BALAA LA PROFESSOR JAY NA FEROOZ KWA MARA YA KWANZA WAIMBA WIMBO WAO NIKUSAIDIAJE CROWN MEDIA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 166

  • @danielwessaka
    @danielwessaka 3 หลายเดือนก่อน +7

    Prof. Mungu wa Mbinguni akubariki sana na akupe malaika walizi. Kazi yako ya muziki japo kuwa ni yakitambo kwa upande wangu imenielimisha sana i proud for your song zali la mentali oiiiiiiiih

  • @Allyhujjat
    @Allyhujjat 3 หลายเดือนก่อน +20

    Kuuguwa sio kufa asante mungu kwa kumrejeshea afya prof j mungu azidi kuimarisha afya yako inshala

  • @sulleimanshalua168
    @sulleimanshalua168 3 หลายเดือนก่อน +9

    Professor jay...Allah akujaalie afya njema,nguvu.

  • @vuvuzelajordankhasindu2963
    @vuvuzelajordankhasindu2963 3 หลายเดือนก่อน +1

    Feruzi has made me to shed tears with that lines 😭😭.
    Why?
    Prof Jay God bless you.
    May God bless me with more days so that I can meet Prof Jay.
    Peace.

  • @PaterneMuderhwa
    @PaterneMuderhwa หลายเดือนก่อน

    Iyi song Balaa bwana❤🔥🔥🔥

  • @vincentkatabalo286
    @vincentkatabalo286 3 หลายเดือนก่อน +18

    Prof nakushauri umuimbie Mungu maana you are the walking miracle

    • @chriacuschanga8730
      @chriacuschanga8730 3 หลายเดือนก่อน +1

      Sure

    • @pastashadrack8637
      @pastashadrack8637 2 หลายเดือนก่อน

      Yaani ata mimi namshangaa uyu jamaa

    • @bishopdrchiefmwakilima8520
      @bishopdrchiefmwakilima8520 2 หลายเดือนก่อน

      Umeongea vema sana

    • @bishopdrchiefmwakilima8520
      @bishopdrchiefmwakilima8520 2 หลายเดือนก่อน

      Mpokeeni Bwana Yesu awe Bwana na Mwokozi wa maisha yenu

    • @rogatienmathari1838
      @rogatienmathari1838 2 หลายเดือนก่อน +1

      Profesa ana imba nyimbo ya ku saidiya taifa nyimbo zake zina fundisha j'ai sana funds zake aziko sawa sawa na wasani wengine uyo ni mwali wa mataifa

  • @shabanialfani5394
    @shabanialfani5394 3 หลายเดือนก่อน +10

    Ashukuriwe sana Mungu kwa kukuinua tena na kukupa Nafasi ambayo wengi wanaikosa. Ukiona umeugua km ulivyougua Kaka prof. Kupona huwa ni nadra sana tena inatakiwa uwe na mtonyo wa maana. Ushauri wangu kwako achana na mambo ya Kidunia saanaa na umrudie Muumba wako ili akija kukuchukua uende ukiwa msafi kwasababu yote ya Duniani ni ya mpito tu kwetu Wanaadam

  • @arishi2021
    @arishi2021 3 หลายเดือนก่อน +8

    i love that music ....message bwana prof Jay moto ya Rap ❤

  • @PaterneMuderhwa
    @PaterneMuderhwa หลายเดือนก่อน

    Mungu ni mwema kabisaaa,Jay Prof 🙏🦅

  • @avitymendezy9891
    @avitymendezy9891 3 หลายเดือนก่อน +15

    Ooooh my God nimejikuta nafrah tu. Mungu acha aitwe Mungu. Say something God.

