Wewe ni pastor unaejua jinsi Mungu anavyotenda kazi, unajua kutenganisha Mungu anasimama wapi na Mambo ya kawaida yanatakiwa yaweje Hakuna muumin wako atakuwa mbumbumbu maana una madini ya kutosha. Nakukubali 💯
Katika wachungaji wote nlowahi kuwasikiliza hapa dunia we ni namba moja hakuna anaekufikia uwezo ulokuwa nao you are a genius i ever see, God bless you forever and ever
@@westmanmoses541 uyu mutumishi Wa mungu ni mu kweli mtupu ila naomba akumbuke kusema kuhusu kesi la muchungaji mbarikiwa Mwa kipesile mbona Tanzania ni kimya kuhusu kesi la mbalikiwa hâta vyombo vya habari kimya kabisa inamaana mbarikiwa ni mtu wa mbinguni kabisa kabisa sababu watu Wa hapa duniani hawaongelei ikiwa kwa wema ao kwa ubaya mbona kimya ?
Safi Sana mch.hananja.yaaa Allah tunakuomba MTU huyu usiichukue roho yake mpaka asilimu.akutambue Wewe na akuabudu Wewe yaa Rabby.tunampenda Hekma na busara zake.yaa Rabby tunaomba aslimu huyu.aijue dini ya kweli.mtu WA mana Sana hananja
Umejibu vizuri, nyumba sio kanisa, muislamu unampangisha, na mkristo unampangisha. Muislamu akiwa na pesa nyingi unampangisha huchagui, binaadamu wote ni sawa, wewe ni mtu muhimu sana kwenye dini zetu, muislamu akiwa na hela nyingi unampangisha, hata maduka huchagui hili la mkristo ndio ununue hili la muislamu usinunue, maduka yote tunanunua bidhaa.
Tungekua na wachungaji kama hawa maelf naona watu tungelikua tunaishi maisha ya kiukweli big up mchungaji msema kweli mungu akuzidishie uendelee kuelimisha
SAFI PASTOR, Hata Mtume wetu MUHAMMAD(s.a.w) wakati akiwa na Maswahaba/Wanafunzi wake aliona Jeneza kwa mbali likipita akatoa ishara ya kuhuzunika ndipo mmoja kati ya Wanafunzi wake wakamuuliza kwanini unahuzunika wakati yule aliekufa ni Mkristo? Akawajibu; YULE PIA NI BINADAMU. MTUME MUHAMMAD ALIPENDA WATU WOTE.
Tungekuwa na watumishi wa Mungu watatu wenye hekima kama Huyu ulimwenguni hatungelikuwa na dini nyingi duniani.mungu na amuzidishie huyu mtumishi hii hekima ya kipekee.
@@maclaudismail6606Hawezi kupatia kila kitu, lakini mengi anayasema ya kweli lakini huyo sio Mungu apatie kila kitu Kwa point ile ameonyesha kwanini yeye ni mkristo Hatuna mpango na ukristo wake lakini mengi anayasema ya kweli. Hawezi kupatia kila kitu.
Unajua na una hofu ya Mungu nimekupenda bule unajua kubariki moyo wangu ❤
Nimekuelewa “ hapo wewe ni nuru ya kweli 💪🏿🙏🏻🙏🏻👍🏿
Nimejifunza sana juu ya huyu baba!
Baba una kitu cha Mungu ambapo mtu hawezi kukuelewa,
Asante kwa maneno ya hekima
Barikiwa
Kweli kabisa
Kweli kabisa baba
Sasa umemuelewaje na haeleweki?😁😏
@@wanyooshetv9987
Wenzako tunamuelewa
Mbona unasema mtu hawezi kumuelewa wakati ameele
weka vizuri?😂
Barikiwa Sana mtumishi wa MUNGU.Umejibu maswali ya mwandishi Kwa hekima Sana.
