Kama mm ninavyo lilia penzi la Anko jay na ilhali simjui, , , Aaaaweeee 😂😂natania tu usichukulie serous bana , , hongera Anko jay lwa kipaji kizuri mungu alicho kupa , , mungu akulinde na hasad za binadamu ❤❤❤❤ Big up Anko
Anko jay🥰🥰🥰🥰 mwenyewe tatizo ni moyo hii simulizi naona kama imenigusa miee kabisa daah mapenzi hayaa yanauma kuliko kitu chochote kile halafu maumivu yakee makubwa sana 🤭🤭🤭🤭
Ase ibra lielezwa hukwli lakin kigaganozi ibra mwatibifu amenikea,Mii Anko j pia wewe una macho mazr nimetania ila ibra asijisifu kuhusu Mali mapenzi sio Mali mapenzi ni hisiya🥰🥰🥰🥰

Shukrani sana ankle Jay and s.mix at large n vyema kukubali tunaposhindwa Mungu atusaidie tunapofanya maamuzi
Tatizo huwezi lazimisha moyo kupeda nimejifuza wini Yuko to sahi mapenzi sio Mali kama alivyo Dani ibra husilazimishe mapenzi ibra pubavu amenibo shukraan sana Anko j Kwa sahuti tamuu aaweeee nimetania asate💔💔👍
Tatizo moyo nzuri sn nimejifunza kitu juu ya hii big up watunzi na wasimulize nyote
Nakubali.baba.uko.juu.saaana
God bless you anko J
Ganzi ya moyo 😭😭😭😭r i p wahusika wetu,na Asante sana anko jay 🙏🙏🙏
Masikini mama edi simulizi nzuri yakusikitisha asante Anko J
Nakukubali brooh
Ooh jamani simulizi inaumiza,asante Uncle J
Anko jay🥰🥰🥰🥰 mwenyewe tatizo ni moyo hii simulizi naona kama imenigusa miee kabisa daah mapenzi hayaa yanauma kuliko kitu chochote kile halafu maumivu yakee makubwa sana 🤭🤭🤭🤭
Asante moyo
Dhaa napenda Sana simuriz zako na uwa sitak ata zinikose onger Sana anko jay
Kweli maisha ni safari ambayo mwisho wake ni mauti na ukitaka unaye mpenda awe na furaha basi muache aende kwa anaye mpenda
Ase ibra lielezwa hukwli lakin kigaganozi ibra mwatibifu amenikea,Mii Anko j pia wewe una macho mazr nimetania ila ibra asijisifu kuhusu Mali mapenzi sio Mali mapenzi ni hisiya🥰🥰🥰🥰
Learning more and respected people 💯. Best story ever. Big up uncle J.
Simulizi zako nzuri Kama sauti yako
Very nice anko j nakukubali sana ila sauti yako inanimaliza kabisa😂😂😂😂
Simulizi ni nzuri
OMG 😭😭😭IS THIS INTENTIONAL LOVE OR INTENSITY.. IM TRULY SADDENED BY THIS LOVE STORY..🔥🔥🔥🔥 INCREDIBLE ANKO JAY