  • @deograsiasngailo4871
    @deograsiasngailo4871 3 หลายเดือนก่อน +2

    God is to be praised!
    Our Prof. Jay is back 🙏🙏🙏

  • @mickeymikasi1440
    @mickeymikasi1440 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nafurahi kuona Mzee wa mitulingaa akiwa mzima ❤ from Kenya

  • @ProTitle_
    @ProTitle_ 3 หลายเดือนก่อน +13

    Faza bado hajarecover vizuri ila pia Hapo alipo mungu ametenda🙏🙏🙏 Tuendlee kumuombea asimame vemaaa AFYA itulie

    • @casmirymusic
      @casmirymusic 2 หลายเดือนก่อน +1

      Inshallah

  • @AmaniOmari-ev2gu
    @AmaniOmari-ev2gu 3 หลายเดือนก่อน +8

    Nimefurahi kumuona profesa jay karikava Allah Akbar

  • @ramadhanmaulid4088
    @ramadhanmaulid4088 3 หลายเดือนก่อน +5

    Tusihadaike na starehe fupi za duniani, tumlejee Mola wetu mlezi na kwa hakika ataturudhia na atatusamehe , Amiyn.

  • @zanblueplus
    @zanblueplus 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ferouzi salute, mara ya mwisho nilifanya kazi kwenye office Yako ya Hollywood Cafe pale Dar Free Market kama Assistant Director

  • @RGT-SHOW-b3n
    @RGT-SHOW-b3n 3 หลายเดือนก่อน

    Thank God the legend is on his feet again kwa kweli Mungu niwaajabu🙏🙏

  • @enneryasaguti2876
    @enneryasaguti2876 3 หลายเดือนก่อน +2

    Ferooz namkubar sana ❤❤❤️ professa maua yako 🎉🎉🎊

  • @johnoboli684
    @johnoboli684 2 หลายเดือนก่อน +2

    Any Tanzanian here please I need that chorus of Ferooz both In kiswahili and English translation ..am Ugandan

    • @mwasianoezekiel5150
      @mwasianoezekiel5150 หลายเดือนก่อน

      Use Google translator you are not a Britain nor American, Ugandans do speak Swahili so it's better u it don't be mediocre 😂 one love brother

  • @HappyBooks-dj6oy
    @HappyBooks-dj6oy 3 หลายเดือนก่อน +2

    King Baba profesa jizooo.Salute

  • @sylviemugeni1887
    @sylviemugeni1887 2 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤mungu awa simani

  • @JoyceMwita-e3w
    @JoyceMwita-e3w 3 หลายเดือนก่อน +4

    Kuimba wanaimba.wengine kichwa natikisaa mimi😂😂😂😂

  • @arnoldkea2903
    @arnoldkea2903 3 หลายเดือนก่อน

    Mzee wa mitulinga professor J. Ft Ferooz big up....

  • @ErastoSimba-Tz
    @ErastoSimba-Tz 3 หลายเดือนก่อน +2

    Ni balaa tupu hao miamba wapo vzr🎉🎉🎉🎉🎉

  • @zayanamshana268
    @zayanamshana268 2 หลายเดือนก่อน

    Feroos endelea kujitunza. MashaAllah sauti nzuri

  • @VictoriaMatee
    @VictoriaMatee 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu ni mwema .Pr..J tunae tena ...amiiini

  • @warakawayohana2896
    @warakawayohana2896 3 หลายเดือนก่อน +3

    Wimbo bora wa muda wote

  • @onesmothimos2635
    @onesmothimos2635 3 หลายเดือนก่อน +2

    Professor na ferooz wame turudisha kwenye enzi Mungu lazima tumuenzi

  • @AdrusHassan-c5m
    @AdrusHassan-c5m 3 หลายเดือนก่อน

    Professor Jay big up mkali mungu akupe afya

  • @ambokilemussa3518
    @ambokilemussa3518 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu aendelee kumuimarisha huyu ndugu yetu tunampenda sanaaa

  • @khamissaid5525
    @khamissaid5525 3 หลายเดือนก่อน +3

    Profesa mungunimwema upoo sawa

  • @abelchacha5977
    @abelchacha5977 3 หลายเดือนก่อน +2

    Asante mungu. Wamekuzushia vifo mara nyingi. Dah, hivi kuna mtu anakuchukia namna hii?