Wewe ni pastor unaejua jinsi Mungu anavyotenda kazi, unajua kutenganisha Mungu anasimama wapi na Mambo ya kawaida yanatakiwa yaweje
Hakuna muumin wako atakuwa mbumbumbu maana una madini ya kutosha.
Nakukubali 💯
Mchungaji nakubali fact zako, maisha marefu nakutakia
Katika wachungaji wote nlowahi kuwasikiliza hapa dunia we ni namba moja hakuna anaekufikia uwezo ulokuwa nao you are a genius i ever see, God bless you forever and ever
Amen!!! Ubarikiwe mchungaji!!! Yaani roho inaniuma sana kuhusu shusho Yaani kapigwa upofu kwa fedha kilichonichosha zaidi akampigia magoti Geordavi
Wewe hela ni muhimu na pia elia alihudumiwa na kunguru na kupiga magoti sio kusujudu acha kuhukumu napenda uendelee kumpenda kristina by glory france
Nakukubali sana mchungaji, Mungu akupe miaka mingi na Afya njema. Uendelee kutuelimisha Baba.
Kiukweli mchuuungaji hananja uko sahihi kabisa 🙏🏼
Na kama ingekuwa Bure isiyo na malengo basi waumini wake wote wangepewa Ist 🤗👍💪🏽🤝
Mch.Hananja cku zote anasema ukweli❤❤❤❤
❤❤Mchungaji nakukubali sana Mungu akupe maisha malefu hapa Duniani❤❤
❤ barikiwa mchungaji chukua maua yako baba
Swali hili limenisumbua kwa mda mrefu, Sasa nimejibiwa hongera sana mchungaji.
😂😂😂😂😂
😅😅😅😅😅
Mchungaji nimekukubari kwa hii interview Mungu akubariki Sana ninakuombea
Nampenda huyu mchungaji, MUNGU azidi kukubariki.
Dah mzee nimekuelewa sana mungu akubaliki sana ameni
Wachungaji kama hawa hua hawadumu pia hua na maisha magumu kwa sababu hua wanahubir kweli wengi wanawachukia..mungu akutie nguvu
Baba Mungu akubark San upo sawasaw na neno.. Mungu azid kukupa upeo wa kuzibua akili za watu zilizo fungwa.. Amen
Barikiwa sana mtumishi maana nguvu ya MUNGU haiuzwi.
Huyu mchungaji yupo vizur sana napenda uchanganuzi wake Mungu akubariki zaid 🇰🇪
Nimekulewa mchungaji uko vizuri unafafanua kuptia bibilia unaielewa bibilia vizuri sana mungu akubariki
Watu wangu wanaangamia kwakukosa maarifa ..yaani wanatoa sadaka wengine wanafanya show up..barikiwa mchungaji umesema point.. mwenye sikio na asikie
Hongera mchungaji
Mchungaji ni muwazi sana ni msema kweli mungu akujaalie katika harakati zako Amin
Hananja anamuunga mkono lema
@@westmanmoses541 uyu mutumishi Wa mungu ni mu kweli mtupu ila naomba akumbuke kusema kuhusu kesi la muchungaji mbarikiwa Mwa kipesile mbona Tanzania ni kimya kuhusu kesi la mbalikiwa hâta vyombo vya habari kimya kabisa inamaana mbarikiwa ni mtu wa mbinguni kabisa kabisa sababu watu Wa hapa duniani hawaongelei ikiwa kwa wema ao kwa ubaya mbona kimya ?
Well answered my pastor
Huyu mchungajii ni smart sana na ni mzoefuu sanaa honger sana tunawahitajii wa hivii kwenye hii dunia ya leo
Safi Sana mch.hananja.yaaa Allah tunakuomba MTU huyu usiichukue roho yake mpaka asilimu.akutambue Wewe na akuabudu Wewe yaa Rabby.tunampenda Hekma na busara zake.yaa Rabby tunaomba aslimu huyu.aijue dini ya kweli.mtu WA mana Sana hananja
Hongera mchungaji Hamanja mafundisho yako yanatosheleza na kueleweka, Fundisha zaidi,
Kweli we ni pastor wa kweli kabisa mungu akubariki sana
Aminaaa ubarikiwe sana Mchungaji Hananja unasema ukweliii.
