PROPHET MALISSA amvua NGUO MKE wake, aanika uchafu wake nje, UKWELI WOTE HUU HAPA, TALAKA ILITOLEWA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ต.ค. 2024
  • Bongo5 is a dedicated to creating the best content for you, our audience!
    We hope you enjoyed this video, and ask you to please like & subscribe to our channel if you haven't yet. Have you had a great experience with our channel? Let us know in the comments below!
    #entertainment #news #music #funny

ความคิดเห็น • 31

  • @jonathanbbenardkazenga2085
    @jonathanbbenardkazenga2085 11 หลายเดือนก่อน +3

    Damu ya Yesu itasimama kama ukweli au uongo Mungu simama mwenyewe juu ya maneno haya yote

  • @nurdinkisaria9476
    @nurdinkisaria9476 11 หลายเดือนก่อน +1

    Mwijaku na Dr.Kumbuka mnatuharibia maisha

  • @emmykundy4273
    @emmykundy4273 10 หลายเดือนก่อน

    29:00 kumbe Malisa anaweza kuoa mke mwingine kimira, na bado mke wake (Lisa) akiwa na mwanaume, inakuwa ni tatizo sio… wewe unayetoa hii taharifa huna uelewa na unachokiongea…

  • @emmykundy4273
    @emmykundy4273 10 หลายเดือนก่อน

    28:40 Nabii Malisa anazaa na mwanamke mwingine na wanafuata taratibu za kimira (sio za dini) alafu mnasema ninyi ni wakristo

  • @jacklinemahinya2488
    @jacklinemahinya2488 11 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂 😂 nicheke mie

  • @jonathanbbenardkazenga2085
    @jonathanbbenardkazenga2085 11 หลายเดือนก่อน

    Nguo gani andikeni title yenye ukweli

  • @emmykundy4273
    @emmykundy4273 10 หลายเดือนก่อน

    Alafu hao wachungaji ndio wanaombea ndoa za watu wengine… na hatabkumfufua mama yake mara tatu…
    Endelea kuwaamini hawa manabii wa uongo.

  • @hastatz
    @hastatz 11 หลายเดือนก่อน

    Ndoa ngumu kwel yani

  • @bakarially253
    @bakarially253 11 หลายเดือนก่อน

    huo ndio ukiristo nas

  • @amiribakari2528
    @amiribakari2528 11 หลายเดือนก่อน

    Wewe ni mnafiki unamtetea malisa unamchafua huyo bint kwamba kaiba pafym wewe umedhitisha kwamba ni mwizi tyr..kwa nn..mbona huzungumzii swaala la malisa kuzaa na mtumishi

  • @YothamBraiton
    @YothamBraiton 11 หลายเดือนก่อน

    Sasa wewe ufanye mchakato wa taraka wewe ndo ulimuowa huyo binti😅 kwani hii kisheria imekaaje kuowa haowe mwingine na taraka atafute mwingine😅nchi ya ajabu hii halafu linaongea bila aibu ili litakuwa tapeli lilobobea ona iyo ooo yake😅😅😅

  • @neemamushi4476
    @neemamushi4476 11 หลายเดือนก่อน

    Acheni kuichafua dini

  • @leaherasto929
    @leaherasto929 11 หลายเดือนก่อน

    Wewe baba acha uongo umelipwa wewe kwani Mwamposa anasemwa mangapi mbona hajawai jibu mtu apo ulipo yako yamekushinda

  • @OnlyRuky
    @OnlyRuky 11 หลายเดือนก่อน

    Why asiongee muhusika? Unajuaje ya ndani ya ndoa yao?Ahahahahahw CHAWA WA MCHUNGAJI..... Wanayopitia? Umetumwa kumsafisha Mixxx👇Haya wanakondooo nawasubiri km mlivyo jipanga😊 Ushahidi lisanadhara,amedharau serekali, issue ya uwizi ya walisa imeingiaje? Yanahusianaje???
    Hao makamanda walihusika na kesi niwalarushwa hakuna anayewaamini😮