  • @saidi7924
    @saidi7924 2 หลายเดือนก่อน

    Naomba kuuliza ferooz uyo apo ndo alieandika ile ngoma ya barua kamanda na sterehe na mkasa wa boss au kuna ferooz mwengine

  • @HabibaIslam-rf4ev
    @HabibaIslam-rf4ev 3 หลายเดือนก่อน

    Waaaa awonjowasani sasa nayewengine fek najikuta nafurayitu❤❤

  • @MichaelMutungwa
    @MichaelMutungwa 3 หลายเดือนก่อน

    Hawa Jamaa nawapenda Hadi leo❤❤ Kenya

  • @EliaFrances
    @EliaFrances 3 หลายเดือนก่อน

    I love that guyz very superb mizician

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY 3 หลายเดือนก่อน +4

    HAISEE HAYA MAWE YA LIVE DUUU
    KUBABABAKEEEE! Na hiki kipind guys
    Ki keep on i think matukio ya live

  • @EliaPundugu
    @EliaPundugu 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akutie nguvu brother J mludie mungu kaka angu

  • @mckobatz5861
    @mckobatz5861 3 หลายเดือนก่อน +2

    Big time big brother Jay

  • @CharlesSomeke-b5m
    @CharlesSomeke-b5m 3 หลายเดือนก่อน +2

    Watu wengi wanapoteza maisha kwa sabubu ya umasikini

  • @sendegeandayanse6203
    @sendegeandayanse6203 3 หลายเดือนก่อน +1

    Big up san professa na ferooz

  • @JosephatElia
    @JosephatElia หลายเดือนก่อน

    Nawakubali sana

  • @ZaidAKissinza
    @ZaidAKissinza 3 หลายเดือนก่อน

    Let our Almighty Allah be praised, the Boss is back on track.

  • @LaurentMpilu-qe6lq
    @LaurentMpilu-qe6lq 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ferooz bado voice iko boom sana, mwanangu kitambo lakini, bado shega kinomanoma

  • @mubasadiki2834
    @mubasadiki2834 3 หลายเดือนก่อน +1

    Alhamdulillah mungu ni mwema

  • @majimotostudio
    @majimotostudio 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu Nawe Jay 👑

  • @Bboy-ek8vn
    @Bboy-ek8vn 3 หลายเดือนก่อน +3

    Usikate tamaa jay

  • @josephezekielmasolwa8283
    @josephezekielmasolwa8283 3 หลายเดือนก่อน

    Yaani mtu ni mtambo kabisa, yaani ukiugua hadi tempo hupungua, bro. J Mungu amekutunza, geukia Dini.

  • @emmanueladriano2034
    @emmanueladriano2034 3 หลายเดือนก่อน +1

    Muziki wenu ulikuwa dawa na lishe kwetu.. GOOD VIBE

  • @erickchitumbi1308
    @erickchitumbi1308 3 หลายเดือนก่อน +4

    Wenye bongofleva Yao

  • @isackmachiyanshoka6754
    @isackmachiyanshoka6754 3 หลายเดือนก่อน +2

    Wapo vzr❤

  • @UpendoLaswai
    @UpendoLaswai 3 หลายเดือนก่อน

    Duuh hakika mungu ni mwema .mshukuru San mungu

  • @abdullahkazungu4025
    @abdullahkazungu4025 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu azidi kukupa nguvu .. Kamanda jay

  • @buanaquendaabdalaabdala8260
    @buanaquendaabdalaabdala8260 3 หลายเดือนก่อน

    Noma❤❤❤❤❤🇲🇿

  • @ZahraBadri-k9q
    @ZahraBadri-k9q 2 หลายเดือนก่อน

    Ndio mfalme ....hyu mungu ampe nguvu

  • @onesmomwakasege5215
    @onesmomwakasege5215 3 หลายเดือนก่อน +6

    Bado ajakaa vizuri inabidi muende naye talatibu na mazoezi muhimi ili pumzi ikae sawa

