MAGARI YA KIJESHI YAKUTISHA YENYE SILAHA NZITO ZAKIVITA YAKIPITA KATIKA MAADHIMISHO ZANZIBAR

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 190

  • @majidfrolian4904
    @majidfrolian4904 ปีที่แล้ว +22

    Bila uzalendo hayo yote hamna kitu, R.i.p Magufuli😢

    • @OmerSuley-gl7go
      @OmerSuley-gl7go ปีที่แล้ว +1

      Hapa ni Zanzibar huyo Magufuli huku kafanya nn kubwa mpaka umtaje?

    • @mlawayusuph8842
      @mlawayusuph8842 ปีที่แล้ว

      Magu alikuwa baasha wako?

    • @ambokilemussa3518
      @ambokilemussa3518 ปีที่แล้ว

      Mfuate😂😂😂

    • @ambokilemussa3518
      @ambokilemussa3518 ปีที่แล้ว

      Ondoa mavi Yako hapa

    • @Benny318m
      @Benny318m ปีที่แล้ว +1

      ​@@OmerSuley-gl7gowatu wanakosa kabisa uzalendo na hata nchi yao hata hawaijui, na mipaka ya uongozi wao hata hawaijui, Rais wa Zanzibar anaiongoza Zanzibar huku akiwa ni sehemu ya uongozi wa muungano, na rais wa Tanzania ni RAISI anaeiongoza Tanzania yote bala na visiwani na anachaguliwa na nchi zote mbili

  • @tbrucechebore
    @tbrucechebore ปีที่แล้ว +6

    As a Kenyan, Tanzania still have a long way

    • @bakarithegeoinformatician7406
      @bakarithegeoinformatician7406 ปีที่แล้ว

      Jichanganyeni mtajua hamjui

    • @paulkasunga8817
      @paulkasunga8817 11 หลายเดือนก่อน +1

      Naam

    • @Azikiwe-qi6jd
      @Azikiwe-qi6jd 11 หลายเดือนก่อน +1

      Try us, you will come up with a good answer to your self. For the records Go ask UPDF under eid amin dada, they too thought like that, so welcome you are allowed to try us.

    • @tbrucechebore
      @tbrucechebore 11 หลายเดือนก่อน

      @@Azikiwe-qi6jd you have to show your experience bwana,.. even American says they have great military because we know their experience in Vietnam Afghanistan and many more,.. you can't just down claiming you are the best yet you have no track record 🤣🤣

    • @Azikiwe-qi6jd
      @Azikiwe-qi6jd 11 หลายเดือนก่อน

      @@tbrucechebore if it track record i think militarily in the whole east africa no country can match TZ, we have history of matching into battle and emerge victorious, we have history of sending our troops to help in decolonization of countries found in souther Africa, countries like, SA, MOZAMBIQUE, NAMIBIA, ANGOLA, and etc .Kenya has got no such record, we saw them struggling with 4 terrorist of al shabab in the west gate mall, they ended up demolishing the whole building, yet not even a single body of the terrorist was shown, what does that tell you.

  • @roselinemoshi5008
    @roselinemoshi5008 ปีที่แล้ว +1

    Mwenye Enzi Mungu ilinde nchi yetu milele na milele 🤲🏽

  • @seneu.2128
    @seneu.2128 11 หลายเดือนก่อน +2

    Kwa vifaa nilivyoviona hapa Mungu atuepushe na vita daima maana tutaumizwa sana, ombi langu Serikali linunulieni jeshi vifaa vya kisasa jamani ebu fatilieni sherehe za kitaifa za kenya na rwanda muone modern army equipments walizonazo

    • @VeronicaAdam-lx8yd
      @VeronicaAdam-lx8yd 7 หลายเดือนก่อน

      Ww unadhn unavy vion hap ndo hivy😂😂😂😂

  • @cliffordmwangosi426
    @cliffordmwangosi426 ปีที่แล้ว +2

    Mungu aendelee kutujalia amani

  • @erickkagisa833
    @erickkagisa833 ปีที่แล้ว +9

    Msirudie kutuonyesha hizi comedy😂

    • @SajiKizunga
      @SajiKizunga ปีที่แล้ว +1

      Kwann comedy,, au na Amani iliyopo sio amani ni comedy?

