JUMANATURE ALIVYO MCHANA LIVE DIAMOND // SITAKI DHARAU ZA KIJINGA // TAZAMA HAPA FULL INTERVIEW...

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 158

  • @BamSimba
    @BamSimba ปีที่แล้ว +6

    Nawakubali sana wasanii wa zamani juma kiroboto,temba,kr,chege,lad jedy,rehema chalamila ,Dolo na wengine kibao walifanya kazi nzuri mno Tanzania

  • @gaudenciamallya9779
    @gaudenciamallya9779 ปีที่แล้ว +8

    Nature sauti yake haibadiliki dah! chukua 🌼🌸🌹💐yako Juma.

  • @ImamuKulupula
    @ImamuKulupula ปีที่แล้ว +4

    Unasikuya3 unanifata mwenziooo kwamapanga namalungu Lisa,D

  • @ramspelo
    @ramspelo ปีที่แล้ว +5

    Nature.....mugambo ,hakuna kulala,Sonia,jinsi kijana,mtoto iddi,come &dance,staki demu,.....noma Mzee uliwakilisha unawakilisha wasikutanie kabisa Mzee.....

  • @hamadnassor9733
    @hamadnassor9733 ปีที่แล้ว +5

    Daaah burudan nacher tuanakupenda sana

  • @fundiwasoka
    @fundiwasoka ปีที่แล้ว +21

    Nature mkali Tu, nyinyi mnaemdis nature mnaonekana wa juzi sana au ni wake wa mondi😂😂😂.

    • @Jmapunda
      @Jmapunda ปีที่แล้ว +2

      Kwer sana anasauti ya ukwer mmi nampenda atakama mtuzm❤❤

    • @ashurahatibu5069
      @ashurahatibu5069 ปีที่แล้ว +2

      Tena mazwazwa

    • @desolz3809
      @desolz3809 ปีที่แล้ว +1

      Very fact

  • @jamalowino710
    @jamalowino710 ปีที่แล้ว +1

    Juma Nature Hatari!!!! East African LEGEND

  • @Alexthadey-lm3ju
    @Alexthadey-lm3ju ปีที่แล้ว +1

    Daah! Nature na dolo umenikumbusha mbali sana muzIki wao unaishi mpaka Leo acha hawa watoto wadogo wa sasa hivi muziki wao kama bigiji tu tmk ilikua ya moto sana

  • @mlungumasaba1786
    @mlungumasaba1786 ปีที่แล้ว +1

    Mzee wa busara daah nakumbuka mbalisana Hongereni sana wakongwe

  • @abedimunga8801
    @abedimunga8801 ปีที่แล้ว +4

    Nature mkali sana East Africa tookoooss

  • @jeremiahmtui6822
    @jeremiahmtui6822 ปีที่แล้ว +13

    Juma Nature sound yake ni kali sana very unique

    • @speciosermusika2009
      @speciosermusika2009 ปีที่แล้ว

      Mbona ni kawaida sana wala hasisiki kabisa mwambie apunguze Chibuku.

    • @gucciwambura6468
      @gucciwambura6468 ปีที่แล้ว

      Angalia bifu lao th-cam.com/video/ssh0NAwbY-s/w-d-xo.htmlsi=jp8K3fCutZ1lr4Iy

  • @ronaldissack3338
    @ronaldissack3338 ปีที่แล้ว +4

    Nature na dollo ni mabrother sana

  • @dassustephen731
    @dassustephen731 ปีที่แล้ว +1

    Juma nature.Huyu ndo MWAMBA WA bongo flava

  • @martinkamau4556
    @martinkamau4556 ปีที่แล้ว +6

    Ee bwana namkubali nature sana tangu enzi za t.m.k na mwenzake chege na inspector temba🇰🇪🇰🇪

  • @yvesyveldinhomzee.5682
    @yvesyveldinhomzee.5682 2 หลายเดือนก่อน +1

    Legend juma nature

  • @Theophan-ds4jv
    @Theophan-ds4jv ปีที่แล้ว +1

    Namkubali sana huyu mwamba

  • @gwamakamwaikambo109
    @gwamakamwaikambo109 ปีที่แล้ว +3

    Daah nawakubali sana wakongwe wote , japo mie ni team east coast team wapi amri jeshi mkuu King crazy GK, AY ,MWANA FA, COMMAND JIDE

  • @AbedinegoShingo
    @AbedinegoShingo 3 หลายเดือนก่อน

    Nakukubali sana nature

  • @makejaffar8119
    @makejaffar8119 ปีที่แล้ว +1

    Respect to the Nature
    Respect waanzilishi wa Bongo Flavour

  • @goodmwalongo3230
    @goodmwalongo3230 ปีที่แล้ว +2

    ebwana tunahitaj show moja kali kilos kaz jnature iyo show nature atafunika uwanja hiiiiiiii anachekaa na mkononi akiwa na henken

  • @Jimy7John
    @Jimy7John 4 หลายเดือนก่อน +1

    Underground Mcs super..