    • @YothamBraiton
      @YothamBraiton 11 หลายเดือนก่อน

      Hao ndo aliwaongelea mange😅😅😅

  • @jonathanbbenardkazenga2085
    @jonathanbbenardkazenga2085 11 หลายเดือนก่อน

    Na umuomeshe huyo mtu anaedai hayo yote

  • @imanmodern
    @imanmodern 11 หลายเดือนก่อน

    Anamvueje nguoa tena jamani 😅

  • @BigBrain23
    @BigBrain23 11 หลายเดือนก่อน +1

    Huku mtandaoni kuna ujinga sana, wewe ni chawa wa mchungaji au msemaji wa ndoa za watu? Naona umeita na waandishi wa habari kizungumzia ndoa ya mchungaji

    • @YothamBraiton
      @YothamBraiton 11 หลายเดือนก่อน

      Dume Zima linaongelea maisha ya watu jamani utumishi wa miaka hii ni hatari

    • @rosemuhandoofficial5676
      @rosemuhandoofficial5676 11 หลายเดือนก่อน

      Kwanza mi nashindwa kuelewa, na sikutegemea mambo ya ndani ya mtu na mkewe ,watu wanaojuwana nyu hi zao huyu anashadadia hivi anajitambua kweli???

  • @judyngowi391
    @judyngowi391 11 หลายเดือนก่อน

    Mtumishi wa Mungu anaoa kwa kufuata taratibu za kimila?😢😂😅😊

    • @CharlesMakasi-jp2hs
      @CharlesMakasi-jp2hs 11 วันที่ผ่านมา

      Hii ni mitandaon acha wakongwe wawezavyo but siamin hayo yote

  • @PrinceHendry-hp8vv
    @PrinceHendry-hp8vv 11 หลายเดือนก่อน

    Mh...nishakua na mashaka na nyie mtakua kakumbaaaa

    • @YothamBraiton
      @YothamBraiton 11 หลายเดือนก่อน

      Hawa watu wanajitetea sasa siwampatie haki zake hayo yaishe kelele za Nini sasa et ooh mh nitamtaja😅😅jamani maisha haya yanaenda mbio sana,wanatete matonge Yao,anavyoongea aibu naona Mimi huyu kibonge sio mzima kabisa kabisa😅😅

  • @YothamBraiton
    @YothamBraiton 11 หลายเดือนก่อน

    Kwaiyo huyu ndo nani sasa,kwanini hasiongee mwenyewe kaka mzima na ubonge wake anaonge pumba tu, halfu unasema uliendankuchukua form3 walipikuwa Wanakaa wanzo je walipikuwa na kaa sasa waliwakatalia iyo form namba 3 kwa ushauri wangu mdongo hamkutakiwa kuja kuongea hayo Mambo badala yake mngempati huyo Binti anachotaka,kwa lugha nyingine amtakai kumaptia halafu mnajiita watumishi KWELI dini imeiingiliwa jamani😢

  • @bakarially253
    @bakarially253 11 หลายเดือนก่อน

    ukiristo ni biasgara ya zungu

    • @isaacdavid3997
      @isaacdavid3997 9 หลายเดือนก่อน

      Acha upumbavu wako. Kamchungulie kwanza mama Yako halafu uje usimulie ulichokichungulia.

    • @bakarially253
      @bakarially253 9 หลายเดือนก่อน

      @@isaacdavid3997 ndio maana nasema kuna tofauti yetu na nyinyi muslam popote alipo ni nuru siwezi kujibu kama ulivyoandika inatofasiri wewe ni mtu wa aina gani. Wewe wala hauna mama. Mungu akuongoze uijui ukweli

  • @veronicangailo7644
    @veronicangailo7644 11 หลายเดือนก่อน

    Kwani sheria za ndoa kikristo zinaruhusiwa kuvujwa ubabaishaji wa wawatumishi wa siku hizi

  • @ezraedwini5098
    @ezraedwini5098 11 หลายเดือนก่อน

    Kumvua nguoo😂😂