  • @EmanuelHosana-q2e
    @EmanuelHosana-q2e 2 หลายเดือนก่อน

    Feruz ni moto

  • @AlphaDaimon
    @AlphaDaimon 2 หลายเดือนก่อน

    KINACHONIKEEERAAAA
    Wasanii wa KIUME kuvaa Heleni 😢

  • @Officialmkusu
    @Officialmkusu 3 หลายเดือนก่อน

    The rigernd

  • @AliJuma-y7n
    @AliJuma-y7n 3 หลายเดือนก่อน

    Nimefurahi kumuona tena ferrous akiwanajey kweli Allah ni mueza sasa tutspata burudani halisi ya bongo fleva

  • @KazingufuMumbere
    @KazingufuMumbere 3 หลายเดือนก่อน

    Naitwa Jean-Claude, nilipenda muniambie kama ferooz angali muzima ao kama ashaka fariki. Tukona nabishana sana uku D R
    Congo

  • @nassoromar9966
    @nassoromar9966 2 หลายเดือนก่อน

    Daa wasanii wakongwe vitu vinaeleweka ujumbe mzito wenye mazingatio sahii ni fujo tupu vizazi vya computer

  • @LetdiscussBusiness
    @LetdiscussBusiness 3 หลายเดือนก่อน

    Nakubali sana mkuu

  • @maryaika9645
    @maryaika9645 2 หลายเดือนก่อน

    🎉🎉🎉🎉🎉

  • @damianmcba9525
    @damianmcba9525 3 หลายเดือนก่อน +2

    Hilo jambo kulikumbuka bila kusoma keratosis c mchezo,,, sio km verse za siku hizi maneno mawili au matatu tu

  • @NyangeroSylvester
    @NyangeroSylvester 3 หลายเดือนก่อน

    Hata kama wataimba hao watalamu walifanya makubwa kwenye muziki was tanzania

  • @abwemmasa7096
    @abwemmasa7096 3 หลายเดือนก่อน

    Prof j🎉🎉🎉

  • @yusufwazili5359
    @yusufwazili5359 3 หลายเดือนก่อน

    Blessed

  • @Leeobite
    @Leeobite 3 หลายเดือนก่อน

    Pfor jay oncw Again Hata...hila hata kama amepona bado anaonekana hayupo sawa

  • @oppaTz
    @oppaTz 3 หลายเดือนก่อน

    😂😂❤❤

  • @Mturu_1911
    @Mturu_1911 3 หลายเดือนก่อน

    amen

  • @DoriceStanslaus
    @DoriceStanslaus 3 หลายเดือนก่อน

    aache mziki amwimbie Mungu

  • @ambokilemussa3518
    @ambokilemussa3518 3 หลายเดือนก่อน

    Wanawake wa vijijini ni wasariti balaa

  • @daudimlamka1239
    @daudimlamka1239 3 หลายเดือนก่อน

    prof j, Betty low pole mkuu speed imepungua

  • @JuniorMaline
    @JuniorMaline 29 วันที่ผ่านมา

    Vp kk ferooz bad tu

  • @jj-iv1wm
    @jj-iv1wm 3 หลายเดือนก่อน

    Alah akbar ❤

  • @TonyKambale-f6g
    @TonyKambale-f6g 3 หลายเดือนก่อน

    waw

  • @daudimaniseli759
    @daudimaniseli759 3 หลายเดือนก่อน +1

    KIZE, SCOUTS JENTA,BADMONI SQUARED,FEROOZ,MPE HI! SAJO,CHUPA,,DAZ BABA ,DAZ MWALIMU,,DAZI NA8 ,KRIKITI,NA LARUMBA....OYAAA DAZI NUNDAZ SIO POA.