  • @Abdullymahuba-ti4rn
    @Abdullymahuba-ti4rn ปีที่แล้ว +5

    Jinsi tulivyo sisi tunapambana na maisha....nampenda penda nani

  • @Linyasa03
    @Linyasa03 ปีที่แล้ว +1

    Nyumban ni nyumban staki demu enzi zetu mtoto iddi mmmmhhh noma

  • @gwamakamwaikambo109
    @gwamakamwaikambo109 ปีที่แล้ว +3

    Dolo ❤ radhia uliua mzee

  • @Ecamaenda
    @Ecamaenda ปีที่แล้ว +1

    Atajuwa mwenyewe

  • @Vochavocha
    @Vochavocha ปีที่แล้ว +2

    Anaulizwa ivi anajibu ivi

  • @edwardasumwisye3010
    @edwardasumwisye3010 ปีที่แล้ว +1

    Nature Mkali Mazee

  • @McT-q6i
    @McT-q6i 2 หลายเดือนก่อน +1

    Dingi juma nature msitu wa vina nakubari mzk wa sezon 1 lkn sezon 2 ushubwada tmk in the beuding hta huku Brazilian ukisema natoka tmk watu wote wanarispect wanakuona familia hata kazi tukisema tunatoka tmk kaz tunapata mara moja kwa heshma za jumanature mh temba chege kr mura dolo. Club zote znapigwa ngoma za nymbn tmk of the life

  • @prosperndelwa4560
    @prosperndelwa4560 ปีที่แล้ว +3

    The old is gold

  • @Johnny-b4i
    @Johnny-b4i ปีที่แล้ว +1

    Nimekubari Sanaa kauri moja hawashidani na mtu umri huu.

  • @saitotibuchali7370
    @saitotibuchali7370 ปีที่แล้ว +2

    Uyu mwandishi kiazi sana ulidomea wapi mbn ata balance

  • @hamzamoshi8275
    @hamzamoshi8275 ปีที่แล้ว +4

    Kila mtu kwa wakati wake anachonga njia, hata diamond nae anachonga njia kwa kizazi chake cha sasa kwaiyo respect kwa wasanii wote iwepo

  • @PatrickFrank-h9f
    @PatrickFrank-h9f ปีที่แล้ว +1

    Ni noma na nusu

  • @teddymgimwa7547
    @teddymgimwa7547 ปีที่แล้ว +3

    juma n atar sound no mix likin inatoka ya atar

  • @KimbilimaSocial-dy9cl
    @KimbilimaSocial-dy9cl ปีที่แล้ว +2

    Safi sanaaa

  • @goodlucktemu3149
    @goodlucktemu3149 ปีที่แล้ว +1

    Juma Nature acha tamaa utapiga hela, Kubalu na matokeo brand yako isha shuka ushishindane na vijana wa kusasa we chukua ayo maokoto wanayokupa usisikilize ya watu

  • @nimrodmareges3131
    @nimrodmareges3131 ปีที่แล้ว +2

    Dah nafurahi sana kuwaona hawa wazee wapi Sinta jamani

  • @MankoWeitala-pe7mi
    @MankoWeitala-pe7mi ปีที่แล้ว

    Ptv wasenge sana mbona aja mwongelea mondi

  • @Gdhjgjk
    @Gdhjgjk 11 หลายเดือนก่อน +1

    Necha usitishwe na mashetaninnas sikwauwezo wao nguvu za mafuvu rizika naumasikiniwako my

  • @omarisaria3168
    @omarisaria3168 ปีที่แล้ว

    Jumaa nature💪

  • @mariamalongo8803
    @mariamalongo8803 ปีที่แล้ว +3

    Kweli bwana

  • @Abdallah-e7o
    @Abdallah-e7o ปีที่แล้ว +3

    Nature wasi kulazimishe njaa ya kukubali laki 5 maana under ground wapewe Hela hiyo na wewe mkongwe upewe hio hio sio poa

