Dada pole ...niwakati wako wakusimama kiroho pia..ukainene Ardhi popote alipo ikamtapike..Mungu ni mwaminifu sana ..ukipambana kimwili usisahau na kiroho pia.
MUNGU atusaidie. YEYE ndie anajua zaidi yote yanayoendelea na kutendeka....... Dah inaumiza SANA... Dada MUNGU akupe Ujasiri na family kwa UJUMLA.... Inauma MNO.
pole sana jaman ,MUNGU akutie nguvu katika hiki kipindi kigumu...MUOMBE SANA MUNGU ATAPATIKANA TU....(Mambo kama haya yasikie tu kwa JIRANI yakitokea kwako utaelewa).....
Jamani wa mungu kwani hii Tanzania niile Tanzania ama imekuaje mungu suwauwe nao waone uchungu na ipo siku mungu tashusha kiboko yake watashangaa pole sana dada tutamuombea arudi salama
Tatizo la w bongo n mazombii ww huwezi tegemea police,ana tembea bila kisu,au sime ww una contena huna mpambe,uko ka mdada,tukusaidieje wee mwenyewe hujiongezi,kisu au sime,baba kitaeleweka moja ukufa nae
Mimi ninamashaka na agent, hili linataka kufanana na yule mfanyabiashara bonge waliyeshindwa kumteka, maana nayeye aliitwa akakutane nawatu wa waongelee biashara
Kwenye matukio km haya ni rahisi serikali ikatupiwa lawama lakini ukweli ni kwamba kuna mambo mengi yamefichika kwa mfano i)mahusiano mabaya ya kibiashara, ii)migogoro ya chini kwa chini ya ndoa n.k ila wanaopanga maovu hayo wanataka tuangalie upande tofauti na uhalisia wa tukio.
@@nancyg8664 kabisa umeongea point mama wa watu anataka msaada sasa akiongea uku analia ataeleweka nn anaongea? Watu wengine wanafikiri kulia ndio sign ya kuumia kumbe wap.
Mimi bado hii sheria ya polisi ya kusema masaa 24 mimi siielewi jamani.huenda tumerithi hiz sheri lakn nataman taarifa ikitolewa mara moja uchunguzi ungeanza jamani.ni bora hata kama kutakuwa kuna na uzembe wa muhusi alipishwe fain lkn huenda tukaokoa wengi.Mungu amtetee huko alipo.
Acha mihemko na kujazwa na taharuki kama wanavyolishikilia kidete, kupotea inahusiana vip na serikal moja kwa moja huyo mtu aliepotea unamjua vzr, background yake unaijua vzr na watu waliomzunguka unawajua wote?
@@MariamMustafa-b8ikuna watu si rahisi kulia, na msiamini sana kulia ndio huzuni na kulia sio kutokujua jambo, mama angu huwa pia sio rahisi kulia, tena waliaji wengine ndio wafanya jambo, msipende kuamini machozi... Mungu amsaidie huyu dada kupotelewa kunauumiza sana.
Sawa kabisa angelia wangesema jambo lingine watu wameumbwa tofauti wengine wanaumia ndani tu utakuta mtu anadondoka puuu na alikuwa haliii.@@mwitaagness455
Hyu atakuwepo tu,nyuma iliwahitokea kitu kama hicho baada mke kutafuta weee hadi mochwari ,mme alikuja kupatikana akiwa anaraha zake wala hashituki lolote.
Acha ushabiki wa kijinga ww haya maswala ni mapana na hayako kama hvyo unavyoyaona na akili yako ndogo hiyo inayoshikiwa na upepo na propaganda za kisiasi....hujui vitu kwa upana wake tulia na ukae kimya
Kwani huyo bodaboda aliyempeleka yeye anasemaje je! Alimfikisha uko kuchukua mzigo au imekaaje maana yey ndio mtu wa mwisho aliyekuwa na huyo baba. Em mchunguzeni bodaboda.
