Warabu wamenipa kazi nyingi kunieka busy ili nisishike simu yangu😂😂 ila nawaonea huruma mara pap naona story kutka simulizi mix kwenye kioo cha cmu yangu ,, nimeclick mara hiyohiyo na naenjoy sai ❤❤❤❤ ahsante msimuliaji mr.Anko jay pamoja na simulizi mix..😊😊
Asante Sana Santos Alikuwa Hanaupendo Kwa Melina Alimusaidia Sana Melisa Kisha Nikama Alipata Muwasho Ni Kupitia Ile Wakati Alifanyiwa Ngono Nyumba Na Mbele Hiyo Ndiyo Iliyosabasha Awe Na Muwasho Mwishowe Uliisha Vizuri Hakapata Mchumba Akamuowa
Thanks 😢for the story it was fascinating and I loved it ❤, please tuandikie hadithi nyingine nyingi tu,we enjoy the way you keep us focused, be blessed
Warabu wamenipa kazi nyingi kunieka busy ili nisishike simu yangu😂😂 ila nawaonea huruma mara pap naona story kutka simulizi mix kwenye kioo cha cmu yangu ,, nimeclick mara hiyohiyo na naenjoy sai ❤❤❤❤ ahsante msimuliaji mr.Anko jay pamoja na simulizi mix..😊😊
Pole kwa u bz wazee ndivyo walivyo waarabu
@@ftimaramadan4748 sometimes wananichosha , ila sisi niwapambanaji tutapambana tu
@@binthassan9191 jipe moyo mungu akupe nguvu inshallah
hahahaha pole dear wanamakusudi hawa sijui wapoje wawoo muda wote simu zao zipo mikononi
@@ftimaramadan4748 Aamiin 😘habibty
Na mim Leo nimewahi jamni like zenu please 🤗😉😉
Wawooo kesh nap nitakuachia uwe wa kwanz saw
@@kulwadoto6863 🤣🤣🤣 sawaaaa Asante
Asante Anko J, you are special
Jmn ila anko j ww nani alisema walinzi hizo ndizo sauti zao 😂😂😂😂😂ila fine tunashukuru kwani mafunzo tunayapata tele 🥰🥰🥰💞💞💞
Yaaan kwakweli smix wanatutoa stress saana tu injoy waarab
Asante santos na Anko j kwa simulizi nzuri yenye mafunzo
Jamani waomani,Dubai,Qatar tujuane
Mim Niko dubai
@@denarejinadena3629 Mimi nipo Omani habity.
Niko oman tim magaidi piga kifua mara 3 😂😂😂💪💪💪💪
Patrical Beti nipo Omani
Hata nikipewa kazi mingi na warabu lzm nickize simulizi tamu za lissa mwalla much love to u ankoj
Da leo wakwanza
Nzur
Dah nawakubal sana simuliz mix haswa ww braza hujawah kukoseag yan
Asante sana ankojey
Sijachelewa sanaaa achanikae mkao wakula nijue kilicho jiri
Waoo anko J tulimic sn simulz💖💖
Asante sana iko fixed haiko idol
Asante Sana Santos Alikuwa Hanaupendo Kwa Melina Alimusaidia Sana Melisa Kisha Nikama Alipata Muwasho Ni Kupitia Ile Wakati Alifanyiwa Ngono Nyumba Na Mbele Hiyo Ndiyo Iliyosabasha Awe Na Muwasho Mwishowe Uliisha Vizuri Hakapata Mchumba Akamuowa
Asante san nzuri
Asante Smix kwa story yenu nzuri..inanifanya nisiwe nalala mchana
Kesh ulale saw
@@kulwadoto6863 ucjar nitalala ila kama hakutokuwa na story
Mm nsinzia ila najipa moyo jman,staki kua hwa
Yaan umu wengi team hamam
Watatu wadau
Tamtam niulevi wanguuu!
