🔴

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ต.ค. 2024
  • 🔴#Live: WANAJESHI wa JWTZ katika MAZOEZI ya KUKABILIANA na ADUI, NDEGE za KIVITA na MIZINGA..
    GLOBAL TV imefika Mkoani Lindi kwenye mazoezi ya kijeshi ya kujitayarisha dhidi ya adui vitani na kulipua ndege z kivita..
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
    ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 657 693 210), ( +255 784 888982)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

ความคิดเห็น • 43

  • @evangelismchannel8810
    @evangelismchannel8810 ปีที่แล้ว +3

    Nawapenda sana JWTZ💪🏻🇹🇿. Niko tayari kuifia Nchi yangu mpaka tone la Mwisho la Damu. Tanzania Imara....JWTZ Imara. Naamini siku moja ndoto yangu itatimia nitalitumikia Jeshi la Nchi yangu.
    🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
    Tuko salama... Pia nawaombea sana wanajeshi wetu.

  • @paschalsafari9747
    @paschalsafari9747 ปีที่แล้ว

    Hongereni JWTZ... Naiomba serikali yetu iongeze vifaa vya kisasa kwa jeshi letu.... Mungu ibariki JWTZ..

  • @kinyongamediatz
    @kinyongamediatz ปีที่แล้ว +6

    Hongerani kwa uzalendo na nchi yetu Tanzania

  • @clementsabuni75
    @clementsabuni75 ปีที่แล้ว +1

    hongereni wanajeshi wetu hongereni

  • @rachellaiza7779
    @rachellaiza7779 ปีที่แล้ว +1

    Hongereni sana tunawapenda sana Mungu awatunze na kuwalinda

  • @jaystar1004
    @jaystar1004 ปีที่แล้ว +1

    PONGEZI KWA AMIRI JESHI MKUU WA WA TANZANIA MAMA SAMIA HASSAN SLUH 🇹🇿

  • @masudinangololo3672
    @masudinangololo3672 ปีที่แล้ว +1

    Safi Sana jeshi letu

  • @damianmstambi848
    @damianmstambi848 ปีที่แล้ว +3

    Mungu awabariki mnakula vumbi ,vifaa duni ,nguvu ndo nyingi, Wenzenu wanalamba asali tu

  • @joshuakitunzi9500
    @joshuakitunzi9500 ปีที่แล้ว

    Nice work to show your moral for battle field,big up all Soldiers

  • @barrynzeyimana6270
    @barrynzeyimana6270 ปีที่แล้ว

    Hongera

  • @abuuramadhan8093
    @abuuramadhan8093 ปีที่แล้ว

    Wizara hii kwa Bashungwa haiwez kuchangamka hapa Bora wampe Ridhiwan

  • @officialman2133
    @officialman2133 ปีที่แล้ว

    Iyo kati Ina onekana nzito

  • @wilsongeorge1353
    @wilsongeorge1353 ปีที่แล้ว

    Sasa hizo xiraha za vita za nini wakati hakuna vita mnajuaje kama siraha za vita zipo nmacheza na jeshi nyinyi

  • @zahorsalum4976
    @zahorsalum4976 ปีที่แล้ว +1

    Viongozi waTz wache ufisadi.watoe hl kwajeshiletu tumiliki silaha Safi nazakisasa kwausalama wetu wote.

  • @jaystar1004
    @jaystar1004 ปีที่แล้ว

    🇹🇿

  • @majigwajohnsonndillah2405
    @majigwajohnsonndillah2405 ปีที่แล้ว +4

    Mitandao imeleta taabu sana. Maana kila kinachofanyika hapa nchini kinawekwa hazalani hadi mambo ya kijeshi wakati hii ni siri ya jeshi lenyewe

    • @saidrajabu9589
      @saidrajabu9589 ปีที่แล้ว +1

      Jeshi lina akili sana sio kama unavyofikiria hivyo vifaa unavyoviona sio kwamba ndo hivyo hivyo ina stock hata vingine hatuvjui, tunakubali sana jeshi letu liko vzur kazi kaxi hiyo trella tu picha bado lipo

    • @mathiasmwingira6951
      @mathiasmwingira6951 ปีที่แล้ว

      @@saidrajabu9589 kuna little boy unaijua wewe

    • @johnkiimbila6799
      @johnkiimbila6799 ปีที่แล้ว

      Wanaonyonyesha vinavyo julikana na kimkakati, hawaonyeshi kila siri. Wewe huoni majeshi mengine kama China, Marekani,Korea,Iran hata Urusi hutunisha misuli kwa kuonyesha silaha zao.