Yani hapo Kama ningekuwa polisi huyo Ajenti polisi waanze nae pili wakitracki wanajuwa simu ya mwisho imeishia wapi Sasa Kama tunaanza kuitwa mpaka TRA Sasa tuelekea wapi
Uko sahihi kbs sijui ni kwa nin watu wakiongea kiswahili wanachanganya na kingereza sijui ndio tujuwe amesoma ama ni ujinga tu na kwa nin asiongee tu lugha moja akaeleweka kama kingereza ama kiswahili na sio kuchanganya changanya lungha mna mbona xnaaaa
Dada pole ...niwakati wako wakusimama kiroho pia..ukainene Ardhi popote alipo ikamtapike..Mungu ni mwaminifu sana ..ukipambana kimwili usisahau na kiroho pia.
Ardhi inatapika kivipi ??
@@zitongwang6278unahitaji kuwa wakiroho ili uelewe lakini ardhi inatapika na kumeza
Dada pole tena pole, Mungu awe nawe kwa kipindi hiki kigumu kwako, tuzidi kumwomba Mungu apatikane haraka
Sasahiv Tanzania sio nchi ya amani tena ni nchi ya utekai 😢😢😢
MUNGU atusaidie. YEYE ndie anajua zaidi yote yanayoendelea na kutendeka....... Dah inaumiza SANA... Dada MUNGU akupe Ujasiri na family kwa UJUMLA.... Inauma MNO.
pole sana jaman ,MUNGU akutie nguvu katika hiki kipindi kigumu...MUOMBE SANA MUNGU ATAPATIKANA TU....(Mambo kama haya yasikie tu kwa JIRANI yakitokea kwako utaelewa).....
Jamani wa mungu kwani hii Tanzania niile Tanzania ama imekuaje mungu suwauwe nao waone uchungu na ipo siku mungu tashusha kiboko yake watashangaa pole sana dada tutamuombea arudi salama
Agent anajua huu mchongo,apigwe busha atasema
Askari polis tips kupotea kwa watu mara nyingi watu wa karibu huusika .kamata simu zote za watu wa karibu anza na mkeweo
Cha kushangaza ni kwamba kunakikosi cha upelelezi wa mitandao mbona hawafuatilii watu wakipotea?
Umenena vyema sana.
Lazima kila mtu ajichunge sio serikali, watanzania baadhi wameamua kua makatili na uombe mungu utokapo na uingiapo.
Kabisa
Maadui wanajipenyeza huko huko
Well said,binadamu baadhi wamekuwa wabaya kuliko hata wanyama,ila lawama zote tunapelekea serikali wananchi nasi tujichunguze na kuchunguzana
Tatizo la w bongo n mazombii ww huwezi tegemea police,ana tembea bila kisu,au sime ww una contena huna mpambe,uko ka mdada,tukusaidieje wee mwenyewe hujiongezi,kisu au sime,baba kitaeleweka moja ukufa nae
@@HamisMghuna-fj3vz😂😂😂😂😂😅
Tumuombee tu aweze kupatikana jamani😢😢😢
Nani asimame atoe tamko lenye Nguvu juu ya upoteaji wa watu TANZANIA?😢😢😭😭😭
Watu achen kuhukumu huyu mama yaan angetoa machozi mngesema pia anajifanyisha, sio sawa kabsa.
Mimi ninamashaka na agent, hili linataka kufanana na yule mfanyabiashara bonge waliyeshindwa kumteka, maana nayeye aliitwa akakutane nawatu wa waongelee biashara
Mimi naona wale watu wasio julikana wamesha fanya yao🤔🤔
Nimeskiliza vzr apo sifa za ulomi na maswali ya muandishi, sasa tuwaachie police wafanye kazi yao, pole kwa familia
Siku hizi jamani tusiwe tunatembea peke yetu tuwe tunasindikizana maana mtu unatoka vizuri halafu hurudi maajabu haya
Nina wasiwas na huyu mama kwa asilimia 90 anahusika alaf anatuchezea akili anahusika bila kupepesa kwanz Hana hata wasiwas
ulitaka atoe kamasi ili ujue hisia zake...ebu acheni kuhukumu tena uwenda wewe ndo unausika😊
Hao walio mpigia simu ndio wakamatwe hao wamehusika
Umewaza kama mimi
@@chikusangalala7759 abanwe agent
Huyo agent alipata wapi namba ya huyo bibi wa uloya? Ama ni mimi naelewa vibaya,
W bongo n mazombii ww huwezi tegemea police ana tembea bila kisu au sime yuko ka mdada tukusaidieje sasa hana mpambe,
Mbona hii indicator sio nzuri kwa taifa letu, tunahijaji tujitafakari kama binaadamu wenye akili wapi tunaelekea
Mungu amlinde
last seen Locatiin ya simu yake lazma ioneshe Route yake,
Ndo watu wakichukua Shelia mikononi polis wanakua wakali unakuta mtu anashkwa anapakiwa kwenye gali mchan kweupo laia wanatazama tu
Pole sana
Mungu wetu mwema, tunakuomba umlinde na kila aina ya ubaya ,mrudishe salama!
