VIDEO: RELI YA KISASA DAR- DODOMA MAMBO SAFI, NJIA YA RELI YAUNGANISHWA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 72

  • @FIFO28
    @FIFO28 2 ปีที่แล้ว +30

    Tutaendelea kusema ahsante Uncle JPM na ahsante Mama Samia... Mungu akubariki sana Mama President...

  • @shaibumasoud2014
    @shaibumasoud2014 2 ปีที่แล้ว +11

    Hongera sana JPM juhud zako zinaonekana sana japo huko uliko unakaa kwa aman na ujumbe mzito uliouacha wa tutakukumbuka kweli tunakukumbuka na tunatamani urudi uone Hali za maisha za watanzania masikini zilivyo maana unga ni bei ya mchele hakika tunakoelekea ni mlo m1 kwa siku tu, ila ahsante 🙏🙏 mama Samia japo wasaidizi wako wanakuangusha katika ujenz wa taifa hili

  • @aminaam281
    @aminaam281 2 ปีที่แล้ว +15

    hongera mama samia kwa kuendeleza kazi ya baba yetu mh magufuli

  • @shebbythespyro5393
    @shebbythespyro5393 2 ปีที่แล้ว +19

    Asante hayat John pombe magufuli
    Sasa kutoka Dar to dodoma itachukuwa masaa ngapi

  • @daudimichael7338
    @daudimichael7338 2 ปีที่แล้ว +14

    Tunakushukuru JPM, mbeba maono. Tutakukumbuka daima.

  • @ikulunimahalipatakatifu7642
    @ikulunimahalipatakatifu7642 2 ปีที่แล้ว +12

    Ongera sana mama Samia kwa kazi nzuri ya ndoto za JPM na watanzania

  • @olenyghosho7008
    @olenyghosho7008 2 ปีที่แล้ว +22

    RIP jpm,kazi zako inaonekana na zitaishi siku zote

  • @noeldamas1890
    @noeldamas1890 2 ปีที่แล้ว +5

    Hongeraa mama kwakushika kijiticha Baba hayati john pombe magufuli munguazidikukupa nguvu Katika mapambanoyako yakujenga taiga.. letu la Tanzania...

  • @davidmbwilo4954
    @davidmbwilo4954 2 ปีที่แล้ว +2

    Hongera kadogosa umepambania hii leri mzee wa kazi

  • @michaelrweyemamu1068
    @michaelrweyemamu1068 2 ปีที่แล้ว +22

    R.I.P JPM, matokeo ya juhudi zako tunazishuhudia

  • @kaitaramadan6340
    @kaitaramadan6340 2 ปีที่แล้ว +18

    Magufuli hoyeee tutakukumbuka kwa hiki ulichoakinzisha japo wanakupiga madongo hawatafanikiwa

  • @benjatv2493
    @benjatv2493 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante baba MAGUFUR jina lako litaishi milele

  • @Movic5806
    @Movic5806 ปีที่แล้ว +1

    JPM Always in Our Hearts 💕💕

  • @nguruwekikwete1635
    @nguruwekikwete1635 2 ปีที่แล้ว +9

    RIP MZALENDO JPM

  • @abubakarnabahani4994
    @abubakarnabahani4994 2 ปีที่แล้ว +4

    Juhudi Kubwa za viongozi Wetu Hayati Magufuli na uthubutu Wa Mama Yetu Mpendwa Samia Suluhu Hassan lakini wapumbavu hawatalitambua hilo.Allah azidi kukupa afya njema utumikie Taifa letu pendwa.

  • @shomarymussa6970
    @shomarymussa6970 2 ปีที่แล้ว +13

    Hasante hayati magufuli

  • @kassimualli1755
    @kassimualli1755 2 ปีที่แล้ว +2

    Tunampongeza Sana Mama Samia Kwa kuwa mzalendo wa kuendeleza miradi yote iliyoachwa na mtangulizi wake,Nyie mnaosema pongezi Kwa magufuli pekee tu je jiulizeni wangapi waliachiwa Mali za urithi za wazee wao walishindwa kuziendeleza?Hivyo pongezi nyingi tumpe mama Kwa kuachiwa miradi na kuendeleza vizuri Tena Kwa muda muafaka,Mungu akupe nguvu na umri mrefu zaidi Rais wetu Samia suluhu hassani.