  • @sankajoseph4627
    @sankajoseph4627 ปีที่แล้ว +2

    Kiroboto king

  • @happynjukiz6495
    @happynjukiz6495 ปีที่แล้ว +1

    Nani ataweza kuattend show yako juma nature stay home fuga kuku😅😅😅

  • @dodoclassic6771
    @dodoclassic6771 ปีที่แล้ว

    Oya Mzee nature sema unazingua mani Sasa hivi mambo yamebadilika

  • @MunahSadiq-bh7ol
    @MunahSadiq-bh7ol ปีที่แล้ว +3

    Nature hazeeki

  • @Inukanaalmasipodcast
    @Inukanaalmasipodcast ปีที่แล้ว +1

    Hebu ongea na dolo nimechoka sana

  • @ImamuKulupula
    @ImamuKulupula ปีที่แล้ว +3

    Alafu minatakaniwaambie. Mzikiulikuazamani bana

  • @meedyshow8807
    @meedyshow8807 ปีที่แล้ว +5

    Watangazaji wanao wahoji woote wamezaliwa 2008 😅😅😅😅 ata hawaelewi kiru apo

  • @pilimwanza8117
    @pilimwanza8117 ปีที่แล้ว +6

    Wamelewa😅😅

  • @BamSimba
    @BamSimba ปีที่แล้ว +2

    Professor j,mnyalu,specta haruna,mwana fa,ay,sugu, sister p na zb

  • @comsmkemwa2671
    @comsmkemwa2671 ปีที่แล้ว +1

    Hapa lazima kutakuwa na upinzani wa timu mbili ,timu wahenga na timu watoto, hata marekani kina snoop dog dog na kina boys 2men, hawasikiki tena, leo wanakula maokoto tu,

  • @Aziz-p6s
    @Aziz-p6s ปีที่แล้ว

    Kwel sisi mababu sasaivi some age

  • @abdulrisassy2488
    @abdulrisassy2488 ปีที่แล้ว +1

    Living legends

  • @jobsterwatlujeli3506
    @jobsterwatlujeli3506 ปีที่แล้ว +1

    Mhh huwez kuimba tena wew nature

  • @jojigeorige1056
    @jojigeorige1056 ปีที่แล้ว

    Mziki wa sasa kutoboa ni hadi uwe mjukuu wa Chande....

  • @karrimngayunga3774
    @karrimngayunga3774 ปีที่แล้ว +1

    Kwahio ile saut ya lamba lamba za mia ni yeye kaaah

  • @mbukumagiubukumagu406
    @mbukumagiubukumagu406 ปีที่แล้ว +1

    Hawa.waimbaji au wanapiga debe

  • @josephevaristi8923
    @josephevaristi8923 ปีที่แล้ว +1

    Huo mringi apo shingoni mwa dingilai ni oroginal kwel 🤔🤔

  • @happynkya9770
    @happynkya9770 ปีที่แล้ว +2

    wooooi

  • @MichaelLimu
    @MichaelLimu ปีที่แล้ว

    Apashwe tu huyo diamond.

  • @CosterPaulo
    @CosterPaulo ปีที่แล้ว +1

    Kazi zanecha azichuji myaka efuta2

  • @gwamakamwaikambo109
    @gwamakamwaikambo109 ปีที่แล้ว +2

    Kr mura jibaba mziki mnene cd 700 ukija kichwa kichwa unakula za uso 7 aiseeh nyie wakari bendera ya bati mlingoti chuma,

  • @fababindawood8363
    @fababindawood8363 ปีที่แล้ว +1

    Nature amekwishaaaaa akubali akataeeee

    • @znaqmumeja2678
      @znaqmumeja2678 ปีที่แล้ว

      unajua sana saa nature,💪💪💪👏👏

  • @williamuandrew6801
    @williamuandrew6801 ปีที่แล้ว

    Nyie lazima mfeli hizo a.k.a za majina wasanii wa Zaman sio nzuri sasa kiloboto ndo Jina gani hilo. Huoni wasanii wa sasa wajiitia wanyama simba, chui, tembo na wengine wengi