Jamani Mimi Nataman sana siku moja nimuone huyu mchungaji mungu nisaidie
Yes Alistair Walton language nawajua Rv anaongea maneno ya kuwasaidia watu mazuma watabaki manyumbu hongera sana Rv hananja
Nakuelewa sanaaa na kukubali baba mchungaj
Umejibu vizuri, nyumba sio kanisa, muislamu unampangisha, na mkristo unampangisha. Muislamu akiwa na pesa nyingi unampangisha huchagui, binaadamu wote ni sawa, wewe ni mtu muhimu sana kwenye dini zetu, muislamu akiwa na hela nyingi unampangisha, hata maduka huchagui hili la mkristo ndio ununue hili la muislamu usinunue, maduka yote tunanunua bidhaa.
Mzee wangu mungu akupe maisha marefu xana, Tunduma border tunakukibali xana fyeka
Alafu Usiandike mungu apana sema Mungu elufi yakwanza kubwa mungu siyo mkuu ila Mungu ndio Mkuu
Tungekua na wachungaji kama hawa maelf naona watu tungelikua tunaishi maisha ya kiukweli big up mchungaji msema kweli mungu akuzidishie uendelee kuelimisha
SAFI PASTOR, Hata Mtume wetu MUHAMMAD(s.a.w) wakati akiwa na Maswahaba/Wanafunzi wake aliona Jeneza kwa mbali likipita akatoa ishara ya kuhuzunika ndipo mmoja kati ya Wanafunzi wake wakamuuliza kwanini unahuzunika wakati yule aliekufa ni Mkristo? Akawajibu; YULE PIA NI BINADAMU. MTUME MUHAMMAD ALIPENDA WATU WOTE.
@@daudinyello4033 mtume alikuwa mbakaji na muongo sana
@@ikabako2454 sio kweli ndugu propaganda za watu tu
Ubarikiwe Mchungaji kwa maneno ya busara
Mungu akubaliki sana unajua sana kusema kweli ubalikiwe
Hongera sana mchungaji unaogea ukweli kabisa .
Mm nashukuru Mungu nimezaliwa kwenye diniyahaki uislamu nidni yahaki❤❤❤
Mungu akusaidie umjue Mungu
Amen Pastor nakuelewa sana
Asante mchungaji napendaga mafundisho yako ya ndoa sana
Dah huyu nimemuelewa. Mungu akubariki sana
Mungu akubariki Mtumishi.
Nimekuelewa sana zaidi ya saaaana.
Mungu azidi kk bariki sana kwa ukweli unavyo ogeya napenda sana mafudisho yako pastor 🙏🙏
Love Sana mzee hananja unaongea fact
Nakupenda sana paster wewe ni mkweli kabisa asante yesu kwa huyu paster
Isee dingi noma, nimekuelewa sana ubarikiwe!
Allah akujaalie uwe muislam nakupenda sana pastor unaongea ukweli, inshaallah Allah akufanyie wepesi uwe muislam.
😂
Uislam Tena!
Kwa nn wewe usiwe mkristo😂
Aliyenisikitisha zaidi ni Christina Shusho,,,Mungu akupe macho ya Rohoni we mama
Amefanyaje?
Ameipenda Sana Dunia
Nuru haiwezi kuangaza nuru yenzake, bali nuru huangaza giza, ili giza likimbie,mana nuru ikiingia giza halikai
Ameeeen
Daaah ila huyu mzee❤❤❤❤❤
Kwa kwelii mm nakuelewa xana mungu akubariki xana
Mungu akubariki sana mchungaji akupe maisha marefu.
Mungu akulinde uzidi kutuelewesha.
Mungu akubariki sana mchungaji akupemaish malef
Daaaah kwa comments hizi za wachangiaji Bwana azidi kuwa pamoja nawe🙏 Umefunguka Live bila chenga.
