WANEFILI (MAJITU) WALIKUWA NI WATU GANI KATIKA BIBLIA?

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ต.ค. 2024
  • #SIMULIZIBIBLIA #WANEFILI #MAJITU

ความคิดเห็น • 27

  • @GeorgeIgnatio
    @GeorgeIgnatio 15 วันที่ผ่านมา

    Aisee Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu wa thamani sana

  • @petersylvernus1396
    @petersylvernus1396 2 ปีที่แล้ว +3

    Aisee nimefatilia habari za Wanefili kwa kusoma vitabu na biblia na katika mitandao ya kijamii kati ya watu walio lielezea hivi vizuri na kwa usahihi ni wewe,Big up it's true 🙏🙏

    • @EM24TV
      @EM24TV  2 ปีที่แล้ว

      Utukufu kwa Mungu ndugu yetu Peter Sylvernus, Ubarikiwe sana na karibu tena

  • @boniphaceelias7967
    @boniphaceelias7967 ปีที่แล้ว

    Bwana Yesu akupe ufunuo wake zaidi.

    • @EM24TV
      @EM24TV  ปีที่แล้ว

      Ameni Ameni

  • @salimrajabu8069
    @salimrajabu8069 8 หลายเดือนก่อน +1

    be blessed by God, nimejifunza sana

    • @EM24TV
      @EM24TV  8 หลายเดือนก่อน

      Ameni Ameni mtu wa Mungu

  • @annahmwakabenga3877
    @annahmwakabenga3877 ปีที่แล้ว +1

    Nashukuru sana nilikua natamani kujua kiundani habari ya wanefili

    • @EM24TV
      @EM24TV  ปีที่แล้ว

      Asante sana na karibu mnoo

  • @MariettaNyoni
    @MariettaNyoni 2 หลายเดือนก่อน

  • @williamkilulu2222
    @williamkilulu2222 ปีที่แล้ว +1

    Amen

    • @EM24TV
      @EM24TV  ปีที่แล้ว

      Ameni

  • @mariamseif9072
    @mariamseif9072 2 ปีที่แล้ว +1

    Amina barikiwa

  • @hamsimstafa6276
    @hamsimstafa6276 ปีที่แล้ว

    Umeeleza vzr sanaa

  • @RobertMusebe-vn4dv
    @RobertMusebe-vn4dv ปีที่แล้ว

    Kain alipofukuzwa na mungu alienda kuoa nani?

  • @stevennyondo2215
    @stevennyondo2215 ปีที่แล้ว +1

    Watumishi naomba kuuliza mke wa kain alitoka wapi? INGALI biblia inatueleza kuwa Adam walizaa watoto WAWILI na hapakuwa na mtu YEYOTE duniani

    • @EM24TV
      @EM24TV  ปีที่แล้ว

      Oooh, asante sana kwa swali. Tazama video hii kupata jibu lako. th-cam.com/video/ea02Brm2sKU/w-d-xo.html

  • @telesphorymajumbi
    @telesphorymajumbi ปีที่แล้ว

    Hujajibu swali unarukaruka tuu. Sasa naamini kweli mitandao ni hovyo kabisa.

  • @julianopima3767
    @julianopima3767 2 ปีที่แล้ว +1

    Kama wanefili Ni uzao Wa kaini! Natamani kujua baada ya kaini kulaaniwa alimuoa nani!? Maana wakati Huo alikua Adam, Hawa, kaini Na habili.

    • @reyjosephochogo904
      @reyjosephochogo904 ปีที่แล้ว

      Mm pia nimekua Nikijiuliz sana ili swali, kama mtu wa kwanza ni Adam na Hawa na kain na habili waliwaoa akina Nani? Au dada zao?

    • @jackiedeshirima5571
      @jackiedeshirima5571 9 หลายเดือนก่อน

      Walioana wao kwa wao

    • @jackiedeshirima5571
      @jackiedeshirima5571 9 หลายเดือนก่อน

      Uzao wa Adamu uliendelea na alizaa wana na binti na hao walioana wao kwa wao na hao wanefili ni kwenye uzao wa Adamu kupitia Sethi

  • @marthamagayane9821
    @marthamagayane9821 ปีที่แล้ว

    Je kizazi hiki kimepotea? Je Bwana aliamua kuwaondosha duniani? Maana Leo hii hawaonekani hao majitu wanefili.

    • @rebeccammussa169
      @rebeccammussa169 ปีที่แล้ว

      Nikila kizazi cha mwanzo mambacho kiliondoka na garika

    • @simonngunjiri562
      @simonngunjiri562 ปีที่แล้ว

      Wanefili waliisha wakati wa ghalika yaani wa Noah

    • @reyjosephochogo904
      @reyjosephochogo904 ปีที่แล้ว

      Yupo mmoja namwona sikuizi kaingia kweny bongo mov.

  • @juliuschacha5178
    @juliuschacha5178 2 ปีที่แล้ว

    Amina barikiwa