- 136
- 186 373
MAHUBIRI TV2
เข้าร่วมเมื่อ 2 ต.ค. 2018
Mahubiri TV2 ni runinga ya kidigitali inayolenga kuinua maisha ya watu katika nyanja tatu kuu: kiroho, kisaikolojia, na kiuchumi. Kupitia vipindi vya kina vya mahubiri, mafunzo ya kibiblia, ushauri wa kisaikolojia, na mafunzo ya ujasiriamali, tunawasaidia watazamaji wetu kupata maarifa na motisha ya kuboresha maisha yao kwa ujumla.
ANZA KUJITAMBUA KAATIKA HILI PR DAVID MMBAGA
ANZA KUJITAMBUA KAATIKA HILI PR DAVID MMBAGA
มุมมอง: 2 037
วีดีโอ
KANUNI MUHIMU, HODARI NA SHUJAA - PR DAVID MMBAGA
มุมมอง 8K14 วันที่ผ่านมา
KANUNI MUHIMU, HODARI NA SHUJAA - PR DAVID MMBAGA
What Happens when you die Pst Mark Finley
มุมมอง 220หลายเดือนก่อน
What Happens when you die Pst Mark Finley
H4A Day 12 How to Bury the past Pst Mark Finley
มุมมอง 75หลายเดือนก่อน
H4A Day 12 How to Bury the past Pst Mark Finley
ZABURI YA KINGA DHIDI YA MAJANGA NA MIKOSI-- PR. DAVID MMBAGA
มุมมอง 32Kหลายเดือนก่อน
ZABURI YA KINGA DHIDI YA MAJANGA NA MIKOSI PR. DAVID MMBAGA
What Happens when you die Pst Mark Finley
มุมมอง 119หลายเดือนก่อน
In What Happens When You Die, Pastor Mark Finley addresses one of life’s most profound questions: “What happens after death?” In this insightful book, Finley explores the mysteries surrounding death, the soul, eternal life, and the hope of resurrection. Drawing on Biblical references, he provides clear and comforting answers for those who are searching for understanding or peace regarding what ...
Fatal Attraction of Cults Pr. Mark Finley
มุมมอง 84หลายเดือนก่อน
In his sermon, Fatal Attraction of Cults, Pastor Mark Finley delves into the dangers and allure of cults, examining why people are drawn to them and the risks they present to spiritual and personal well-being. Finley explores how cults use manipulation, promises of belonging, and appeals to individuals seeking purpose or guidance. By addressing the subtle yet powerful tactics cults employ, he h...
Sabbath Worship Pr. Mark Finley
มุมมอง 86หลายเดือนก่อน
In the last days, the Sabbath will become a pivotal point of conflict, highlighting the tension between loyalty to God and allegiance to human authority. End-time prophecy in Revelation 14 and 13 reveals that a global power will enforce false worship, pressuring believers to disregard God’s holy day, the seventh-day Sabbath, in favor of man-made traditions. This battle is not merely about a day...
Conflict between Truth and Lies Pr Mark Finley
มุมมอง 183หลายเดือนก่อน
In these closing scenes of Earth’s history, we find ourselves in the midst of an intense conflict-a struggle between truth and lies, light and darkness, good and evil. This battle is not new but has been prophesied throughout the Scriptures, revealing a cosmic struggle that began in heaven and now plays out here on Earth. As we delve into end-time prophecies, we see how Satan, the father of lie...
Revelation Most Amazing Prophecy Pr Mark Finley
มุมมอง 129หลายเดือนก่อน
The book of Revelation holds some of the most amazing prophecies ever recorded, offering glimpses into future events, divine plans, and the ultimate triumph of good over evil. Among these prophecies, we find vivid descriptions of the final conflict between God and the forces of darkness, the second coming of Jesus Christ, and the promise of a new heaven and a new earth. This sermon, “Revelation...
Revelation Source of spiritual power Pr. Mark Finley
มุมมอง 135หลายเดือนก่อน
The book of Revelation serves as a profound source of spiritual power, revealing the ultimate victory of God over evil and the assurance of His presence with believers through every trial. In a world fraught with challenges and uncertainties, Revelation offers a vision of hope, strength, and divine authority, reminding us that our faith connects us to a source of limitless spiritual power. This...