    • @kefajoseph158
      @kefajoseph158 2 ปีที่แล้ว

      Huna akili unalinganisha MAGUFULI bar med

  • @zikirination6769
    @zikirination6769 2 ปีที่แล้ว +5

    JPM legacy

  • @avitusmichael5
    @avitusmichael5 2 ปีที่แล้ว +8

    Nimelia sana, baba JPM uliona mbali mpaka matumboni mwetu ulipaona tukanunua mchele 1300 leo ni 3000 hakuna mwenye huruma na sisi, staili iliyopo sasa ni kila mbuzi ale kwa urefu wa kamba yake

    • @florianruttahindurwa1189
      @florianruttahindurwa1189 2 ปีที่แล้ว

      Usilie bali fulahi kuwa ndugu zetu wakulima nao wanatajilika hivyo tulio town turudi kijijini tukalime.

    • @florianruttahindurwa1189
      @florianruttahindurwa1189 2 ปีที่แล้ว

      Kwa majibu yako tu inatosha kuona uwezo wako wa kufikiri!hoja ujibiwa kwa hoja sio hisia.

    • @avitusmichael5
      @avitusmichael5 2 ปีที่แล้ว

      @@florianruttahindurwa1189 sawa ila wakati mwingine nyie wenye hela na wasomi mnatudharau sana cc mnaotuita duni ila haipendez asee. We unafurahia upuuz mm nkujibuje? Usingekoment kwangu ungepita tu

    • @florianruttahindurwa1189
      @florianruttahindurwa1189 2 ปีที่แล้ว

      Kaka nakuelewa maaana sio kuwa nina maisha mazuri, nina degree na sijawahi ajiliwa permanent ila naona mwanga kwa mlango wa kilimo ndo maana nkacomment kaka.

    • @avitusmichael5
      @avitusmichael5 2 ปีที่แล้ว

      @@florianruttahindurwa1189 sawa mkuu, samahan sana

  • @suleimaniyasri917
    @suleimaniyasri917 2 ปีที่แล้ว

    Angekuwa kamanda xHz chuma tayarii

  • @janethpallangyo3855
    @janethpallangyo3855 2 ปีที่แล้ว +1

    Magufuli lala salama baba yetu

  • @suguivan3843
    @suguivan3843 2 ปีที่แล้ว +1

    Anha gharama zà usafirishaji zitapungua,kwani hii new mv Victoria hapa si meli ya serikali sasa nauli yake na basi vinatofautia na nini kwa sasa

  • @issayasosolo6033
    @issayasosolo6033 2 ปีที่แล้ว +2

    Walitawala na watawala Magu ndiye Bora zaidi ya kiongozi aliyekuwa na maamuzi ya kiongozi na maendeleo yenye kumaanisha maana ya maendeleo ya Ichi yetu, na wengine wavivu wakufikiri walikuwa wanahoji eti fedha atapata wapi na Sasa ndiyo hao hao kila kukicha wanapenda kukagua miradi hawaamini kinacho endelea bado wanaona Kama Ni ndiyo za alinacha,

  • @hemedylaita7249
    @hemedylaita7249 ปีที่แล้ว

    Maelezo hayo unawaeleza wabunge ama wananchi?

  • @queenraphaher7736
    @queenraphaher7736 2 ปีที่แล้ว

    Daar Rais wetu Yuko vizuri sana, kwa kweli

    • @deniccgabriel6153
      @deniccgabriel6153 2 ปีที่แล้ว

      Kama Yupo vizu ulizia bei ya mchele na Unga kwa kg 1

  • @deniccgabriel6153
    @deniccgabriel6153 2 ปีที่แล้ว +3

    Hakuna kitu hapo Kila siku ni maneno kwani JPM mbona kaacha njia wazi kilakitu Leo hii bei ya vyakula IPO juu na mpokimya ndani ya utawala wamamayenu mchele ,Unga nyama n.k .et.. ahsant ya nin...