  • @hamudseif
    @hamudseif 11 หลายเดือนก่อน

    OMO anawanagalia tu, shida yake ni mamla ya nchi tu..Allah ampe nguvu na afya alifanikishe

  • @suleimanpojjo4900
    @suleimanpojjo4900 ปีที่แล้ว +13

    Watanzania yaani jamani haya si ni magari yale ya wrong turn......

    • @onesmolwambano9349
      @onesmolwambano9349 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂

    • @cdeegwau551
      @cdeegwau551 8 หลายเดือนก่อน

      😅😅😅😅 Astaghafirullah

  • @ShabaniIbrahim-y2z
    @ShabaniIbrahim-y2z 11 หลายเดือนก่อน

    Musjiayi bishetu boramuturie mungu aturnde nakra ainaya matatizo yakivita 6

  • @sayeedmsct4255
    @sayeedmsct4255 4 หลายเดือนก่อน

    Napenda nchi yangu lakini vifaa viongezewe

  • @ManOfSteel-2ruku
    @ManOfSteel-2ruku ปีที่แล้ว

    05:20,Manuwari ya kivita😅😅
    Hapo mtangazaji kachemka hiyo ni boat ya kawaida tu ya kijeshi,manuwari ni kitu kingine kabisa kwenye ulimwengu wa kijeshi

  • @MazoyaPhilipo
    @MazoyaPhilipo 5 หลายเดือนก่อน

    Tuombe Mungu amani itawale vifaa vya kijeshi hatuna bado tunamengi ya kujifunza kutoka kwa wakenya na waganda

  • @DoctorSouth-qz9fh
    @DoctorSouth-qz9fh 2 วันที่ผ่านมา

    Sana

  • @stevejeremiah4497
    @stevejeremiah4497 ปีที่แล้ว +1

    😁😁😁☝️☝️yani hapo Kagame anaangalia kisha anacheka kimoyomoyo.
    Anatamani aombe show ya kirafiki awanyoshe

    • @Soon815
      @Soon815 ปีที่แล้ว

      Wewe unaongea ongea tu! Rwanda hamna kitu.

    • @Soon815
      @Soon815 ปีที่แล้ว

      Silaha zake anapitisha hapo Dar port! Tunamjua inside out

  • @hanifamziray277
    @hanifamziray277 ปีที่แล้ว +1

    Hongeren zanz mpo vzr

  • @husseinallysuleiman4657
    @husseinallysuleiman4657 11 หลายเดือนก่อน

    nchi yetu ni nchi ya mungu,nchi ya ahadi tutaishi kwa aman milele na tutaoana na kuzaa sana fuso ni magari ya kijapan sipingi wako juu sana kiteknolojia

  • @juliusdominic-uk4bu
    @juliusdominic-uk4bu ปีที่แล้ว +7

    silaha hizo zilaaniwe kwasababu ni za kutuua sisi wenyewe

    • @Benny318m
      @Benny318m ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂😂😂

    • @jullostephen9090
      @jullostephen9090 11 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @BonderNampeja
    @BonderNampeja ปีที่แล้ว

    Mmetuweza kwa kwakweli 🙏🙏🙏wazenji Leo watu milioni 70 wanaongozwa na Watu laki 3kweli??

  • @AllyAniu-ni3ji
    @AllyAniu-ni3ji ปีที่แล้ว +1

    ❤ Zanzibar oyeeee

  • @OmerSuley-gl7go
    @OmerSuley-gl7go ปีที่แล้ว

    Hongera Zanzibar yangu tumejipata
    Tanganyika wasitupelekeshe tena

    • @brunodemarx9198
      @brunodemarx9198 ปีที่แล้ว

      😂huna akili

    • @barikiringo6311
      @barikiringo6311 ปีที่แล้ว

      Silaha zote ni za muungano.... kwanj waziri wa ulizi n Bashigwa au?

