"MWAMBA HUYU HAPA": JUMA KHAN ALIA NA WANAOTUMIA NENO LAKE, WAHINDI WAMEMCHUKUA "NILIWADANGANYA"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 273

  • @rushboyofficial
    @rushboyofficial 2 ปีที่แล้ว +41

    🇧🇮tunakupenda saana mzee!!
    Fanya uje Bujumbura siku moja!!

  • @emmanuelchilimo
    @emmanuelchilimo 2 ปีที่แล้ว +8

    Bado Dj Mack acheche production
    Talented sn Hawa jamaaaa

  • @starjay3052
    @starjay3052 2 ปีที่แล้ว +17

    aminia juma aina kupoa kazi nzuli mzee ✍️✊✊🇹🇿🫶🙏🙏

  • @lucasndaki99
    @lucasndaki99 2 ปีที่แล้ว +15

    Uko juu sana mzee baba,wakati ule ulikuwa ni wewe na lufufu,nakukubali sana,hawa wengine wanajikongoja

  • @AlfaLuambano-bp4ok
    @AlfaLuambano-bp4ok ปีที่แล้ว +1

    💪 daaaa!!! Kaka unahatari sana aseee..
    Kwamufa mrefu nilitamani sana japo kukuon kwamaana nimevutiwa sana na kazi Yako ..kikubwa ninacho vuriwa kutoka kwako namna matukio ya sauti Yako unavyo ifanya ...ni hatari sana .
    Saruti kubwa sana kaka kutoka kwngu.

  • @salamanauthar5261
    @salamanauthar5261 2 ปีที่แล้ว +12

    Nampenda sana' Juma Khan' uwa naelewa sana' utafsiri wake unaelewa vizuri' ananivutia zaidi anavyo taja wadhifa wa wasanii husika' Ana urefu wa futi ngapi' anaongea lugha ngapi' amezaliwa wapi' pia uwa ananifurahisha sana'. nakupenda sana' Juma Khan' Chikongwe

  • @ياسمينسالم-ك8ص
    @ياسمينسالم-ك8ص 2 ปีที่แล้ว +18

    Serikal imsaidie hata kumfungulia ofisi.huyu kaka anajuwa nini anafanya❤️haishi tu maisha mengi

    • @ChugaMkora27
      @ChugaMkora27 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/iyrjocCgRaM/w-d-xo.html

  • @barakajohnh.b8580
    @barakajohnh.b8580 ปีที่แล้ว +1

    Kaka we mwamba sana Mungu akulinde sana kazi Yako nzuri

  • @masundelwa
    @masundelwa 2 ปีที่แล้ว +6

    Waaaaaao, kumbe ndo huyu jamaaaaa..
    🤩😍😍😍

  • @fatumamohammed15
    @fatumamohammed15 ปีที่แล้ว +1

    Ongeraaaa sanaaaa juma khanii Allah akuongozEee na aibariki kaziii ya mikono yakooo🤲

  • @believefilmscompany
    @believefilmscompany 2 ปีที่แล้ว +16

    Nampenda sana Juma Khan

  • @atuganilesangoka3492
    @atuganilesangoka3492 2 ปีที่แล้ว +3

    Mwe we Juma mpka Leo Namkubali.ishi sana 🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳

  • @damamuhamza3318
    @damamuhamza3318 2 ปีที่แล้ว +2

    Nimependa Sana kukufaham. Juma.khani au chikongwe maana ni muda mi tangu mdg nakusikia sauti yk kwenye move za kihindi mdg unatafsili.saluti kwako.

  • @JamscaOfficial
    @JamscaOfficial 2 ปีที่แล้ว +4

    Mwamba Huyu hapa hatari🔥🔥

  • @enockmichael7472
    @enockmichael7472 2 ปีที่แล้ว +7

    Waoooo kwamara ya kwanza namshuhudia mtafsiri wangu kwenye mouve zangu pendwa

  • @mnokufrancis4160
    @mnokufrancis4160 2 ปีที่แล้ว +1

    Big up sana juma Khan chikongwe...mwamba huyu hapa

  • @AlimaCholncho
    @AlimaCholncho 5 หลายเดือนก่อน

    Duuh kwer ww mwamb much love❤❤❤❤❤❤❤

  • @joackimmwedimage6793
    @joackimmwedimage6793 2 ปีที่แล้ว +30

    Wacheza movie wote India ilitakiwa waone mchango wa huyu jamaa, alifanya nchi yetu ndiyo namba moja kwa kuuza movie zao kuliko sehemu nyingine yoyote hongera sana broo, leo wanampeleka killpaul india wanamuacha Juma Khan hivi ni kweli??