Tungekuwa na watumishi wa Mungu watatu wenye hekima kama Huyu ulimwenguni hatungelikuwa na dini nyingi duniani.mungu na amuzidishie huyu mtumishi hii hekima ya kipekee.
Jamani huyu jamaa n genius
duuuuu uyu mchungaji Kiboko nmekupenda bure alelleluyaaaaaa
Mchungaji nimetokea kukuelewa bure kabisa, umeongea ukweli kabisa.
Pastor may Almighty God strengthen you🙏🙏
Ni ukweli kabisa ! ALLAH akuongoze !
Kama keeling watu wanasikiliza mahubiri ya mchungaji huyu watatokana na umamuma na unyumbu hongera sana
Mungu akubaliki pasta
Namkubali kiongoz huyu sana !
Well said pastor !
MIMI NI MUISLAM LKN UYU JAMAA NAMUELEWA SANA HAPINDISHAGI HATA KDG
Huyu mchungaji kwakweli ni kiboko😅😅😅
Ni kweli, Karibu pia Kwa Yesu Mpendwa,Uwe Huru
anapoita kizazi cha Ibrahim upande wa waislam ni magaidi we unapenda hiyo ?
Huyu ni nani?
@@maclaudismail6606Hawezi kupatia kila kitu, lakini mengi anayasema ya kweli lakini huyo sio Mungu apatie kila kitu
Kwa point ile ameonyesha kwanini yeye ni mkristo
Hatuna mpango na ukristo wake lakini mengi anayasema ya kweli.
Hawezi kupatia kila kitu.
😂😂😂nakupendaga sana ahahahaaa wamekubaliqna kununa mafuta kwa mwamposa 😅😅ndio nakupenda sana umejibu vema wakasime biblia❤
Aminaaaaah Aminaaaah Aminaaaaah Baba fumbuwa wa kristo macho kabisa
aaaaahhhhhhh aaaaahhhhh Nimepata elimu na kucheka sana
Hananja big UP BROTHER kwenye macho haambiwi tizama
..hatusemi matukio yetu mabaya watu watakung'ang'ania😂😂😂😂❤hatusemi.
Heri anayesema ukweli maana huwaponya wengi,,uishi miaka mingi,ukifa huozi❤❤
Heri anayesema ukweli maana huwaponya wengi,uishi maisha marefu baba
Kweli mungu amlinde mchungaji hananja
Wakristo wamevaa nguo utafikiri wamesahau umri wao...😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤
Ubarkiw mchungaji
You are my greatest pastor of all time
Mtumishi Hongera sana kwa kweli
Hakika nnakukubali sana. mtumish
Nakukubali Sana mtimishi
Mchungaji nimekuerewa SoMo rako mungu abariki kazi yako ya kutufundisha na kupata ujumbe mwema 13:56
Super genius Mch Hananja nakukubali sanaaaaaaa
U
Daaah aiseee nimecheka kinoma noma tena kwasauti kubwa, kwasababu umeongea ukweli mtupu
Nimekuelewa sana❤❤❤
Be blessed, Fact is spoken
😂😂😂aisee huyu mchungaji nakubali sana anahekma sana😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣 napenda huyu mchungaji 🤣🤣🤣 si choki kumsikiza gai 🇰🇪🇰🇪🙏.
safi sans baba yangu wa kiroho
Nampenda San jamani uyu baba
Yaani umeongea ukweli baba🎉🎉🎉🎉,Na mwenyesikio asikieeee
Mungu akubaliki sana mtumishi
Barikiwa sana mtumishi
Balikiwasana mcungaji unalizikanavyajo baba wambingu akubaliki ukweli waongeya nakupendasana
Genius Sana uyu❤
Well done Pastor
Akil nyingi mungu ambarik
Kweli kabisa mtumishi 🙏 umesema ukwel🎉🎉
Nakukubali sana mchungaji wangu