    • @gabrielutou20
      @gabrielutou20 ปีที่แล้ว

      🤔🤔🤔heee kumbe sisi sio wamoja ni nchi 2 tofauti nilikua sijui

  • @Mesha_farmtz
    @Mesha_farmtz ปีที่แล้ว +1

    Kalisana

  • @kevinarafat4017
    @kevinarafat4017 11 หลายเดือนก่อน

    Kweli Kenya 🇰🇪 wamepiga hatua...😂...Hizi silaha ni idara ya polisi ndio wanazitumia kule Kenya while hapa Tanzania ni silaha za jeshi🤣🤣🤣🤣🤣🤣...Pity Neighbors...

  • @febamohammed2989
    @febamohammed2989 ปีที่แล้ว +1

    Hapa hakuna kitu,

  • @MichaelMathew-j3f
    @MichaelMathew-j3f ปีที่แล้ว +1

    Safi sana Tanzania. Wowww safi sana!!

    • @KassimAlly-xp4dz
      @KassimAlly-xp4dz ปีที่แล้ว +1

      Safi sn nn apo sijaona cha ajabu

    • @MichaelMathew-j3f
      @MichaelMathew-j3f ปีที่แล้ว

      @@KassimAlly-xp4dz ww kama ni mtu wa Mungu bac nadhani utakuwa unajua kushukuru!! Shukuru kwa yote, Biblia inasema shukuruni kwa kila jambo!! 1Wathesalonike5:18. Ndugu we shukuru hata kama jambo halikufurahishi. Kweli hii nchi ina mambo ya kukwaza sana, je unafikiri mimi sioni au!! Kwahiyo ni kushukuru tu!!

  • @emanuelwilliam1607
    @emanuelwilliam1607 ปีที่แล้ว

    Well tuishi kwa amani tu🎉

  • @AbasiShabani-lw2fd
    @AbasiShabani-lw2fd ปีที่แล้ว +1

    Ila kiukweli aiseee tuna siraha za kawaida tuuuuh tusijisifu nyingi ni zile zile za maonyesho ya miaka yote

    • @sawackoswald9322
      @sawackoswald9322 ปีที่แล้ว

      Usijidanganye

    • @johnwarioba8037
      @johnwarioba8037 ปีที่แล้ว

      Hujui kitu, huwez weka silaha zote hadharani hizi ni sample tu kwahiyo usijidanganye

  • @MuntaJr-x5n
    @MuntaJr-x5n ปีที่แล้ว

    Ok

  • @AbassiHamisi
    @AbassiHamisi ปีที่แล้ว

    Hongern

  • @emilianchibinda82
    @emilianchibinda82 ปีที่แล้ว

    Siku zijazo tunataka kuwaona makomandoo wa like kwenye maonesho was askari wachache wachache wasiwe wanaume tuu! Maonesho ya majukumuya askari was nchi kavu sijayaona zaidiya makomandoo

  • @PhilberthNyinge
    @PhilberthNyinge ปีที่แล้ว

    Good

  • @AhmedSalum-s9m
    @AhmedSalum-s9m ปีที่แล้ว +2

    Hizo ni kwaajili ya uchaguzi mmeamua kututisha

  • @EmmanuelSeth-l2h
    @EmmanuelSeth-l2h ปีที่แล้ว +1

    Maisha marefu Tanzania

  • @uwembatvonline
    @uwembatvonline ปีที่แล้ว +3

    Wabongo Asilimia kubwa wanatatizo la Afya ya akili,, ukisoma comment zao utajua tu... Yani wanataka silaha zote zionyeshwe hapo,, wao wanakwambia ooh silaha ni za Enzi za uhuru,, tumieni akili basi

    • @KhalfaniSaidi
      @KhalfaniSaidi ปีที่แล้ว +1

      Wewe ndio ulewi Kila kunapokucha teknojia Zinakuwa toka uonyeshwe iyo migobole mpaka Leo ni miaka mingapi na duniani teknolojia imekuwa kiasi gani Tulia ujui vitu

    • @rabsontryphon9254
      @rabsontryphon9254 ปีที่แล้ว

      Hatuna siraha mbaba hakuna cha afya ya akili apo wangeleta ata moja ambayo hatujawah ona