    • @wasilaahmad7913
      @wasilaahmad7913 ปีที่แล้ว +1

      Ni huzuni kwa kweli

    • @annastaziasanga2642
      @annastaziasanga2642 ปีที่แล้ว +1

      Kwakweli umeona mbali

    • @Mrtete_tz
      @Mrtete_tz ปีที่แล้ว

      Kweli bhn bila khan india tusingezijua.

    • @stenobway3602
      @stenobway3602 ปีที่แล้ว +1

      Kaka kila mtu na bahati yake njia yake bado haijawa open

    • @ChugaMkora27
      @ChugaMkora27 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/iyrjocCgRaM/w-d-xo.html

  • @moudboss846
    @moudboss846 ปีที่แล้ว +1

    Nenda Cossota ukasajiri neno lako Upate hatimiliki,unajua nchi yetu ni masikini alafu ina ujeuri. mtu au Kampuni kubwa inajua hilo neno limepata umaalufu kupitia kwako lkn analitumia bila kukufata muhusika.
    Ukiwa na hatimiliki unaweza ukafata utaratibu na ukalipwa.

  • @ismailrashid3254
    @ismailrashid3254 2 ปีที่แล้ว +3

    Nmeipenda sana movie ya kihindi police story agni

  • @mathewmlaponi2762
    @mathewmlaponi2762 ปีที่แล้ว

    Ur the proud oph Lindi, watu wa Lindi nione likes zenu apa

  • @HERINANGOMWA-hl2xq
    @HERINANGOMWA-hl2xq ปีที่แล้ว

    Dah juma unajua sana hongera mkubwa bongo hapa hkn kam wew juma

  • @happyhousekeeper
    @happyhousekeeper 2 ปีที่แล้ว +20

    😅😅😅🤣🤣Hatariiii kumbe mwamba ndio huyu Leo tumekujua, Mungu akujalie mafanikio nimependa umetulia sana sana.Kweli hapo makampuni mpeni kazi

    • @ChugaMkora27
      @ChugaMkora27 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/iyrjocCgRaM/w-d-xo.html

  • @AusmanikambaleJks
    @AusmanikambaleJks 27 วันที่ผ่านมา

    Djuma tunakukubali 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🙏🙏🙏

  • @Mbeyaconscious
    @Mbeyaconscious 2 ปีที่แล้ว +16

    Mwamba Hanaga Noma ✊✊

  • @zakayombangoissaya5697
    @zakayombangoissaya5697 ปีที่แล้ว +1

    Daaah mwamba huu hapa namkubari Toka moyoni

  • @vertucypangani1323
    @vertucypangani1323 2 ปีที่แล้ว +6

    Aloo huyu jamaa ni wa nyumbani kumbe 🥺 mmwera anatafsiri movie za kihindi..! 😂 raha sana

  • @mateoyinza1628
    @mateoyinza1628 2 ปีที่แล้ว +2

    Mtu wa kazi Action movies Mwamba hyu hapa! 😁 Juma khan.

  • @nasrahdullah1026
    @nasrahdullah1026 ปีที่แล้ว

    Atr sana,,, juma Khan yn me nikickia iyo mwamba uyu ap bc najua hii kazii

  • @mishikikoti2948
    @mishikikoti2948 2 ปีที่แล้ว +5

    Mtangazaji umenikera hujauliza anaitunxa vipi sauti yake maana hio kazi inatumia sana sauti na pumxi, tena yy ndo huwa anabadilisha kabsa sauti ya kaz ni nyengine na hii ni nyengine inge pendeza angetwambia.