Kwenye matukio km haya ni rahisi serikali ikatupiwa lawama lakini ukweli ni kwamba kuna mambo mengi yamefichika kwa mfano i)mahusiano mabaya ya kibiashara, ii)migogoro ya chini kwa chini ya ndoa n.k ila wanaopanga maovu hayo wanataka tuangalie upande tofauti na uhalisia wa tukio.
Poleni sana mungu atafanya kitu , police wapo kazini selekali ina mkono mrefu i, muamini mungu
Ila huxu mama mkavu huyu kingereza kingiii hata huzuni kidogo
Kwamba akilia ndo atarudi?
Maongezi yake tu, kuna jambo analijua.. ??tukio lilipangwa?? @@DM.2200
Wataka kumuona anagaragara chini ndio ujue ana uchungu ama? Kizungu gani kaongea hapa
yan kuna watu ni wapumbavu kwahyo kulia ndo mnadhan ishara ya kuonesha uchungu au kuchanganyikiwa? wengine wanatumia machoz kuficha maovu yao ujue
@@nancyg8664 kabisa umeongea point mama wa watu anataka msaada sasa akiongea uku analia ataeleweka nn anaongea? Watu wengine wanafikiri kulia ndio sign ya kuumia kumbe wap.
Alafu wanaume wa tegeta wakifanya yao wanaonekana wamekosea
Mimi bado hii sheria ya polisi ya kusema masaa 24 mimi siielewi jamani.huenda tumerithi hiz sheri lakn nataman taarifa ikitolewa mara moja uchunguzi ungeanza jamani.ni bora hata kama kutakuwa kuna na uzembe wa muhusi alipishwe fain lkn huenda tukaokoa wengi.Mungu amtetee huko alipo.
ila mbona yupo fresh2 sio mpaka alie ila mtu mwenye sad utamjua2 halaka halaka
Mungu tenda miujiza yako arudi salama
Jamani hao waliyomupigia simu ndo wanajuwa kilakitu wakamatwe
Rais hana msaada jibu alishatoa hivyo ni vidrama,Mungu ndio kimbilio la wanyonge
Samia yupo wapi kwel yupo tz kweli
Poleni sana mama ulomi
Mungu akutete dada, ila nimesikiliza vizuri mahojiano hayo, hao TRA waliokua wanamkazania aende kule wachunguzwe
Mim ata wanawake siwaamini. Mkeo anaweza akachonga dili na wahalifu na atakuwa anawapa ramani kuhusu ww
Mmmmh sio kweli hiyo
Hakuna mke wa hvo labda wako.
@@annabyekwaso-wt7oi😂😂😂😂😂😅wakati mwingine inatokea sana kwa wanawake waovu
@@annabyekwaso-wt7oi Wapo tena wengi
Dada angevua miwani tunge yaona machozi yake lakini Mungu ndio mwenye kujua
This is too much Kwanini Watu Wanapotea sana kipindi hiki ? Kuna Jambo La Kufanya ususani serikali hii
Acha mihemko na kujazwa na taharuki kama wanavyolishikilia kidete, kupotea inahusiana vip na serikal moja kwa moja huyo mtu aliepotea unamjua vzr, background yake unaijua vzr na watu waliomzunguka unawajua wote?