DALILI ZA KUKOSA UTULIVU WA AKILI DAY DR. PASCAL
มุมมอง 120หลายเดือนก่อน
DALILI ZA KUKOSA UTULIVU WA AKILI DAY DR. PASCAL
MAWASILIANO KUPITIA MWONEKANO DR. DEVOTHA SHIMBE
มุมมอง 265หลายเดือนก่อน
MAWASILIANO KUPITIA MWONEKANO DR. DEVOTHA SHIMBE
KANISA LA KWELI UTALITAMBUAJE? PR. NJUGUNA
มุมมอง 9712 หลายเดือนก่อน
KANISA LA KWELI UTALITAMBUAJE? PR. NJUGUNA
Revelation Greatest End Time Signs-Pst Mark Finley
มุมมอง 1102 หลายเดือนก่อน
Revelation Greatest End Time Signs-Pst Mark Finley
KWA NNINI KUYUMBA KWA AKILI? - DR. PASCAL
มุมมอง 1792 หลายเดือนก่อน
KWA NNINI KUYUMBA KWA AKILI? - DR. PASCAL
YESU NI NANI KWAKO - PR. JOSHUA NJUGUNA
มุมมอง 2.1K2 หลายเดือนก่อน
YESU NI NANI KWAKO - PR. JOSHUA NJUGUNA
MAWASILIANO KATIKA NDOA DAY -DR. DEVOTHA SHIMBE
มุมมอง 2392 หลายเดือนก่อน
MAWASILIANO KATIKA NDOA DAY -DR. DEVOTHA SHIMBE
MAMBO YA FEDHA KATIKA FAMILIA- DR. DEVOTHA SHIMBE
มุมมอง 3812 หลายเดือนก่อน
MAMBO YA FEDHA KATIKA FAMILIA- DR. DEVOTHA SHIMBE
MBINGU NI HALISI AU WAZO TU?? - PR. JOSHUA NJUGUNA
มุมมอง 8752 หลายเดือนก่อน
MBINGU NI HALISI AU WAZO TU?? - PR. JOSHUA NJUGUNA
LIONDOE JIWE KATIKA MAISHA YAKO - PR. JOSHUA NJUGUNA
มุมมอง 3.7K2 หลายเดือนก่อน
LIONDOE JIWE KATIKA MAISHA YAKO - PR. JOSHUA NJUGUNA
KWELI TANO KUHUSU HUZUNI BADA YA KUFIWA -DR. DEVOTHA SHIMBE
มุมมอง 2602 หลายเดือนก่อน
KWELI TANO KUHUSU HUZUNI BADA YA KUFIWA -DR. DEVOTHA SHIMBE
UMUHIMU WA UTULIVU WA AKILI -DR. PASCHAL
มุมมอง 1632 หลายเดือนก่อน
UMUHIMU WA UTULIVU WA AKILI -DR. PASCHAL
DALILI ZA KUPATA MWENZI WA MAISHA SEH 2 - DR. DEVOTHA SHIMBE
มุมมอง 1802 หลายเดือนก่อน
DALILI ZA KUPATA MWENZI WA MAISHA SEH 2 - DR. DEVOTHA SHIMBE
DALILI ZA KUPATA MWENZI WA MAISHA SEH YA 1 - DR. DEVOTHA SHIMBE
มุมมอง 1732 หลายเดือนก่อน
DALILI ZA KUPATA MWENZI WA MAISHA SEH YA 1 - DR. DEVOTHA SHIMBE
SIKU YAKO YA HUKUMU ITAKUWAJE- PR. JOSHUA NJUGUNA
มุมมอง 5432 หลายเดือนก่อน
SIKU YAKO YA HUKUMU ITAKUWAJE- PR. JOSHUA NJUGUNA
Mungu akubariki
Hii charnel mbona ngeni
Hakika wewe ni wa samani sna Mungu akubariki
Mungu azidi kukubariki uendelee kutuletea habari jipya la Mungu Kila siku
Mcgj anabaliki Sana mm mungu akutunze
Naomba baraka kwenye ndoa za watoto wangu.
Mungu nitiee nguvu
Amen 🙏 🎉
Bwana ni mwema sana nina ushuhuda mwingi sana juu ya mungu mkuu amenitendea makuu mno
Mungu akubariki sana Mtumishi wa Mungu Mungu akupe mwisho mzuri na familia yako yote Amen🙏🏼
Naomba Mungu anipe mwisho mzuri na fanmilia yangu yote 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Yani unafundisha vitu vya maana sana!
Amina umenibariki sana
Amina kubwa mtumishi wa Mungu barikiwa sana
Pasta niombee kuna ndoto nimeza kuiota toka elf mbili 16 mbka leo inajiludia ludia inafanya nakosa amani kabsa kila nipo iota maaumivu makari nayapitia pia najituma kufanya kazi lakin bila mafanikio mahusiano kwang vyote nichangamoto pasta niombee

Nimebarikiwa Sana na mahuburi hya na maani kufunguliwa! Pia jaman naomben namba ya pasta
Amjambo Mtumishi ombea mke wangu nomgonjwa.
Mchungaji nimebarikiwa na mafudisho yako sana hakika nimejifunza mambo makuu mungu akubariki.
Msaada wa namba ya pastor
Mungu apewe sifa kuu, mungu akupe nguvu saidi, knowledge and wisdom my pastor David mmbaka,.
Nimeona mwangaza kupitia muhubiri ya pastor David, Sasa naomba kukutana na pastor uso kwa uso. Wapendwa Wahumini wa mungu, nisaidie kufikisha Ujumbe wangu kwa mtumishi wa mwenyenzi mungu, ili afike kenya Nairobi kasarani mwiki Ph3 near Mwiki police station tafadhari naomba kwa unyenyekevu
Kupitia pastor David mmbaka through his teachings, I have to know more about Jesus Christ than before, I used to worship in Sunday but now I know the truth and I have changed from Sunday Catholic Church to SDA Church worship, glory be to mighty God
Amen!
