This The Reality Of Artist,Katika Story Zote Hapo Hujasikia Mahali Popote Ya Pesa,Fulani Kamlipa Fulani au Fulani. The Same Hata Producer Pesa Haijawai Kuwa Kipaumbele Katika Mzunguko Wetu, Pesa Huwa Zinakuja Baada Ya Project Kuwa Kubwa. Sanaa Inahitaji Combination/Chemistry Ukiweka Pesa Mbele Combination na Chemistry Inageuka Kuwa Biashara Na Hiyo Inaondoa Vibe.
Mbona maifanye mtu tatu mwamtenga kwanini sasa..me nawakubali ila kwa hili mumefanya vibaya jamaa ..mungepiga tu collabo ya 3people ili kusiwe na kinyongo
This The Reality Of Artist,Katika Story Zote Hapo Hujasikia Mahali Popote Ya Pesa,Fulani Kamlipa Fulani au Fulani. The Same Hata Producer Pesa Haijawai Kuwa Kipaumbele Katika Mzunguko Wetu, Pesa Huwa Zinakuja Baada Ya Project Kuwa Kubwa. Sanaa Inahitaji Combination/Chemistry Ukiweka Pesa Mbele Combination na Chemistry Inageuka Kuwa Biashara Na Hiyo Inaondoa Vibe.
Vanyboy forever, nakuappreciate sana bro👊👊. Nachokupendea kazi inaonekana hauna kiki wala bifu na mtu🔥🔥🔥 utafika mbali sana, keep it on
Reyvanny my Best Musician in Africa Aunaga mbamba to much love for you My Brother
Kaka mlete lava lava kwene hii podcast❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
Lilomy unajuw kuongeya namt vizuri mlet lavalav
Vivan boy nakukubalia mwangu one time nitafanya ngoma na ww brother.
Napenda Video inahusu jambo fulani ukibonyeza tuu Story inaanza 🔥🔥 Safi Lily ommy
Oyaaa kuna midia inaitwa bingo da 😂😂😂maelezo na video ni vitu viwili tofauti
@@yohanasungo9401 Wanazingua Sana ... Ila huyu Mwamba amenyooka
Lilyomy naomba nikushare kitu wakati msanii anaojiwa hapo akitaja ngoma mwambie editor awe anaiweka katika video itapendeza zaidi
youtube wanaishusha kwa issue za copyright ndo mana huwa awawekii walaa nyimbo
Namkubari sana vanny
Rayvanny unaongea vizuri sana🎉
Ambao Tumefatilia Toka Mwanzo hii Interview Gonga Likes hapa
B
🎉🎉🎉🎉
Ommy mlete lavalava kwny podcast
Kwel kk lavalav eje
semaaaaa uyu mwamba hawag munafkiiiiii take your🎉🎉🎉
Namkubali sana Chui
Nakupenda My Brother From Drc
Lilommy tuletee diamond tafadhali
Jamanie Ray kweli kbx
Respect kwako Lily...vs vannyboy
Mmmmh kWanini S2kizzy anawasikilizag ss ma beat kwel S2kizzy ni Zombies😂😂😂
Ray una rohoo safii sanaa , whozuu kumbe shogaa tu , hawezi kujiekea verse .vile ana nyodo sana uyo dogo
Nimependa jinsi ray vanny anavyo ongea kiswahili
Tuna wakilisha🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Vay boy Huna Bay mwang🎉
Coming soon 👑 Ommy 🔥💪💪💪
Rayvnny unawongea uwekwel.sana ogela sana
Namukubali reyvn amenyoka san🔥🔥🔥🔥
Ray your so creative
Sana vany boy kweli inakuweka huru
Kaeleza vizur 😂🎉🎉
Ommy pia fanya cku umuite harmonize apo coz media ni kwa wasanii wote 😂😂😂mlete konde apo tufurahi
Hongera Ray 🎉🎉🎉
Uzuri wa ray yuko real sana🎉
Njo Burundi tena bana
Ray mkweli sana,anaga baya😂
Kweli 😂😂😂
😊❤Kweli
Love you sanaaaa chui❤❤❤❤❤
Makini sana
Vanny boy sometymz ni comedy sana😁😁😁
😂😂😂😂😂 daaah sijawah kucoment ila rayvany leo umenifurahisha halaf mkwel sana
Sikubal ngoma zake.lkn interview zake anajua kujbu maswal
Safi sana
Boa música brow
This The Reality Of Artist,Katika Story Zote Hapo Hujasikia Mahali Popote Ya Pesa,Fulani Kamlipa Fulani au Fulani.