  • @ahamadially8351
    @ahamadially8351 ปีที่แล้ว +1

    Waandishi msiojua kuhoji na kugonbanisha wasanii achane fitna

  • @VITUSPROTUS-wh4mn
    @VITUSPROTUS-wh4mn ปีที่แล้ว +11

    Kama mnavyojiita mababu nategemea kuona hekima na busara kwenu daima, hamkutakiwa kutengeneza tofauti na kiwanda cha mziki kwa Sasa(WCB) ilihali wao walikuwa na lengo la kukuheshimisha na kukurudisha kwenye game angalau uckike na upate liziki kwa cku hiyo legend wetu, kwasababu itoshe kusema hujulikani upo mbinguni au Duniani. Jitahidi kutojenga Jealous kwa madogo coz ni wakati wao , na nyie wakati wenu ulishapita. Bakini katika hekima na busara kama wazee, kwasababu mkiendelea team wasafi hawatowaacha salama ambapo sizani kama itakuwa sawa kwa wazee kama nyie, ni busara zaidi kukaa kimya kuliko kuongelea tofauti zenu, ni vzr mngemaliza kimya kimya kama ni kweli ilikuwepo...

    • @DavidMbwilo-qk1bz
      @DavidMbwilo-qk1bz ปีที่แล้ว

      Fact

    • @wedsonanangisye5512
      @wedsonanangisye5512 ปีที่แล้ว

      umee jalibuu kuweka pwentii zakoo lakini tatizoo nii mojaa umee weka mbelee mahaba zaidii kusema nechaa hajulikan yupo duniani au mbinguni nii tatizo kwambaa hakuu takiwa kujibishanaa naa kiwandaa chaa mziki wcb hayoo ni mahaba

    • @gideonmathew5198
      @gideonmathew5198 ปีที่แล้ว

      Kweli best umeongea vyema

    • @desolz3809
      @desolz3809 ปีที่แล้ว

      Acha makasiriko ya kisenge ww

    • @desolz3809
      @desolz3809 ปีที่แล้ว +1

      We wa juzi juzi maku kweli

  • @NoyanBalgay
    @NoyanBalgay 11 หลายเดือนก่อน +1

    Kwani juma necha amebishana kashasema ashindani namtu sasa akubali kaisha mara ngapi jamani au chuki za kichoko tu

  • @bassambashirou4604
    @bassambashirou4604 ปีที่แล้ว +1

    Huyu chenga kweli yaani sijui mjani au nini??

  • @hassannoha669
    @hassannoha669 ปีที่แล้ว

    Nature

  • @cleartzboy
    @cleartzboy ปีที่แล้ว +1

    Nature live anaongea kwa makslko kuna ktu kinamuumiza zaid ndn

  • @albertbombo1148
    @albertbombo1148 ปีที่แล้ว +2

    Ndugu mtangazaji labda ungetaka kuwaona,,,,😂

  • @ismailngulingar2133
    @ismailngulingar2133 ปีที่แล้ว

    Unajuwa kuna wakati mwingine maisha yanatokana wakati gani na umri gani na kipindi chako umevuna nini

  • @DavidMbwilo-qk1bz
    @DavidMbwilo-qk1bz ปีที่แล้ว +3

    Anakataa laki 5 kwa dakika 30 kisa legend kuna mda unatakiwa uwe na love na wadogo zako ilikuw rais kukurudisha kwenye sayar ya music 🎵 kwani kuna watoto wengi wa sasa hawakujui hiyo ni jealous kaka nature

  • @aminamodi8927
    @aminamodi8927 ปีที่แล้ว

    Nashindwa kuekewa kwa NINI WATU wanatukana ati kwa kua wamekataa kupewa pesa mbuzi na MONDI hawa WANAJUA thamani yao
    Mondi kamlipa zaidi ya dollar elf 8 na koffi sasa na hawa wana thamani tudiw SSD'S tukane tuwe ADILIFU

  • @issackathman850
    @issackathman850 ปีที่แล้ว +1

    ana nyimbo gani sasa huyo

    • @nalandayusuf641
      @nalandayusuf641 ปีที่แล้ว +1

      Hakuna Bongo fleva bila jina ya Juma nature.kama wewe mtoto wa juzi nenda uka lale.

  • @honkhamis1936
    @honkhamis1936 ปีที่แล้ว +1

    Ukimuona mtu anamponda baba ake jua kwamba hana akili huyo

  • @Johnny-b4i
    @Johnny-b4i ปีที่แล้ว

    Mkapa leo wanazeeka lakini nyimbo zao hazichuji kamwe hawa wezetu siku hizi maneno.

  • @salehally-y8p
    @salehally-y8p ปีที่แล้ว +5

    Nikiwaangali tu naona teyari washalewa na hicho ndicho kinahowarudisha nyuma.

