wekeza Tanzania' sana.

  • @kelvinpeter3372
    @kelvinpeter3372 ปีที่แล้ว

    🔥🔥🔥🔥

  • @stanymccary7136
    @stanymccary7136 11 หลายเดือนก่อน

    Dodoma Iko ya moto aisee

  • @jeanboscondihokubwayo251
    @jeanboscondihokubwayo251 ปีที่แล้ว

    🙏🙏🙏🙏

  • @alfinmbilinyi5985
    @alfinmbilinyi5985 4 หลายเดือนก่อน

    Yeah hapa kazi nzuri big up.

  • @mwalimumstaafu8529
    @mwalimumstaafu8529 ปีที่แล้ว +1

    Mhandisi umetendea haki kipindi. Uko vizuri.

    • @sdtz344
      @sdtz344 10 หลายเดือนก่อน

      Mhariri sio mhandisi

    • @bethkonga7944
      @bethkonga7944 5 หลายเดือนก่อน

      Zinaitwa mbolea gani

  • @sss3s867
    @sss3s867 16 วันที่ผ่านมา

    NINA HOJA MOJA. IKIWA KAWAIDA YA VUWANDA. UNAFUATA MAENEO YA MALI GHAFI. NA NJIA RAHISI YA USAFURISHAJI WA NDANI YA NCHI NA NJE. MAJINI RELI BARABARA.
    DODOMA KTK MAENEO HAYO NI BORA KWA KIPI KIMOJA AU VYOTE.
    NA KWANINI ISINGEKUWA KATIKA KAMA VILE. PENDEKEZA NJIBU WA HOJA

  • @hamisdodi-cu7bu
    @hamisdodi-cu7bu 8 หลายเดือนก่อน

    0ngela
    0ngelamama

    • @miltonjohn9779
      @miltonjohn9779 7 หลายเดือนก่อน

      Ongela ndio kiswahili Gani wewe