  • @NyamiNaturalTherapy
    @NyamiNaturalTherapy 2 หลายเดือนก่อน

    Ferooz ni mwamba kajibu kwa ekima

  • @IshengomaRugemalila
    @IshengomaRugemalila 3 หลายเดือนก่อน

    Nimependa

  • @WollfitOntomu
    @WollfitOntomu 3 หลายเดือนก่อน

    Wollfit Kenya in bahrain

  • @neemankya6431
    @neemankya6431 3 หลายเดือนก่อน

    Good

  • @CassianFabianKakobe
    @CassianFabianKakobe 3 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @gideon_machira
    @gideon_machira 2 หลายเดือนก่อน

    mtu wa sound umechemsha

  • @HawaaMkubwa
    @HawaaMkubwa 3 หลายเดือนก่อน +1

    Frozen nimekuona nimemkumbuka marehemu mume wangu alikua ana kupenda cna profesa jay Allah azidi kuku uzima na afia inshaallah

  • @VeronicaMussa-lu1yw
    @VeronicaMussa-lu1yw 3 หลายเดือนก่อน

    Rudini kwenye gemu jamaan, diamond anatuimbia vyaajabu tyuuuu

  • @mdbosco1640
    @mdbosco1640 3 หลายเดือนก่อน +1

  • @molenicharles9107
    @molenicharles9107 3 หลายเดือนก่อน

    Meno milioni😁😁😁😁😬😬

  • @Officialmkusu
    @Officialmkusu 3 หลายเดือนก่อน

    Nyie Ngoma mpya lini wazee tz ime wamiss

  • @AdilSaid-q9q
    @AdilSaid-q9q หลายเดือนก่อน

    Hhhhh❤❤

  • @HarrisonFanuel-ir1kr
    @HarrisonFanuel-ir1kr 3 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @Am-vo5cu
    @Am-vo5cu 3 หลายเดือนก่อน

    Feroze hayo meno uyangowe

  • @JJj-s4w
    @JJj-s4w 3 หลายเดือนก่อน

    Mbona kwenye Hilo bango hapo sijaona chid benz,Mr blue

    • @LetisiaMzeru
      @LetisiaMzeru 3 หลายเดือนก่อน

      Angalia kw makini utawaona

  • @GerevasMmassy
    @GerevasMmassy 3 หลายเดือนก่อน

    Nmefurah

  • @endonyemamathias8938
    @endonyemamathias8938 3 หลายเดือนก่อน +29

    Nahitwa Mathias niko hapa Marekani niliku nahitaji namba ya professor jay.

    • @salimjumaa8180
      @salimjumaa8180 3 หลายเดือนก่อน

      Kma upo serious wataka kum2mia ka ki2 nenda kw DM yke Insta. Usi2letee upiddy hpa😂

    • @cheyemedia9303
      @cheyemedia9303 3 หลายเดือนก่อน +4

      Marekani ya wapi hio

    • @MtuSafi
      @MtuSafi 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂​@@cheyemedia9303

    • @ndukulusudikucho_
      @ndukulusudikucho_ 3 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@cheyemedia9303😂😂😂😂😂 USA 🇺🇸 Unyamwezini

    • @elias006official5
      @elias006official5 3 หลายเดือนก่อน

      Marekani au Mariakani

  • @godsontesha2734
    @godsontesha2734 3 หลายเดือนก่อน

    Kwanini arudie kwani hamjiandai mnapoingia kwenye kipindi?

  • @NgoshaJaphet-zo4sq
    @NgoshaJaphet-zo4sq 3 หลายเดือนก่อน

    Ulitakiwa ufurahi yeye kumrudia Mungu

  • @ryobanchagwa2499
    @ryobanchagwa2499 2 หลายเดือนก่อน

    Professor JAY MRUDIE MUNGU

  • @Bboy-ek8vn
    @Bboy-ek8vn 3 หลายเดือนก่อน

    Kwani mziki wa kuelimisha kama anaoimba mbona hauna shida na anaelimisha acha kuropoka wew

  • @KILINDONIMEDIA
    @KILINDONIMEDIA 3 หลายเดือนก่อน

    Imeenda hii