  • @allytv1714
    @allytv1714 2 ปีที่แล้ว +1

    Jpm alifanya kazi kubwaa sana nchini tena yenye maendeleo makubwa lakini akuwanyonya WANANCHI Kwa njia yeyote ile lakn huyu rais tozo nyingi lakn Amna chochote anafanya wizi mtupu izo shukrani apewe hayati

    • @hassankatungunya804
      @hassankatungunya804 2 ปีที่แล้ว

      Tunauwona msukule wake unaendesha nchi, wajinga siku zote ukiwaona nakuwasikia utawajua kwa kauli zao

  • @revocatussebastian2427
    @revocatussebastian2427 2 ปีที่แล้ว +1

    Matajiri wamabasi wanaupiga vita huo mradi kazi #iendelee

  • @issahdady608
    @issahdady608 2 ปีที่แล้ว

    Asante TOZO

  • @selemani.matendo4091
    @selemani.matendo4091 2 ปีที่แล้ว

    Hongera. Sana. Late. Jpm. Pasipo.. Wewe. Haya. Yote. Yasingekuwepo

  • @musason1680
    @musason1680 2 ปีที่แล้ว

    Yan Leo mpaka kuanza kuwe February 🙄

  • @kefajoseph158
    @kefajoseph158 2 ปีที่แล้ว

    Raisi gani msenge tuu huyo mtu MAGUFULI bhana

  • @hamadsaburi3569
    @hamadsaburi3569 2 ปีที่แล้ว

    J p m shujaa

  • @valenakomba9218
    @valenakomba9218 2 ปีที่แล้ว

    Stendi bado hazijaisha. Mkisema muanze kitumia kabla kilakitu hakijaisha, basi hamtamalizia Tena. Tungoje kila kitu kikamilike. Etesheni zote na Teli zake.

  • @valenakomba9218
    @valenakomba9218 2 ปีที่แล้ว

    ZIDUMU FIKRA NA UBUNIFU WA HAYATI RAIS JOHN POMBE MAGUFURI.

  • @majaliwacosmas3322
    @majaliwacosmas3322 2 ปีที่แล้ว

    Magufuli oyeeeeee eeeeee,Tozooo hatumjui

  • @stephanomoses7694
    @stephanomoses7694 2 ปีที่แล้ว +1

    Kazi iendelee wakati rais wa wanyonge aliacha Mchele 1200 sasa hivi 3500 mbona yeye alikuwa anajenga hyo miundo mbinu bila kuumiza wananchi kwa kodi za dhuluma kwan Alikuwa anafenyeje yeye? Hebu jiulizeni

  • @yubimakame9034
    @yubimakame9034 2 ปีที่แล้ว

    Kwani mradi wa bwawa la umeme umefikia wapi? Mbona hatuon kinacho endelea!
    M

  • @issayasosolo6033
    @issayasosolo6033 2 ปีที่แล้ว

    We mbunge kwani wewe Ni mchina, Mtanguri wa mama hampendi kumtamka juu ya hiyo mradi tunaomba Sana muweke kumbukumbu nzuri katika ndimi zenu watanzania tunajua vizuri hiyo miradi na hasa Aliye fanya misukumo mikubwa mpaka Sasa hiyo miradi inaipa heshima Tanzania, Sasa tunaona tunona mnajifanya hamnazo hampendi kumtamka kiugasaha Magu na kumpa kongore zake.