  • @ismailmasoud6001
    @ismailmasoud6001 ปีที่แล้ว +2

    Mimi hapo naona hapo mnatuharibia uwanja

  • @kidatokassim7616
    @kidatokassim7616 11 หลายเดือนก่อน

    Tanzania has never faced any extenal attack mkivamiwa tu hata na panya road mnaimba nyimbo za kila aina vita mtuachie sisi wakenya na alshabab

  • @ProspereMukendi-p8m
    @ProspereMukendi-p8m ปีที่แล้ว

    Avatrié Rwanda mision nayo ekokokate hokomona moto ya mboka Congo RDC 🇨🇩 makasi yasolo hokosenka pardonne ya paba Congo mboka ya biso ba congolais yoooooooooo okomwona to kongagga rais Rwanda kofita peuples Congolaises 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥👉 Paul gakama 😟😟😟😟😟😟🥺🥺

  • @elbaricktv1632
    @elbaricktv1632 ปีที่แล้ว +2

    Hakuna silaha nzito apo

  • @barrynzeyimana6270
    @barrynzeyimana6270 ปีที่แล้ว +1

    Twende kwenye mfumo wa kuunda vya kwetu. Tunaweza tusijisahau hata kama tumepigwa.

  • @hemedymturi756
    @hemedymturi756 11 หลายเดือนก่อน

    Ila hii nchi niyakipumbavu sana kwani mpaka uneshe magali na vifaa

  • @NestoryMbando-cr9st
    @NestoryMbando-cr9st ปีที่แล้ว

    Dah nilitarajia kuona sana nyingi za majini cz zanzibar imezungukwa na maji

  • @BakhresaGroup
    @BakhresaGroup ปีที่แล้ว

    👏👏👏🙌🙌🙌🙌

  • @michaelmchome6067
    @michaelmchome6067 ปีที่แล้ว

    😅😅😅😅milad achaizo bn haya ndo yakutisha au makongoros spare part.

  • @StephanoCharles-nq8tf
    @StephanoCharles-nq8tf ปีที่แล้ว +2

    Sasa moto utokee utasikia gari haikuwa na maji😅😅

  • @evanskarani-ld9cq
    @evanskarani-ld9cq ปีที่แล้ว

    Hizi ni magari tuko nazo kama 50 hapa kenya...

  • @chrismutuku4502
    @chrismutuku4502 7 หลายเดือนก่อน

    Hizi vitu zaa mababu ficheni msiwqi kubishana na kenya

  • @arnoldrwegoshora449
    @arnoldrwegoshora449 ปีที่แล้ว

    Si Rwanda ituchokozee asee....au tuombe vita ya kirafiki

  • @ShabaniIbrahim-y2z
    @ShabaniIbrahim-y2z 11 หลายเดือนก่อน

    Hamunarorotetu wanapoteza muda wao

  • @collinscosmas9484
    @collinscosmas9484 ปีที่แล้ว +1

    Camera man rudi darasani

  • @KiongoziMwandamizi
    @KiongoziMwandamizi ปีที่แล้ว +1

    Mbona mazuri kuliko ya bara huku au nimesahau😂😂😂

    • @felixmwasongwe8043
      @felixmwasongwe8043 ปีที่แล้ว +1

      Hayo yote ni ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kuna kitu hukijui nahisi

    • @KiongoziMwandamizi
      @KiongoziMwandamizi ปีที่แล้ว +1

      @@felixmwasongwe8043 Itakua kuna vitu vimenipita

    • @AkramAmos
      @AkramAmos ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂mwambie akuna jeshi la bara wala zanzibar kuna jwtz

  • @hbnkingi
    @hbnkingi ปีที่แล้ว

    Tutayaona kwenye maonyesho tu 😅

  • @0689TAG
    @0689TAG ปีที่แล้ว

    Duh yaan sisi tunaongoza kwa kutoa siri zetu mambo kama haya si ya kuonyesha hadharani mambo ya siraha yalitakiwa yawe siri

