ABEE SHEM... 1 S 2 : SIMULIZI MAPENZI USALITI, UPELELEZI ,MAPIGANO.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 49

  • @zenaathumani8144
    @zenaathumani8144 2 หลายเดือนก่อน +7

    Wakwanza jamani likes zenu 🙏🙏🙏🔥🔥🔥♥️♥️♥️♥️♥️♥️ from Italy 🇮🇹 🇹🇿 ciao ciao

  • @nusratbintabdullah5713
    @nusratbintabdullah5713 2 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sana bro D Oen eti hadi shrtani akausisha 😂😂😂

  • @AnnaMelikion
    @AnnaMelikion 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu wangu😂😂😂😂 Yusuraty umekwishaaaaaaa😢😢😢😢😢 .kwisha habari yakooooooo🙌🙌🙌🙌🙌🙌Umejichanganya 😭😭😭😭

  • @raayMahmid
    @raayMahmid 2 หลายเดือนก่อน +3

    Asante ❤❤🎉

  • @FatumaJumanne-p4d
    @FatumaJumanne-p4d 2 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤

  • @MYME-u5d
    @MYME-u5d 2 หลายเดือนก่อน +4

    Ahmediiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii😆😆 nilisahau kumbe kaachika Smix shukrn kwa mwendelezo tuko pamoja🤝

    • @zenaathumani8144
      @zenaathumani8144 2 หลายเดือนก่อน

      Kwakweli😂😂😂😂😂

    • @MYME-u5d
      @MYME-u5d 2 หลายเดือนก่อน +1

      Zena weee subir utaona😆😆😆ahmed talaka haimwachi mi anachoniuz kupiga hapo tu hawez kudhibiti hasira zake

    • @zenaathumani8144
      @zenaathumani8144 2 หลายเดือนก่อน

      @@MYME-u5d 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @fatumamatano8216
    @fatumamatano8216 2 หลายเดือนก่อน +5

    Tunasonga

  • @muhinanjowa7229
    @muhinanjowa7229 2 หลายเดือนก่อน +2

    Nusrat ww jamani yaani nusra nusra penzi linasonga 😅😅😅Alafu ss unalikoroga mwenyewe 😂😂😂shetani kausishwa 😂😂😂😂😂

  • @mariamMilha-st3qu
    @mariamMilha-st3qu 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wadau uwamulala umu shukran D'Oen kwamwendelezo🎉🎉🎉🎉 Yuslat umemuciti Ahmed sijuwi kitakukuta🤣🤣🤣🤣

  • @swabrinamwaka2437
    @swabrinamwaka2437 2 หลายเดือนก่อน +3

    Wa 2 ❤❤🎉🎉

    • @zenaathumani8144
      @zenaathumani8144 2 หลายเดือนก่อน +1

      ♥️♥️♥️♥️🎉🎉

    • @RahelKalume-j3l
      @RahelKalume-j3l 2 หลายเดือนก่อน +1

      Makofi kwa George wake🎉🎉🎉🎉❤❤❤😂😂😂 yaani one shoot one goal💪💪💪💪nimeipenda hiyo we Nusrat ukiolewa na Ahmed utadhalilika ukizaa hako katoto kanaweza kuwa photocopy ya George 😂😂😂😂😂

    • @RahelKalume-j3l
      @RahelKalume-j3l 2 หลายเดือนก่อน +1

      Mbona nimecheka hapo kwa kukosea message mimi😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉

    • @RahelKalume-j3l
      @RahelKalume-j3l 2 หลายเดือนก่อน +1

      We kibaka pumbavu mbona unaharibu tena😂😂😂😂

  • @MwanaMpole-mo5di
    @MwanaMpole-mo5di 2 หลายเดือนก่อน +2

    Tupo shemeji

  • @SabrinaAlimas
    @SabrinaAlimas 2 หลายเดือนก่อน +3

    🥰🔥🔥🔥

    • @MYME-u5d
      @MYME-u5d 2 หลายเดือนก่อน +1

      Weeeee amkaaaa yusra ana baby wetu tumboni😅 chezea joji weweee kapita shwaaaaaaaaaaaa!!! 😅😅😅😅😅mi natak yusra arud kwa joji wetu bhn ahmed tumemchoka kwanz anatupigapiga kila muda

    • @SabrinaAlimas
      @SabrinaAlimas 2 หลายเดือนก่อน +1

      @@MYME-u5d 😂😂😂😂 mmmh wewe tenaa,, m nataman bhn yusrat angeoana na Ahmedy ,,,kumpiga si n wivu jaman ndo mapenz yenyewee😂😂

