Mzee abari ya uku maumbiri yako yananigusa na Mimi niko American Kansas ni wasabato nilikuwa camp nyarugusu yani naomba utupe fundisho kuusu alama yamnyama 666 ina maanisha nini tunaomba ufafa nizi?
Bwana yesu asifiwe mchungaji mmbaga naombi langu kama utaweza naomba ukamuombee rajabu kwa imani yangu naamin maombi yapo yana mguvu za mungu naamin atapata nafuu na atapata roho mtakatifu atapona mungu akubariki mm npo oman namuonea huruma sana
Bwana Yesu asifiwe. Mungu aku zidishie mwalimu
Wow! It's like am watching the story of Moses! God bless you
Asante sana
Mahubiri Kiswahili
Ndoa
Naomba ile video ya una bii wa daniel
MUNGU akupe maisha malefu na yenye baraka tele, nimebarikiwa sana kutokana na mahubir yako
Mungu baraka zako ulionipaa naombaa neema ya kuzibebaa.
MUNGU akubariki sana pr.tunabarikiwa sana kwa jinsi MUNGU anavyokutumia kufikisha ujumbe wake kwetu
Amen Ubarikiwe kiukweli mchungaji nafeel kabisa Roho wa Bwana ananiongelesha nitoe kwa ajili ya watu kuogolewa
🤔ameeen ❤️🙏ubarikiwe mtumishi wa bwana
AMEN itz powerful, God empower you more my pst
Mzee abari ya uku maumbiri yako yananigusa na Mimi niko American Kansas ni wasabato nilikuwa camp nyarugusu yani naomba utupe fundisho kuusu alama yamnyama 666 ina maanisha nini tunaomba ufafa nizi?
Amen
nimeipenda sana
Nabarikiwa sana mtumishi.naomba utusaidie kuweza kuwa tunapata mahubiri yako mengi.
kwa kweli hapo kila kitu kiko wazi
Amina
mungu akujalie meng zaid ....................
Huwa Nabarikiwa sana na mahubiri yako na huwa sichoki kukusikiliza Barikiwa saaana mch Mmbaga
Festo ngoda d
Really it's so touchig msg. Amina utukufu na uwe kwa Bwana
yesu mtumie mtumishi km upendavyo....Amen
Bwana yesu asifiwe mchungaji mmbaga naombi langu kama utaweza naomba ukamuombee rajabu kwa imani yangu naamin maombi yapo yana mguvu za mungu naamin atapata nafuu na atapata roho mtakatifu atapona mungu akubariki mm npo oman namuonea huruma sana
Uwe hai mungu aendere kukuongzea imani iwe juu zaidi watu kma nyinyi ni muhimu sana
Mungu azidi kutumia ktk kaz yake hakika umekuwa mbaraka mkubwa kwa watu wengi
Amina..
kiukweri Mungu akusaidie katika kazi ya Mungu
Mungu akubariki kwa kazi nzuri
Amina, Bwana Yesu asifiwe, ila sorry Muchungaji number za simu atuziyoni, tuta zipata je? Sorry kwa ufumbufu.
God bless you.
Thank you.
Barikiwa sana Mtumishi wa MUNGU
Hua Nashangaa Uki like post ina futika
napenda maubiri yako Mungu akubariki sana
mungu nimtendaj
Ubarikiwe mtumishi
barikiwa na Bwana
Amina mungu akubariki
Amen.
ili somo umelitowa kwa njia ya kiupekee mno! ubarikiwe.
Mungu akuinue pst
Amen
Amina
nimeipenda sana
Amen