  • @LavieKamse
    @LavieKamse 7 หลายเดือนก่อน

    Juma khan ni kamse Congo napenda Sana utafsili wako Naomba number zako

  • @braymusictz
    @braymusictz 2 ปีที่แล้ว

    Huyu fundi sana 🔥🔥🔥

  • @khadijakinyala9407
    @khadijakinyala9407 2 ปีที่แล้ว +5

    Ma shaa allah , mungu azidi kukuongoza

  • @lilianalmas5911
    @lilianalmas5911 2 ปีที่แล้ว +8

    Nainjoy Sana sauti tuu😂😂😂

  • @Mushalotelevisionkiswahili
    @Mushalotelevisionkiswahili ปีที่แล้ว +1

    Historia ya huyu juma khan ni sawasawa na yangu. Nimeanza Pia utangazaji kijijini Tangu nikiwa mdogo. Duhhh

  • @lyilyanmussa5433
    @lyilyanmussa5433 2 ปีที่แล้ว +1

    Yan mi move za kihindi bila mwamba utu hapa aaa sijaangalia bado Mungu akutunte bro

  • @ibraahimhassanabdala382
    @ibraahimhassanabdala382 2 ปีที่แล้ว +1

    Juma dah'!!safi xnaaa
    Pambna wanyumban

  • @esteridalipamba1362
    @esteridalipamba1362 2 ปีที่แล้ว +1

    Nakukubali Sana juma Khan hujawahi kukosea

  • @salumuseif3324
    @salumuseif3324 2 ปีที่แล้ว +1

    Angalia Jadu au Krish alotafsiri uyu mwamba utakuja kunishkuru

  • @DELPHINMASUMBUKOAsmayad-pv3sn
    @DELPHINMASUMBUKOAsmayad-pv3sn ปีที่แล้ว

    napenda sana kazi zako niko Congo 🇨🇩

  • @aishajuma18
    @aishajuma18 2 ปีที่แล้ว +6

    Mwaaaamba huyu apaa💪

  • @hamismagedulah9661
    @hamismagedulah9661 2 ปีที่แล้ว +2

    Unajua sana brooo nakukubali sanaaa

  • @princehancesam9892
    @princehancesam9892 ปีที่แล้ว +1

    Serikal pia ingekuwa inaona michango ya tasnia zetu na kutoa tuxo au kuwaheshimisha au kuwapa mitaji

  • @hendrymicky2372
    @hendrymicky2372 2 ปีที่แล้ว +4

    Uko vizuri kamanda

  • @jafariabdalah5744
    @jafariabdalah5744 2 ปีที่แล้ว +3

    Namkubali 100% juma khan

  • @stellah3844
    @stellah3844 2 ปีที่แล้ว +3

    Juma khan 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @fzlcomrajabu9514
    @fzlcomrajabu9514 2 ปีที่แล้ว +3

    Juma khan 💥💥💥💥

  • @bravobacar442
    @bravobacar442 2 ปีที่แล้ว +5

    Jamaa azid kukaza anaweza sana💪

    • @radhiawarahul8432
      @radhiawarahul8432 2 ปีที่แล้ว

      Akaze nn sas na wakat uyo ni legend tangia enzi izooo

  • @mangukasasali7614
    @mangukasasali7614 2 ปีที่แล้ว +1

    Huyu jamaa ni mwamba kweli. Joakim kaa ukijua walomchukua kilpaul ni idara nyingine ya muziki siyo wale kina Sharo Khan

  • @alexmapunda5539
    @alexmapunda5539 2 ปีที่แล้ว +3

    Kiukweli mi namkubali sana huyu jamaa na ninahamu sana na na muvi zake Ila sizioni sikuhizi

  • @markosikudhani3443
    @markosikudhani3443 2 ปีที่แล้ว +1

    Ulivyotafsiri movie ya KRISHNA dah ulinikosha AU CHIKONGWE

  • @potiphabucha8326
    @potiphabucha8326 4 หลายเดือนก่อน

    Daaah Jamaa namkubali sana ndo amenifanya nipende movie za kihindi....Asipotafsiri yeye kiukweli movie hiyo siangalii maan sauti yake ni kivutio tosha kwangu hatakama movie mbovu inakuwa nzuri kutokana na sauti yake😂😂😂