  • @ShomariShukuru-kh2uz
    @ShomariShukuru-kh2uz ปีที่แล้ว +1

    Atakae kataa akatae ila necha fundi

  • @saitotibuchali7370
    @saitotibuchali7370 ปีที่แล้ว

    Sio kama haonekani nikwmb hayupo mbn mnapepesa maneno waandishi

  • @AlphaMtakwa
    @AlphaMtakwa ปีที่แล้ว

    Sijui wote na muandishi wao wamelewa nini?

  • @AbassKhamis-lc3ts
    @AbassKhamis-lc3ts ปีที่แล้ว +1

    Lakini bangi huwaga inakausha sauti

  • @NoyanBalgay
    @NoyanBalgay 11 หลายเดือนก่อน

    Mtoto eid itaendelea vizazi navizazi imezaa kinaselemani we naitaendelea mwandish huna jipya maku wewe

  • @awadhrajabu1403
    @awadhrajabu1403 ปีที่แล้ว

    Kashakula Cha Arusha Sema Alifanya Kazi Yake Kwa Wakati Wake Eshima Apewe Na Akitaka Kulinda Eshima Yake Ahachane Na Midia Zenye Kuwataka Wachanganywe Na Wasanii Wasasa Kuwaongelea Wasanii Wa Sasa Naamini Eshima Yao Itabaki Juu Lakini Wakijaribu Kuwadisi Wasanii Wa Sasa Eshima Yao Itayumba Wengi Wako Kwenye Mitandao Na Wanajua Kama TMK Ilikua Kali Akina Necha Kikubwa Maongezi Yasizidi

  • @jovinielvisi6749
    @jovinielvisi6749 ปีที่แล้ว +2

    Mtu mzima anaye jua kupambana namaisha atakiwi uzarau pesa

  • @DaudiHamisi-un2uu
    @DaudiHamisi-un2uu ปีที่แล้ว

    Unamuuliza kitu kingine wanajibu vingine wala havipo

  • @Yangaone-h8j
    @Yangaone-h8j ปีที่แล้ว +5

    Hilo neno lenu kongwe mnalotumia kujifanya mko juu wakati mmefulia mmebaki tu namajina yenu , sawa nikeli mmesafisha njia yamziki wabongo lakini pamoja nakusafisha njia mliacha visiki niani ujio wamadogo wakatoa visiki nia nisafi wanapiga tu maokoto kinachowauma nyiye nikwamba mmefulia sasa mnawaona madogo kama wanawadhalau kumbe siyo kweli tatizo mnalo nyiye wenyewe

  • @WilsonVenance-uk3so
    @WilsonVenance-uk3so ปีที่แล้ว +1

    Mwamba

  • @ezekielmichael9431
    @ezekielmichael9431 ปีที่แล้ว +2

    Wanywa gongo wanachoulizwa wanajibu vingine

  • @AliyMistah
    @AliyMistah ปีที่แล้ว +1

    Mzee. Wamitungi

  • @ZamoMartin-i2e
    @ZamoMartin-i2e ปีที่แล้ว

    Oyoooooh...

  • @MohdAli-cx7bc
    @MohdAli-cx7bc ปีที่แล้ว +3

    Hawa wanazungumzia matatizo yao baada ya kueleza mafanikio yao 😂😂😂

  • @goddamwakimi5889
    @goddamwakimi5889 ปีที่แล้ว +1

    Kiroboto

  • @muzafarsharif9465
    @muzafarsharif9465 ปีที่แล้ว +5

    SAWA WAKONGWE MAPOMBE 😂😂😂😂

  • @doctorpillo
    @doctorpillo ปีที่แล้ว +3

    Anacho ulizwa tofauti na anachojibu, bangi mbaya Sana 😂😂😂😂

  • @gervasbeno5589
    @gervasbeno5589 ปีที่แล้ว +1

    Unajisikiaje unapoona mwenyewe umeliandika liujumbee kubwaaa tena ujumbe wa kipumbavu na lakijinga mwenyewe umeona umeongea point afu tunakupita tu no likes ,😅😅😅

  • @salehkhamis-ob8ln
    @salehkhamis-ob8ln ปีที่แล้ว +1

    Kamuhojini na MB dog

  • @jirac1456
    @jirac1456 ปีที่แล้ว

    Huyu ametota sana. Aweke chupa chini😂.

  • @jacksonjamesndyabawe471
    @jacksonjamesndyabawe471 ปีที่แล้ว +1