  • @lelemabuyagu1457
    @lelemabuyagu1457 ปีที่แล้ว

    Tafuteni wapiga picha wazuri

  • @simongwandu7392
    @simongwandu7392 ปีที่แล้ว +1

    Safi ni muhimu kumsaidia Putin

  • @samirisadiki67
    @samirisadiki67 ปีที่แล้ว

    Mwanajish unatembea Kama polis.nenda kwa salakasi onesha tofauti ya mjeda na askal

  • @uriossway4752
    @uriossway4752 ปีที่แล้ว

    Big up our soldiers🤜🤛

    • @clementsabuni75
      @clementsabuni75 ปีที่แล้ว

      Silahaa za miaka ya 70 wenzetu wanatumia silahaa zinazojiendesha zenyewe jamani tusijekujiiniza vitani tutapigwa mpk tuchakae.

  • @neemamasudi7988
    @neemamasudi7988 ปีที่แล้ว

    Wazungu wame wadanganya tu

  • @fredrickmdehwa1873
    @fredrickmdehwa1873 ปีที่แล้ว

    Silaha zenyew za kizaman ivi izo kweli unaenda vitani unabeba izo jamn viongoz leteni silaha zenye uwezo mkubwa hizo amna kitu

    • @winfordmwangonda5375
      @winfordmwangonda5375 ปีที่แล้ว

      Hizi ni kwa ajili ya mafunzo tu, zenyewe huwezi kuziona boss,kuwa na amani

  • @neemamasudi7988
    @neemamasudi7988 ปีที่แล้ว

    Mta pigans na nani?

  • @samuelchinowa7127
    @samuelchinowa7127 ปีที่แล้ว +3

    Serikali inabidi iongeze bajeti ya vifaa bado tuko nyuma sana

    • @alanalexanderntuule6262
      @alanalexanderntuule6262 ปีที่แล้ว +1

      Kama vifaa gani?

    • @josephlorri431
      @josephlorri431 ปีที่แล้ว +2

      @@alanalexanderntuule6262 msamehe tu,

    • @alphaxad7755
      @alphaxad7755 ปีที่แล้ว

      Tanzania huwa hawapendi kuonyesha yote huwa wanachukua sample kama unataka mengi subiri vita itokee sa

    • @jumaaman6260
      @jumaaman6260 ปีที่แล้ว

      Unataka wakuonyeshe vyote?

    • @johnkiimbila6799
      @johnkiimbila6799 ปีที่แล้ว

      Hapo itabidi waongeze kodi na tozo , kama unapenda tuwe na silaha za kisasa. Silaha haziokotwi ndugu yangu.

  • @dorrie-b8q
    @dorrie-b8q ปีที่แล้ว

    Silas za nato

  • @anordhaule1800
    @anordhaule1800 ปีที่แล้ว

    Adui nani Sasa Tanzania au mtoto wa mseveni tayali amesha wajambisha kwa maneno 🤣🤣🤣

  • @abuuramadhan8093
    @abuuramadhan8093 ปีที่แล้ว

    Bajet ya kamikaze moja ni sawa na bodaboda ni Bora tukanunue kamikaze za kutosha

  • @sun7282
    @sun7282 ปีที่แล้ว

    😁😁😁

  • @abuuramadhan8093
    @abuuramadhan8093 ปีที่แล้ว

    Tukanunue kamikaze 5000 Kama Bei yake ni sawa na pikipik

  • @johnnathan7104
    @johnnathan7104 ปีที่แล้ว

    Bado tunatumia zana local