  • @botanictv6268
    @botanictv6268 2 ปีที่แล้ว +1

    Namkubali sana Khan,botanic tv

  • @manambavideoproduction8394
    @manambavideoproduction8394 2 ปีที่แล้ว +1

    Juma khan chikongwe pamoja sana

  • @enouschangana
    @enouschangana 2 ปีที่แล้ว +1

    Good translator I've ever seen before

  • @bashirumteka649
    @bashirumteka649 2 ปีที่แล้ว +1

    Aisee daah, umenkumbusha mbali sana 🔥🔥🔥🏃

  • @rukwaonlinetv
    @rukwaonlinetv 2 ปีที่แล้ว +2

    Huyu mwamba namfatilia tangu mtoto mpk leo Nina ndevu jaman ajengewe sanamu

  • @emmymajula5164
    @emmymajula5164 2 ปีที่แล้ว +1

    Tunakupenda Sana
    Unatupa burdani

  • @allyissa1158
    @allyissa1158 2 ปีที่แล้ว +1

    Mwamba yuko vizuri hongera kujua kihindi na ndiomaana tunafurahi muvi zake ziko poa sana.

  • @mwangobelejunior2862
    @mwangobelejunior2862 2 ปีที่แล้ว

    Juma Khan ww ni jinious

  • @lightnessabdallah2340
    @lightnessabdallah2340 2 ปีที่แล้ว +5

    hongera mwamba wa kwetu

  • @qt2374
    @qt2374 2 ปีที่แล้ว +3

    Fantastic Juma

  • @maujanjatzonline4724
    @maujanjatzonline4724 2 ปีที่แล้ว +2

    daaah uyojamaa nampenda sanaaa

  • @jumakhamis5053
    @jumakhamis5053 ปีที่แล้ว

    Kuna watu wanajifanya kupenda kingereza eti sitaki movie za kutafsiriwa kiswahili ati anatuongopea sawa sisi tunape ivoivo kuna vitu vingi tunapenda kwenye utafsiri wa Juma khan

  • @leiratykisura6718
    @leiratykisura6718 2 ปีที่แล้ว +2

    Nampenda sana juma kan mtto wangu jmn 😘😘😘😘

  • @ismailabdallah721
    @ismailabdallah721 2 ปีที่แล้ว +1

    Mwamba huyu hapa weee hatari achaaaa eeeeeh ndo yeye huyu ndo mwamba Khan moja ya kaul ninazo zipenda sana

  • @ntanilanjema04
    @ntanilanjema04 2 ปีที่แล้ว

    Hongera , piga kazi

  • @BeataPasichal
    @BeataPasichal ปีที่แล้ว

    Yani nampenda uyo

  • @omarihamadumetishasanalava4725
    @omarihamadumetishasanalava4725 ปีที่แล้ว

    Nice chikonge

  • @rwegymihigo6072
    @rwegymihigo6072 ปีที่แล้ว

    Nakukubali juma mm mshabiki wako

  • @aloycesteven5998
    @aloycesteven5998 2 ปีที่แล้ว +3

    Tatizo la hao watia maneno ya kiswahili uwa wanaharibu Quality ya movie kutoka HD LD

    • @simbaphonez
      @simbaphonez 5 หลายเดือนก่อน +1

      Issue ni Inakuja ni Kwamba Huwezi Kuingiza Sauti Kwenye Movie Bila Kupunguza Ubora Wa Picha ( Quality)