Asante sana simulizi mix Kwa ku upload Hadithi yangu
aya bana
Umetisha sana umu kaka nakutabiria makubwa zaidi
@@Pinto26 😍😍👍
Thanks 😢for the story it was fascinating and I loved it ❤, please tuandikie hadithi nyingine nyingi tu,we enjoy the way you keep us focused, be blessed
@@evelynlyimo1557 indeed
Nimesha tindinganya mambo anko na d.o🚶♀️🚶♀️🚶♀️🚶♀️
Mm wangap 🤣🤣
Asante anko jay
Timu hamam tupoooooo,
Asant Anko j
Asantee smlz mix 🥰🥰
Hi Anko Jay? asante kwakweli simulizi hii ni 🔥🤭
Very nice💃💃💃
Nihukumiwe Tena d oen wetu waooo yani ninaposikiliza matangazo napata kimhemhe jamani naisubili kwa ham
Anko jay atleast leo maana ulituamulia kumuachia lucas kiti let m listen the story now
Simulizi ni nzuri sana credit kwa mtunzi na msimuliaji
😂 😂 Bikra aunko j au ndo unatupiga kitu kizito
Mzuri sana inafundisha
Team fulus simulizi mix tutoe stress wana dada asante simulizi mix kwa mawaidha mazuri ❤
Tim fulus tim magaid twendekaz😅😅😅
hongera anko jay
Awww uncle J penda wewe
Thank tu sana anko jay❤❤
Big lesson
Wawooo asante anko jay 😍🌹🌹❤️
Tunanjoi tuu na simulizi mix anko jay mwenyewe yaani nikiona waraabu simuelewi nasikiliza simulizu mix🤣🤣🤣🤣
Umeonaee hat uitwe Yan masikio hayasikii kit zaid y smix
@@fatmaalbahri1846 kumbe tuko wangi 😀😀😀
Nikajuwa peke yang 🤣🤣🤣kumbe tupo weng 😀😀
@@ftimaramadan4748 sana2
Hahahaha mm sai ni Bluetooth Kwa maskio 24/7 hahahahah
Asnte sana anko j n smix kwa ujumla 😍
Wow leo mme ni furahisha adi kina langu
🤣🤣🤣anko jmn ati kufanyaje kunautamu alafu ww ni nn mtoto🤣🤣🤣🤣
Ubarikiwe uncle
✌️✌️
Wapili.jamani
Shukran Anko ❤️❤️❤️
Simuliz
Kigongo kingine jamani haya twende kazi
Mm napenda simulizi za ako j jamani saiti nzuri wala huchoki kusikiliza
Simulizi.hii .inatishaa.jaaamanii
Yaan ata nipike kubus nyingi kias gan lazma niskilize simuliz ndiofaraja ya wangu hapa gulf
VERY ENTERTAINING STORY. 👏👏👏ANKO JAY
Ila watu tunafanya KAZI uharabuni ndio tuko pamoja Sana na Smix
😀😀😀 ukipata mda shukuru wengine tumekosa mda
@@ftimaramadan4748 Nina Imani uko na muda ndo maana umeweza ata kusoma comments na kuskiza hadithi
@@dayanaamoit6951 nna wageni hapa nimejificha 😀😀😀
Watusadie t shirt za bure km Wana mix
😂😂😂 Kwichi Kwichi ndio tamu
Sijaelewa hz comment maana haziendani na simulizi
🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
Naomb like jamn hat kam nmechelewa ❤❤❤🎉🎉.
☁️🙆☁️
❤❤❤
❤❤
Twende nalo sasa😊😊
Asante anko
❤❤❤❤❤
Hayaa team Ingiliz taal taal shwaiyaa🏃🤣
Jamani waomani Dubai qatari tujuane
@@zainabuzainabu4160 mm wa qatar
@@zainabuzainabu4160 tupoo kipenz Mimi Oman
@@khadija725 Wao Oman sehem gani?
@@zainabuzainabu4160 nipo muscat kipenzi
❤❤❤❤
Tulioko gulfu tunatisha kwa simulizi
Ooh kumbe ilikua ni matangazo 😅😅😅nikajua Kesha dindinganya mambo ila d.o anambwewe 😂