  • @hallin9561
    @hallin9561 2 ปีที่แล้ว

    Mavichwa yenyewe mbona kama kambale, ni yakisasa kwel aya au madalali wameshawajibika

  • @japhetkavishe8
    @japhetkavishe8 2 ปีที่แล้ว

    Ila uo mrad sio wa mama samia ni mradi toka kwa magufuli tusije sema ni tozo hzo itakuwa uongo

  • @G.r.e.a.t.I.Q
    @G.r.e.a.t.I.Q 2 ปีที่แล้ว

    Nina RAI. Waweke radar na camera zenye nguvu ya kuvuta mbali. Wanga hawakosi kuvizia kurudisha nyuma mema yafanywayo!

  • @kefajoseph158
    @kefajoseph158 2 ปีที่แล้ว

    Wanao mpongeza Shetani samia niwaisilamu wakosa akili wachache

  • @davidluangisa4515
    @davidluangisa4515 2 ปีที่แล้ว +1

    Am proud of you Mama Samia...

    • @hamisimussa5238
      @hamisimussa5238 2 ปีที่แล้ว

      For what

    • @jambo3751
      @jambo3751 2 ปีที่แล้ว

      @@hamisimussa5238 Are you blind or deaf?!!

    • @hamisimussa5238
      @hamisimussa5238 2 ปีที่แล้ว

      @@jambo3751 iam blind nothing at all .salute for the vision .

  • @kanikionlineTV
    @kanikionlineTV 2 ปีที่แล้ว

    Wakimbizi 9 kutoka ETHIOPIA wakamatwa hapa nchini TANZANIA kwa taarifa hiyo na undani wa taarifa hii unaipata hapa media ya kuaminika na inatoa habari zenye ukweli na uhakika th-cam.com/video/bckBMBr6cIA/w-d-xo.html

  • @MauaMusa-qe3rh
    @MauaMusa-qe3rh ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂😂

  • @karimkalyango4411
    @karimkalyango4411 2 ปีที่แล้ว

    We are really tired of your daily stories mr wallah. Wew ni mtalam but umekubali kutumiwa kisiasa. Please next time just kp cool usiongei maana WaTanzania wamechoka na porojo.

    • @jambo3751
      @jambo3751 2 ปีที่แล้ว

      Anatumiwa kisiasa kivipi?!
      Au nyinyi na kundi lenu hilo ndio wenye porojo la kisiasa?
      Yaani mnataka wataalamu wasikilize miluzi yenu walipue tu kazi eti waambiwe wamekamilisha halafu baada siku tatu iharibike muaze kubweka kama kawaida yenu.
      Mmekaa mkisubiria tu hapo MAMA SAMIA afeli kukamilisha miradi ili mpate kusema. Let me tell you miradi yote itakamilika na SAMIA hatokuwa Rais wa maisha atamaliza muda wake na ataingia mwengine.

  • @abdulnaseebomar3083
    @abdulnaseebomar3083 2 ปีที่แล้ว

    hii train mbona Ina sura kama panya road ,,, tofauti na zile za wenzetu,,au hii ya majaribio🤣🤣

  • @haniffa9024
    @haniffa9024 2 ปีที่แล้ว +1

    th-cam.com/video/Dn8saxAgIaE/w-d-xo.html
    FAHAMU PESA ZA MAJINI NA PETE ZA MAJINI ZENYE KUVUTA MALI NA UTAJIRI MKUBWA,,..*#
    th-cam.com/video/Dn8saxAgIaE/w-d-xo.html

  • @abubakarnabahani4994
    @abubakarnabahani4994 2 ปีที่แล้ว

    Juhudi Kubwa viongozi Wetu Hayati Magufuli na uthubutu Wa Mama Yetu Mpendwa Samia Suluhu Hassan lakini wapumbavu hawatalitambua hilo.Allah azidi kukupa afya njema utumikie Taifa letu pendwa.

  • @haniffa9024
    @haniffa9024 2 ปีที่แล้ว +1

    th-cam.com/video/Dn8saxAgIaE/w-d-xo.html
    FAHAMU PESA ZA MAJINI NA PETE ZA MAJINI ZENYE KUVUTA MALI NA UTAJIRI MKUBWA,,..*#
    th-cam.com/video/Dn8saxAgIaE/w-d-xo.html