Mimi ni benard Nyaigero kutoka Nairobi kasarani Mwiki Ph3 opp Mwiki police, napenda Sana saana kuwatch your preachings on you tube, ma nimesaidika saana kiroho tangu nianze kuwatch na kuyashikirisha muhubiri ys pastor David
Pastor David naomba unitembelee nyumbani kwangu kwa jumba nimekondisha naishi MA familia yangu.. Naomba kwa jina la yesu christo nitembelee hili Roho yangu ipate Amani
Karibu uokoe Roho zinapotea ukifika nikuone kupitia Jina takatifu la yesu christo mwana wa mwenyenzi mungu Roho yangu itapona MA jamii yangu .karibuni nyumbani mtumishi wa mungu
Mtumishi wa mungu, Mimi sina cha kukupatia lakini Nataka kuitoa Roho yangu kwa mungu nangojea wewe naomba
Mungu akubariki na akulinde kwa Safari yako kuingia Kenya Nairobi hadi kasarani mwiki Ph3 near Mwiki police station ,karibuni tena
Mchungaji kwanini Naomba vitabu, Lakini siwezi kupata? Nataka vitabu vyote ulivyo Andika.
Mtumishi asante sana,haya mahubiri yamenifungua sana Mungu akubariki na aendelee kukutumia ili tuzidi kupona
Amina
Mchungaji barikiwa kwa masomo yako.
Amina ubarikiwe Pr
Asante mchungaji, nabarikiwa sana na mahubiri yako. Mungu ametenda makuu sana juu yangu. Naomba unisaidie jambo, je kanisa ni halali kucheza vikoba hela za sadaka?
Nami naomba kitabu hicho cha Daniel...
Amen mungu tupe ujasiri
Mungu azidi kukubariki mchungaji naomba uiombee familia yangu kwa machanga na magonjwa yanayotusumbua,mahubiri yako yanaendelea kututia moyo.
Amen, am blessed 🙌
Amen
Barikiwa Mchungaji, nami nikumbuke katika maombi.
Mungu niinue kiuchumi katika biashara yangu kwa kunipatia wateja wengi sanaa ili kupitia biashara hii niweze kukutumikia wewe, Mungu imarisha ulinzi,,,na uondoe maagano na minyororo yote yaliyowekwa juu yangu.
AMINAAA
I was almost differing my university studies when I was in second year ...but God gave me a good work that us enabled me to pay fee and other arrears until now I'm in my fourth year of study se...I love good with my whole heart ❤️ 😊 for his support and care upon my education journey. And many more life breakthrough. Amen
Mtumishi naomba maombi yako nipone maradhi yangu naamini MUNGU atatenda. Kupitia wewe amina 🙏🙏
Ahsante mtumishi ubalikiwe nafurah nimejiunga leo ila. Umenitia moto sana
Tunabarikiwa lakin mchungaji tunaomb uje ufundishe somo la utatu mtakatifu koz tunaambiwa akuna miungu wa tatu na akuna sehem kweny bibilia imeandik a et kuna miungu watat biblia nzima lakin ukisoma makin kweny biblia imeandikwa kwamb kuna mungu mmoja tu na bwan wetu yesu sas hii nazalia ya wasabato kwamba kuna mung bab mungu mwana na mungu roho hii imetoka wap kweny biblia naomba mtufundishe jaman
Utatu mtakatifu ni mgawanyiko wa kuonesha Kazi tatu tofauti katika nafsi tatu tofauti. Utatu mtakatifu haimanishi kuwepo kwa miungu mitatu tofauti. Mungu ni mmoja tu na hufanya kazi kwetu sisi katika nafsi tatu tofauti ambapo Kuna Mungu Baba, Mungu Mwana na Mungu Roho Mtakatifu. (Mwanzo 1:26) inasema "Na tufanye mtu kwa mfano wetu” Hivyo utendaji wa Mungu unaonekana katika hizi sehemu tatu kuu katika jina Utatu mtakatifu. Wala haiwezekani kugawanisha/ kutenganisha nafsi hizi tatu na kusema kwamba kuna miungu mitatu. Mungu Baba ndiye muumbaji, Mungu Mwana aliyekuja duniani kuteswa kufa na kufufuka ili tupate ukombozi, Mungu Roho Mtakatifu ambaye ni mlinzi na msaidizi wetu ambapo kazi ya uumbaji na wokovu zinakuwa na uhusiano.
@marionmboya7219 sas je sas ivi uko mbingun izo nafsi ziko tatu kila moja na nafsi yake au zimeungana zimekuwa kama nafsi moja inayo gawanyika naomba unieleweshe yan uyo mungu baba mungh mwana na mungu roho zimeungana yan kama mwili mmoja kwa mfano au kila nafs iko peke yake sema kiutendaj ndo wanakuwa wamoja nielewesh apo kaka
Asante kwa somo zuri mchungaji ubariliwe sana
Amen
Amina
Pasta mungu akubariki sana kwa kazi yote umetenda