    • @cloudngoko.2679
      @cloudngoko.2679 ปีที่แล้ว +2

      Siraha hizo zinaeleweka kila jeshi linazo ila siraha asimu haziwezi kuonyeshwa hadharani. # Lazimika kunielewa tuu

  • @ChrissChriss-b2y
    @ChrissChriss-b2y 8 หลายเดือนก่อน

    Tukoo vyema tumsaidie Ukraine Basi jamaniii kwa makalindingaaa hayaaa

  • @EliaxSospeter
    @EliaxSospeter 11 หลายเดือนก่อน

    Tanzania tuxonge mbele daima 0:43

  • @selemanisalum7685
    @selemanisalum7685 ปีที่แล้ว

    Tumeshindwa na Hamasi wanaunda wenyewe silaha sie bado tunakumbatia vya wazungu hona leo muyaudi anavyochezea kichapo na silaha zke za wazungu technology nyingi hawana chochote

  • @amerwelder7786
    @amerwelder7786 ปีที่แล้ว

    Hawa majeshi hawaponkwa ajili y vita baki wapo kwa ajili ya wananchi tu kuwapiga

  • @barikilangoy4737
    @barikilangoy4737 ปีที่แล้ว +2

    Sasa mnasema siri za silaha zenu

  • @IzackMakungu-ey9jx
    @IzackMakungu-ey9jx ปีที่แล้ว

    😂❤❤ safi sanaaaa serikali ya awamuya sita

  • @saidrashid5972
    @saidrashid5972 ปีที่แล้ว

    Hii ni ishara ya kua watu wasichezee Muungano.

  • @unapologeticsmile9756
    @unapologeticsmile9756 11 หลายเดือนก่อน

    Naona mitambo ya 1970.bado tuko nyumasana

  • @pulkeriamtavangu9504
    @pulkeriamtavangu9504 11 หลายเดือนก่อน

    SILAHA ZA KUTISHA!

  • @victormalelemba4324
    @victormalelemba4324 ปีที่แล้ว +1

    Hizi silaha bado kabisa wenzetu wanatumia drone kushambulia

    • @VeronicaAdam-lx8yd
      @VeronicaAdam-lx8yd ปีที่แล้ว

      Wenzen akin nan😂😂😂

    • @Leosaviour
      @Leosaviour 9 หลายเดือนก่อน

      Drone wap vita nying ni one to one angalia ata Io ya juzi ukaraine na urusi watu wanafatana ttz tunaish na nadharia sana

  • @ignatusrogerslema8650
    @ignatusrogerslema8650 ปีที่แล้ว

    Kagame anacheka hapo maana wanamuonyesha ujinga ujinga tuu

  • @Mwl_Sanga
    @Mwl_Sanga 11 หลายเดือนก่อน

    I don't know this language, Some one to translate but Samia tunakuaminia mi5 Tena

  • @barrynzeyimana6270
    @barrynzeyimana6270 ปีที่แล้ว +4

    Hunger. Nadhani tujikite sana kujiundia vya kwetu. Kwakua history wazungu wamefanya vita kua biashara. Nasi tunatakiwa kuingia kwenye biashara hiyo

    • @faumahona5769
      @faumahona5769 ปีที่แล้ว

      Unaota ukiwa umelala sasa ww unataka watengeze kipi kingine kwa mfano?

  • @stevenmarunda4353
    @stevenmarunda4353 ปีที่แล้ว

    Haya bado naona nimatumizi mabovu Rais ndiye amiri jeshi anayajuahya yote hizi mbwebwe zanini