    • @MYME-u5d
      @MYME-u5d 2 หลายเดือนก่อน +1

      Weeeeee😆😆😆ht km lkn mwenzang kipigo hpn mwanamke anabembelezwa na sio kumzaba makof kifup ahmed hapn

    • @SabrinaAlimas
      @SabrinaAlimas 2 หลายเดือนก่อน

      @@MYME-u5d toka apaaa 😔🤣🤣🤣

    • @Evelynmoreen3655
      @Evelynmoreen3655 2 หลายเดือนก่อน +1

      Hizo mambo zakupigwa kabra ya kuowana weeee siwezi kabisa lazima ndoa ivunjwe mchana kweupeeee😂😂😂😂😂😂

  • @lonakirao5275
    @lonakirao5275 2 หลายเดือนก่อน +4

    Lakin wanawake tuna moto wetu kwa Mungu haki😂😂😂 ila Ahmed ndo chanzo maan wivu ndo wake ndo kafanya Nusrat kanyanduliwa na George 😂😂

  • @MwanaMpole-mo5di
    @MwanaMpole-mo5di 2 หลายเดือนก่อน +1

    Tupo wawachane

  • @twinssauditwinssaudi7248
    @twinssauditwinssaudi7248 2 หลายเดือนก่อน

    Pamoja

  • @Evelynmoreen3655
    @Evelynmoreen3655 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ahmed hizo hasira zake zakupigapiga mwanamke kabra hujamuowa hapana mi siwezi kuolewa hiyo inamanisha ukisha olewa nae utakuwa kiwanja chakujifunzia ngumi bola ndoa ivujwe mapema 😂😂😂😂😂yusrat mtoto wa George huyo damu ya mtu haipotei shauli yako bola umwambie Ahmed ukweli kuhusu ujauzito utakuja kuumbuka huko mbereni mara nyingi mtoto wainje anakuja na sura ya baba yake mzazi sasa jichanganye🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 2 หลายเดือนก่อน +1

    😢😢😢😢yusrat siri sawa lkn sasa mtoto akifanana na Charles itakuajee hapo ndo tatixo

    • @MYME-u5d
      @MYME-u5d 2 หลายเดือนก่อน

      Umeonaaaaaa😂😂😂😂mi nasubir nione hili move litaishia wap

    • @nurafedrick378
      @nurafedrick378 2 หลายเดือนก่อน

      @@MYME-u5d hapa kuna kuumia mtu ubaya bado anamsaliti mwezake

  • @twinssauditwinssaudi7248
    @twinssauditwinssaudi7248 2 หลายเดือนก่อน +1

    Alafu ww Ahamed unastahili hili mpuuzi ww ulimfanya nini mchana alie kupenda mwaka mmoja nyuma lia na ulie tena mbwa ww

  • @twinssauditwinssaudi7248
    @twinssauditwinssaudi7248 2 หลายเดือนก่อน

    We joji. Nae,umen'gan'gania mwanamke wa watu na unaleta mahacra.ukipanga kuiba chamtu jipange kwa liolote pumba ww

  • @aminanimbona1861
    @aminanimbona1861 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ahmed na khajrat walikuwa na paswa kupendana mana wamepitia msotoo kwenye mausianoo😅😅 ila khajrat kumsaliti Ahmed uko mbelenii itaniumaaa kweliii😅😅😅😅😅😅

    • @Evelynmoreen3655
      @Evelynmoreen3655 2 หลายเดือนก่อน +1

      Huyo hajirati kasha kuwa na pepo la ngono kasha toka na doctor na bado kutoka na shemeji yake Kassim wakaamuwa kumuuwa ahmed kwenye episode 1ikiwa imeanza 😂😂😂😂😂

    • @aminanimbona1861
      @aminanimbona1861 2 หลายเดือนก่อน +1

      @@Evelynmoreen3655 yambeleni yanafurahisha wallah 😁😁😅😁😅😅

    • @Evelynmoreen3655
      @Evelynmoreen3655 2 หลายเดือนก่อน +1

      @@aminanimbona1861 bado Ahmed ajipange🤣🤣🤣🤣

    • @MamahetuChikuti-mp5lj
      @MamahetuChikuti-mp5lj 2 หลายเดือนก่อน

      Lkn yote ni mipango ya kakake Ahamed

  • @raayMahmid
    @raayMahmid 2 หลายเดือนก่อน +4

    ❤❤

  • @bintimrope
    @bintimrope 2 หลายเดือนก่อน +4

    ❤❤❤🎉