Muhangaike upande wa pili waingiye wazimu walomchukuwa
Huyu mwanamke na wasiwasi nae
hata mimi nina wasi wasi nahuyuyu mama amekaa kimasta sana
Ata Mimi Nina wasi wasi Nae macho makavu Hana ata uzuni kabisaaa kashiriki
@@MariamMustafa-b8ikuna watu si rahisi kulia, na msiamini sana kulia ndio huzuni na kulia sio kutokujua jambo, mama angu huwa pia sio rahisi kulia, tena waliaji wengine ndio wafanya jambo, msipende kuamini machozi... Mungu amsaidie huyu dada kupotelewa kunauumiza sana.
Sawa kabisa angelia wangesema jambo lingine watu wameumbwa tofauti wengine wanaumia ndani tu utakuta mtu anadondoka puuu na alikuwa haliii.@@mwitaagness455
@@mwitaagness455fact mwita
Poleni sana
Kwa maelezo ya Dada kuna mtu hapa 😢😢 anajuwa mwanzo mwisho
Mmh 😢
Mungu Asimame jaman
Mhuuu watekaji wa nn jamani dhambi hebu watu wamerudie mungu kwann wamekuwa katiri zaidi ya Simba
Hii picha ya mhanga mbona jicho la kushoto kama limevia damu kama kapigwa ngumi?😢
😂😂namimi nmeona
Ndio Tanzania yetu hii, kutoka kwa wanasiasa Hadi wafanya biashara
Hao waliompigia cm waanze kuhojiwa. Kwanza
Itakuwa TRA maana na wao wanawajibu wa kumteka mtu na kwenda kumkaguwa mapato, mkamuulizie na huko.
jamani wameishamteka Hitachi.i.ekuwahatari sanaamanihakuna sijuwitufanyeje
Huyu mama mbona hana hata chozi.
We moyo wake unajua unamaumivu kiasi gani watu wanajikaza ili aweze kujibu maswali vizuri asaidike
Kwanini wanaume wanapotezwa tujiulize jamani
Police wangebadilisha huu utaratibu wa mpaka masaa 24 yapite
Tz kisiwa cha Amani nlivyokuwa mdogo ndiko tulikofikia kwa sasa?
Serikali hasa viongozi wajitafakali kwa hili kwa nn kila wakati watekaji??
waliompigia ndo waliomteka
Kaa na familia yako ombeni
Sana mungu amlinde then atarudi mzimaa kwamungu hilo dogo sanaaaa,
Mungu hataki kuimbiwa Anataka kuanudiwa
@SalmanMughal-lq5lt means ombeni
Huyo mkewe atoe ushirikiano ,
😢 class mate wangu huyu
😳😳😳😳
Hyu atakuwepo tu,nyuma iliwahitokea kitu kama hicho baada mke kutafuta weee hadi mochwari ,mme alikuja kupatikana akiwa anaraha zake wala hashituki lolote.
hiii nchi uyu mama yenu imemshinda kwa nini watu wanapotea kipuuzi?
Acha ushabiki wa kijinga ww haya maswala ni mapana na hayako kama hvyo unavyoyaona na akili yako ndogo hiyo inayoshikiwa na upepo na propaganda za kisiasi....hujui vitu kwa upana wake tulia na ukae kimya
Yesu niokoe, Yesu ni Mungu
Yesu c Mungu na hawezi kuwa Mungu na hawezi hawezi kuwa Mwenyezi Mungu
@kiluiWSbhanaAllah kunawatu wavivu kusoma Maandiko na kuelewa pia kugumuanguvu
@@kiluiWanguvu ubishe usibishe Yesu ni Mungu, na hakuna Mungu mwingine zaid ya Yesu
Uyo aliepija sim ndo achunguzwze
Utaambiwa alikuwa kwa demu/mchepuko wake.. au fitina/ugomvi qa kibiashara..
Huyo si ni mtu mzima kabisa tena ni mwenyeji wa dar? Anapoteaje? Bongo kuna mambo!
😂😂😂😂
😢dah
Aisee! , hii ni uchafuzi wa serikali tu . Yaani watu wasiohusika ndiyo watekwaji
Kwani huyo bodaboda aliyempeleka yeye anasemaje je! Alimfikisha uko kuchukua mzigo au imekaaje maana yey ndio mtu wa mwisho aliyekuwa na huyo baba. Em mchunguzeni bodaboda.