  • @MapalalaPedeshe
    @MapalalaPedeshe ปีที่แล้ว

    Eti manwali ya kijeshi iyo si boti ya kuvulia dagaa😂😂

  • @MaengoCP
    @MaengoCP 11 หลายเดือนก่อน

    Mziki

  • @sankara8939
    @sankara8939 10 หลายเดือนก่อน

    Hizi no xana za kushika na kutega panya

  • @msatibongonyuzi14
    @msatibongonyuzi14 ปีที่แล้ว

    Msiombe vita sikuhizi vita digitali haihitaji nguvu

  • @TomaaMireni
    @TomaaMireni ปีที่แล้ว

    Magari ya enzi za ww1

  • @ShekiyaoHussein-ki4ty
    @ShekiyaoHussein-ki4ty ปีที่แล้ว

    Maonyesho tuu hayo ingieni mzigoni

  • @vayeen
    @vayeen ปีที่แล้ว

    Old soviet weapons

  • @AffectionateCheckeredFla-kg1kx
    @AffectionateCheckeredFla-kg1kx ปีที่แล้ว

    Duuuh yupo nyuma sana Siri kama hizo hazitakiw kujulikana kw raia

    • @noahmdeka5783
      @noahmdeka5783 ปีที่แล้ว

      We ndio upo nyuma dunia nzima huonesha siraha zao

    • @JuliusHatari
      @JuliusHatari 7 หลายเดือนก่อน

      Wewe naona unajua kuliko jeshi

  • @BenKirui-j3p
    @BenKirui-j3p ปีที่แล้ว

    Upuzi hii Kenya tuko mbele

    • @johnndembwike7790
      @johnndembwike7790 6 หลายเดือนก่อน

      Sana nyie ni kama US 😂😂

  • @davidmigoha1706
    @davidmigoha1706 ปีที่แล้ว

    Sasa millard aya tanatisha nini mbona kawaida shehe

  • @baltazaryjoseph5893
    @baltazaryjoseph5893 ปีที่แล้ว

    Ai ila hii nchi shkamoo miaka yote hyo ndio hizo toy mmenunua😬😬😬😬😬

    • @abuuaisha3582
      @abuuaisha3582 ปีที่แล้ว

      jichanganye ndio utajua kama toy au sio

  • @AmisDeshommes
    @AmisDeshommes 11 หลายเดือนก่อน

    Pôle Sana

  • @sbboymkaliofficial9108
    @sbboymkaliofficial9108 ปีที่แล้ว

    APO sijaona siraha inzito acheni kutudanganya 😂😂

  • @ayk20
    @ayk20 ปีที่แล้ว

    Daah bado tupo kizani sana

  • @FrancisGowele
    @FrancisGowele ปีที่แล้ว

    Jeshi nivitani maonyesho hata Israelileo inapumzi ya moto

  • @OfficialKilinda
    @OfficialKilinda ปีที่แล้ว

    Leo ndo nimegungua kazi za izo barabara uwanjani

  • @Igauf3
    @Igauf3 ปีที่แล้ว +2

    What happened to dance and normal entertainment… I mean all the countries have got similar products. We don’t make none, it would have make more sense to have our culture in display.

  • @karolikisaka8991
    @karolikisaka8991 ปีที่แล้ว +1

    Muheshimiwa rais anayetajwa hapo ni rais wa Zanzibar na si mwingine
    Hii itoshe kusema watanganyika tuamke,nadhani mnanielewa

    • @mwamwajaonline1881
      @mwamwajaonline1881 ปีที่แล้ว

      Amka kakojoe

    • @OmerSuley-gl7go
      @OmerSuley-gl7go ปีที่แล้ว

      Watanganyika bado mumelala wengi wenu munaikataa Tanganyika yenu na kujivisha utanzania
      Sisi ni Zanzibar kwanza ❤

    • @felixmwasongwe8043
      @felixmwasongwe8043 ปีที่แล้ว

      Ndiye mgeni Rasmi

  • @AhmedSeif-p6w
    @AhmedSeif-p6w ปีที่แล้ว

    Nguoo za chama zanini

  • @fatimaussene1010
    @fatimaussene1010 ปีที่แล้ว

    Wako tayari kwa mapambano gani mbwembwe nyingi amna lolote hapo 😂😂😂😂

    • @sanoureyaliwadoakaroyo1696
      @sanoureyaliwadoakaroyo1696 ปีที่แล้ว

      Mwana Sheria Wako Anajua Ulicho Comment Uku 😂😂😂

    • @fatimaussene1010
      @fatimaussene1010 ปีที่แล้ว

      @@sanoureyaliwadoakaroyo1696 tunaongea vitu vya uhalisia we komando ana tembea miguu anairusha kwa madoido kabisa alafu ana kigesi kiunoni kkkkk wakati mwenye mzigo mkubwa yuko fiti haya ni maonesho kama maonesho mengine kkkkk