The Same Hata Producer Pesa Haijawai Kuwa Kipaumbele Katika Mzunguko Wetu,
Pesa Huwa Zinakuja Baada Ya Project Kuwa Kubwa.
Sanaa Inahitaji Combination/Chemistry Ukiweka Pesa Mbele Combination na Chemistry Inageuka Kuwa Biashara Na Hiyo Inaondoa Vibe.
Kwelll
mbona hujamuuliza kuhusu kayumba 18:15
Miaka ya 90 tena jombaa😂😂
Safi🎉
❤❤❤
Voice of tiger 🐅🙌
Na ile Na Namjua ya Shetta
Rayvan🎉🎉
Sensema ni kalii
Maneno y'a Ray ainaga uvivu ata siku moya...akili nyingi kichwani
Chuiiii 🐅🐅🐅🐅🐅🐅
Chui huna baya❤❤🎉
Badest ni type za kina shilole,gigy, sio msanii mkali
❤❤❤
kazi zinaongea
Ambao Tumefatilia Toka Mwanzo hii Interview Gonga Likes hapa😊😊
Wewe ray nimwizi san hata wili pool ulshaga muibia! Acha wz wew ukija mwz tutakulea ugaigai! Zowea hao hao cy watoto wa rocky city
Ray hapo nimekuelewa
Usanii na herini wanaume not real...kids are watching and you are role model.. try to fix this
Ok
Ila Harmonize
Je we umetoka wcb
😁😁 nouma
Chui nimkali sana
Lakini sasa hio 'issue' umeiandika aje mse??😅
Jiamini ww kwanza nd wengine watakumini nakubali maneno yko mwamba ray
zombi ndio nani 😀😀
Mlete lavalava Kawa Wamoto saivi😂😂
Ila harmonize
Mambo
omy
Naku bar san kk
Kaka Rayvanny unaeleweka
😢😢😢
Mbona maifanye mtu tatu mwamtenga kwanini sasa..me nawakubali ila kwa hili mumefanya vibaya jamaa ..mungepiga tu collabo ya 3people ili kusiwe na kinyongo
makin
Wewe ni mwiz hata wili po ulimwimbia
Ndio kk
Zombie ni Zombie tu
Pambana mkal
😮 #tellaaxistz
Ukisikiliza vizuri utakuta s2kizzy kweli ni zombie
😂😂😂
😂😂😂
😂😂😂😂
This The Reality Of Artist,Katika Story Zote Hapo Hujasikia Mahali Popote Ya Pesa,Fulani Kamlipa Fulani au Fulani.
The Same Hata Producer Pesa Haijawai Kuwa Kipaumbele Katika Mzunguko Wetu,
Pesa Huwa Zinakuja Baada Ya Project Kuwa Kubwa.
Sanaa Inahitaji Combination/Chemistry Ukiweka Pesa Mbele Combination na Chemistry Inageuka Kuwa Biashara Na Hiyo Inaondoa Vibe.
😮 #tellaaxistz
Greetings from South Africa 🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦
Poleni san jamani kumbe mziki nao unachangamot kias hicho
Ray unaga baya mwamba
Eti ndoilikuwa kosa la zombie kutoa biti ya terema
Kwa mara ya kwanza nimkuelewa san huna unagiki mukweli kuliko
Greatings from KE 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Vanny boi
Nimefurai unaongea lugha yannyumbani kaka yani kishwahili🎉🎉🎉🎉 naunaeleweka kaka sikama wasanii wengine anahojiwa kishwahili anajbu kizungu kwanini??
Direct and straight V vanny bway
Harmonize nae anaandika sana..huwezi kuikacha verse ya mmakonde aisee..asilaumiwe ray..alaumiwe harmo kwa kuandika sana...hahahaha
Ujajibu ulichoulizwa lkn Ray 😮
we uliukuw unaangalia picha
@@FranklinMartin-tp5ss eee
@@patisondidas6720 ndomaana
Alichoo ongeaa ni majibuu toshaaa
Hapo ray kanyoosha maelezo kwer 👍✅✅
Kweli chui anaga baya❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Chui! 👑🤴🐯🐅🔥🌎🔥
Chui ❤❤🎉🎉 namkubali sana ❤🎉
Rayvanny umeuwa sana umenyoosha kaka safi sana kaka
Musimuacheee nyuma lavalava blo juiiiiiiii nakukubali