Anko J thanks a lot simulizi ni nzuri mno kina dada na kina Kaka wapendwa siku zote mapenzi yana misukosuko na hapo ndio mnakomaa ktk mahusiano. Kama misukosuko huwezi kuishinda basi wewe uwanja huo sio wako. Big ups kwa dada Shufaa🙏🏾
Hakika nimeipendaa hii simulizii asantee sana Anko J mungu akubarikiii umejua kunishawishi piah big up San shufaaa japo nilikuwa nafrahiiiii sana maaan ulikuwa unanifrhishaaaa ❤❤❤❤
Uyu shufaa na Brianna wanajua kuandika sana ❤❤
Nashindwa kuhesabu Ni Mara ngapi shufaa alipaki nguo zake kuondoka🤣🤣🤣🤣 sema hii simulizi ni nzuri sana
Aisee simulizi mix mmejua kutufurahixha xana big up kwenu kwa simulizi nzuri hongera pia anko J unasimulia vizuri sana
Hahaha mm nimecheka wazungu wamepelekwa kijijini hiyo kali sana kweli
Tamu sana hii simuliz uwiii
santaa nimeipenda sanaa
Uncle J unaweza sana upewe ulinzi waku tosha❤️😍🥰
Yani hii simulizi iko kama ya rahma na shebracki nimeipena sana yani asante😍😍😘😘
Thanks anko jay kwa simulizi nzuri yenye mafunzo 🔥🔥🔥big up simuzi mix😘😘
Nzuri
Barikiweni sana maisha mema Devid
Waoooo namba 2 asante ank j tupo pamoja hatua kwa hatua
Tunaendelea kuinjoi anko jei mungu awe nawe jamani
Congra daa Shufaa i love ❤
Mmmmh, kigongo cha moto saana,asante mtunzi na msimuliaji wetu wa kipekee sana anko Jay
Asante kwa simulizi nzuri nayenye mafunzo
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Hii ni bombastic bakupenda bure ancko jay
Anko J sanam lako lijengwe posta 😘❤yaan simulizi zako zote hua ninzur huna baya anko J
Wooow🔥🔥🔥🔥🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Anko J thanks a lot simulizi ni nzuri mno kina dada na kina Kaka wapendwa siku zote mapenzi yana misukosuko na hapo ndio mnakomaa ktk mahusiano. Kama misukosuko huwezi kuishinda basi wewe uwanja huo sio wako. Big ups kwa dada Shufaa🙏🏾
Simulizi nzuri hii jaman nimependa
Nice
Jmn
Napenda sana zimulizi🤣🤣🤣❤🔥🔥💪💪
Waoooo!!! fantastic story thanks alot
Nmelipenda sanaaaa jmn
Iyomoja nisan mwanamuke mwenyemushimamo naipenda san
Yeah thanks anco ni nzuri large
Waoooo....so lovely 😍
Ndoa hupangwa na mungu pongezi sana
Hakika nimeipendaa hii simulizii asantee sana Anko J mungu akubarikiii umejua kunishawishi piah big up San shufaaa japo nilikuwa nafrahiiiii sana maaan ulikuwa unanifrhishaaaa ❤❤❤❤
Simulizi nzur mnoooo asante anko jay
Nc kbx 🌹💓💓💓
Shufaa ni Mwana Muke mwenye musimamo
Woow! I'm no.1, thanks Anko J & simulizi mix as well ❤❤❤
Moja simulizi Nimecheka yaaani shufaa jamani kamubadilisha
Waooo nzulisana 😍😍😍😍
Shufaa kiboko ya David
Mmmmm kitu kumoyo hii kitu jamani
❣️💖💕💞 tam pongez j
Thanks Ankoj kwa simulizi zako za kuvutia sana
Love from 🇧🇮🇧🇮🇧🇮 Fantastic story
Jamani kumbe kuna mwenzangu nikajua niko mwenyewe 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮 aiseeeee duuuh
Much love ankle Jay, usizeeka haraka n hata ukizeeka usiache kutuletea simulizi nzuri, nawapenda wote neema I've n nyinyi
Hufumilifu hula mbivu
😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊
Nzuri mpaka nzuri tena
Story nzuri sana
Waoo mashalla
Mashallah ninzuri sana
Simulizi nzr na Ina funzo sante xana Anko J
Tamuu sana 🌹🌹🌹
Asante sana kwa simulizi zuri
Asate sana simlizi fupi by ako
Thanks tamu sana barikiwa sana anko ❤❤
Yani Kila siku unanipaha hamu ya kuendelea kusikiliza jamn nimzuri sana jamn
Hii simulizi inatakiwa nimuonee huruma shufaa Ila ndo Kwanza na cheka 🤣🤣🤣 shufaa kiboko jamani
Miee napenda kila siku uwe wewe anko j wallah sauti mashaallah 🥰🥰🥰
Kbx napenda Anko j uwe nafasi ya mwanamke tu na iyo sauti sasa😍♥️
Wanaomtaka Anko jay tujuane hapa🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️
ajengewe sanamu
Simulizi Kali sana
Nice simuliz
Jamani hiyo sauti ya Ankooooo
Safi sana anko j
Nzuri bara
Nzuri sana mashallah
Kama uzuri wako Mwazani
Shufaa jeuli yako hayatuone msimamowako
❤❤❤❤❤❤❤❤
Simulizi nzuri sana
👏👏 nice
Mmmh Dunia inameng hii
I like this story
Sawa amen ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
good
Ila hii simulizi tramuuu balaa wacha nimalizie
Yan hii simuliz natm nisikiliz kila wakt jamn imenikosh san yan mpk natam itoke na move vile
Mmmh,David mkatili hatari
Atimae shufaa nimefikiwa 😅
Hahaha shuu wewe unapenda makuu wewe
💃🥂🌹❤️
🔥🔥🔥
Fantastic story thanks a lot
Umeparamia usiyoyajua ungeyafahamu kwanza mazingira
Iyi simulizi ninzuri sn nimeipenda
🔥🔥🔥🔥😂
Utanikumbuka ntumie
Shufaa mtata huyu balaa
GREAT STORY ANKO JAY 💥💥
Njoo pori aje ajifunze hapa jinsi ya kusikulia story no poronjo
Umeona eeeh yaani anapoa sana
Weeee
Ninom Dana
Shufaa bolasana mashallah ♥️
Shifts na wewe
Lkn huyu binti ana kiranga na kiherehere cha haja anamjua mtu wake lkn haishi visa
😍😍
🎉🎉🎉🎉🎉
❤️❤️❤️
Good job
Unavuuta muda
Hqhahaha
🥰🥰🥰🥰
Woow
Me na penda Kila siku uwe unasimulia weeh Anko Yan akisimulia m2 mwengine me Huwa sielewi kabisa jmn😔
Mm nikikuta sauti sio ya anko aiacha kabisa 🤣🤣🤣
Yaaan mm ndo kama ww
Lovel
Duuuuuuuiiiii unanikosha kweli na hii simulizi yako kaka
@@aishamussa3245 to
Ht f. Bu xg lğ
Simulizi tamu yaani hainichoshi najiskia raha nikiisoma, Ankle lete vitu vitamu
santaa nimeipenda sanaa