  • @evahazole6320
    @evahazole6320 ปีที่แล้ว

    Gari ya military police sijaielewa mbona kama niRav4

  • @deniccgabriel6153
    @deniccgabriel6153 ปีที่แล้ว

    Jeshi letu badosana ubunifu badosana nasema bado😮😮

  • @vero57
    @vero57 ปีที่แล้ว

    Sasa munaonyesha mulivyo kua navyoo, adui anaona ivyoo, !!!

  • @RamadhaniMzashi
    @RamadhaniMzashi ปีที่แล้ว +1

    Kumbe hamas tunaweza kuwakabili

  • @hallin9561
    @hallin9561 ปีที่แล้ว

    ili taifa kwa kutukuta upuuzi atujambo

  • @CALV1NHAMPHREY-255
    @CALV1NHAMPHREY-255 11 หลายเดือนก่อน

    Eduad lowasa

  • @meshack3266
    @meshack3266 ปีที่แล้ว

    Ko ndo yanatisha ayo au mwandish nawe

  • @KassimAlly-xp4dz
    @KassimAlly-xp4dz ปีที่แล้ว +1

    Ao wanajeshi ili mm binafsi niwajue wanaweza kupambana lazima wafanye majiaribio ya vita na nchii jirani ndo nitaona ubora wao sio kufanya show kama za kina Zuchu

  • @Thobiaslucaskipara
    @Thobiaslucaskipara ปีที่แล้ว

    Mhhh

  • @safarirockerz2781
    @safarirockerz2781 ปีที่แล้ว

    Mapambano... Mpambane na naniii????

  • @HusseniSalimu-y2e
    @HusseniSalimu-y2e ปีที่แล้ว

    Hahahah dah Tanzania

  • @davidmsele9908
    @davidmsele9908 ปีที่แล้ว

    😅😅😅bado Vifaa atuna Tanzania

    • @mbaroukally8655
      @mbaroukally8655 ปีที่แล้ว

      Ni nchi gan inayoonesha vifaa vyake vyote hadharani

    • @hadijamatimbwa-xf8el
      @hadijamatimbwa-xf8el ปีที่แล้ว +1

      Kipe thaman kitu chako

    • @BenjaNetanyahu
      @BenjaNetanyahu ปีที่แล้ว

      ​@@hadijamatimbwa-xf8elkitu chako¿ Kwani tumeunda sisi hivyo? Inatupasa tusifie tulivo unda, kama ndugu zetu china, wametuacha Mbali sana, shida siasa za Africa ni mbovu taka hasara

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 ปีที่แล้ว +1

    Rip jpm

  • @machinefannatic99
    @machinefannatic99 ปีที่แล้ว

    ushamba mtupu

  • @elbaricktv1632
    @elbaricktv1632 ปีที่แล้ว

    Vifaa vya jeshi vya miaka ya 1942 enzi ya mkoooni wakati technology zimeshabadilika saiv watu wanatumia mizinga uko na vifaa vya kisasa sisi tunashangilia vya miaka ya 42 uko

    • @philemonmagesa5548
      @philemonmagesa5548 ปีที่แล้ว

      Unauhakika unachokizungumza sio kinachooneshwa hapo ndo halisia sio wapuuzi kuonesha siraha zote

    • @mwamwajaonline1881
      @mwamwajaonline1881 ปีที่แล้ว

      Wanatumia mizinga gani?? 😂😂 na vifaa vipi vya Kisasa

    • @elbaricktv1632
      @elbaricktv1632 ปีที่แล้ว

      @@philemonmagesa5548 hakuna kitu apo ivyo ndo angalau vya kisasa hivyo vilivyofichwa ndo vya enz ya mjeluman😂😂

    • @elbaricktv1632
      @elbaricktv1632 ปีที่แล้ว

      @@mwamwajaonline1881 😂😂 missiles lunchers sisi hatuna hata moja