It's no longer safe in our country
Agent aulizwe!!
Mafwela mtekaji atakua anahusika na ccm wamo
Acha propaganda zako zakiboya ww hujui lolote unakazi kupandikiz chuki zisizo za msingi...kaa kimya na upunguze chuki tafuta maish kwanza huna unalo lijua
Wale waliohusika kutaka kumteka Deo Tarimo kule kiluvya wahojiwe kwaajili ya kupotea kwa hyu ulomi.
Kuna wanawake wana wauwa waume zao sababu ya mali then wanasema katekwa au kapotea you guys be careful
Jamaniii yameanza.munguu.jamanii
uyo dada aulizwe vzl
Au nae ni wale wale tarifa inatuchanganya mara mzigo wa dukani mara wa nyumbani
Ni swala la muda tu kila mtu hapa tanzania atatekwa si bado mnaendelea kuikunbatia sisiem
Chadema njama zao mbaya sana kwa jami yetu
Daah mwanamke una roho ngumu xna hata machozi hmn duuh
Ko unataka alie ili ikusaidie nn??cku zote izo kuanzia tar11 ad leo unadhn kalia mara ngap acha upuuz w kujudge watu
Atari sana hiiii
Nchi pekee watekaji wanacomfidance kuliko maelezo
Du. Nchi inatisha haswa
Hatari haya mambo yataisha lini?
POLE SANA SANA ,MUNGU NI MWEMA ATAONEKANA INSHAALLAH
Aaaamina
Dah
Yani hapo Kama ningekuwa polisi huyo Ajenti polisi waanze nae pili wakitracki wanajuwa simu ya mwisho imeishia wapi Sasa Kama tunaanza kuitwa mpaka TRA Sasa tuelekea wapi
Duuuh
Yan ata uchungu huna du
Me naona waanze na huyu mama
Jamani jamani chunga mdomo dada. Unatka afnyeje uone uchungu wake akose nguvu hata ya kumuombea mumewe nae afe ndio ujue ana uchungu.
Mme wako amepotea unaongea kistar kingereza kingi ongea kiswali ueleweke watu wakuelewe
Mi nataka polisi wakamte simu ya huyu mama haraka sana
Kumbe na nyie mmeona kama mm yaan hana hisia kabisa huyu mwanamke
Nendeni mkatoe ushirikiano wenu polisi basi,hapa haisaidii ...kweli asiyekujua hakuthamini
Shida sio kingereza shida haonyesho kama na huzuni kusikitika
Uko sahihi kbs sijui ni kwa nin watu wakiongea kiswahili wanachanganya na kingereza sijui ndio tujuwe amesoma ama ni ujinga tu na kwa nin asiongee tu lugha moja akaeleweka kama kingereza ama kiswahili na sio kuchanganya changanya lungha mna mbona xnaaaa
??????
th-cam.com/video/QTi6Muka6U0/w-d-xo.html
Huyu huyo agent mmh wakati anaenda kuna watu wengine wamemzuia kati kufanya yao kwa TRA mmh cjui maan wanahasira 😢
Mmhhh
Mbna kwa haraka inaonyesha km uyo wakala yy ndiye aliyetumiwa kumpigia cm alafu akawazuga ili yy ajitoe
Kwakweli ata mi nimewaza hvo na ukute akuna material pesa washakula
Inafikirisha hapo labda kampiga fedha na hiyo kupiga simu kwa mke ni kuvuruga ushahidi
Sikuhukum Ila umepata wapi ujasil wa kuoga kuvaa gaun na miwan Kisha ukaachia nywele zako bila wasiwas ukakaa kufanya hayo mazumzo
Atembee uchi , jamani acheni maneno, unamshuhudia mtu kitu ambacho huna uhakika nacho, utajibu nini mbele za Mungu siku ya hukumu
Naogopa kukoment nitatekwaaa
😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 acha uwoga wewe
😂😂😂😂😂hapa Ni malumbano ya hoja.unatoa maoni yko
Huyo si ni mtu mzima kabisa tena ni mwenyeji wa dar? Anapoteaje? Bongo kuna mambo!