  • @JENOVICPOLYVALENTTUMBAJEAN
    @JENOVICPOLYVALENTTUMBAJEAN 8 หลายเดือนก่อน

    courage juma kan

  • @blastusmitawo2014
    @blastusmitawo2014 2 ปีที่แล้ว +12

    Mack na huyu jamaa pamoja na rufufu ndio vipenzi vyangu

  • @macalelochalebabax547
    @macalelochalebabax547 2 ปีที่แล้ว +1

    Huyyo Juma aaa sioo wa mchezo inabidi apewe pngezi sana

  • @elidadimagu2742
    @elidadimagu2742 2 ปีที่แล้ว

    Uko vzr Kaka mov za kihind usipo tafsri we Wala siangariag hongeravsan

  • @JuhudiMboghela
    @JuhudiMboghela 11 หลายเดือนก่อน

    Penda Sana juma khani au chikikongwe

  • @bwengoabdallah2556
    @bwengoabdallah2556 2 ปีที่แล้ว +3

    Broo mimi ni shabiki wako sana mwambaa huyu hapaa

  • @AdamsFootsteps
    @AdamsFootsteps 2 ปีที่แล้ว +3

    Mtu mmoja mstaarabu sana

  • @shabanmachucha8919
    @shabanmachucha8919 2 ปีที่แล้ว

    Kazi nzuri kaka

  • @abrahammwamkamba392
    @abrahammwamkamba392 2 ปีที่แล้ว +1

    Daaaa namkubali sana huyu mwamba

  • @kelvinjeremia8763
    @kelvinjeremia8763 2 ปีที่แล้ว +1

    Namkubali sana

  • @mdzainb3722
    @mdzainb3722 2 ปีที่แล้ว +1

    Kusini bana 💪💪 mtuambie lufufu alikuwa wawapi

    • @hamzamussa7081
      @hamzamussa7081 2 ปีที่แล้ว

      Lufufu jina kamili Derick mukandala ni muhaya wa bukoba

    • @salamanauthar5261
      @salamanauthar5261 2 ปีที่แล้ว

      Lufufu alikua mtu wa Moshi

  • @justinefelis2071
    @justinefelis2071 2 ปีที่แล้ว +2

    Muandishi unaijua kazi Yako kweli kweli.

  • @nairatomar9389
    @nairatomar9389 2 ปีที่แล้ว

    mwamba uyu apa💪🏼🔥🔥🔥❤️

  • @jwisetv4833
    @jwisetv4833 2 ปีที่แล้ว +5

    Anajua sana uyu jamaa

  • @faustinlucas4093
    @faustinlucas4093 ปีที่แล้ว

    Kazi nzuri

  • @yohanalazallo2277
    @yohanalazallo2277 2 ปีที่แล้ว

    Kaka nakukubali sana never

  • @johanesnixon5473
    @johanesnixon5473 2 ปีที่แล้ว +1

    Je wenyewe wanajuwa mnacho kifanya kwenye film zao

  • @johnyagat973
    @johnyagat973 2 ปีที่แล้ว

    Juma kan huyu jamaa alinipotezeaga mda banda la video na movie za kiindi hatari nilikuwa mtolo shule mbaya kisa huyu jamaa kwanza nazani kakosesha shule nyingi kaachisha ndoa nyingi huyu jamaa aya bana 👋👏🤗💪

  • @salomewandya7257
    @salomewandya7257 ปีที่แล้ว

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @joharishabani2893
    @joharishabani2893 2 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah nihuyu kumbe

  • @Zainab-sq1tc
    @Zainab-sq1tc 2 ปีที่แล้ว +2

    Na dj Murphy

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 2 ปีที่แล้ว +6

    🤣🤣🤣💃Ni Yeye

  • @AugusteYohana
    @AugusteYohana 9 หลายเดือนก่อน

    Ata mimi nampenda kwakazi yake

  • @missmwayway4704
    @missmwayway4704 2 ปีที่แล้ว +1

    Hatari xana 😅😅😅😅💪💪💪

  • @ntiliyothomas225
    @ntiliyothomas225 2 ปีที่แล้ว +2

    Nakukubari sana mwamba

  • @ibrahimibra2720
    @ibrahimibra2720 ปีที่แล้ว

    Nakubal mwamba

  • @yohanamakorosho
    @yohanamakorosho 2 ปีที่แล้ว

    We kweli ni mwamba lakini ulinitaperi 100000 yangu sijui unakumbuka

  • @phillyvibeofficial7151
    @phillyvibeofficial7151 ปีที่แล้ว

    Uyu jamaaa amenifanya nimepigwa sana makonzi kwaajili yakuchungulia kwenye mabanda ya muvi enzi zakina sunili shet Methun chakalabot sanideo bob deo kipindiiiiko kama amilish Puli ndio adui no Moja daaaah nimechezea sana makonzi jumakhani ishi miaka 💯 kaka una baya nimepigwa makonzi yaaalali kabisa muvizako ni zakibabe utam mwanzo adi mwisho

  • @jojigeorige1056
    @jojigeorige1056 2 ปีที่แล้ว

    Yeye mwenyewe anachofanya ni makosa kwa mujibu wa sheria za copyright